Тёмный

AHMEDY ALLY: CHAMA AKITAMBULISHWA YANGA JUA SIMBA HAIMUHITAJI!/HAKUNA TIMU ITAWEZA KUMCHUKUA 

Capital Digital
Подписаться 37 тыс.
Просмотров 197 тыс.
50% 1

Meneja habari na mawasiliano katika timu ya #simbasc amefunguka hatima ya mchezaji wao nyota Clatous Chota Chama ambaye anahusishwa kujiunga na timu ya #yangasc #yanga
Meneja wa idara ya habari na mawasiliano Simba @ahmedally amebanwa mbavu na Ripota wetu @hosemchopa kuhusu taarifa za Simba kushindwa kumbakiza Clatous Chama na kukaribia kutangazwa na wapinzani wao klabu ya Yanga.
Hoja nzito Simba wameshindwana na Clatous Chama mezani au Simba haikimuhitaji kabisa Chama na hakukuwa na mazungumzo yoyote?

Опубликовано:

 

1 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 193   
@nicodemuswidambe5132
@nicodemuswidambe5132 3 месяца назад
Caf ipi? Hamna jipya. Huyo mpiga ngonjera tu. Ukiwaita "Nyuma mwiko" maana yake wewe nyuma halali? kenge. Chama mtakuwa mmeshindwa msijibalaguze, mkamlambe miguu kama kawaida.
@MkomboziAliMtaula-fh9nt
@MkomboziAliMtaula-fh9nt 3 месяца назад
Ahamedi Ali nyuma halalikutoa
@twatz2918
@twatz2918 3 месяца назад
Hakuna mchezaji mkubwa kushinda club thanks chama kwa yote uliyafanya simba kila la kher kweny maisha mengine
@sunguraally2456
@sunguraally2456 3 месяца назад
"KICHEKO CHA MAUMIVU"😂😂
@LinusKyando
@LinusKyando 3 месяца назад
Engineer uwa hafuatilii Vitu VYA KIJINGA
@raymondmilanzi
@raymondmilanzi 3 месяца назад
Ye Mwenyew mjinga kwa nn asifuatilie
@GeorgeJusto-y4v
@GeorgeJusto-y4v 3 месяца назад
Achakucheka cheka kiduanzi mnawaa wachezaji wazuri alafu hamna lolote mnatukera Wana Simba acha kuongea ujinga wewe
@SalminTenga-fx6wi
@SalminTenga-fx6wi 3 месяца назад
Ckilizeni nyinyi .chama.manula.inonga .hao wote watuachie nyuma mwiko so no wasalit wameuza mech hiyo .chama mchezaji mzur Ila hajitumi anajion Sana
@AmaniKasekwa-uw8hp
@AmaniKasekwa-uw8hp 3 месяца назад
Wewe ndio semaji la caf wengine Hawa hamuna kitu ame mjibu huyo mwandishi kisomi Simba nguvu moja
@isakajunior7139
@isakajunior7139 3 месяца назад
Semaji ambaye miaka minne hata beba kombe la ligi zaidi ya kuwaliwaza madunduka
@LabaniAkyoo
@LabaniAkyoo 3 месяца назад
​@@isakajunior7139 semaji la kafu , ndio Hilo, nyuma mwiko pumbavu wee
@sadih5333
@sadih5333 3 месяца назад
i​@@isakajunior7139hachezi yeye hio ni kazi ya Chama ambaye mnahisi ndio utakua usajili mkubwa tokea yanga iazishwe na hata baada ya kuondokana na gongo wazi.
@BongoCryptos
@BongoCryptos 3 месяца назад
Dunduka la kafu
@deoselcom9701
@deoselcom9701 3 месяца назад
🎉
@Veni584
@Veni584 3 месяца назад
Semaji la shirikisho
@mariamomari-cl6jc
@mariamomari-cl6jc 3 месяца назад
husen maash joj masat muhamed muameja edud chumira abru mashne yusuph macho muso nteze jon lung amir maftaha furaha mwembe wiliamu fanibura okwi wengitu wameondoka chaajabu nn mnatapatapat chama aje yanga mchukuen shids nn
@majaliwamussa1343
@majaliwamussa1343 3 месяца назад
Ahmad Ally comedy sana Kwenye kujibu swali, ana zunguka tu....
