Тёмный

MAKOSA UNAYOYAFANYA WAKATI WA MAOMBI YAKO // REKEBISHA HARAKA 

SIRI ZA BIBLIA
Подписаться 93 тыс.
Просмотров 86 тыс.
50% 1

Yakobo 4:3
Hata mwaomba, wala hampati kwa sababu mwaomba vibaya, ili mvitumie kwa tamaa zenu.
Maarifa ya Ki-Mungu
@SIRI ZA BIBLIA
www.sirizabiblia.com
+255 758 708 804
linktr.ee/sirizabiblia
Instagram Account
/ siri_za_biblia
SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

Опубликовано:

 

25 апр 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 267   
@user-hm1pz7gu8s
@user-hm1pz7gu8s 24 дня назад
Ee Mungu nisaidie niweze kujua jins ya kuombaa🤲🙏🏽🙏🏽
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 20 дней назад
Imina
@NajmaBakari-wb3rx
@NajmaBakari-wb3rx 18 дней назад
EE mungu nisayidiy uniwonesh njiya ili nijuw gisi. Y'a. Kuwomba
@lilysam-cd7qz
@lilysam-cd7qz 15 дней назад
😅
@elizabetty-rt7py
@elizabetty-rt7py 21 день назад
Muumba wangu naomba unifunguwe ufahamu wangu nilujuwe ufunguwe moyo wangu ninapoongea na. Wewe ulieniumba. Moyo wangu. Uwe na adabu niikunyenyeekee wewe ulieniumba baba, naaoomba. Nguvu iliniikupende. Muumba wangu amen 🙏
@user-hy7oo9qn5k
@user-hy7oo9qn5k 11 дней назад
Amen
@juliuskalawa7860
@juliuskalawa7860 26 дней назад
Eeh Mungu naomba uyapokee maombi yangu kadiri ya mapenzi yako,naomba hayo kwa njia ya Yesu Kristo,,,Amen
@JaneIzaka-jv2de
@JaneIzaka-jv2de 5 дней назад
Mungu wangu baba yangu nifundishe kuomba Ile niwe karibu na ww
@user-ft4ft7db5y
@user-ft4ft7db5y 23 дня назад
Mungu wangu nionyeshe jinsi ya kuomba natamani kukuskia mungu wangu
@salltake4147
@salltake4147 7 дней назад
Mungu ni fundishe kuomba baba 😢😢😢🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🧎‍♀️🧎‍♀️🧎‍♀️🧎‍♀️
@user-iv5ec5gj1v
@user-iv5ec5gj1v 26 дней назад
Eeee Mungu nipe njia nzuri ili niweze kuomba kwa usahihi..
@IdahNambelasiwala-qs3su
@IdahNambelasiwala-qs3su 13 дней назад
Eeemungu wangu ninaomba unisaidi kujuwa kuomba 😭😭😭🙏🙏
@crestian8343
@crestian8343 11 дней назад
Asante kwa mafundisho kuhusu maombi mimi nimechukuwa yangu pastor na nitafatilia sana Amen 🙏
@user-wl8sx8jc3o
@user-wl8sx8jc3o 12 дней назад
Mungu anajibu ukiomba kwa imani mathayo 21: 21 ..... mungu sikia maombi yangu na kila anaekutumainia wew wakakuone 🙏🙏😭😭😭
@RoseAchungo
@RoseAchungo 20 часов назад
Mungu wangu nipe ufahamu zaidi ili nieze kukuinua na kuwafudisha wengine amina
@RegnaPaulosumuni
@RegnaPaulosumuni День назад
Bwana naomba unifundishe namna ya kuomba na kubali kupokea maombi yangu na uyajibu sawa na mapenzi yako amina
@user-qo3zl4fi6u
@user-qo3zl4fi6u 22 дня назад
