Тёмный

20 PERCENT: MIMI SIPENDI MUZIKI / SIJATAKA KUISHI KAMA WASANII WENGINE / NIKAONEKANA NAZINGUA 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 159 тыс.
50% 1

#wasafi #refresh

Опубликовано:

 

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 409   
@jairosjackson1460
@jairosjackson1460 5 лет назад
Anayetaman jamaa arud kwenye gemu, gonga like hapa tujuane
@josephmwakifuna.6434
@josephmwakifuna.6434 5 лет назад
Nankubali xnaaaa
@godfreymbuya6282
@godfreymbuya6282 5 лет назад
Jairos Jackson oya huyu mtu ni balaa na nusu na iyo nusu ndio balaa yenyewe
@nkebanyimanasa3469
@nkebanyimanasa3469 5 лет назад
Romy,20 arud kwenye mziki bwana
@ramarashid72
@ramarashid72 5 лет назад
Sana 20
@heremanipnkwatile8901
@heremanipnkwatile8901 5 лет назад
Atatamba xana hata diamond hatamfikia
@athanaskazimil4760
@athanaskazimil4760 5 лет назад
Yaani we bro hata move ulikuwa vzr sna mziki ndo usiseme kabisa Rudi kaka kama haupo vizr mchango upiti tu haina shida maana sio wakwanza ww kteleza bro mashabiki zako tutakufanya unyanyuke tena
@thenextmvp8568
@thenextmvp8568 5 лет назад
20 percent mtu wangu wanguvu msanii pekee alie mshinda chibu 2010
@piuspaul6593
@piuspaul6593 5 лет назад
nakukubali mzee baba ludi tumekumisi sautiyako nangomazako
@siamejerry9239
@siamejerry9239 5 лет назад
Is the best 20%
@hassansaid89
@hassansaid89 5 лет назад
Chibu alichukua 7
@hermankihwili8997
@hermankihwili8997 5 лет назад
Wewe nijingaaaa una changanya mafaili
@RuzoOwzy
@RuzoOwzy 5 лет назад
2011, ndo aliongoza kwa tuzo 5. Mondi alitoka mkono mtupu. en.m.wikipedia.org/wiki/2011_Tanzania_Music_Awards
@francesbukambu6390
@francesbukambu6390 5 лет назад
Very talented My best Artist ever
@isunga1964
@isunga1964 5 лет назад
Money money kila siku naisikiliza huku ugaibuni ingawa mimi mwanamke dah big up mzee
@nurdiinmaulid9958
@nurdiinmaulid9958 5 лет назад
Nitumie nambazako
@mwanahamisbakar118
@mwanahamisbakar118 4 года назад
Sasa namba zake za nini bro
@mwanakhatibu3722
@mwanakhatibu3722 5 лет назад
nakukubali zasana kaka tuletee vitu
@osmandembele1661
@osmandembele1661 5 лет назад
Wanaomkubal huyu jamaaa gonga hapo chin
@omanmuscat3267
@omanmuscat3267 5 лет назад
Hanamakuu 20 rudikwenye gem tumeku mis walahii
@osmandembele1661
@osmandembele1661 5 лет назад
Kwel kabsa
@bekkaali3048
@bekkaali3048 5 лет назад
Ok
@videomusic8097
@videomusic8097 5 лет назад
20% makini sanaaa
@toshagalimunda9695
@toshagalimunda9695 5 лет назад
nomaaaaaaaa
@shaimamabrouk9937
@shaimamabrouk9937 5 лет назад
20 we love you so much and missing u.more.please come back Mashairi yako sawa sawa na maisha yajamii wanavyo ishi.lakini Leo watu hupenda nyimbo zisizo na maadili.wanadai kizazi kipya
@uzurichannel5223
@uzurichannel5223 5 лет назад
Gonga like hapa kama unamkubali 20%
@mtosimbakwetu130
@mtosimbakwetu130 5 лет назад
🤛🤜
@denisbilikira3938
@denisbilikira3938 5 лет назад
namkubar sana 20%
@jeniferanyisile1888
@jeniferanyisile1888 5 лет назад
Kijana unaimba vizuli sanaaa
@leoniabeda2711
@leoniabeda2711 5 лет назад
Nakukubali sana broo Mungu akulinde
@juliusjackobo9789
@juliusjackobo9789 5 лет назад
Sony boy Tz alud tumemisi
@uncledavitv6481
@uncledavitv6481 5 лет назад
haya mkumbken huyu broo kwenye Festival zenuu
@adoniamaseneje5669
@adoniamaseneje5669 5 лет назад
Rudi...20...gam imejaa utoto huku... njoo uwanyooshe watoto mzeee
@victorndyely1660
@victorndyely1660 5 лет назад
Upovizr 20
@johnmsigwa3508
@johnmsigwa3508 5 лет назад
Mnataka apoteze hela zake
@MenTPL
@MenTPL 4 года назад
@@johnmsigwa3508 🤣🤣 kwani anazo? 😂😂😂
@MenTPL
@MenTPL 4 года назад
Unataka apige zilizo pendwa🤣🤣 game ya leo imebadilika, sio hile ya kale
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 5 лет назад
Nimekumic sana 20 % jmn
@papykenedy5
@papykenedy5 5 лет назад
fumuwa vyote movie na mziki wewe ndo umebaki ambaye anaweza kuziba pengu ya marehemu kanumba.tunakusubiri kwahamu sana bro.