@errydeo8865
@errydeo8865 3 месяца назад
Huwa hakumbuki swali,siku zote! Mfatilie! Mara nyingi atauliza ,ulisemaje! Thats lack of concetration! Hakumbuki maswali within a short period!
@tezuramziray8700
@tezuramziray8700 3 месяца назад
Itv mnahoji vitu vya kusadikika
@ChikuabdallahMohammedy
@ChikuabdallahMohammedy 3 месяца назад
Kwani chama yeye Ni Nani? Wayakuja wengine mbona alikuepo na nyanga wakaifunga Simba?
@anithaedgar1026
@anithaedgar1026 3 месяца назад
Acha haende mpira unamwisho Wacha akatafute kwingine
@KuruthumKhalaf
@KuruthumKhalaf 3 месяца назад
amnaela akuna kiongo kama chama tanzania mmeshidwa kumtumia mtapatatabusana na mabeki cheemalon bola inonga angekuepo mm aaniakost kwa mkopo
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 3 месяца назад
Pamoja semaji lacuf safisheni wote wahujumu Tim yetu hatuwataki wakibaki watafundisha tabia mbaya wachezaji wetu wageni
@errydeo8865
@errydeo8865 3 месяца назад
KOMBE hamlioni miaka kumi kwa mtindo huu! Mnabomoa timu ,Yanga wanahimarisha timu!
@user-princs
@user-princs 3 месяца назад
Hiki kicheko na kuongea kwamajigambo ulifanya misimu matatu kweye usajili .uongo na kupamba kwingi mwisho nikufungwa hovyo.pia mnapoachana na wachezaji tumien lugha nzuri kuwaaga mnafanya kama maadui au hamjawah kuwa familia achaneni bila kuwapa maumivu ama kejeli
@HalimaMaulidi-sv7le
@HalimaMaulidi-sv7le 3 месяца назад
Yaan nyie mtapata tabu xana chama kashaongeza mkataba mwajikausha mate bure
@NikisMbaryo
@NikisMbaryo 3 месяца назад
Acheni chama akacheze timu kubwa jamn shrikisho awaachie Hamedy Ally na Kibu 😂😂😂
@mariamomari-cl6jc
@mariamomari-cl6jc 3 месяца назад
kama tmu gan
@Jimmsuva-be5dc
@Jimmsuva-be5dc 3 месяца назад
Shida zenu hazitaisha kwa mtindo huo
@Hadijamatemba
@Hadijamatemba 3 месяца назад
Naoma wewe mwandishi utopolo wamekutuma
@JobberyJovial-nc8vg
@JobberyJovial-nc8vg 3 месяца назад
Mwandishi wa habari yuko smart saaana kwenye kuhoji hana muhahoooo
@saimonntani6831
@saimonntani6831 3 месяца назад
Yuko smart sababu weww nyuma kauchomowe
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 3 месяца назад
Acha uongo,hela hamna
@Evance-op4jw
@Evance-op4jw 3 месяца назад
unashangaza eti atakayeondoka hakuwa kwenye mipango yenu!!!! kwani wao hawana maamuzi ni wapi wanataka wacheze? hayo maneno waambie simba ndo mmezoea kuwadaganya
@YahyYunusu
@YahyYunusu 2 месяца назад
Acha ushamba ww
@KhalidEdward-j3r
@KhalidEdward-j3r 3 месяца назад
Chama ni mashine ya kaz hiyo mkimuacha mtamkumbuka
@KhalidEdward-j3r
@KhalidEdward-j3r 3 месяца назад
Chama ni mashine ya kaz hiyo mkimuacha mtamkumbuka
@JamarJamarramadhan
@JamarJamarramadhan 3 месяца назад
We jiliwaze 2 ila moyoni we ndo unajua mbwa wewe
@elickemanuel8393
@elickemanuel8393 3 месяца назад
Chamaa ni myamaa
@ISSASHABANI-sw7lx
@ISSASHABANI-sw7lx 3 месяца назад
Hamna pesa nyinyi ndio maana mmemshindwa 😂😂😂
@nicholasmkama2877
@nicholasmkama2877 3 месяца назад
😂Simba ni klabu/Taasisi kubwa,kuliko mchezaji yeyote.aliyesajiliwa au atakayesajiliwa.Jwa maana hiyo,hajuna mchezaji mkubwa kuliko Simba.akiondoka yeyote anayehisi ni mkubwa atasajiliwa nwingine bora kuliko aliyeondoka.Simba nguvu moja.😅😅😅 mwinginewani chama ni mkubwa kiliko simva.
