Тёмный
No video :(

ASLAY AFICHUA KILICHOIUA YAMOTO BAND, AMSHAURI DIAMOND NA ALIKIBA, WANAPIGIANA KELELE 

EastAfricaTV
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 168 тыс.
50% 1

Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp....
Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

Опубликовано:

 

24 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 100   
@GamechangerTz
@GamechangerTz Год назад
Huyu dada anajua sana kutangaza Keep The Good Work Up Madam nakuona mbali sana aisee 🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 Год назад
Asley ww ndo chanzo cha kuuwa ya moto
@ramadhanitekelo3777
@ramadhanitekelo3777 Год назад
@vanemmy6043
@vanemmy6043 Год назад
Acha Sasa Tamaaa ni ushauri tu, tafuta pesa kwanza Kisha kamtafute bado yupo single
@GamechangerTz
@GamechangerTz Год назад
Sasa Me nimesema dada wa watu anajua kutangaza mtu anasema nitafute hela alooh 😁😁😁😁😁😁
@payasmpendwa9316
@payasmpendwa9316 Год назад
Nimependa Sana jinsi huyu kaka anajibu maswal anajitambua sana nimependa
@abdallaamis1943
@abdallaamis1943 Год назад
Mfate mpe k bac
@masauletitika351
@masauletitika351 Год назад
Dogo aslay umenifuraisha Sana kujibu maswali masuri tunawaombea wasanii wetu wa bongo flava umenikumbusha your first song naenda kusema kwa mama mungu akubariki from 🇹🇿🇹🇿
@faidasikabwe1530
@faidasikabwe1530 Год назад
Asante kwaku paweka sawa apo Kabisa atakama yamoto band haito rudi hila hita ishi moyoni mwetu milele❤️💞
@user-ge3vd3it8f
@user-ge3vd3it8f Год назад
Asanteh sana broh Asley zidi kuwepo ili tushuhudie vizuri zaidi
@robyone6643
@robyone6643 Год назад
Nomaa san binafsi nimemwelewa na ntakusaport kwa hizo show na kitu utacho anzisha jah blss
@mwajoma1373
@mwajoma1373 Год назад
Namkubali sana san Aslay jaman❤❤❤🇹🇿🇴🇲
@user-vo8mm5bt4o
@user-vo8mm5bt4o Год назад
Salay umesahau Ngoma ya mchepuko naipendaga vibaya mno SEMA hongera kwa kz zamu nzuri Allah akujaalie kila lenye kher
@kennedymwangi604
@kennedymwangi604 Год назад
Aslay the giant of east Africa congrats bro coz since day one ujaniangusha bro support yng uko nayo fully bro
@mdta8161
@mdta8161 Год назад
Aslay yupo vizuri
@hassanjuma2748
@hassanjuma2748 Год назад
East Africa redio ni redio kubwa bongo tengenezeni studio za kisasa studio kama kijiwe cha kahawa
@MSAFWABOYIWALANJE-ed7hr
@MSAFWABOYIWALANJE-ed7hr Год назад
kazi nzri munatangaza vzr sana kaka nadada mumenivutia kwakwely
@user-pd5ev1fi8q
@user-pd5ev1fi8q 5 месяцев назад
Pitia frm254💥💥
@happypiusi3801
@happypiusi3801 Год назад
Asley unaakili Sana ❤
@Russian8203
@Russian8203 Год назад
Ndo Mana Aslay unakuwa back kwamzik jaribu kwenda nawakat bn wasanii wot wanao perform vzur wanaangalia San mziki was nje 🤙
@user-lu9sk5ms8f
@user-lu9sk5ms8f Год назад
Bigup tu sana aslay much love respect Kwa sana
@ronaldkimengich8958
@ronaldkimengich8958 Год назад
Huyuu dogo daaah Much love Aslay From+254🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@armandoleonardo6966
@armandoleonardo6966 Год назад
Aslay grande homem de bongo Flava. Parabéns Aslay 🇲🇿🇲🇿
@gloryluvofa8832
@gloryluvofa8832 Год назад
I love Aslay 🇰🇪
@nyabadeux
@nyabadeux Год назад
