Тёмный

ALIKIBA X Abdukiba X Cheed X K2ga X Killy - Mwambie Sina (Official Video) 

Alikiba
Подписаться 1,9 млн
Просмотров 8 млн
50% 1

Baada ya kufanya muziki kwa miaka zaidi ya 15 na kufanikiwa kupata mafanikio makubwa sasa ni wakati rasmi wa kurudisha kwa jamii kwa kusaidia kukuza sanaa kwa kutambulisha na kuvipa support vipaji vipya kwa industry. Nawatambulisha kwenu vijana wangu Cheed, Killy, K2ga na Abdukiba kutoka record label yangu - King’s Music.
After a successful journey in my music industry, it is time to give back and nurture upcoming talent. I am thrilled to introduce to the young and talented musicians Cheed, Killy, K2ga na Abdukiba from my record label King’s Music.
Instagram: @KingsMusicRecords
Facebook: @KingdMusicRecords
Twitter: @KingsMusicTz

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 9 тыс.   
@alexiswamillazo5287
@alexiswamillazo5287 6 лет назад
Ngoma hii inaweza Kumrudisha Owoya kwa Dogo Janja.. Gusa like kama umeilewa.. Team Kiba hapa yooooh
@KisimaTv99
@KisimaTv99 6 лет назад
kabisaaaa
@OffcialKp
@OffcialKp 6 лет назад
🔥🔥🔥
@petermokami2273
@petermokami2273 6 лет назад
Kama ww ni Team mziki mzuri,. Gonga like twende sawa🔥🔥🔥
@bigirimananestor9468
@bigirimananestor9468 6 лет назад
Sijui nisemeje kwa sababu amenimaliza Kweli king ni king
@sweetlove9550
@sweetlove9550 6 лет назад
Hapo chacha mupatie tu fiwi wangu mpo wapi watu wa +254 mpeni likes shemela wetu hapo sasaaa
@salimaamir5561
@salimaamir5561 6 лет назад
Tupo nyuma yke kila kona
@preciousnjeri9157
@preciousnjeri9157 6 лет назад
Hoyeee 254
@AllyRamadhan-cw8we
@AllyRamadhan-cw8we 2 месяца назад
Kama umecheki huu wimbo 2024 gonga likes hapa🔥🔥❤️❤️
@luckyboybusinge4250
@luckyboybusinge4250 6 лет назад
256 Kampala uganda tunampenda kiba ila team kiba nawaomba mgonge like hapa please marafikizangu
@safwanashop4582
@safwanashop4582 6 лет назад
Kiki ekilo blood
@luckyboybusinge4250
@luckyboybusinge4250 6 лет назад
@@safwanashop4582 tewali blood
@safwanashop4582
@safwanashop4582 6 лет назад
Kyakabi
@karimumbanga6408
@karimumbanga6408 6 лет назад
Iko poa kinyama ile ile
@jumakhamis5781
@jumakhamis5781 6 лет назад
Sasaiv iko 1 trending
@kassammwalo5663
@kassammwalo5663 6 лет назад
Oyoooooooo kama umeukubali huu mstari wanaosema una danga kwangu ni danga cheeeeee nataka likes one million za kings music husipo like kings hatupendani
@zahararajabu4169
@zahararajabu4169 6 лет назад
Saf sana
@habibasabihi
@habibasabihi 3 месяца назад
Bigg up
@zekydiclassic5919
@zekydiclassic5919 6 лет назад
Wana rockstar wako na sauti kuliko wasafi ukikubaliana na mm gonga like tukisonga
@salimaamir5561
@salimaamir5561 6 лет назад
Umegonga ndpo bby yni ni mtihani
@amansonpaul
@amansonpaul 6 лет назад
Dimpol Da prince 😂😂😂😂😂 ingekua mziki ni sauti basi wema sepetu angekua mbali sanaaaaa
@emmanuelshashi9805
@emmanuelshashi9805 6 лет назад
Sauti za kimama mbona
@kererose2742
@kererose2742 6 лет назад
Ukweki by the way
@mussamusa8027
@mussamusa8027 6 лет назад
Acha kuwalinganisha WCB na vi2 vya ajabu
@faustamarussu5546
@faustamarussu5546 3 года назад
ANAYE AMINI KUWA CHID NA KILLY WAKIANGALIA HII VIDEO WANAUMIA NA KUJILAUMU MAANA MPAKA SASA WANGEKUA MBALI WAMEENDA HUKO HATA UIMBAJI WANAIMBA OVYO GONGA LIKE TWENDE SAWA
@komboomar8275
@komboomar8275 6 лет назад
Anae muombea Brother Ommy dimpoz apone haraka ajiunge na team yke agonge like yke hapa ili tuende sawa
@hamadysuleiman4225
@hamadysuleiman4225 6 лет назад
Vyemaaaa
@OffcialKp
@OffcialKp 6 лет назад
🔥🔥
@zahararajabu4169
@zahararajabu4169 6 лет назад
Inshaallah kwa uwezo wa allah atapona tunazid kumuombea
@zawadimhina68
@zawadimhina68 5 лет назад
🙏🙏🙏
@footballhighlights7305
@footballhighlights7305 6 лет назад
Kama na wew ni CHAWACO ( chama cha wasoma comment just like hapa 😁🏋️‍♀️
@abubakarisalimu2396
@abubakarisalimu2396 6 лет назад
The African pamoja kbisa
@uwimanafirdaus1643
@uwimanafirdaus1643 6 лет назад
nzuri Sana dujh