@UbapaMchoroa
@UbapaMchoroa 3 месяца назад
Amna mambo mengi semaji uko saihii tyo
@JoseHaule-tx7lu
@JoseHaule-tx7lu 3 месяца назад
Semajiiii lina akili sana
@michaelmabula7444
@michaelmabula7444 3 месяца назад
Sasa mna mazungumzo halafu hauna mpango Naona kama hakuna akili hapo Ni akili matope
@elickemanuel8393
@elickemanuel8393 3 месяца назад
Semaji la cuf we ni nomaaa😂
@mussaissa6796
@mussaissa6796 3 месяца назад
USO UMEJAA AIBU LAKINI UONGO HAACHI TU
@emmanuelzwallo3933
@emmanuelzwallo3933 3 месяца назад
Hahahahaha.Wachezaji wanataka kucheza club bingwa bhana.usitudanganye
@silvesterrichardhelenya1319
@silvesterrichardhelenya1319 3 месяца назад
Kwani kudanganya wapi kwani kasema chama anabaki simba?
@errydeo8865
@errydeo8865 3 месяца назад
​@@silvesterrichardhelenya1319hawezi kubaki! Ana malengo makubwa! CAFCL 😂😂😂 simba ni SIZITAKI MBICHI HIZI!
@mariamomari-cl6jc
@mariamomari-cl6jc 3 месяца назад
yanga kulikuw nawachezaji wakubwa lakin wamekaa karne ndiyo wakaingia krabu bingwa
@mariamomari-cl6jc
@mariamomari-cl6jc 3 месяца назад
waliondoka kwenye hiyo timu mchezaji anaangaria masirsh kuwa nakir ww
@mariamomari-cl6jc
@mariamomari-cl6jc 3 месяца назад
ww limbukent wampira asingeondoka feisar yanga kumbe shida nikirab bingwa
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 3 месяца назад
Kwani ww mwandishi umetumwa na engineer
@YahyYunusu
@YahyYunusu 2 месяца назад
Bado hamjasema
@AbdallahBashiiri
@AbdallahBashiiri 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 etisemaji 😂😂😂😂😂😂lamchongo kabisa ilo 😂😂😂😂😂 Bado amjasemaa😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂
@YahyYunusu
@YahyYunusu 2 месяца назад
Utopolo mnaongea sana ila sisi siomilima tutakutana
@godwinganya6715
@godwinganya6715 3 месяца назад
mkuki kwa ngurue kipindi mayele anaondoka yanga wana simba mlipika plau kahawa zikanyweka leo kwenu tia maji
@abbyking8064
@abbyking8064 3 месяца назад
We fala chama haendi chura fc
@mariamomari-cl6jc
@mariamomari-cl6jc 3 месяца назад
hayo maneno yamtt vuliwa nep namama yk umeikojolea akuvishe nyingine ulale saw
@Oscargeladbazilakumbona
@Oscargeladbazilakumbona 3 месяца назад
Kuna wasemaj wengine had raha
@AminaLibisa
@AminaLibisa 3 месяца назад
Semajiii 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🦁♥️🦁♥️🦁🦁🦁🔥🔥❤️
@joaquimmasengwa1283
@joaquimmasengwa1283 3 месяца назад
Ahmed kashikwa pabaya......hawezi jinasua. Kiri tu mzee kwamba watani wamekichukua chuma
@MagrethCostantine
@MagrethCostantine 3 месяца назад
Waende tu wauza mechi hao
@ibadimohamedi9756
@ibadimohamedi9756 3 месяца назад
Go Chama if and if only you want!
@PauloAlfayo-qi1gn
@PauloAlfayo-qi1gn 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂kweli chama mmm kwa heri simba
@RosePetro-ck8pt
@RosePetro-ck8pt 3 месяца назад
Siyo amuna kitu,kajifunze kiswahili mrugaruga wewe
@mariamomari-cl6jc
@mariamomari-cl6jc 3 месяца назад
hujui mpira mtt mrala nanept
@josephfelicianlugakingira832
@josephfelicianlugakingira832 3 месяца назад
Nyuma Mwiko Ndio Nani?
