Тёмный

ABBY SKILLS:ALIKIBA /ANAIMBA NYIMBO ZANGU/NI MWANAFUNZI WANGU/HAIPENDEZI KUMCHUKIA/MZIKI HARAMU 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 43 тыс.
50% 1

#wasafi #refresh

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 145   
@Waytozanzibar
@Waytozanzibar 4 года назад
Yani nyinyi vijibwa vya kizungu inaonekana bila yakumtaja Ali kiba mikundu yenu inakaa wazi.. falasumaka nyinyi
@officialmrtop1018
@officialmrtop1018 4 года назад
Anae hojiwa ni mtu alokuwa karibu sana na Kiba kwa hiyo shida iko wapi? Kwani Kiba sio msani kama wengine?
@georgeyamo9633
@georgeyamo9633 4 года назад
Mwaka huu alikiba watamuongelea sana lakn nawashaur fans wake alikiba kama mm tuachane nao hao tumpesupport king kiba
@richardefrem4043
@richardefrem4043 4 года назад
Kabisa ndugu maana wanataka wampoteze ila king ni king tu
@sesiliaumbela3984
@sesiliaumbela3984 4 года назад
Tutabaki na king TU mlele
@BigZhumbe
@BigZhumbe 4 года назад
Akiongelewa ndo anapata Kiki.... atoe ngoma apige hela
@hawamussah2370
@hawamussah2370 4 года назад
This guy has talked sense wallah...yani ukiongelea LEGEND he is the best na amelibeba jina la Ulegendary kisawa sawa...SHOW SOME LOVE FOR HIM
@wybzokizzy4416
@wybzokizzy4416 Год назад
Abby Skills 🤠 kuja soko bro
@stellachacha4988
@stellachacha4988 4 года назад
Team kiba like hap
@jumahamis227
@jumahamis227 4 года назад
Jamaa kajibu vizuri sana, ameathirika na dini kidogo, sio mtu wa kuwaongelea watu vibaya 👏.
@wemakalamu3538
@wemakalamu3538 4 года назад
Abby skills kwa kweli umeongea point ubarikiwe mtangazaji rudi shule kiki Leo hapa hakuna 🤣🤣🤣🤣
@Jxcjs
@Jxcjs 4 года назад
@@kassimrajabu7805 maswali yoote ni kuzunguka ili alikiba aongelewe vibaya interview yoooooote inamhusu kiba hapo au unaona nn
@salimashur1950
@salimashur1950 4 года назад
AB SKILLZ naona kidani cha king kwa mkufu wako...kings music yeee babaaaa
@jamalhamis288
@jamalhamis288 4 года назад
ww hicho ni kidani cha Rolex..... King hyo niaj
@charleskilian
@charleskilian 4 года назад
Duu
@Jxcjs
@Jxcjs 4 года назад
Kwel mwamba wanaforce jamaa aongelewe vibaya nilijua nimeona mwnywe
@juliussenkene6527
@juliussenkene6527 4 года назад
Naona mnatafta Kila njia ya kumchafua alikiba ,bongo bhana
@khadijakhadija6212
@khadijakhadija6212 4 года назад
Safi majibu mazur
@elijahkazungu5753
@elijahkazungu5753 4 года назад
KING 👑 KIBA
@innocentboykid2442
@innocentboykid2442 4 года назад
Wasafi naona sahz mnaanza kumuongelea king kiba Mfalme
@abasilihundu200
@abasilihundu200 4 года назад
Naona Interview nzima ilikuwa inamuhusu Ali kiba
@khalifawapili1799
@khalifawapili1799 4 года назад
Daah kabisa jamaa choko choko sana hawa
@kijolysahaly1323
@kijolysahaly1323 4 года назад
Yani weachatuu mwakawake huu wanaharisha kabla hawajapewa vyakuwaharisha
@giftkyando602
@giftkyando602 4 года назад
Nani kaja apa kwakuwa wamesema alikiba tujuwane🤣🤣🤣
@jasminetesha8225
@jasminetesha8225 4 года назад
Nipogo
@giftkyando602
@giftkyando602 4 года назад
@@jasminetesha8225 🤓🤓🤓
@neemapeter2423
@neemapeter2423 4 года назад
Hapo sawa
@rusakanyohenry6932
@rusakanyohenry6932 4 года назад
Na pia wamemzungumzia ali kiba mwanzo mwisho lkn media nyingine unaweza ona jina la fulani halafu kwenye mazungumzo huoni kilichozungumzwa
@giftkyando602
@giftkyando602 4 года назад
@@neemapeter2423 tupog wengi😉😁
@kijolysahaly1323
@kijolysahaly1323 4 года назад
Safisanaaaa nikusamehe tuu. Ali hana noma bana
@atumsigwa4791
@atumsigwa4791 4 года назад
King kiba mwaka huu wako my rock star
@suleamber7252
@suleamber7252 4 года назад
Alwayz kiba on tol
@sailorprugent1436
@sailorprugent1436 4 года назад
Kumbe huwa wanajuwa muziki haramu
@Washington308
@Washington308 4 года назад
Dah wazee mbona mnamforce aongelee vibaya mshaambiwa wanaelewana nyie vp ?