@amryzubery1051
@amryzubery1051 5 лет назад
kinachomuharibu huyu jama nibangi anashinda tandare kwenye bangi
@lumierembilizi966
@lumierembilizi966 5 лет назад
Gabo Zigamba?
@deborakamsi
@deborakamsi 5 лет назад
@@lumierembilizi966 gabo awezi mzidi 20%
@papykenedy5
@papykenedy5 5 лет назад
LUMIERE MBILIZI 20% nimkali kuliko hao unaowataja
@allywaziri2859
@allywaziri2859 5 лет назад
rayc
@hoseajonas9603
@hoseajonas9603 5 лет назад
Sema nini bro we miss you ile mbaya yaani mpaka sasa naskiliza ZALI ZALINA so we just need your comeback because nobody ever be like you ❤️❤️☝️peace
@guycalifat8411
@guycalifat8411 5 лет назад
就能让她的
@hoseajonas9603
@hoseajonas9603 5 лет назад
Guy Califat what you mean bro
@yohanaktmgina7781
@yohanaktmgina7781 5 лет назад
big up bro! we no msanii wengne waznguaj
@fikirijames5765
@fikirijames5765 5 лет назад
Ukisikia vipaji adimu vyenye madini adimu ndo huyu jamaa anajua mpka anaboa lakin amekaaa tu hafanyi kitu tatzo nn bro 😯😯
@kingofkings7525
@kingofkings7525 5 лет назад
Fikiri James umeongea point bro.
@myroshtz8
@myroshtz8 5 лет назад
Kwer
@foxstreet8458
@foxstreet8458 5 лет назад
Mtangazaji upo vzr kwa maswali yako kk
@livingstonelameck7501
@livingstonelameck7501 5 лет назад
Hatua ya kulia kiki kushoto sneaaa good boy
@bensonmwakyando5776
@bensonmwakyando5776 5 лет назад
20 percent ana akili sana,anajibu maswali vzr sana
@christinalrene1132
@christinalrene1132 5 лет назад
Huyu ndio mwanamziki wangu wanguvu😍 namkubali sana🙌🙌
@karamakadonge3457
@karamakadonge3457 5 лет назад
20 percent rud Kaka yan nmekall nyimbo zako nyng ssns
@allymohfrk
@allymohfrk 5 лет назад
Dhuu nakukubali kishenzi mtu wangu wa nguvu.yani utaendelea kuwa my favorite super star.
@dogomatedogomate1150
@dogomatedogomate1150 5 лет назад
Nakukubali sana 20% vp omba kz WCB mbna xaf2
@hopekacheranga2065
@hopekacheranga2065 5 лет назад
20%, rudi with the same strenght, u r a teacher, Mzikiwakounafunza. I wish u all the Best.