Eeeh MUNGU wangu ninaomba unipe njia bora ya kukuomba na niweze kuujua utukufu wako niweze kuupata uso wako bwana...hallelujah
@Zenambwilo-lq8rg
@Zenambwilo-lq8rg 11 дней назад
Thanks bro and god bless you
@janepherodouri3393
@janepherodouri3393 День назад
Jamani nimebarikiwa sana 🙏🙌 glory be to God baada ya kuomba bila manikio I wish ninge jua mapema mutumishi wa mungu ubarikiwe sana pamoja uzao wa tumbo lako🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 much love from Kenya 🙏🔥 fire😢😢😢
@magrethqamunga6052
@magrethqamunga6052 18 дней назад
We Mungu Roho Mtakatifu nifundishe jinsi ya kuomba vizuri maana peke yangu siwezi
@leahvictorine5571
@leahvictorine5571 15 дней назад
Eeeh mungu wa mbinguni nakuomba unisaidie Ili niweze kukujua wewe zaidi ...😢😢😢🙏
@CatherineDonald-nl2yj
@CatherineDonald-nl2yj 2 дня назад
Naomba roho mtakatifu aniongoze jinzi ya.kuomba maombi ya kumfikia mungu
@JaneOkotsi
@JaneOkotsi 22 дня назад
Natamani sana kukujua mungu wangu na bila kuomba sitafaulu nizidishie neema niwe mtu wa kuomba
@DorcasDorcasjonas
@DorcasDorcasjonas 8 дней назад
Ee mungu wangu naomba unifundishe kuomba nikakujue wewe nakutunikia wewe sku zote zamaisha yangu
@user-ky2do8fn1w
@user-ky2do8fn1w День назад
Kubishana Na mtumishi Wa Mungu sovizuri🎧
@QueenJustene
@QueenJustene 11 дней назад
Mwenyez Mungu nifundishe kuomba jeovah🙏🙏🙏🙏
@user-lb6gr7ed2g
@user-lb6gr7ed2g 13 часов назад
Mungu nisaidia nijue kuomba
@SleepyGarterSnake-pm7fq
@SleepyGarterSnake-pm7fq 19 дней назад
Naomba Mungu anisaidie nijue kuomba sawasawa na mapenzi ya Mungu. Mungu akubariki Mt ,wa Mungu
@MaxmillaAkori
@MaxmillaAkori 20 дней назад
Mungu wangu nifundishe njia ya kuomba hili nikujuwe vizuri ukuu wako
@user-um8ti8xq3e
@user-um8ti8xq3e 20 дней назад
Mungu wangu niumbie upya unifinyange niweze kujua uombaji niweze kuwa Karibu yako
@eunicelyeme7532
@eunicelyeme7532 8 дней назад
Roho mtakatifu nisaidie
@MariaNdagile-hx5pr
@MariaNdagile-hx5pr 25 дней назад
Upo kwa ajili yetu mtumish barikiwa sana
@EverBoaz
@EverBoaz День назад
Mungu wangu nipe kukujua zaidi
@sarahfeni1866
@sarahfeni1866 26 дней назад
Ubalikiwe sana MUCHUNGAJI WA MUNGU UNAZIDI KUTUELEKEZA KUOMBA 🙏🙏
@irinenjombo3368
@irinenjombo3368 26 дней назад
Ameen nimejifunza mengi Mungu akubariki sana Pastor 🙏🙏
@UpendoGembe
@UpendoGembe 21 день назад
Mungu wangu nisaidie nijue kuomba
@NellyIsiyo-nu8es
@NellyIsiyo-nu8es 4 дня назад
Eeehh mungu unikumbuke kwenye maombi yangu🙏
@rhodamusyoka1345
@rhodamusyoka1345 19 дней назад
Unarudiarudia neno moja tu aueleweki
@damianwambura8314
@damianwambura8314 6 дней назад