@zainabubakari3630
@zainabubakari3630 4 года назад
Nimependa sana tena sana kk ulivyojibu
@rangalmas8833
@rangalmas8833 4 года назад
Yani hawa wasafi sijui siku wakija mfanyia interview Alikeiyo live sijui itakuwaje
@sabinashabani9742
@sabinashabani9742 4 года назад
Wataaanzaje sasa
@danielkapama9675
@danielkapama9675 4 года назад
Rangalmasi world world
@mekamjb8350
@mekamjb8350 4 года назад
Noma sana jamm unajua kujibu 💪💪💪 gonga like kama unakubali nachosema
@officialmrtop1018
@officialmrtop1018 4 года назад
Sisi kama mashabiki wa WASAFI tunawakatazeni kutuzalilisha kila swali Alikiba , Alikiba, Alikiba inaonekana kama tunamfwatilia maisha yake alaaaaa acheni uboya huoo
@mcnjovu3525
@mcnjovu3525 4 года назад
Wasafi tv acheni uchonganishi mbona skilz hajaongea ubaya wowote kwa alikiba nakupongeza sana abskilz kwa majibu mazuri
@johnsonbhusagwe6945
@johnsonbhusagwe6945 4 года назад
huuu mwaka tutaona mengi ndo kwanza tar 9 mwez wa kwanza☺
@lawranceseverine7894
@lawranceseverine7894 4 года назад
Abby skillz kitambo sana mzee baba, Sasa Kama Ali kiba hatakuwa na miaka 17 kwenye game je Abby skillz atakuwa na miaka mingapi au Mr blue sababu lady Jay Dee mwenyewe ana miaka 20 kwenye na wakati jide kaanza game Ali kiba bado atujamjua kwenye industry Mimi binafsi nakataa kusema Ali kiba ana miaka 17 kwenye game.
@POGMESSITV
@POGMESSITV 4 года назад
Alikiba ni kama maji... Usipokunywa utaoga, na pia utayafulia. Kila interview usipotaja King hio interview imefeli. 😂😂🇰🇪
@sofiaasukuku8238
@sofiaasukuku8238 4 года назад
Unadanganya Ana lolote ,leval take ndo wakina Mr blue
@MosonVevo
@MosonVevo 4 года назад
Hii ni public media haiwezi kuongelea mtu mmoja tu
@tumlakimwaitumule
@tumlakimwaitumule 4 года назад
Huyu jamaa kichwa sana
@OmarOmar-ri9eg
@OmarOmar-ri9eg 4 года назад
WEWE NDIO MWENYE ROHOO MBAYA,KING KIBAAAAAAAAAAAAAA NGONGA LIKE 100🤣🤣
@abdulkiango1642
@abdulkiango1642 4 года назад
Nyieee maswali yenu ya uchongashiiiii sanaaaa dah?