@erickhaule8680
@erickhaule8680 5 лет назад
nimeajiliwa kwenye ajila niliyojiajili nanasifiwa utendaji wangu wa kazi ni nzuri navumilia huenda nitapata kivuli huu wimbo bhana nakukubali sana na umenisaidia mahala hapa nilipo
@chancelinechuchu7333
@chancelinechuchu7333 5 лет назад
rudi tume ku miss sana
@Wanzitv
@Wanzitv 5 лет назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-Q0VajHa3Rp0.html
@ezradaniel4613
@ezradaniel4613 5 лет назад
Hi,may u whaasaap me plz,(+255756739373)
@sheilazuberi3181
@sheilazuberi3181 5 лет назад
Ludi mzee baba
@ancoonasib775
@ancoonasib775 5 лет назад
Mamb
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 5 лет назад
Nakupenda sana 20 percent, nataman urud kwny gemu mkuu
@braytonymasebene7565
@braytonymasebene7565 5 лет назад
Rumdeeson Soa jama atr kwa mashail
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 5 лет назад
Sana
@diwaniramdhani62
@diwaniramdhani62 5 лет назад
9c
@stephanofuruka5236
@stephanofuruka5236 4 года назад
Dar ndugu yangu mimi na kukubali Sana uko vizuri Sana kimziki na kimaadili uko poa sana
@salvatoryjohn7015
@salvatoryjohn7015 5 лет назад
Clouds huku yenu sijui itakuwaje maana mumepoteza vipaji vya ukweli kisa kufanikiwa kwa msani ila wasifi umekujakuikomboa saanaa
@amrimbuta1839
@amrimbuta1839 5 лет назад
I mis u bro
@busaramangasini2259
@busaramangasini2259 5 лет назад
Rudi kwenye game bro
@dvjzombie3975
@dvjzombie3975 5 лет назад
Makn sana 20%
@chantalmulasi5663
@chantalmulasi5663 5 лет назад
We are waiting for you brother # 20 %# I will Always love and like all your songs #you are my favourite singer in Tz
@lilakhhassan6896
@lilakhhassan6896 5 лет назад
Chacelin abas ana rudi na msikiliza na cku zite ana onge point tupu mwanangu cc tupo polini tuna tengeneza filam itakao watoa machoz dunia nzima
@patrickjeremiah8905
@patrickjeremiah8905 5 лет назад
Angeitwa wasafi festival ingependeza zaidi.
@jumamak8838
@jumamak8838 5 лет назад
Kwakweli 20 nyimbo zako zinafundisha sana sio kama za sasahv mapenzi tu ludi uwaelimishe
@olivajackson1128
@olivajackson1128 5 лет назад
si urudi baba mm mshabiki wako kakakakaaaaaaaa rudi basi 💕💕💕💕💕20
@patrickjeremiah8905
@patrickjeremiah8905 5 лет назад
Angelita wasafi festival ingependeza zaidi.
@rashidchembaxic6879
@rashidchembaxic6879 5 лет назад
Gifted boy..... Anajua
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 5 лет назад
Safiiii. basi gonga like alafu bonyeza picha hapa kushoto kujua magonjwa mbalimbali na mambo mengine ya Afya yako, ususahau kushare kuonyesha Love kwa wengine subscribe like comment kama zoooote😁😁
@melaniamroki8530
@melaniamroki8530 5 лет назад
Safi
@myownfootball6364
@myownfootball6364 5 лет назад
Diamond msign WCB
@emmanuelpaul5704
@emmanuelpaul5704 5 лет назад
aendani na maisha ya wcb kabsaaa akisainiwa pale atakua ni tofaut na wote
@bahatiamoss5284
@bahatiamoss5284 5 лет назад
hawez kuimba matus huyo
@myownfootball6364
@myownfootball6364 5 лет назад
Emmanuel Paul umesema point.
