Тёмный

Aidan Mlawa akiwa Dar es Salaam | Uzinduzi wa Album ya Kwaya Kanisa la EAGT Mlima wa Faraja 

Focus Digito TV
Подписаться 33 тыс.
Просмотров 351
50% 1

Aida Mlawa ambaye ni Mkurugenzi wa kampuni ya John Galt Hauliers na mdau wa maendeleo wilaya ya Kilolo mkoani Iringa ndiye aliyekuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Album ya Video za nyimbo za Kwaya ya Utukufu kutoka kanisa la EAGT Mlima wa Faraja lililopo wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam.
Katika uzinduzi wa album hiyo uliofanyika Agosti 04, 2024 ukiambatana na harambee ya kuchangia kwaya hiyo, Aidan Mlawa ametoa kiasi cha zaidi ya Milioni 1 na Laki 2 kuunga mkono juhudi za vijana wa kwaya hiyo kueneza injili na kufikisha ujumbe na neno la Mungu kwa watu wengi kwa njia ya uimbaji.
Subscribe (Focus Digito TV) ili usipitwe na Video mpya zinazotoka kila siku.
Focus Digito TV inakupa Maudhui Mazuri yanayohusu Habari, Elimu, Mitindo ya maisha, Michezo na Burudani.
Focus Digito TV is here to provide you with contents about News, Education, Lifestyles, Sports and Entertainments.
#FocusDigitoTV
..................
Tufuatilie Zaidi kupitia:
INSTAGRAM, TIKTOK, FACEBOOK, TWITTER (X), THREADS NA GOOGLE WEBSITE YETU YA FOCUS DIGITO TV
Focus Digito TV is one of the best info-edu-tainment Online Media conveying contents for the Public Interest.
Asante kwa kuchagua kutufuatilia | Thanks for Subscribing
We Love You | Tunakupenda
Regards
Team FocusDigitoTV

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 4   
@user-bs4zs1qq6w
@user-bs4zs1qq6w 19 дней назад
Mungu azidi kuwainua mmefanya vizuri pia mmependeza
@loyalforumtv
@loyalforumtv Месяц назад
❤❤❤❤ my lol modo🎉🎉 nakukubalii
@teresiajonas52
@teresiajonas52 Месяц назад
Safi sana
@user-bs4zs1qq6w
@user-bs4zs1qq6w 19 дней назад
Mungu azidi kuwainua mmefanya vizuri pia mmependeza
Далее
Вопрос Ребром - Булкин
59:32
Просмотров 690 тыс.
MLIMA SEKENKE SINGIDA.
9:18
Просмотров 2,3 тыс.
Dalili Za Mwanaume Anaekupenda Kwa Dhati
6:19
Просмотров 336 тыс.
MCHUNGAJI HANANJA AMTAJA MASTAI WA KKKT KIMARA
3:39
Просмотров 22 тыс.
UTAPENDA MAWAIDHA YA DK SULE AKIWA MSIKITINI
49:17
Просмотров 35 тыс.