Тёмный

A Tax Driver : Swahili Story Review : Movie Kali ya Kikorea 

Amrahul
Подписаться 28 тыс.
Просмотров 30 тыс.
50% 1

Tafadhali Usisahau kusubscribe lakini pia unaweza ukapita kwenye kurasa zangu zote za mitandao ya kijamii kama @amrahul_ kwa updates zaidi.. asante

Опубликовано:

 

4 мар 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 38   
@peterchance5466
@peterchance5466 Год назад
Wanangu wa Moro town likes zenu hap
@abdalahkigulu2064
@abdalahkigulu2064 Год назад
Kweli Kwa review hii kulikuwa na haja ya kukesha Ili tuenjoy, big up kaka.
@COMEDYZETUTZ
@COMEDYZETUTZ 8 месяцев назад
Unasauti nzuri na talent kubwa sana shida unaongea sana unwanted things jitahidi uongelee kuhusu movie in deep mbwembwe zikizidi zinaudhi utapoteza wafuasi waaminifu
@aikt.
@aikt. 7 месяцев назад
I told him mwaka 1 uliopita
@amrahul
@amrahul 5 месяцев назад
asante kwa ushauri lakini hicho unachokiita MBWEMBWE ndo kimenifanya niwe rahul na nisiwe DULLA MAREVIEW wala HAMIS MIMUVI.. kama utadhani zinanipotezea wafuasi basi sawa wapotee kwa maana zilizoniongezea ni wengi na watanitosha hao..asante
@amrahul
@amrahul 5 месяцев назад
@@aikt. kama ulishauri kk na ushauri hukupokelewa achana na huyo mtu itakuwa ana mipango yake
@user-mb3xq1do3s
@user-mb3xq1do3s 4 месяца назад
Chukua ushauri acha ubishi hautakufikisha popote 1.Unnecessary words 2.Hiyo background music haina haja
@shomaryhassani5005
@shomaryhassani5005 4 месяца назад
​@@user-mb3xq1do3sjamaa Yuko vizur achen mambo kama upend acha
@najmaabdalla6869
@najmaabdalla6869 Год назад
Nimekua wa kwanz like zenu 🔥🔥
@ozagreatestvideoever943
@ozagreatestvideoever943 Год назад
Kaka unakaa kimya muda mrefu sana tambua tupo kwa ajili yako hapa youtube
@youngpaincompany1440
@youngpaincompany1440 Год назад
Jmaa anazngua
@challostanley5775
@challostanley5775 Год назад
God bless you brother🙌🏾 Talented sana🙌🏾🙌🏾🙌🏾 Mzee wa hizi mambo
@sarahntibansiga2895
@sarahntibansiga2895 Год назад
🔥🔥🔥
@nojanzitz45
@nojanzitz45 Год назад
dah noma sana!!
@justinmkawa4552
@justinmkawa4552 Год назад
Jamaa Unajua sanaa
@issawamzito5444
@issawamzito5444 Год назад
Umetisha mzee🔥🔥🔥
@jenjuma6255
@jenjuma6255 Год назад
Nakuelew sana kaka yangu
@user-mx9tu7bd3b
@user-mx9tu7bd3b Год назад
Oya unajuaaaa
@kicmarthawa8174
@kicmarthawa8174 Год назад
good broo. inaitwaje hii movie
@user-ph7zm5jj8f
@user-ph7zm5jj8f 22 дня назад
Hata haumaliz story sa ndo nb
@daudkuyunga378
@daudkuyunga378 Год назад
Nomaaa
@idrissahmuhsin3619
@idrissahmuhsin3619 Год назад
Vp tunaweza kupata movie nzima maan unajua kinoma
@tenatanz
@tenatanz Год назад
Kwani bando huna MAANA unakua kimywa sana
@denverjr6315
@denverjr6315 Год назад
Hatari na nusuuuuu
@baby_najma380
@baby_najma380 Год назад
👏👏👏👏
@ommynyika6384
@ommynyika6384 Год назад
🔥🔥🔥🔥
@mbashaaston4278
@mbashaaston4278 Год назад
Hivi Aya maneno unandikaga au unayapanga tuu
@gwetcharles3978
@gwetcharles3978 4 месяца назад
😂
@user-oo2vb9en4t
@user-oo2vb9en4t Год назад
Rahul Ile movie ya gerads game nimeangalia cjaielewa naomba review Hadi mwisho
@trissamaudaku834
@trissamaudaku834 Год назад
Full movie pls
@jimmyrama248
@jimmyrama248 5 месяцев назад
Kaka tupe maelezo mkuu ata kama utakuwa na group tutalipia tu
@encernstudios3745
@encernstudios3745 Год назад
Hii movie ina unyama snaaa kk 🙌🏾🙌🏾🔥🔥
@kassimsaidi7042
@kassimsaidi7042 Год назад
Inaitwaje
@encernstudios3745
@encernstudios3745 Год назад
@@kassimsaidi7042 A tax driver
@e-trendingtv
@e-trendingtv Год назад
Boss how to connect with u
@helenamichael668
@helenamichael668 Год назад
rahul nahitaj scandal
@rperfectmedia7994
@rperfectmedia7994 Год назад
😂
Далее
Я тоже так могу
00:12
Просмотров 779 тыс.
Hey You! | Swahili Story Review | Nguvu Mapenzi
7:10
Unamkumbuka MERLIN? Jamaa anaSIRI za AJABU!!!!!.
6:20
Furiosa Movie Review : ( in Swahili )
12:56
Просмотров 23 тыс.
MOVIE KWA KISWAHILI|Bajrangi Bhaijaan 2015
11:27
Просмотров 100 тыс.
Unknown (2011 Film) | Review In SwaHili |
8:16
Просмотров 15 тыс.