Ikiwa mimi ndio Muwakilishi namba moja wa King Music ninayewakilisha Zanzibar kwa kunionesha upendo na kuniunga mkono kwa nyimbo kali basi naombeni like zenu nyingi nyingi....
Jaman plz naomba mni elekeze wapi kwa kurudisha kadi ya Wasafi😭😭😭 Maana naskia kuna jesh la k2ga, chid na killy so mda linakuja na siraha nzito kuharibu Mambo😢😢😢😢
ivi nyie wakenya mbona mnakua wabinafsi kama mbunge wa stare....yani unapoomba like za wakenya nikwamba utubagua mataifa mengine ama nini....sio poa watu wang