@bigirimananestor9468
@bigirimananestor9468 6 лет назад
Hatari ila salaama salimini Kari saaaaaaana yani iyo sauti ya kiba unaedha ukayichuria mkopo video nzuri ujumbe Safi safina
@mimokassim1887
@mimokassim1887 6 лет назад
jamani kiba leo miye na fukuzwa kazi..ila nina imani sina itatenda miujiza kipidi bossy wangu atakapo isikiliza,,,,,like zenu jamani na ziitaji pls
@zahararajabu4169
@zahararajabu4169 6 лет назад
😂😂😂😂
@titocharlesnyika1736
@titocharlesnyika1736 6 лет назад
😂😂😂😂😂🔥🔥🔥 uwongo mbaya njimbo kali aisee
@salmaothman153
@salmaothman153 5 лет назад
Team kiba tuache uvuvi kama unaitizama mpaka leo like zenu twende sawa
@asinatjuma8088
@asinatjuma8088 4 года назад
Nipo
@sophydaud5351
@sophydaud5351 4 года назад
Hapa hakuna uvuvi ni uvivu
@mukunzinaplouse8025
@mukunzinaplouse8025 3 года назад
Hat kaburi langu litaandikwa eko alikiba
@yusufkawinga671
@yusufkawinga671 3 года назад
Kulfikomar
@salumcosmas502
@salumcosmas502 6 лет назад
Na mm naomba Likes japo cjui zina faida gani😅😅 mda huo tunaenjoy mziki mzuri
@salimaamir5561
@salimaamir5561 6 лет назад
Chukua utajua faida yke badae
@salumcosmas502
@salumcosmas502 6 лет назад
@@salimaamir5561 😅😅🙌👑
@matepotv8901
@matepotv8901 6 лет назад
Umejuaje?
@nyumbaniserengeti9695
@nyumbaniserengeti9695 6 лет назад
Sasa tutaenda sawa walisema wao WCB sio sisi ni kingsmusic baba zaoo Gonga like hapo Kama umeikubaliiii
@amiriramadhan7753
@amiriramadhan7753 6 лет назад
Sana tu atukwami kings music forever
@salimaamir5561
@salimaamir5561 6 лет назад
We ni nomaa
@nyumbaniserengeti9695
@nyumbaniserengeti9695 6 лет назад
@@salimaamir5561 Yes Salima Amir #Kipusah original jamaa anajuwaa tuacheni ushabiki
@subirashomary6006
@subirashomary6006 6 лет назад
kama nawe ni timu kiba usipite bila kugonga like .... kiba mambo ni fireee kamwambie sina
@salimaamir5561
@salimaamir5561 6 лет назад
Ataree
@mgalajunior3131
@mgalajunior3131 6 лет назад
subira shomary Yebaaaaa
@carolmackoma5097
@carolmackoma5097 4 года назад
Kama bado waskiza hii song wapi likes
@josephsanga474
@josephsanga474 6 лет назад
Sijawai pataa hata,like moja wabongo roho mbayaa tyuuu
@alphalaston4571
@alphalaston4571 6 лет назад
Goooder like twende wote
@alikiba9723
@alikiba9723 6 лет назад
Joseph Sanga 🤣🤣😍😋+1
@malugumbasayi9879
@malugumbasayi9879 6 лет назад
Hahahaaaa
@OffcialKp
@OffcialKp 6 лет назад
😂😂😂ucjl utpt tyuu
@KisimaTv99
@KisimaTv99 6 лет назад
hiyo
@harunfamily3278
@harunfamily3278 6 лет назад
ngoma Kali sana #mwambie sina, kama we n team kiba acha like twende sawa🔥🔥
@jullyernest9395
@jullyernest9395 6 лет назад
Safi sana king kiba hapo sasa unatufurahisha mashabiki wako usipotee sana kwenye gem ngoma ipo poa Sanaaaa....
@edwinwambua3325
@edwinwambua3325 6 лет назад
kama unawakubali gonga like hapa. +254 kenya twawakilisha👑👑👑
@praxcedapasco4083
@praxcedapasco4083 4 года назад
Mwambie sina.... Ii nyimbo inanikumbusha mbali sanaaa...kingi yeeebabaaaaa
@yusuphuhakwea8896
@yusuphuhakwea8896 6 лет назад
Yani binadam wengine kama bata hata akila kokoto lazima aharishe haya semeni tena tukutane tena baaaaaaaadaeeeeeeee huyo ndo king of tanzania yeeebabaaaaa
@EREVUKATV
@EREVUKATV 6 лет назад
Kama unatizama video hii sasa na unamkubali ALIKIBA THE LEGEND Gonga like hapa
@bigirimananestor9468
@bigirimananestor9468 6 лет назад
Sio kipaji ni balaaa tangu niyione iyi nyimbo kama vile nimechanganyikia narudia tu Hata sikumbuke nimerudia kuyihangaria mara ila kiba ni nomaa aise anajua kitumbua adui yake iyi number Kali Kali mno
@justinadamiane3496
@justinadamiane3496 6 лет назад
Wooyo
@issamiladi3711
@issamiladi3711 6 лет назад
Pa1
@abdulkillertz3978
@abdulkillertz3978 6 лет назад
Kama umemaliza GB moja kama mm gonga like twende sawa #mwambiesina😋😋
@OffcialKp
@OffcialKp 6 лет назад
Mm.gb 2
@abdulkillertz3978
@abdulkillertz3978 6 лет назад
Official Kipungathedontz 🌎🌎🌎hatar 🔥 🔥 🔥
@mohd_Guzzle
@mohd_Guzzle 6 лет назад
Niangalie mara ngap kwa siku?
