Ukitaka kuelewa Vifaa vya kisasa ni Muhimu sana kuelewa jinsi audio compressor inavyofanya kazi.
Nimekupa kanuni za Msingi za namna ambavyo Audio Compressor inafanya kazi.
Benson Msechu ni Mhandishi wa Kitabu cha KUTAWALA VIFAA VYAKO VYA MUZIKI: Kanuni za Msingi, Mshauri na Mwalimu anayefundisha namna sahihi ya kutumia Vyombo vya Mziki.
endapo ungependa kujiunga na Kundi la Whatapp tafadhali tuma message kwenye whatsap namba iliyohapo chini.
Benson Msechu
Mhandisi wa Sauti
+255 752 025 991
12 сен 2024