@sevenstartvnuruyamtaa9666
@sevenstartvnuruyamtaa9666 2 года назад
Jamaa hatari huyu kwa mziki..namkubali.. @MrAndem
@emmanueljamie2099
@emmanueljamie2099 4 года назад
Thx brother wangu kwakupendeswa nao wadogowadogo zako
@bernadetanyendo1650
@bernadetanyendo1650 4 года назад
KIBOGOYO AMEKUTANA NA BISCUIT YA CHUMA ..mtanielewa 2
@alonsohamim4109
@alonsohamim4109 4 года назад
Good 👍 👍 👍
@eggyanton8491
@eggyanton8491 4 года назад
jamaa anajua kujielezea kwl huyu ni legendary
@muhammadmahmoud1068
@muhammadmahmoud1068 4 года назад
Mtangazaji anaforce beef dah+974🇶🇦🇶🇦🇶🇦
@rashidiiyombe5807
@rashidiiyombe5807 4 года назад
Wasafi acheni ukuma kuhusu alikiba mashoga nyii
@frankmichael5525
@frankmichael5525 4 года назад
Rashidi Iyombe wemwenyew kuma vle vle
@frankmichael5525
@frankmichael5525 4 года назад
Kawafuate uwatukane kama unajua sana kutukana
@rajabulyanga2535
@rajabulyanga2535 4 года назад
Mtangazaji mbovu 2019/20
@nagmadaniel6148
@nagmadaniel6148 4 года назад
Nimempenda bure
@mimaakenirram1405
@mimaakenirram1405 4 года назад
safi nimekuelewa mziki kweli aram sema ndoivyo
@cosmasevarist6221
@cosmasevarist6221 4 года назад
Huu ndo utu uzima sasa!!!! Unadhihilisha ww ni mkongwe!!!!!
@bakariluhala7332
@bakariluhala7332 4 года назад
Abby sklliz upo vizuri sana
@mweusipains6435
@mweusipains6435 4 года назад
4:04 mziki ni kharaam shukran bro abbas kwa kulijua hilo.
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 4 года назад
Dah hyu jamaa alikua na hit kali san mpk leo zikipigwa watu waamka ila ndo hvy kwa sasa hawaonekani
@noahngala3568
@noahngala3568 4 года назад
Mwaka huu mna nini na kiba lakini yani mnaforce interview mtu amuongelee vibaya king acheni hizo
@darkplatnum9006
@darkplatnum9006 4 года назад
Tatizo anajion tayal kumb ndio hvo bado ona sas hata watu wak wa kalibu san wanamuon snich atabak na nan rafik mzul wa kalibu
@khadijakhadija6212
@khadijakhadija6212 4 года назад
@@darkplatnum9006 Atabaki na mama ake mzazi ndo rafiki wa kweli ispokuwa wengine wanafki hakuna marafiki
@darkplatnum9006
@darkplatnum9006 4 года назад
@@khadijakhadija6212 hapana khadija mtu razima uwe na malafiki na wala sio kila mtu ni mnafik kwako hakuna mtu asie na umoja na watu wenye umoja au wanao fanya kaz moja
@khajirashid1078
@khajirashid1078 4 года назад
Nmependa busara yako bro
@rajabubojoo9467
@rajabubojoo9467 4 года назад
Kama unaamn maswali meng kuhusu kiba gonga like
@fatmasayid8895
@fatmasayid8895 4 года назад
Mnalazimisha beef hata hamna beef acheni hizo unafiki
@hemedytwaha7884
@hemedytwaha7884 4 года назад
Maswl mnayomuuliza ni ya uchonganishi ndo mana jamaa amegundua anawakwepa wajinga nyie
@kijolysahaly1323
@kijolysahaly1323 4 года назад
Hawa sini wasafi bana wanachokonoa ilimradituu nawametahayari hakunawalichokipata
@symongona4798
@symongona4798 4 года назад
Juzi mlikua nae kwenye interview hakuna lamaana mlomhoji zaidi ya hayo maswali yenu ya kijinga ya kuforce beef xai mwamuuliza tena hayoayo kesho pia mkikutana nae mtamuuliza hayoayo huo niupumbavu wasafi mko nao badala ya kumuuliza kuhusu mziki wake yeye ulokutana nae unamforce aongelee mtu mwingine vibaya huo niushoga mapumba nyinyi
@abdulwalidali4567
@abdulwalidali4567 4 года назад