Mi mwenyewe nimeshindwa kumuelewa anaongea maneno mengi na hata hatoi muongozo sahihi
@annangowi5517
@annangowi5517 25 дней назад
Ubarikiwe Sana mtumishi
@MeliKavindu
@MeliKavindu 3 дня назад
Eee mungu nisaidie nijue njia ya kuomba
@AaBb-te4fh
@AaBb-te4fh 4 дня назад
Eeeh 😭 😭 Mungu nisaidie nijue kukutafuta
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 2 дня назад
Aminaaaa sana somo zuri mnoo ubarikiwe ❤❤❤❤❤🎉🎉
@FrolidaAlex
@FrolidaAlex 2 дня назад
MUNGU NAOMBA UJIBU MAOMBI YANGU
@user-vy6yy6ic2u
@user-vy6yy6ic2u 25 дней назад
E/mungu naomba unipekiu ya kuomba kutoka ndani ya moyo na kwaimani nautulivu
@upendomtui6544
@upendomtui6544 24 дня назад
Mtumishi siku nyingine usisahau kuandika jina la MUNGU kwa herufi kubwa japo kwa herufi M iwe kubwa ingawa mimi huchagua kubwa herufi zote kubwa,....biblia ikiandika kwa herufi ndogo humaanisha miungu isiyo hai
@RoseMapunda-pd6vg
@RoseMapunda-pd6vg 20 дней назад
MUNGU nisaidie nijue kuomba
@EvanceVenance
@EvanceVenance День назад
Eee mungu nifundishe kuomba
@user-ml9yh9ep2o
@user-ml9yh9ep2o 14 дней назад
Emung naitaj Zaid kujifunza kupitia wewe mm huenda sjui Namna gan yakuomba eeemung Wang mm 😢
@user-ij6jj6hl9r
@user-ij6jj6hl9r 20 дней назад
Amen, roho mtakatif aniongoze ili nijue kuomb🙏🙏
@abigaelmwadena2262
@abigaelmwadena2262 26 дней назад
Ameen barikiwa kwa mafundisho haya🎉
@BenedictNgenzi
@BenedictNgenzi 17 дней назад
Hee mwenyezi mungu naomba unisaidie nijue kuomba
@odimbambaga5103
@odimbambaga5103 26 дней назад
Barikiwa sana mtumishi mashauri
@user-cz9gc1rn6f
@user-cz9gc1rn6f 5 дней назад
Barikiwa na Mungu.ila labda mtumishi unajirudia rudia Sana.ila anyway,tumesikia umuhimu wa maombi.Mungu atuwezeshe.
@marymaria6544
@marymaria6544 26 дней назад
Sylvia amen asante bwana,asante roho mtakatifu,asante mtumishi maana unatuelewesha vyema katika maombi🙏❤️
@sherryfuraha3076
@sherryfuraha3076 25 дней назад
Maombi yangu yafike kwako eeh mungu😢😢
@AsiaH-jf5fo
@AsiaH-jf5fo 26 дней назад
Ameni barikiwa sana mutumishi kwamafundsho nimejifundisha mambomengisanaa barikiwa sanaa ❤❤❤❤
@HappyAlpineVillage-zz5bc
@HappyAlpineVillage-zz5bc 2 дня назад
Eeeeee Mungu nifundishe kuomba
@Sali-dr3xx
@Sali-dr3xx 20 дней назад
Inatupasa tuwe na imani n uvumilivu ndo tujibiwe kwa maombi y kiroho
@DorothyChilembo
@DorothyChilembo 26 дней назад
Nimejifunza mengi Sana mtumishi ubarikiwe 🙏🙏🙏
@RoseSila-qb8gq
@RoseSila-qb8gq 2 дня назад
Amen amen
@adolphinemuswamba1059
@adolphinemuswamba1059 26 дней назад
Nimejifunza mengi sana mtumishi , MUNGU akubariki
@leahwainaina4396
@leahwainaina4396 26 дней назад
Mungu wangu niwezeshe Neema ya njia ya kujua kuomba
