Тёмный

6 FAHAMU EQUALIZER NA ATHARI YA MAJENGO KWENYE SAUTI YA VYOMBO VYAKO VYA MIZIKI - BENSON MSECHU 

Beem Media
Подписаться 757
Просмотров 878
50% 1

Majendo pia yana majibu ya masafa (frequency response) na hivyo unaweza kabisa ukanunua vifaa vyako na kuvifunga ndani ya jengo lako na ikakupa sauti mbaya isiyokuwa kabisa na usikivu (intelligibility). Kifaa cha Equalizer pamoja na uwekaji wa spika (speaker placement) inaweza ikasaidia kwa sehemu ila sio asilimia mia moja kama Jengo lango halina mazingira rafiki ya sauti (Poor Acoustics)
Nimeeleza wa Kina pamoja na kukuonyesha jinsi Equalizer inavyofanya Kazi.
Kwa ushauri wa vifaa gani ununue au uboreshaji wa mfumo wako wa sauti usisite kuwasiliana nami kwa mawasiliano hapo chini.
Phone: 0752025991 (whatsapp)
Email: benmsechu@gmail.com
Benson Msechu - Sound Engineer

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 9   
Далее
Ванесса 🆚 Крискас  | WICSUR #shorts
00:42
To mahh too🫰🍅 #abirzkitchen #tomato
01:00
Просмотров 4,4 млн
SMALL Church Sound Tips - Feat. Collaborate Worship
11:54
Ванесса 🆚 Крискас  | WICSUR #shorts
00:42