Hivi ndivyo unatakiwa kuongelea wasanii wenzio yaani chuki na kubezeana hakufai wasanii watanzania lazima muwe kitu kimoja ili kuitangaza 🇹🇿 yetu ingekuwa wasanii wote mnajibu majibu kama hivi sioni kama zingekuwa zinaonekana tofauti zenu hata kama kuna kitu chini kwa chini basi kingekuwa kinapotezewa
@kijolysahaly1323
@kijolysahaly1323 4 года назад
Yani mwanahuu interview yako kama kichwa chaabari hujaandika Ali kiba ujue utaiangalia mwenyewe hatafamilia yako haito tazama. Du ukojuu king
@kijolysahaly1323
@kijolysahaly1323 4 года назад
Kama ulimsikia akisema Ali alitunga maria weka like
@joghindahsingh8420
@joghindahsingh8420 10 месяцев назад
Hapo kwa mziki ni Haramu gumegusa wengi
@Togolay
@Togolay 4 года назад
Kingkiba 👑
@shillahapple5276
@shillahapple5276 4 года назад
Siamin huy jamaa atamponda kingkiba ila wametoka mbaliii sana watapatana tyu
@ndegefatma5494
@ndegefatma5494 4 года назад
Hiv wasafi ni ya kumzungumzia alikiba tu kwer mfalme ni mfalme tyu vijakaz lazma wamfate
@sofiaasukuku8238
@sofiaasukuku8238 4 года назад
Mashabi wa Dada kiba wanafikiriya kumuongeleya kiba ndo atarudi kwenye Kama zamani ,,yule no choko Ana lolote tena ,,chow zake ni Zanzibar uko na tabora ,,
@shirwaelibakari410
@shirwaelibakari410 4 года назад
Kama unamkubali aby gonga like twende sawa Ana majibu poa sana
@realyoungchuda3671
@realyoungchuda3671 4 года назад
Hawa walitaka jamaa amuongelee vibaya alikiba Ila imekua buu baaa
@adolphmwangoje2887
@adolphmwangoje2887 4 года назад
Nice intervew
@paulsuma4590
@paulsuma4590 4 года назад
Abi wanakuchonganisha hao mafala achana nao king music ni family yetu kiufupi hawatuwez gongs like
@paulsuma4590
@paulsuma4590 4 года назад
Sana tuuuuy
@kabolya03
@kabolya03 4 года назад
Hhhhh like mbona sizioni
@shebbylvebagamika2602
@shebbylvebagamika2602 4 года назад
Utaziona tu nkonkwa wazima lakini
@thobiasthobias3124
@thobiasthobias3124 4 года назад
Ila kiki hz safar hii wengine mtaolewa xaxa na kiba
@YahyaMussa-rf6tr
@YahyaMussa-rf6tr 4 месяца назад
Kumbe mnajua kama mziki niharamu halafu mnafanya
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 4 года назад
Kwa upeo wangu hawa jamaa wamechukuliana madem...sasa ugovi wa kuchukuliana madem unakuja mpaka Kwenye sanaa!!! Kila na man water kuna mtu kachukua dem wa mwenzake!! Kama diamond na kiba CHUNGUZA!!!!
@mauchamakh4756
@mauchamakh4756 4 года назад
Maria Naliaaaa😥
@ussikhamisussi4882
@ussikhamisussi4882 4 года назад
Skills kupitia majibu imeonekana, don't give chance to anybody who looks for hate & jealous.
@dulikimassawe8160
@dulikimassawe8160 4 года назад
Nyie WCB vipi mbona maswali ya kichonganishi khaaaa
@selemaniniyonkuru6576
@selemaniniyonkuru6576 4 года назад
Kumbe unajua mziki haramu Abby wambie wenzako
@DiCulture
@DiCulture 4 года назад
Game haija change bro,sasa hivi Kuna vipaji kweli,sio kama zamani kulikuwa na wasani wachache wenye vipaji
@Togolay
@Togolay 4 года назад
Wcboooooooo
@younggeneration7982
@younggeneration7982 4 года назад
Amuwazi mkakaa kidgo amjamzungumzia alikiba duh ujinga huu
@raheemyusuph5694
@raheemyusuph5694 4 года назад
huyuuuu jamaa anajibu vizuriiiiiii sanaaaa
@amraniibrahim6906
@amraniibrahim6906 5 месяцев назад
😢
@ahlamlssa9470
@ahlamlssa9470 4 года назад
Hii chaneli wasanii wengi wanaowafanyia interview lazima wawaulize maswali kuhusu Kiba why?