@user-om3gr1jw3m
@user-om3gr1jw3m 5 дней назад
Mungu nifungue ufahamu wangu , unifundishe njia sahihi ya kuomba
@rosekawala5182
@rosekawala5182 3 дня назад
Asante sana kwa maelezo ya namna ya kuomba
@felisteramos9692
@felisteramos9692 24 дня назад
Mungu nisaidie niweze kuomba maana usingiziii ni tatizo
@veronica-vx6fb
@veronica-vx6fb 26 дней назад
Asante sana mtumishi wa Mungu umenifundisha sana Mungu akubariki sana
@MeryPaul-kh6zq
@MeryPaul-kh6zq 10 дней назад
Eee mwenyezi MUNGU naomb unifundishe niombe hekima na maarifa
@mishikazungu8028
@mishikazungu8028 26 дней назад
Amen Amen ubarikiwe sana mtumishi wa mafundisho haya Amen 😢😢😢
@lidyanapegwa8154
@lidyanapegwa8154 8 дней назад
Eeh Mungu naomba unisaidie na kunifundisha vile inavyostahili
@MaurineSabato
@MaurineSabato 17 дней назад
Mungu wangu naomba unifunze kuomba natamani kuona uso wako na muujiza wako mungu wangu naomba unisaidie nijue kuomba
@ErickZakaria-lc9bp
@ErickZakaria-lc9bp 12 дней назад
Eehh MUNGU wangu nifundishe kuomba 🙏🙏🙏🙏🙏🙏Amiiiinn!!!!!
@jemaminasaid6634
@jemaminasaid6634 18 дней назад
Yarabb nisaidie nijue namna ya kuomba
@user-iv3us4if5z
@user-iv3us4if5z 14 дней назад
New subscriber guys nipitieni
@PreshazSijali-fm1iu
@PreshazSijali-fm1iu 9 дней назад
ee mungu baba nakuomba unipe ufunuo wa kujuwa kuomba kwa hekima nisaidie
@JosepherHerman
@JosepherHerman 26 дней назад
Mapenzi yako yatimizwe Mungu wangu
@CelestinaDaniell
@CelestinaDaniell 6 дней назад
Mungu nisaidie nijue jinsi ya kuomba🙏🙏
@AnabelaMalimbiwi-un9cf
@AnabelaMalimbiwi-un9cf 4 дня назад
Ee mungu nisaidie nijue kuomba zaidi na zaidi
@ChristaRichard-vu1hq
@ChristaRichard-vu1hq 12 дней назад
Tafadhari pastor ni heri uwe unaanza na main point iliytufanya tufungue video hayo mengine ni ya ziada 🙏
@happymangesho1139
@happymangesho1139 8 дней назад
Naomba Neema yakuomba na kupata majibu
@ElianaMlita
@ElianaMlita 26 дней назад
Amen, nazidi kujifunza barikiwa sana 🙏
@tumpedaudi6681
@tumpedaudi6681 26 дней назад
Amen 🙏......thank you Holly Spirit 🙏
@user-yt2yj9ye2y
@user-yt2yj9ye2y 26 дней назад
Amen Amen ubarikiwe Sana mutumishi 🙏🙏🙏
@AsiaH-jf5fo
@AsiaH-jf5fo 26 дней назад
Munguakubarikisana mungu akupewingi wasiku
@user-ky4rx2rt5z
@user-ky4rx2rt5z 16 дней назад
Mungu mwenyewe anifundishe njinsi ya kuomba mi peke yangu siwezi
@lucyjoseph4025
@lucyjoseph4025 12 дней назад
C kwmba nimkamilif sana hapan ila mungu anakudi lke jina la mungu liimiduwe 🙏🙏
@user-tx1zr3kb1j
@user-tx1zr3kb1j 26 дней назад
Eeh mungu nakuomba niwe nawomba kuomba vizuri😢niweze kuzingatia maombi Bali sii kuomba tu😢
@Elinalungu-wv9zu