@abdulkillertz3978
@abdulkillertz3978 6 лет назад
Mala zote
@justinlufungula7348
@justinlufungula7348 3 года назад
Naipenda sana mambo yako yote yaani kuimba kwako na kuringa kwako naipenda kabisa kutoka RDC
@mwajumanjanga6631
@mwajumanjanga6631 6 лет назад
Tisha sana nyimbo nzur Nampenda kiba adi bac ,kama na wewe unampenda nione like hapa
@colmanmhagama7818
@colmanmhagama7818 6 лет назад
Jaman nyimbo si tunaweza kuangalia tukiwa balazan na wakubwa wetu nimependa sana
@iddyrashidi397
@iddyrashidi397 6 лет назад
Katisha
@justinadamiane3496
@justinadamiane3496 6 лет назад
Na coment nakup sio like tu
@rehemacharles3944
@rehemacharles3944 6 лет назад
katisha San
@AshaSelemani-nm3cv
@AshaSelemani-nm3cv 9 месяцев назад
Nampenda haswaaaa mi shabiki wake tangu nipo katot yan🥰🥰🥰
@Zungu_Mwamba
@Zungu_Mwamba 6 лет назад
Jamani huyu ndio king kiba #mwambie_Sina ni bonge la nyimbo Lkn tambueni kesho ni tuzo za afrimma je umeshampigia kula king kiba kama bado nenda moja kwa moja kwenye web yao ya afrimma.com na huweze kumpigia kula long live king kiba na tunakuahidi lzm hutoke na tuzo Kama umependa gonga like za kutosha
@barakamatiga7106
@barakamatiga7106 6 лет назад
wameshafunga aseee
@zoazoatv522
@zoazoatv522 6 лет назад
Hii NYIMBO ilivyokuwa Nzuri unaweza Kukopea Mkopo CRDB na Wakakuelewa bila Mzamini yoyote mamaeeeeh
@sheikhabatrani9332
@sheikhabatrani9332 6 лет назад
😂
@ezekielkyamba8340
@ezekielkyamba8340 6 лет назад
WAUNGWA TV duh
@mablesakala5695
@mablesakala5695 Год назад
Who's still with me listening to this masterpiece 2023 from Zambia
@babuu4098
@babuu4098 6 лет назад
Yap!kama shabiki kweli wa tim kiba gusa hapo like yako hapo chini kazi nzuri san king kiba MWAMBIE SINA🔥🔥😂
@khadijakhadija4159
@khadijakhadija4159 6 лет назад
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😘
@sadcommpalestina4530
@sadcommpalestina4530 6 лет назад
doooooh aisse hii ngoma unaeza ukala ugali bila hata mboga
@elizabethnjeri6775
@elizabethnjeri6775 6 лет назад
Kiba na like songs zako saaaanaaaa
@sofiaasukuku8238
@sofiaasukuku8238 6 лет назад
Wimbo wa kitoto ,ala sizani Kama itahendeleya
@babuu4098
@babuu4098 6 лет назад
@@sofiaasukuku8238 mwambie sina 🔥🔥🔥
@Stannypictures
@Stannypictures 6 лет назад
Kama umeingalia zaidi ya mara moja,.. GONGA LIKE HAPA
@mwitadaniel4185
@mwitadaniel4185 6 лет назад
bado naendelea kuiangalia
@khadijaissaissa5824
@khadijaissaissa5824 6 лет назад
Safi San 👏👏👏👏👏💕
@wilsonedo1626
@wilsonedo1626 6 лет назад
Kibaaaaaaaa
@farajageofrey5594
@farajageofrey5594 6 лет назад
Brother cinachakusema aiseeh
@onlyonetztv610
@onlyonetztv610 6 лет назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-pNvc9IenbyE.html
@RickjazzVEVO
@RickjazzVEVO 6 лет назад
Kabla 100k views gonga like kwa Kiba hapa
@gidionsalum4241
@gidionsalum4241 Год назад
WaTanzania tunafel WAP yan comment ya mwisho n 4years ago hebu tufanye hata zifike hata million30 hv
@barytz5977
@barytz5977 6 лет назад
wangapi wanaangali hii ngoma huku wasoma comments
@JeremyCole043
@JeremyCole043 6 лет назад
Love from 254 🇰🇪🇰🇪🇰 team kiba piga like napenda jinzi Abdulkiba Na alikiba wanapenda kuimba pamoja blood Brothers forlife
@suleesulee3835
@suleesulee3835 6 лет назад
Lot love bruda
@JeremyCole043
@JeremyCole043 6 лет назад
Humble bro
@muniraahmed624
@muniraahmed624 6 лет назад
Kama unamuelewa bro KING of music east afrika like kama zote here
@ahmedamar1329
@ahmedamar1329 6 лет назад
😀😀😀
@gabrielavenost1421
@gabrielavenost1421 5 лет назад
OCOL vevo xgg
@gabrielavenost1421
@gabrielavenost1421 5 лет назад
Waoooiooooiio xo bce
@njorogenjoroge1855
@njorogenjoroge1855 21 день назад
Cheed nmependa wapi love ya steppa wa settlite
@ramadhanipachela7670
@ramadhanipachela7670 6 лет назад
Kama wamkubali king kiba Lake Hapa ili twende Sawa 🙏🙏🙏🙏
@used2beused
@used2beused 6 лет назад
Gonga like kama umependa hiyo vibe ya kipande cha BAADAEEEE walichopokezana Kiba na Abdu Hii Ngoma ni kali unaweza iombea ruhusa kazini ilimradi tu ushinde nyumbani usikilize mwezi mzima.