@mgishajafali9904
@mgishajafali9904 5 лет назад
G
@MenTPL
@MenTPL 4 года назад
@@emmanuelpaul5704 atachafua
@mdidiomari7351
@mdidiomari7351 5 лет назад
Jamaa namkubali sana
@maryamhassan9664
@maryamhassan9664 5 лет назад
Uyu 20% namkubali mnoooooo yani namkubaliii mno natamani ujue kuwa unakubalika
@bajirengeblaise6198
@bajirengeblaise6198 4 года назад
Twenty welcom the wld musique
@acleyedward5453
@acleyedward5453 5 лет назад
Daaaaa!!!!!! tunakuhitaji sana twenty percent urudi kwenye gemu 🆙
@godfreymathias.9347
@godfreymathias.9347 5 лет назад
Mi yenyewe kwenye kioo sijawahi kujiona ..Nice interview
@wilbrowntz2012
@wilbrowntz2012 5 лет назад
Kama umeona mkono wa jamaa alie shika mic imechoka gonga like
@mgishajafali9904
@mgishajafali9904 5 лет назад
😂😂😂😂
@slyvestermbago9361
@slyvestermbago9361 5 лет назад
wilbrown tz ahhhhaaaaa
@djfiremoto3429
@djfiremoto3429 5 лет назад
Tisha Sana 20%
@allysalehekayekewenga3162
@allysalehekayekewenga3162 5 лет назад
Makini sana
@selemaniadinani9568
@selemaniadinani9568 5 лет назад
Polesana nduguyetu
@renendyamukama469
@renendyamukama469 5 лет назад
Musami
@naimasaid7763
@naimasaid7763 5 лет назад
Rudi 20 pacent tumekumiss sana, rudi utuletee vitu vya kweli
@sospetersiame906
@sospetersiame906 5 лет назад
Huyo ndio msanii ninayempenda sana yani kutoweka kwake nammisi sana
@moiseramsey4579
@moiseramsey4579 5 лет назад
Never give up my bro
@pascalgpaul9083
@pascalgpaul9083 5 лет назад
Sospeter Siame twet
@kasimmsuya2294
@kasimmsuya2294 4 года назад
daaaaaa!!!;! ludy kamkubwa wadauzako tnakuitji sana mdau
@rehemashafi4809
@rehemashafi4809 5 лет назад
Napenda life lako ujisikii
@fadhiliahmadi3707
@fadhiliahmadi3707 5 лет назад
Namkubali jamaa
@mizimbitz4656
@mizimbitz4656 5 лет назад
Mambo baby
@habibumussa2712
@habibumussa2712 5 лет назад
Jama ujumbe zake ziko safi sana 20%20 fund
@ostazjumanamusoma7586
@ostazjumanamusoma7586 5 лет назад
Safi sana twenty percent... Tunasubli tuone ile interview tuliyoambiwa itaruka jicho la uswazi kesho.. Mafans Tunakupenda sana twenty
@kingdonald3312
@kingdonald3312 4 года назад
ata kwenye kio sijawahi jiona kwaaaaaa nakukubali sana twenty
@saidilugendo3973
@saidilugendo3973 5 лет назад
safi
@wawukweliaisha8414
@wawukweliaisha8414 5 лет назад
tumikumiss sana
@tadeonkonya1656
@tadeonkonya1656 5 лет назад
Ukizungumzia wasanii Kama 20 percent, Linex Sandey Mjeda, MB Doggy ni wasanii waliofanya Mziki wanaoujua wao na wakatusua, Hii inadhihirisha Kua Mziki mzuri ni ule unaousikia kutoka ndani yako Wala sio kucopy style zinazojulikana au kuwacopy WENGINE, 2019 for good music....
@eventelias3566
@eventelias3566 5 лет назад
Tadeo Nkonya Sure
@tableytv8339
@tableytv8339 5 лет назад
Nimesoma komenti zote lakin ya kwako tu ndo nimeielew..... Big up
@faudhiamsese858
@faudhiamsese858 5 лет назад
Nyimbo zako hazichujii rud tena kwenye game bro😍
@abdulyambansador4823
@abdulyambansador4823 5 лет назад
Uko poa sana bro ulituteenjoy toa madin bro
@hamadsheha7361
@hamadsheha7361 5 лет назад
Faudhia Msese
@elizabethnyange1711
@elizabethnyange1711 4 года назад
Twent pr hakika nakuombea upone urudi kwenye mziki
@Basagamp4
@Basagamp4 5 лет назад
Natamani Abasi ungekuwa unazisoma Comments hizi ili utambue na kuyang'amua mapenzi ya dhati ya Wapenzi wa Muziki wako.