@Eliacharless-f3z
@Eliacharless-f3z 3 месяца назад
Kaongo ako kataenda kulilia chon
@NiyongeleAugustino
@NiyongeleAugustino 3 месяца назад
Rulogoshola 0:41
@rubambehome5813
@rubambehome5813 3 месяца назад
Anamaumivu uyo hawezi kulizungumzia ilo humuoni muuoni muuonekano wake Hana lakutueleza tukamuelewa ashubuli mwakani kwenda zake kwenye shilikisho mashindano wa liofeli tuna mukuu alisema ilo 😂😂😂😂
@mariamomari-cl6jc
@mariamomari-cl6jc 3 месяца назад
bora yashirkish yang kakaa hajaingiaklabu bingw miaka 25
@mariamomari-cl6jc
@mariamomari-cl6jc 3 месяца назад
bora mm shirikish nautambue niko shirikish nilitoka wp kima ww
@saidsaid-o5d
@saidsaid-o5d 3 месяца назад
Atuwazii kuus chama tunaangalia usajil ujao hat akiondk bd pw t alishawah kuondk so tunaon kawaid 2
@HassaniChiwile
@HassaniChiwile 3 месяца назад
yanga bwana chamaaaaa
@EstaSilwimba
@EstaSilwimba 3 месяца назад
Hawa watu bado wanamtaka chama mbona kila neno ni chama achani chama aje kwetu mbwana sis tunamtaka
@KuruthumKhalaf
@KuruthumKhalaf 3 месяца назад
kwa mipangoiya kombe afrika kama ngamiakupita kwenye tundu lasindano
@IsmailKarim-d3v
@IsmailKarim-d3v 3 месяца назад
Nyuma mwiko football club wanaongoza kumsajili Chama kila msimu lakini baade anachezea simba
@JumaHossein-uq5zq
@JumaHossein-uq5zq 3 месяца назад
Kila mwaka chama ana sajiliwa yanga msimu ukianza ana cheza Simba nyuma mwiko mna kwama wap
@YasiniLiwanje
@YasiniLiwanje 3 месяца назад
Huyu ana mavi kichwani,Mchopa huwezi kumuelewa huyo jamaa
@AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm
@AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm 3 месяца назад
Dunduka fc
@KhalidEdward-j3r
@KhalidEdward-j3r 3 месяца назад
Chama ni mashine ya kaz hiyo mkimuacha mtamkumbuka
@mariamomari-cl6jc
@mariamomari-cl6jc 3 месяца назад
mayer jmemkumbuka ndiomaan nasem shabik wayang vichaaat
@alphoncedundo7716
@alphoncedundo7716 3 месяца назад
😅😅😅😅😅😅😅😅
@DianaLyimo-be7yp
@DianaLyimo-be7yp 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂
@BoniventureMagili
@BoniventureMagili 3 месяца назад
Saw huyu nae huwa msemaji au mropokaji
@MsafiliNhabe-ll2vx
@MsafiliNhabe-ll2vx 3 месяца назад
Mtangazaji jibu nikwamba wameshindwana .na mwamba
@JuhudiKasanga-yq5ks
@JuhudiKasanga-yq5ks 3 месяца назад
Huyo chakubanga TU ahamedy amerudi kuwakebehi Tena madunduka mda wake wapreseoson umefika ndo Huwa ananenepa TU ligi ikianza propaganda zinaanza
@YahyYunusu
@YahyYunusu 2 месяца назад
Tuachen nasimbayet
@ClaraYona
@ClaraYona 3 месяца назад
Wew huyo chama mwacheni handed 1:41
@ZakiaSwai
@ZakiaSwai 3 месяца назад
Semaji la machupini😂😂😂😂😂😂😂
@CharlesDanielnyanda
@CharlesDanielnyanda 3 месяца назад
Karibu chama yanga tunakupenda
@hashimumashoto
@hashimumashoto 3 месяца назад
Mi huyu jamaa simkubar hata kidog hana point za mpra anapayuka tuu
@JAMESAKYOO
@JAMESAKYOO 3 месяца назад
mtoeni nimesha choka kuskia habari zake kwani yeye ni nani kuna wachezaji wengi tu wazuri staki kumuona tena chama simba
@davicekombe4932
@davicekombe4932 3 месяца назад
Utamuona sana tuu
@YasiniLiwanje
@YasiniLiwanje 3 месяца назад
Kicheko cha kujilazimisha
@sunguraally2456
@sunguraally2456 3 месяца назад
Wataalam wa utambzi wa watu ktka maongezi tumetambua ..Ahmed Ally anaumia Sana, Ila hakuna namna
@AndrewShola-ts5lp
@AndrewShola-ts5lp 3 месяца назад
Wee mwandishi au mbeyaaaa,?