@munamuna414
@munamuna414 6 лет назад
Sana
@adelinahsangah1049
@adelinahsangah1049 6 лет назад
Duuu aya bhn
@used2beused
@used2beused 6 лет назад
@@officialboss2334 uchawi sio mpaka uzeeke
@michanomichano4931
@michanomichano4931 6 лет назад
#4 on trending bado muda mchache tu itakuwa #1 on trending nani anabisha
@dodoshavu488
@dodoshavu488 6 лет назад
Michano Michano iko tatu sa hii mpk kesho asubh itakuwa one trending babu Ila viewer's wachache kinoma
@renytv6847
@renytv6847 4 года назад
Kama bado unaikubali hii gonga like hap
@ramadhanbahati5519
@ramadhanbahati5519 6 лет назад
Nyimbo taaamuuuuuuuuu jamani acha mb zangu ziishe kwa kuusikiliza mziki mtamuuuuuuuuu
@officialrobertonetv4466
@officialrobertonetv4466 6 лет назад
Ndio buda nyimbo taamu unaweza kukulia na rise
@princenewton
@princenewton 6 лет назад
Team Kiba yoooooooooooo +(254) kama unamkubali Alikiba na team yake Gonga like👊 Kenya twawakilisha👑👑👑👑👑👑👑👑
@otilebrownvevo4660
@otilebrownvevo4660 6 лет назад
+254 Atukosangi bro👑👑👑👑👊
@princenewton
@princenewton 6 лет назад
@@otilebrownvevo4660 kama ilivyo kawaida bro🙏💗👑
@joanshishi3423
@joanshishi3423 6 лет назад
Tupo tena kwa sana
@kassimali1477
@kassimali1477 6 лет назад
Huku ni Team kiba....254
@princenewton
@princenewton 6 лет назад
@@joanshishi3423 👊👊👊💗👑
@OffcialKp
@OffcialKp 6 лет назад
Kabl ya 24 hrs 1M anayekubaliana na mi gonga like 🔥🔥🔥🔥
@mbmussa_fashionstyle9824
@mbmussa_fashionstyle9824 3 года назад
6m chap tu viewers kwa sipeed
@emanuelndamo7748
@emanuelndamo7748 6 лет назад
katika madogo wote alonifurahisha ni k2ga kaimba vizuri mno yuko vizuri sana ebu fanya unalike kama umemuelewa
@MtuSafi
@MtuSafi 6 лет назад
emanuel ndamo Ila kaimba kama kiba
@charitymnyazi2633
@charitymnyazi2633 6 лет назад
Jamani team kiba mpo wapi....hii Ngoma tamu ata waeza Kula na sima😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
@alexmatindi6820
@alexmatindi6820 6 лет назад
Kama nawewe team king kiba ngoga like#zakutosha king music kama gari nimupatie mwambie cina yaaaap kiba hatari mamb nimotooo
@rajumpwatile9324
@rajumpwatile9324 4 года назад
Nani anatazama hii baada ya cheed na killy kujitoa kings music 15-4-2020
@shadyamuksin5043
@shadyamuksin5043 4 года назад
🙌🙌
@sgfdhaikuhusu6086
@sgfdhaikuhusu6086 4 года назад
Mm nipo hapa 23/9/2020
@TitoChalamila-dl3yh
@TitoChalamila-dl3yh 7 месяцев назад
Mimi hapa
@naimaneema2279
@naimaneema2279 6 лет назад
teamkiba mpooo weken likes kama zotejamon
@solomongideon4507
@solomongideon4507 6 лет назад
Kweli iyoo #Madebee nimeipenda daah hi nyimbo inanfanya nimpende Sanaa kibaa wanakiba naomben likes za kutoshaa oyoo team kibaa 🔥🔥🔥🙄🙄🔥🔥🔥
@gabrieleston7547
@gabrieleston7547 6 лет назад
The king is back with king music hatarii
@salmahkway5005
@salmahkway5005 6 лет назад
yaukwelu
@elizabethfransic4890
@elizabethfransic4890 6 лет назад
Tim kiba mpka nakufaaaa
@arafabakari786
@arafabakari786 6 лет назад
Woooyoo
@amedeleprince9322
@amedeleprince9322 6 лет назад
Alikiba mwisho wa matatizo 🔥🔥🔥🔥
@ericmosoba2747
@ericmosoba2747 6 лет назад
Napenda hii Kazi Alikiba my favourite artist from tz
@Khadijaaa-f5g
@Khadijaaa-f5g 9 дней назад
Weuweee acha nije tz utam huuu 🤸🤸🤸❤❤❤❤
@gauchodepain4227
@gauchodepain4227 6 лет назад
+254 kenya muko wapi . naiangalia kutoka Qatar hii kali hatulazimishi gonga like twende sawa ndugu wabongo💪💪💪
@salimaamir5561
@salimaamir5561 6 лет назад
Mi wa kwenu ila team kiba damu sina wakutamba nae
@gauchodepain4227
@gauchodepain4227 6 лет назад
huyu me namwita fundi manake halazimishi anajua yani @salima toto la kenya
@gauchodepain4227
@gauchodepain4227 6 лет назад