@fidelisraymond940
@fidelisraymond940 5 лет назад
na mitusi aiyone sio,jau bora akae offline tu
@Basagamp4
@Basagamp4 5 лет назад
@@fidelisraymond940 hahhaahha
@nasrarashid1000
@nasrarashid1000 5 лет назад
Kama una mkubali 20 percent piga like
@fettamidu2503
@fettamidu2503 5 лет назад
Nakupndga sn 20%
@feithmhimbano959
@feithmhimbano959 5 лет назад
20 Rudi kundin tumekumis sana kwnye gemu No one like youuuuuu
@BigZhumbe
@BigZhumbe 5 лет назад
Akirudi kwenye gemu..... Kiba akalime
@feithmhimbano959
@feithmhimbano959 5 лет назад
@@BigZhumbe kwann wasema ivoo
@BigZhumbe
@BigZhumbe 5 лет назад
@@feithmhimbano959 Jamaa enzi zake alikua anawakalisha Mondi na Kiba..... Mondi amepiga hatua kubwa kimziki Kiba ndo kwanza anaamka ndotoni na #KingsMusic
@yesemakisudjonga7914
@yesemakisudjonga7914 5 лет назад
I love you 20%cent
@krtgsmtechnology5732
@krtgsmtechnology5732 4 года назад
Kutoka 🇲🇿🇲🇿 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 Moçambique napenda sana kazi zako
@phastoryjumbe1964
@phastoryjumbe1964 5 лет назад
u ar de best no musician in TZ!....akuna acyejua......nakukubali sana bro! coz unajua aseee!
@gentilkomeza7171
@gentilkomeza7171 4 года назад
Arudi tunamtaka sana
@elvisdonas3814
@elvisdonas3814 4 года назад
Namkubali sana huyu mkali gonga like twende sawa
@jolie2768
@jolie2768 Год назад
Nakupenda sana
@wananjiflavour1819
@wananjiflavour1819 5 лет назад
Alahu Akbar
@issamdambawekenvitu8207
@issamdambawekenvitu8207 4 года назад
Namkubalisan Buroo hy
@roseuwambe8089
@roseuwambe8089 4 года назад
Kweli kaka 2po tunakusubili kwaham
@joshuasakalani4051
@joshuasakalani4051 5 лет назад
Dah. Brother Nakukubali Uko vizuli Endelea k Game Bwana,
@lucylyale7169
@lucylyale7169 4 года назад
We love you so much 20% be back kweny game broo unaweza💪💪💃💃
@degwaboy8128
@degwaboy8128 5 лет назад
Maile mbish twakusubir kwa ham sana damu yangu
@emmanuelpaul5704
@emmanuelpaul5704 5 лет назад
nakukubali sana bro sijui kwann unatutenga hvi ujajua ni jinc gan tunakuitaji
@godfreywiliam6669
@godfreywiliam6669 5 лет назад
bro nakukubali sanaaa sanaa njoo kwenye game
@josephatissack8167
@josephatissack8167 5 лет назад
Godfrey Wiliam
@aishamatuli2366
@aishamatuli2366 5 лет назад
Huyundo msanii anaegusa Jamii na wajipange kumfikia twent nakukubali Sana Kaka ludi kwenye gem
@barakabaraka9176
@barakabaraka9176 5 лет назад
Hongelen waandishi wa habari kutupatia vitu vya wahakika!! 20 ludi kwenye gemu tumekumis san
@hajimnubi4581
@hajimnubi4581 5 лет назад
Huyu dogo anajua sana na kweli muziki unampenda ila tatizo msela sana,ila mkali kuliko mzee wa kiki namba moja bongo
@nelcashbabak
@nelcashbabak 4 года назад
Hata Mimi ninazo kwenye sim u nyimbo zako
@mudrickamin6944
@mudrickamin6944 5 лет назад
clouds Nido madui wa music wa bongo tutake tusi take
@loothamolely8328
@loothamolely8328 5 лет назад
50. U knJmuk@ uktot5? natowok hrgrf.(8
@zamdabakari6372
@zamdabakari6372 5 лет назад
Kumanina
@zamdabakari6372
@zamdabakari6372 5 лет назад
Weee mkundu kunuka tuu kishimundu kafilwe na baba ako
@mudrickamin6944
@mudrickamin6944 5 лет назад