nikweli nimeipenda iyo majibu ya asley❤❤
@mgorakatembo2642
@mgorakatembo2642 Год назад
Nimekuelewa sana Ashley ukovizuli Sana❤️❤️💯💯🙏
@nononona7625
@nononona7625 Год назад
Aslay nakukubali sana ningependa urudishe yamoto band mlivuma sana aise
@passmiracle5267
@passmiracle5267 Год назад
Likizo 🎵🎵
@AaAa-vq5pu
@AaAa-vq5pu Год назад
Tunampenda Sanaa 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@nononona7625
@nononona7625 Год назад
Hapo kwa inauma sana👌
@lebondemmanuel3565
@lebondemmanuel3565 11 месяцев назад
Chef , umeacha likizo 😂😂😂😂 ile ni kali pia
@user-cq7wg1fx9e
@user-cq7wg1fx9e 10 месяцев назад
unyama asley
@user-rc1re7qj3m
@user-rc1re7qj3m Год назад
Nakutambua Sana dogo tee ,,, nakukubalii,,,mbosso mshamba tu
@user-vi7xh5gy3n
@user-vi7xh5gy3n Год назад
Umesahau Ngoma Kali naenjoy
@AlanKimtare-ek5dd
@AlanKimtare-ek5dd Год назад
ASLAY 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 MUCH LOVE
@yusuphkitainda9799
@yusuphkitainda9799 Год назад
Fanya mziki Aslay ndugu angu.
@mudijawadu6465
@mudijawadu6465 Год назад
Aslay iSihaka,,, Akili ni mingi ya kujitambua homeboy,, 🌹🌹🌹🌹🤼🤼
@Mellissabahati137
@Mellissabahati137 Год назад
Nime ku miss
@officialalibobbyhits2313
@officialalibobbyhits2313 Год назад
isihaka on fare💥💥💥
@zenahnyale3551
@zenahnyale3551 Год назад
Wa kwanza nipeni maua yangu na like
@hairuissa7452
@hairuissa7452 Год назад
Nakubr asly
@user-mi4pb6xf6p
@user-mi4pb6xf6p Год назад
❤❤
@generalmaximedieumercigm
@generalmaximedieumercigm 11 месяцев назад
❤❤❤❤
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 Год назад
Ashapitwa na marioo itabidi ajitafute sana
@swahi841
@swahi841 Год назад
Yani iyo top ten ningeipanga ivo ivo kbsaah
@hadijashaban9357
@hadijashaban9357 Год назад
Very nice ❤
@Typingbob-lw5ji
@Typingbob-lw5ji Год назад
Aslay yupo fit
@wardahkassimu2776
@wardahkassimu2776 Год назад
Nice
@aboubakarynassor2508
@aboubakarynassor2508 Год назад
naenjoy
@FaithKeya-gz9xy
@FaithKeya-gz9xy Год назад
Aslay on top❤
@JuniourRayton-sb2nb
@JuniourRayton-sb2nb Год назад
Aslay anajua kufany interview
@BikyeombeInnocent-vd3pg
@BikyeombeInnocent-vd3pg Год назад
Hongera sana bro ila ushahuru ambaho nawezakupatia fanya kwaza ma collabo ili uzidi kwenda mjini from DRC
@narrissajackson3869
@narrissajackson3869 Год назад
Mtangazaji kauliza swali la uchonganishi, ujinga mwingi sana
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 Год назад
Lkn kajibuwa kwa heshima zake😂
@mrfashion1687
@mrfashion1687 Год назад
East africa ndio radio pekee yenye studio mbaya kuliko radio yoyote nchini
@Stin_Tv
@Stin_Tv Год назад
😂😂😂
@Gody360
@Gody360 Год назад
Aslay mwambaa
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 Год назад
Totoa pia hit
@bodmasmashairi2445
@bodmasmashairi2445 Год назад
Aslay uakosaje kutaja #koko nyombo yangu pendwa
@wakalaafrica4013
@wakalaafrica4013 Год назад
aslay 🔥
@reatustv3593
@reatustv3593 Год назад
Waandishi wachonganishi
@enegenius1839
@enegenius1839 Год назад
Nice couple
@omaraliiddi1424
@omaraliiddi1424 Год назад
Huyu mdada namaindi sana..
@MosesNjuguna-gc6rj
@MosesNjuguna-gc6rj Год назад
Hata mimi
@SamwelWiliamu-be4uq
@SamwelWiliamu-be4uq Год назад
Matako,🤔