@@hassanmohammad2504 pamoja kaka waacheni wengine wakavae vikuku tu😂😂😂
@michaeltalla8778
@michaeltalla8778 6 лет назад
brow ngoma naikubal sana
@michaeltalla8778
@michaeltalla8778 6 лет назад
saaaf
@crianussyliacus1995
@crianussyliacus1995 6 лет назад
Team kiba mkowapiiiiiiiii,kama umeikubali ngoma like twende sawa
@robertcarlosrobatyrobaty2682
@robertcarlosrobatyrobaty2682 6 лет назад
fundi nawanae
@joelove3781
@joelove3781 6 лет назад
Abduu kaauaa kweliii
@jumakhamis5781
@jumakhamis5781 6 лет назад
Mwambie sina wakutamba nae Mwambie sina wakuringa nae
@officialrobertonetv4466
@officialrobertonetv4466 6 лет назад
Killy umeuaaaaaa
@dianalusekelo2192
@dianalusekelo2192 4 года назад
Noma
@saadeased7160
@saadeased7160 6 лет назад
Jamani timu kiba wenzangu mm nishakodi chumba RU-vid jomoniieeeee
@abilitytazan6235
@abilitytazan6235 6 лет назад
Yooooooo
@zahararajabu4169
@zahararajabu4169 6 лет назад
Haloooooooo
@rahmabalama6150
@rahmabalama6150 6 лет назад
Atare
@asuahssan8099
@asuahssan8099 6 лет назад
😄✌✌
@saadeased7160
@saadeased7160 6 лет назад
@@rahmabalama6150 ww unalionaje hilo hilo zowa zowa mana siyo nyimbo ni nizowa zowa halimuachi mtu.
@issachunduissa1152
@issachunduissa1152 4 года назад
Kiba noma sauti yake tu inapendezesha nyimbo
@abdulramadhan981
@abdulramadhan981 6 лет назад
kama unatabasamu kipindi unacheki hii ngoma huku ukitafakari utani aliyotuletea King kiba wa Nyimbo ya HELA ili upande wa pili watuponde so Ngoma ndo hii wozaaa Gonga like hapa twende sawa
@KisimaTv99
@KisimaTv99 6 лет назад
ha ha ha kweli king alitutaniya
@abdulramadhan981
@abdulramadhan981 6 лет назад
Mashairi Ya Rangimoto sana mzee
@fideliswilliam5126
@fideliswilliam5126 6 лет назад
Kama unaamini king kawafunga midomo waliosema kafeli music link 👆 on mbio yake natuangalie video Mara 4/4 team king like apa
@salimaamir5561
@salimaamir5561 6 лет назад
Sawa ushasema
@jumamketo7720
@jumamketo7720 6 лет назад
Dah ngoma hii hatar
@baikokoraha9339
@baikokoraha9339 5 лет назад
Kama wewe ni team kiba damu like zenu japo 200
@matopeboybomba5732
@matopeboybomba5732 3 года назад
Kiba me hoi
@salomelucas2587
@salomelucas2587 6 лет назад
Oyooooooo huu ndiyo mziki tunao utaka temuuu kiba piga keleeeeeeeeee
@salimaamir5561
@salimaamir5561 6 лет назад
Iyebabaaaa
@veronicapetermwenya1476
@veronicapetermwenya1476 6 лет назад
Salome Lucas wimbo.mbaya...mno autafika...view million may be baad y miezi 3...pumbavu xana kiba
@abunaimahaburasheed7072
@abunaimahaburasheed7072 6 лет назад
Salome Lucas oyooooohhhhh
@matepotv8901
@matepotv8901 6 лет назад
Oyoooooooo
@stelamhenga4956
@stelamhenga4956 6 лет назад
Salome Lucas
@allynguzo1669
@allynguzo1669 6 лет назад
Kama umeiona ile ngoma ya hela imerudi tena hewan gonga like hapa
@movie_zone254
@movie_zone254 6 лет назад
Kama unakubali Team flani watapata shida gonga like #254love
@amiriramadhan7753
@amiriramadhan7753 6 лет назад
Wataomba pooo jiji tushaliteka baba la baba mzee baba
@jumakalyasi6747
@jumakalyasi6747 5 лет назад
Alikiba anaweza Zaid ya diamond
@juniorphlp3368
@juniorphlp3368 6 лет назад
Kama umemuelewa abdu Kiba gonga like haaap
@samwelicleophacemutabuzi5762
@samwelicleophacemutabuzi5762 6 лет назад
Junior Phlp kwel
@juniorphlp3368
@juniorphlp3368 6 лет назад
Fire ikituuu
@mayungapaschal7277
@mayungapaschal7277 6 лет назад
Jaman wale wanao hitaj likes mjitokeze na mpange mstari maana mtoa likes nmeshakuja tayari😁😁 hii nyimbo bhana hadi nmjimwagia chai ya moto lakin maumivu sjayaskia #Kingkiba umejua kutukosha mzee baba
@ogpakacha1315
@ogpakacha1315 6 лет назад
Hahaa
@salimaamir5561
