Тёмный

AHMED ALLY:"TRIPOLI WAMEKODI MABAUNSA/WAPIGA MKWARA MZITO/VITA NI NGUMU" 

Mpenja TV
Подписаться 542 тыс.
Просмотров 16 тыс.
50% 1

Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba Ahmed Ally akizungumza na Wanasimba waliojitokeza Kibaha katika Hamasa ya kuujaza Uwanja wa Benjamin Mkapa kwenye mechi ya Marudiano dhidi ya Al Ahly Tripoli...

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 16   
@CharlesLutandula-y3c
@CharlesLutandula-y3c 8 часов назад
Safi sana semaji letu lacaf
@georgegregory8414
@georgegregory8414 6 часов назад
Semaji la cafu mungu akubariki kwa kutuletea ubaya ubwela
@SirajiRashidy
@SirajiRashidy Час назад
Mnyama simbaaa ❤❤
@StevenMgaya-h9l
@StevenMgaya-h9l 9 часов назад
Jiwejiwe,Simba nguvu moja 💪
@officialdjmajubatz2
@officialdjmajubatz2 6 часов назад
🎉🎉🎉🎉🎉
@OMARYALEX-e2y
@OMARYALEX-e2y 8 часов назад
wamebugi hao mabodigadi kwabongo huwa wanatembea hata na wasanii wadogo kwahiyo hatustuki
@Mhabeshi.Madayi
@Mhabeshi.Madayi 8 часов назад
Dunia haiko fea kabisaa wananchi kabla ya mechi wameingiza mamilioni ya pesa huku madundu huku porojo tuh.Ubunifu ni kipaji kweli nimeamini😂😂
@MrBlack-o8i
@MrBlack-o8i Час назад
Wamekuja na MABAUNSA WANAJUA WALICHO KIFANYA LIBYA WANAZANIA KUWA NA SISI TUTAWAPIGA NA KUWARUSHIA VYUPA KUMBE SISI NI WAZEEEEE WA UBAYA UBWELA UU
@hafidhnzota2142
@hafidhnzota2142 8 часов назад
BM COACH NI YANGA MAPOKEZI NI YANGA HAO WASIJIFICHE
@janetybubegwa5272
@janetybubegwa5272 7 часов назад
Huu ni UHUNI. Hivi inaruhusiwa
@allyabdallah1183
@allyabdallah1183 3 часа назад
Hao mabaunsa màfara
@mutakagoza4759
@mutakagoza4759 5 часов назад
Mbana puuaaaa amatha
@henelckneatunga2720
@henelckneatunga2720 9 часов назад
WAMEKUJA NA MAJITU KWASABABU MSIWARUBUNI WACHEZAJI WAO.
@fatmabakar4140
@fatmabakar4140 9 часов назад
Comment yako haina mashiko, wao wanafikiria kua watafanyiwa fujo
@omarylukindo5306
@omarylukindo5306 2 часа назад
Hao wamewakod hapa hapa,, Halafu hawalubuniwi sema shuhuli wataiona uwanjani
@noorbazaar9063
@noorbazaar9063 Час назад
Mabaunsa wa utopolo
Далее
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Просмотров 8 млн