@babuumaeda7671
@babuumaeda7671 3 месяца назад
Kweli unatimiza majukumu ya mshahara wako ,😅😅😅 Huelewek
@AmanMarco
@AmanMarco 3 месяца назад
Hawawiz kumuchukuwa chama
@Fredmsemw
@Fredmsemw 3 месяца назад
Chama abaki please mamkubali sana
@mariamomari-cl6jc
@mariamomari-cl6jc 3 месяца назад
nikwer
@mariamomari-cl6jc
@mariamomari-cl6jc 3 месяца назад
cham yuko vzr
@SamweliMomoya
@SamweliMomoya 3 месяца назад
Una chimba
@DanielChaula
@DanielChaula 3 месяца назад
Itv kuhoji maneno ya mtaani ni noma sana🎉🎉🎉
@VitusiVitusi
@VitusiVitusi 3 месяца назад
Mimi naona mh medi ally anajidanganya t chama sio tena Mali yasimba
@YahyYunusu
@YahyYunusu 2 месяца назад
Asha zeeka
@BeatriceFirika
@BeatriceFirika 3 месяца назад
2namwitaji chama
@davidwatson6821
@davidwatson6821 3 месяца назад
Nyuma mwikooooo! wamchukue tuu, maana kila mwaka wanamsajili
@mariamomari-cl6jc
@mariamomari-cl6jc 3 месяца назад
wakingat
@user-princs
@user-princs 3 месяца назад
Leo kabisa mnadai chama hakuwa na faida kwenye timu duhhh😮😮
@mariamomari-cl6jc
@mariamomari-cl6jc 3 месяца назад
ndugu maneno yann kila mtu nawaz lak mchukuen shid nn
@YahyYunusu
@YahyYunusu 2 месяца назад
Muache aende hatutak wazee lLove you simba
@Con-zp2wh
@Con-zp2wh 3 месяца назад
Safi
@NEEMAELMBISE
@NEEMAELMBISE 3 месяца назад
Chama bad yuk simba
@MaxCharles-wj5dg
@MaxCharles-wj5dg 3 месяца назад
huna jipya we med
@Ndushikayungilo722
@Ndushikayungilo722 3 месяца назад
Hongera semaji wetu
@Jimmsuva-be5dc
@Jimmsuva-be5dc 3 месяца назад
Hajajibu swali mbona ameogopa
@usercabal
@usercabal 3 месяца назад
Chama yupo yanga
@JumaHossein-uq5zq
@JumaHossein-uq5zq 3 месяца назад
Ume muona au una ota
@usercabal
@usercabal 3 месяца назад
@@JumaHossein-uq5zq subiri tu huta amini macho yko
@Done-c2r
@Done-c2r 3 месяца назад
Msipo muongezea chama mkataba bas simba ela hamna
@mariamomari-cl6jc
@mariamomari-cl6jc 3 месяца назад
ww unaher
@Lwitikomsongole-z5f
@Lwitikomsongole-z5f 3 месяца назад
Tunamtaka Chama muongezeeni mkataba
@mariamomari-cl6jc
@mariamomari-cl6jc 3 месяца назад
huna uwezo kenge we
@alexandermalima610
@alexandermalima610 3 месяца назад
Mzamilu hana jipya
@LinusKyando
@LinusKyando 3 месяца назад
SIMBA INAKUWA IMESHINDWA DAU LA CHAMA
@omarymwazema5332
@omarymwazema5332 3 месяца назад
mbona unajitoa fahamu, mikisone alikua analipwa milion 52 sasa tungeshindwaje kumpa chama milion 35?
@AbaidiiniNgweti
@AbaidiiniNgweti 3 месяца назад
Hawan Hela iyo
@mariamomari-cl6jc
@mariamomari-cl6jc 3 месяца назад
lamayer yanga aliliweza au unakunwa hap ulip
@mariamomari-cl6jc
@mariamomari-cl6jc 3 месяца назад
​@@omarymwazema5332chiz huho
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 3 месяца назад
Mmeshindwa,unazungukazunguka nn.