@salimaamir5561 6 лет назад
Pole bby
@mayungapaschal7277
@mayungapaschal7277 6 лет назад
@@salimaamir5561 hello salma
@gbconline2006
@gbconline2006 6 лет назад
Hatutumii lugha CHAFU sisi Ngoma kali saanaaaa #TeamKiba4Rever 💥💥💥💥
@nadiamajaliwa1564
@nadiamajaliwa1564 6 лет назад
GBC boy TV hapa ka umesema kweli wasafi beat nzuri lakin baadhi ya maneno wanayotumia mabovu sana hata mtoto akiimba unajisikia aibu kama nyimbo ya jibebe ni mausi matusi tu
@salimaamir5561
@salimaamir5561 6 лет назад
@Kafuvi Juma wacha kufatilia aibu wataka nni hapa kwenye aibu
@chanuojohn2577
@chanuojohn2577 5 лет назад
Yakuombea mkopo bank fanya kulike bac team king kiba
@officialpangaboymtotowamam8014
Kiba team tunalala sana haiwezekan views wawe wa dogo hiv saiz tungetakiwa tuwe na laki 3 sio hivo mi leo nashinda huku huku Kama tuko p1 gonga like hapa
@salimaamir5561
@salimaamir5561 6 лет назад
C mi.naona zishapita pia uko wapi wewe mana mi nafanya kz kidogo naitizana hi nyimbo na views
@dodoshavu488
@dodoshavu488 6 лет назад
Sephania Deya saaana wachache mwenyewe silali mpk ifike one trending
@jumasheshe7836
@jumasheshe7836 5 лет назад
Nakfata ukouko👣
@maicosalumu1535
@maicosalumu1535 6 лет назад
Sina....bonge la ngoma bhana asikwambie mtu
@footballlife7288
@footballlife7288 6 лет назад
Nan anawapenda kings music fanya kupita apa
@saidrova1813
@saidrova1813 Год назад
Boss kibwa AkA king of music KiBa
@MTALIITV
@MTALIITV 6 лет назад
wangapi tunangojea Single ya Alikiba Sasa💥💥🔥🔥💥💥😂😂😂...Likes Apa
@nasirjamal6148
@nasirjamal6148 6 лет назад
Kama umeiskiliza zaidi ya mara sita kama mimi gonga like..🙈🙈🤗🤗🤗
@mahfudhfuad8556
@mahfudhfuad8556 6 лет назад
KING kasoma vichwa vyetu sana wengi hatuna wa kutamba nao ...... yani hii nyimbo pure BONGO FLEVA hakuna Kelele za NIGERIA 😂😂😂😂😂😂 TEAMKIBA FOREVER MPAKA NAKUFA 😘😍😘😍
@majourboytzmbosore9857
@majourboytzmbosore9857 6 лет назад
mahfudh fuad hii bolingo acha unafiki
@relativedensity6071
@relativedensity6071 6 лет назад
kweli
@fuadabdalla7097
@fuadabdalla7097 6 лет назад
Na jeshi iko chonjo sana yani hao vijanaa nawaona wakifika mbali katika game
@vediantazvedastus6107
@vediantazvedastus6107 6 лет назад
wana kelele sana hao wakina rekado bank na wenzie
@estersamwely5242
@estersamwely5242 6 лет назад
mahfudh fuad 😂😂😂
@hellenicnicky4116
@hellenicnicky4116 3 года назад
Mtoe kali ingine zaidi ya hiiii
@cuteaysha1242
@cuteaysha1242 6 лет назад
Jamani na mm mnipe like leo..mana nampenda kiba balaa
@shelangwaalex7483
@shelangwaalex7483 6 лет назад
Usijali like utapata
@malabainoonlinetv1166
@malabainoonlinetv1166 6 лет назад
Kings music ever
@juliusfungo2754
@juliusfungo2754 6 лет назад
Like
@imaali1524
@imaali1524 6 лет назад
😍😍uswazeee mamake💯%umepataa
@munamuna414
@munamuna414 6 лет назад
Kumbe tupo pamoja mie nampenda sana naiyo sauti
@zulukifriahmadi
@zulukifriahmadi 6 лет назад
I love you kiba,,, hayo ndio mambo sio unatuwekea outdated video,(hela) sisi shabiki zako tunataka vitu vipya kama hivyo sasa tunaenda na wakati,,, sio video za zamani,,,, ila nyimbo hii sina ni mzuri sana unasitahili pongezi JE VOUS AIME KING KIBA TELLEMENT,,,,
@neemastaubneema3951
@neemastaubneema3951 6 лет назад
💥🤗💥💥💥💥💥💥💥💥😘😘😘😘
@husnabeiby9365
@husnabeiby9365 6 лет назад
Wapi timu kiba MashaAllah hii song bwana acha tu yan kiba uko juu sana +974 nshaipta wap Ally yaaaaah
@georgelemanya3309
@georgelemanya3309 6 лет назад
Apia
@irenemoris2855
@irenemoris2855 4 года назад
King kiba hajawai kosea
@mortishavida2273
@mortishavida2273 6 лет назад
Kama umawaelewa basi gonga likes nyingi twende basi!! Hii noma Sana babake! Kitu kufa mtu hapa!