@amirimohammed2875
@amirimohammed2875 Год назад
👍
@richardburundi3090
@richardburundi3090 Год назад
Kirasiku ya moto ya moto murize maswari mengine kwasababu bada yayamoto arifanyakazi nyingi vip ya moto yamoto
@morato2592
@morato2592 Год назад
Misaada
@juniorgodfrey1527
@juniorgodfrey1527 Год назад
Likizo
@BABAGIFTBOY
@BABAGIFTBOY Год назад
Yani Aslay unajua kujibu maswali si kama wale wa wengine alaf uko na nidhamu sana
@jeffiekilonzo4059
@jeffiekilonzo4059 Год назад
Aslay yuatosha
@jacklinejohn222
@jacklinejohn222 Год назад
😚
@mshumba_tz
@mshumba_tz Год назад
Nikiwa muwazi " yamoto bendi naikubali sana na moja ya ndoto zangu waje kurudi tena kama zamani..." By #mshumba mtunzi story na mchoraji wa kujitegemea
@mfalme254ke
@mfalme254ke Год назад
Yani aslay unasahauje likizo
@sengiyumhmvaimmaculee4133
@sengiyumhmvaimmaculee4133 Год назад
@tzfunchannel
@tzfunchannel Год назад
Kila siku mnamuulza swal hilo hilo
@iyadi_reeves
@iyadi_reeves Год назад
🇰🇪🇰🇪❤️
@sajalucas998
@sajalucas998 Год назад
Mm pili nataka
@bonnefaceathumani7270
@bonnefaceathumani7270 Год назад
nimekusoma bro imehenda hiyo lkni jitaidi kufanya makolabo sehemu mbali mbali iliutusuwe zaidi
@rajimuashirafa8265
@rajimuashirafa8265 Год назад
Aslay damu yangu kabisa
@kalikenechota8606
@kalikenechota8606 Год назад
Aslay alikua anatuimbia nyimbo ya beka title af unampa jero anaenda shule
@Mtazyinstrumental
@Mtazyinstrumental Год назад
moyo kibur
@iddingola5611
@iddingola5611 Год назад
Ulisha fany amapiano na young lunya
@ismailferouz8688
@ismailferouz8688 Год назад
Mbona amapiano
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 Год назад
Amapiano c ya uswahilini achia South Africa 😅😅
@jospinbitakiofficiel2739
@jospinbitakiofficiel2739 Год назад
Ume sahabu wimbo ulio kutowa nataka kumuambiya mama
@benjaminmathayo1465
@benjaminmathayo1465 Год назад
Safi love u
@abuubakarikirungi
@abuubakarikirungi Год назад
Toeni ngoma basi tukumbuke yamoto bana please
@juniorberbilizjr921
@juniorberbilizjr921 Год назад
Ba mkwe hauna mbaya
@abdallaali10
@abdallaali10 Год назад
Video za Laki lakini zimefanya vzr sio pw
@andrewkilave3532
@andrewkilave3532 Год назад
Usingeitaja mhudumu na chuki tungegombana maana ndio ngoma zangu pendwa
@newswireKenya
@newswireKenya Год назад
personally napenda this presenters brown looking rangi ya pesa with unkept hair style hahahah hatari
@isayabugoro6750
@isayabugoro6750 Год назад
Aslay kakua siyo dogo tena😂😂😅
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 Год назад
😂😂😂
@user-ws2uj1wn2y
@user-ws2uj1wn2y Год назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-hRlDzPB96sI.html Karibu kutazama UTAMU WA SHEMEJI sehemu ya sita mambo ndio yanazidi kupamba moto mjomba kaja juu baada kwamba mkwe wake asiachwe na criss huku mdogo mtu penzi la shemeji yake lime mkolea jenipha nae kashika ujauzito ambao sio wa criss asma anazidi kuhupiga mwingi balaa kweli huu ndio UTAMU WA SHEMEJI ♥️ ❤️ 👌 usisahau kutufatilia na nini maoni yako tuandikie coment yako.....Asante
Далее
OBLADAET - BARMAN
03:06
Просмотров 251 тыс.
NAKUPENDA MWALIMU NIKUVALISHE PETE  STEVE MWEUSI
14:04
Dakika kumi za maangamizi Bassat Waboe
12:44