@mariamomari-cl6jc
@mariamomari-cl6jc 3 месяца назад
mchikuen
@JustineJasson
@JustineJasson 3 месяца назад
semaj la shirikisho
@PonsianoKipaule
@PonsianoKipaule 3 месяца назад
Acha matusi umeumia nini
@mariamomari-cl6jc
@mariamomari-cl6jc 3 месяца назад
acha ujinga
@MethodJohn-o5f
@MethodJohn-o5f 3 месяца назад
Chama tena ❤
@ernestkamata2555
@ernestkamata2555 3 месяца назад
Chama kwa Simba asingeweza kufanya tena chaajabu labda akienda huko kwingine wamefanya kitu cha maana mno
@mariamomari-cl6jc
@mariamomari-cl6jc 3 месяца назад
hata azz k hata akienda kingine ataweza kufanya makubw
@mariamomari-cl6jc
@mariamomari-cl6jc 3 месяца назад
anakaa hapo chaajab nn
@mariamomari-cl6jc
@mariamomari-cl6jc 3 месяца назад
virabu vyetu havna hra wala msmamo
@mariamomari-cl6jc
@mariamomari-cl6jc 3 месяца назад
mchezaj mzur anauzwa haraf mwataka krabu bingw africa tutasindikiza mpaka nyerele atakapoldi
@mariamomari-cl6jc
@mariamomari-cl6jc 3 месяца назад
si yanga wala simba naazamu twasndikizat
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np 3 месяца назад
Chama tayar Simba miaka 2
@LionelJr23
@LionelJr23 3 месяца назад
1
@HamisiUliza
@HamisiUliza 3 месяца назад
Unajifalj
@HAMIDURAMADHANI-ev5od
@HAMIDURAMADHANI-ev5od 3 месяца назад
Gb64 ndo aliwadanganya ivooooo
@mariamomari-cl6jc
@mariamomari-cl6jc 3 месяца назад
waambie machoko
@HisaniKasim
@HisaniKasim 3 месяца назад
Msenge ww una cha kuongea
@NassorRashidMuhamedMuhamed
@NassorRashidMuhamedMuhamed 3 месяца назад
Msenge mama yako na baba yako choko we
@mariamomari-cl6jc
@mariamomari-cl6jc 3 месяца назад
nyinyi mikundt yang
@mariamomari-cl6jc
@mariamomari-cl6jc 3 месяца назад
shabiki wayang nyinyi vichaaa hatuwalaumu
@PHILBETDANIELMLAGI
@PHILBETDANIELMLAGI 3 месяца назад
Mwachen aende kwn chama nan yeye apo simba
@mariamomari-cl6jc
@mariamomari-cl6jc 3 месяца назад
mbon mayere kaondoka kuriharbika nn yang
@mariamomari-cl6jc
@mariamomari-cl6jc 3 месяца назад
au mwajisahaulish
@mariamomari-cl6jc
@mariamomari-cl6jc 3 месяца назад
nyinyi malimbkent wampra
@OxeaBukuku
@OxeaBukuku 3 месяца назад
Mbona hakisemag Yanga kinasema nyuma mwiko
@mariamomari-cl6jc
@mariamomari-cl6jc 3 месяца назад
et yanga nyuma mwko angekaa miska 25 siasatu hizo
@mariamomari-cl6jc
@mariamomari-cl6jc 3 месяца назад
25hakuingia makndi nyinyi wajingat
@YahyYunusu
@YahyYunusu 2 месяца назад
Nyie kwel ninyuma mwiko
@NelysonRobath
@NelysonRobath 3 месяца назад
Akuna majibu 😅😅😅😅😅😅
@mariamomari-cl6jc
@mariamomari-cl6jc 3 месяца назад
anamjib gan mtt wa 2000
@mariamomari-cl6jc
@mariamomari-cl6jc 3 месяца назад
nn anajuwa huyo shabki maandaz
@JuhudiJotham
@JuhudiJotham 3 месяца назад
Unaumia tusidanganyane
@mariamomari-cl6jc
@mariamomari-cl6jc 3 месяца назад
mayer alivyoondoka uliumia
Далее
#慧慧很努力#家庭搞笑#生活#亲子#记录
00:11
OYUNCAK DİREKSİYON İLE ARABAYI SÜRDÜ 😱
00:16
Просмотров 3,6 млн
Magufuli Geita
2:50
Просмотров 137
#慧慧很努力#家庭搞笑#生活#亲子#记录
00:11