@khadijashaban1825
@khadijashaban1825 6 лет назад
mambo no moto
@daisonseilas5611
@daisonseilas5611 6 лет назад
Kama umemuelewa#K2ga GOnga like hapa 🔥🔥
@salimaamir5561
@salimaamir5561 6 лет назад
Ki2ga ni upi mwenye kilemba ebu nijuze mana wote ni shida
@ramadhanabdallah9648
@ramadhanabdallah9648 6 лет назад
Nimekubaliiiiiii mpaka yote
@daisonseilas5611
@daisonseilas5611 6 лет назад
Mwenye rasi huyo
@harunimhando6234
@harunimhando6234 6 лет назад
Napenda anavyo cheza abdu kiba
@railamypresidentrailamypre629
@railamypresidentrailamypre629 6 лет назад
Haruni Mhando kumbe tuko wengi
@evangeliquehabayumukiza3030
@evangeliquehabayumukiza3030 6 лет назад
Jmn watu wa kiba naombeni like hapa thn America Jmn tume chelea kitu kimesha toka mape
@patrickmugadia6815
@patrickmugadia6815 6 лет назад
King kiba always there lav u bro😘😘😘
@jumamketo7720
@jumamketo7720 6 лет назад
Kama gari mi nimpatie
@jumamketo7720
@jumamketo7720 6 лет назад
Kama gari mi nimpatie
@khadijababumatano8562
@khadijababumatano8562 6 лет назад
Nikiwa katari hakuna kama kingi kiba hatabaki kuwa kuwa yeye
@emmanuelmasudi9023
@emmanuelmasudi9023 6 лет назад
Hii nyimbo ya kiba nzuri hatari jaman
@zaitunimtemelwa1481
@zaitunimtemelwa1481 5 лет назад
Tunaorudi huku japo kuna kadogo tujuwane
@odelivedernestally5496
@odelivedernestally5496 6 лет назад
Ngoma zako Zina eshima kiba tuna angaliya na family so kuhomba matusi like zenu jamani Kama mwampenda kiba
@ogpakacha1315
@ogpakacha1315 6 лет назад
Huyu K2 anasauti tam kama ya king, kama unakubaliana na mm hit like...
@enockchristopher1885
@enockchristopher1885 6 лет назад
Nipe namm like
@aishaal3030
@aishaal3030 6 лет назад
Hukera shem langu hivyowdivo inatakikana wauuuuu
@rehemamalubalo9747
@rehemamalubalo9747 6 лет назад
Kama mmemuona video queen anafanana na Hamisa gonga like hapa
@sundaykipepeo6844
@sundaykipepeo6844 6 лет назад
wew hadi huku
@sundaykipepeo6844
@sundaykipepeo6844 6 лет назад
wew hadi huku na mm nilitaka nione tu kama utakosa
@osulugunowaseif8406
@osulugunowaseif8406 6 лет назад
Kwl km mobetho
@alharamainetravel2652
@alharamainetravel2652 6 лет назад
its true the lady in the video looks like Mobeto Hamisa
@benzaramo3652
@benzaramo3652 6 лет назад
rehema malubalo kwer minilijua mobeto
@abdulfrance1548
@abdulfrance1548 5 лет назад
Kwenye nyimbo za huyu Jamaa kuna kitu tofaut kbx ndio maana ukickiliza hd unaccmka
@mrenobishoo1118
@mrenobishoo1118 6 лет назад
Weka likes nyingi kama umeikubali from 👉🇺🇸🇺🇸 ngoma kali
@ashuracassim5407
@ashuracassim5407 6 лет назад
King bonge la ngoma
@halimahamza878
@halimahamza878 6 лет назад
Wakenya jaman mko wap shemej huyooo😍😍😍😍😍😍😍🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪
@durgatagur5898
@durgatagur5898 6 лет назад
Abu pia Shem
@jamilamdimbe9977
@jamilamdimbe9977 6 лет назад
mwamba wewe ni jini
@samiramrabumrabu6378
@samiramrabumrabu6378 6 лет назад
right here
@luvthissongwallahnkiwaqata4606
@luvthissongwallahnkiwaqata4606 3 года назад
😍😍😍
@muridiomarynauja7976
@muridiomarynauja7976 6 лет назад
Team rockstar wenzangu dondosha like yako hapa.