@Dullaommy60
@Dullaommy60 4 года назад
Huyu mtangazaji wa wcb ana mambo ya kitoto naomba hapigwe chini maana ana maswali ya uchonganishi sana alafu ayaleti maana 🤕🤕🤕🤕🤕
@abduljuma2147
@abduljuma2147 3 года назад
Kweli ameongea ukweli alikiba alipotoka na Cinderella hit 2006/07 pale Abby skills tayari ilikua ashatanua east Africa
@issazakaria9704
@issazakaria9704 4 года назад
Nishawagundua kumbe nyie bila alikiba hamhit mbona hamuishi bila kumzungumzia alikiba nyie mnamatatizo gani nyie....?
@andreambeya7827
@andreambeya7827 4 года назад
Watangazaji wa kuokotwa awaa dah
@abditech14
@abditech14 4 года назад
Dah mnapambana kinouma kugombanisha ila metok kapa😂😂
@johnimpeccable3722
@johnimpeccable3722 4 года назад
Mmeshaanza kuwa wa hovyo mnakua wakuongelea watu tuu km page za udaku
@danielkapama9675
@danielkapama9675 4 года назад
kum nyie mkomen alikiba
@ramaally925
@ramaally925 4 года назад
Wcb wanaforce beef makuma kweli hawawezi kuoji bila kumtaja ali kiba daaaa kuma
@OmarOmar-ri9eg
@OmarOmar-ri9eg 4 года назад
Mnoko huyu mtangazaji
@jamesngalijah3710
@jamesngalijah3710 4 года назад
Hawa waandishi kila siku wanasema mziki wa sasa hv haukau hv hawaoni kama wasanii wameongezeka na kila mmoja analitaka soko
@christopherdaniel8284
@christopherdaniel8284 3 года назад
Tunawomba bx cku 1 mturet alikiba
@Jilsonmihigo
@Jilsonmihigo 4 года назад
wendo nani naye
@teresiafrank4840
@teresiafrank4840 4 года назад
Zamani Upatikanaji wa hizo nyimbo ulikuwa mgumu mno. Nyimbo unaisikiliza once a week kwanini isidumu mda mrefu kwenye game.
@jamesngalijah3710
@jamesngalijah3710 4 года назад
Kuweni na maswali mazur ya kuuliza sio kila siku mziki wa sasa kama big g imba na ww tuone
@khalifawapili1799
@khalifawapili1799 4 года назад
Kipindi kile wasanii ombao waliokawa wanaingia studio ni wenye vipaji tu peke yao na maproduce walikuwa wanahaki ya kumfukuza msanii kama ajui kuimba Ila sasaivi weka Pesa tu atakama huna kipaji utajua mwenyewe bhana
@elishakilasi8714
@elishakilasi8714 4 года назад
Nakubal
@rockboywazawa1210
@rockboywazawa1210 4 года назад
Majibu safiiiii gonga like hapa
@issamasoud4756
@issamasoud4756 4 года назад
Kila mtu ally kiba?
@godlovegeorge2334
@godlovegeorge2334 4 года назад
Mnahangaika Sana nyie jamaa, Kila mtu mkimuhoji mnaulizia kuhusu Kiba mamae
@neemapeter2423
@neemapeter2423 4 года назад
Shoga uyu akitomba mpaka atiwe vidole vya matako nilisha mdharau
@hamzanasry8011
@hamzanasry8011 4 года назад
Namb1 ku comments
@mwalimumwambile8772
@mwalimumwambile8772 4 года назад
kuma tu nyie
@felisianmethod2645
@felisianmethod2645 4 года назад
Sasa nyie team Kiba mnarusha matusi, Inamaana Kiba akizingua asiambiwe? K nyie
@Jilsonmihigo
@Jilsonmihigo 4 года назад
uko mushenzi saana naile sura
Далее
@HolyBaam ультанул в конце 🧨
00:34
Просмотров 162 тыс.