TUMESIKIA TUMEPOKEA TUMEIMARISHWA MUNGU AWABARIKI SANA BABA NA MAMA MWAKASEGE NA TEAM NZIMA YA MANA NA ZAIDI ASHUKURIWE BWANA YESU KWA NEEMA HII KUBWA,SIFA NA UTUKUFU APEWE PEKE YAKE ❤️
Baba ktk Jna la Yesu Kristo, Tunakushuru kwa Rehema na Wema wako MKUU juu ya Mtumishi wako Mwl.Mwakasege na timu nzima ya HUDUMA YA MANNA, BABA MTAKATIFU, tunakushuru kwa mafunuo yako yote Uliyoachilia kupitia Mtumishi wako Mwl/Mwakasege, UTUKUFU NI WAKO,NA HESHIMA NA ADHAMA MILELE TOTE
Asante sana kwa ratiba ya Babati...Tumekuwa na KIU na huduma hii kwa miaka mingi sana mwaka jana tulibahatika na Neema ya Mungu ipo na mji huu tena mwaka huu... tena ndani ya robo ya kwanza tu ya mwaka
Mungu wa bwana wetu yesu kristo ushukuriwe kwa kutuzaa mala ya pili na kutupa uweza wa kiungu ndan yetu, na kutupa maana iliyo kuu zaid, mkumbuke baba na mama kwa huduma ulizo ziweka ndan yao, bwana yesu asifiwe
May The Almighty GOD Through His Son JESUS...Provide Us With The Grace To Walk&Work With Accord To HIS Plans For Our Lives....Amen......Thanks Mwl C.Mwakasege...May The AlmightyGOD Continue To Shower His Blessings In Wisdom&Understanding For You To Share With Us......"The WORD Is The Bread Of LIFE"
Mpendwa wangu Happy hilo swala lako peleka kwenye kiti cha Neema cha Yesu KRISTo kitakutetea katika hilo, YESU KRISTO HASHINDWI NA JAMBO, MWAMINI ATAKUTENDEA USIUMIZE MOYO KWA AJILI YA MWANADAMU YUPO YESUKRISTO MTETEZI WETU