@papaamafido261
@papaamafido261 3 года назад
Jman japo madogo wamesepa ila bado naierlewa hii ngoma. Gonga like kama unaiangalia baada ya wao kuondoka
@youngkillermsodoki7664
@youngkillermsodoki7664 6 лет назад
** Hii ngoma iko vizuli sana, na Kama unaangalia hii ngoma huku uki soma coments gonga like twende sawa**
@mudhihirathuman8520
@mudhihirathuman8520 5 лет назад
Th9
@mudhihirathuman8520
@mudhihirathuman8520 5 лет назад
This
@japhetiwilison5798
@japhetiwilison5798 6 лет назад
Achani roho za korosho mbona kwangu sioni comment nataka kuona kama team kiba tupo 🤔
@OffcialKp
@OffcialKp 6 лет назад
😂😂😂
@painkillerahmed8973
@painkillerahmed8973 6 лет назад
😂 😂 😂 👌
@jamalmainde4135
@jamalmainde4135 6 лет назад
Japheti Wilison hahaa
@msomalimarsenal637
@msomalimarsenal637 6 лет назад
Twendepi
@wasajo
@wasajo 6 лет назад
Mwambie sina
@edwardbedson4450
@edwardbedson4450 6 лет назад
Team kiba damu kbx gonga like hapa na msipogonga mm nacha kuxhabikia mziki ngoma Kali sana wadau wangu👆👆👆💪💪💪💪💪💪😍😍😍😍😍😍😘😘💘💘💘
@hamzaissa9158
@hamzaissa9158 6 лет назад
ngomaa kali sanaaaaa
@mwanaishaiddi2272
@mwanaishaiddi2272 5 лет назад
Ngoma nzur sana its very good
@thuweibamohamed4509
@thuweibamohamed4509 5 лет назад
Jamani ambae aishiwi hamu na kuangali na kusikiliza hii nyimbo kama mm tujuane💯💯💃👌❤💋💋
@nanaimgeri8587
@nanaimgeri8587 6 лет назад
Huu wimbo ni mkalii. 🙌🙌 Nimemsikilizisha paka wangu saa hizi kageuka mbwa 😂😂😂
@salimaamir5561
@salimaamir5561 6 лет назад
Iyo yko kli sana
@bonniventuresylivester3133
@bonniventuresylivester3133 6 лет назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@orestonjalika632
@orestonjalika632 6 лет назад
ha ha ha ha
@shamsaabdallah2047
@shamsaabdallah2047 6 лет назад
Hahahaaaa 😂😂😂😂😂😂😂namcha mchana
@rqyaabdullah9819
@rqyaabdullah9819 6 лет назад
Nanai Mgeri 😂😀🙌👅👅
@hotmix2559
@hotmix2559 6 лет назад
Hii ngoma ya kuombea mkopo bank......team kiba wote achen likes zenu hapa
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 4 года назад
Hahahaaaaaa
@songasn4718
@songasn4718 6 лет назад
Nyimbo ya kuangalia na family hii sio za WCB wale wanachezaga uchi tu kama umenielewa gonga like hapa
@aishayusufu5873
@aishayusufu5873 6 лет назад
Nyimbo Kali kinomaa pend sana kibaaa
@munamuna414
@munamuna414 6 лет назад
Umeona ee hata kama mkwe yupo unaangalia
@browntiller3344
@browntiller3344 6 лет назад
😃😃😃😃 ile nyie wavumilivu sn na kujipa matumaini sio Poa
@munamuna414
@munamuna414 6 лет назад
@@browntiller3344 Tunapenda vizuri ndio sababu twavumilia
@anozacha611
@anozacha611 6 лет назад
@@browntiller3344 😲😲😲😲😲😲😲😲😲😲😲😲😲😲😲😲😲😲😲
@christopherserugwa9430
@christopherserugwa9430 2 месяца назад
I think am the number one ambassador of this song. Much love from my home country Uganda 🇺🇬 to AliKiba and the team in Tanzania 🇹🇿 !
@goodluckalike4157
@goodluckalike4157 6 лет назад
Mtanzania asipoona chupi kwenye video tayari video mbovu...uko vizuri mzee kwenye maadili.
@atikombogolo2356
@atikombogolo2356 6 лет назад
alike christian peter tutakuelewa wachache sana kaka. Nadhani jamaa anastahili tuzo toka basata
@farihiayusuph6405
@farihiayusuph6405 6 лет назад
ali kiba fundi
@energytvtz9199
@energytvtz9199 6 лет назад
Huu ni ukwelii
@yohanamaugila743
@yohanamaugila743 6 лет назад
Sahihi kabisa mkuu
Далее
RAYVANNY - KWETU (Official video)
3:40
Просмотров 38 млн
Chege feat Alikiba - Kipofu (Official Music Video)
3:59
Mapenzi Run Dunia
4:35
Просмотров 354 тыс.
Alikiba - Mshumaa (Official Music Video)
2:58
Просмотров 10 млн