@@zamdabakari6372 sifiri mikundu michafu km yk na wazaizi wako mbwa ww unaoneka mshamba cn upo mkoa gani
@zamdabakari6372
@zamdabakari6372 5 лет назад
@@mudrickamin6944 utake usitake ww ni msengee mpaka na ukoo wako woteee mnapakuliwaa nyumaaa makhanis nyieee
@lazarogaudensi8304
@lazarogaudensi8304 5 лет назад
Kazaaaaaaaa janjaa
@djmubatz5065
@djmubatz5065 5 лет назад
Kila nikijalibu kufanya papara zaujana nasikilozaga myimboyako ya tamaambaya bac najikuta nakokwenda siko shukran zangu za kipekee kwako kwani nyimboyako inanifikishia ujumbe mzur na ushauri pia kwamba kunavitu baadhi haviitaji tamaa kama hauna uwezonacho dawa nikutuliza moyo thank u
@lenjeevara3407
@lenjeevara3407 5 лет назад
Pwaaaaaaaaaaa
@jojoeabwe1007
@jojoeabwe1007 5 лет назад
Hamady Lemunje 😂😂😂wakamuita dudubaya instead🤷‍♂️🤷‍♂️🤷‍♂️
@alphanisuleman6979
@alphanisuleman6979 4 года назад
Kwali kabisa wanagombanisha watu iliwawapoteze Kama mondi alisema mtiwenye matunda hupigwa mawe mludisheni huyu mtu jamani mwenyepesa
@njirekija
@njirekija 3 месяца назад
Namuelewa sana 20❤
@alifaramadhani8051
@alifaramadhani8051 4 года назад
Kama unamkubali kwa maneno yake gonga like yako
@petermahoiga933
@petermahoiga933 5 лет назад
MZIKI UNANIPENDA MIMI NA WALA MZIKI SIUPENDI, nimeipenda hii
@ivantompoo7843
@ivantompoo7843 4 года назад
hawajui kuhoj waseng kwel
@qadinacci
@qadinacci 5 лет назад
JAMAA HAJAWAHI KUJIONA KWENYE KIOO, INA MAANA HANA KIOO HOME HUYU
@vuaipanduhaji3681
@vuaipanduhaji3681 5 лет назад
Km vya kale ni dhahabu basi ww 20 percent ni TANZANITE broo...👏👏🇹🇿
@godrichmwatindila5690
@godrichmwatindila5690 5 лет назад
Ndo mana kenya hawaelew kiswahil, et siwez Fanya vyote peke ang na bado tunasema nna mambo mengi!!!!!!
@jamesm.darnes640
@jamesm.darnes640 5 лет назад
Bring him back.
@elisacharleskajembe
@elisacharleskajembe 3 года назад
Unakipaji kikubwa sana kaka rudi kwenye game
@faithphanuel9972
@faithphanuel9972 5 лет назад
Safii sana
@TALLUBOY
@TALLUBOY 5 лет назад
Thanks my kaka wetu watanzania big super star
@tanzaniadar5227
@tanzaniadar5227 4 года назад
Kama unamkubali huyu jamaa na unaangalia ii 2020 gonga like tujuane
@salhanshimirimana7521
@salhanshimirimana7521 5 лет назад
Ni kweli
@mardelinejimmy6338
@mardelinejimmy6338 5 лет назад
Kazi nzuri ndugu yangu
@veronicadaniel1122
@veronicadaniel1122 4 года назад
Chunga tamaa mbaya,,,, ulikua wimbo wa taifa rudi kakaetu tumekumiss
@peaceboyke
@peaceboyke 4 года назад
kazi poua
@bakarimakamba6714
@bakarimakamba6714 5 лет назад
hakuna zaidi yako Mzee wazinguaji tyu bora urud
@hoseajonas9603
@hoseajonas9603 5 лет назад
Ivi 20% anaitwa Nani instagram??
@officiallugano8991
@officiallugano8991 5 лет назад
Hosea Jonas anaitwa Mbopo 20%
@fidelisraymond940
@fidelisraymond940 4 года назад
Twent power
@MenTPL
@MenTPL 4 года назад
😂😂😂 hafu wewe unazarau, kwani yeye hana account insta 🤣🤣🤣 yuko karne gani😄😄
Далее
iPhone 16 для НИЩЕБРОДОВ!
00:51
Просмотров 1,3 млн
MPAKA HOME: FEROOZ AKIRI KUVUTA BANGI
35:13
Просмотров 203 тыс.
Maswali Magumu yalivyojibiwa kirahisi na Mpoki
4:28
Просмотров 845 тыс.
YPRINCE -  UTARUDI Official Video
4:34
Просмотров 26 млн