@Elinalungu-wv9zu 26 дней назад
Amen ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@user-uz3of5sj7c
@user-uz3of5sj7c 21 день назад
Mungu naomba Rehema wakati mwingine naomba vibaya
@MariaOma-ut6fj
@MariaOma-ut6fj 26 дней назад
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu na Mungu azidi kuku jaza nguvu
@user-nf3iy7um1x
@user-nf3iy7um1x 23 дня назад
😢
@user-jy1vo9lf8o
@user-jy1vo9lf8o 15 дней назад
EE MUNGU NIFUNDISHE KUOMBA 😭😭😭😭😭😭
@ScholasticaJoseph
@ScholasticaJoseph 13 дней назад
Jamani anaejua hiyo nyimbo inayosikika
@vobtvvalleyofblessingschur5508
@vobtvvalleyofblessingschur5508 13 дней назад
Daniel labam, song mumaombi
@ScholasticaJoseph
@ScholasticaJoseph 13 дней назад
@@vobtvvalleyofblessingschur5508 asante
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 2 дня назад
Aminaaaa
@SuzyFredrick-er5xk
@SuzyFredrick-er5xk 14 дней назад
Naamini nimepata kitu kikubwa sana!!! Barikiwa MTUMISHI
@naominalonja-kl2qy
@naominalonja-kl2qy 13 дней назад
Mungu nisaidie nijue kuomba kulingana na na neno lako
@RhodaPaul-lw5pq
@RhodaPaul-lw5pq 22 дня назад
Eeeh mwenyeez MUNGU nifundishe kulijua neno lako nakkuomba apasavyo
@Decute4074
@Decute4074 25 дней назад
Sifa na utukufu ni kwa mungu❤❤❤❤❤❤
@user-bn2xr1dv5j
@user-bn2xr1dv5j 20 дней назад
Asante,ila mimi natamani nifundishwe zaidi ili nifahamu kuomba
@nonveroniquejohn
@nonveroniquejohn 26 дней назад
Ubarikiwe sn mtumishi
@emilywamalwa5938
@emilywamalwa5938 26 дней назад
Ukabarikiwe sana mtumishi
@monicajerop7583
@monicajerop7583 17 дней назад
Mungu unisaidie kuomba unitangulie mm peke yangu siwezi
@NdukuWilson
@NdukuWilson 10 дней назад
Eeh Mungu naomba unifunze jinsi ya kuomba😢
@margieblessed863
@margieblessed863 26 дней назад
Be blessed pastor inocent
@GraceAlex-it2gp
@GraceAlex-it2gp 13 дней назад
Ubarikiwe sanaa mungu akuweke dunian ili uzidi kuwafungua watu
@michaelgilbert1531
@michaelgilbert1531 17 дней назад
Mungu ndio anaejua maombi sahihi
@lucyjoseph4025
@lucyjoseph4025 12 дней назад
Amina nikweli kbsa mtumishi ata mm huwa naomba na ninaibiwa mungu ni mwema
@rosemwakyoma8371
@rosemwakyoma8371 15 дней назад
Ee Mungu nisaidie kujua jinsi ya kuomba
@MusaClement-tw6om
@MusaClement-tw6om 26 дней назад
Mungu akubaliki sana
Далее
HUDUMA YA MALAIKA || PASTOR GEORGE MUKABWA || 21/04/2024
3:08:38
LIVE: JINSI YA KUOMBA MAOMBI YA VITA NYAKATI ZA USIKU
43:38
Самое хитрое животное.
00:57
Просмотров 490 тыс.
ЖДУЛИ | 2 СЕЗОН | 2 ВЫПУСК
53:21
Просмотров 364 тыс.
PR.DAVID MBAGA || ONYO KWA VIJANA
15:41
Просмотров 554
NJIA KUU TATU ZA KUMSIKIA ROHO MTAKATIFU
19:24
Просмотров 156 тыс.