Тёмный

Dalili Za Mwanaume Anaekupenda Kwa Dhati 

Topten Tv
Подписаться 370 тыс.
Просмотров 434 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 521   
@NoeAron-g4w
@NoeAron-g4w 10 месяцев назад
Dah nzuri sana najivunia kumpata mwanaume mwenye vigezo hivyo love so much Wilson wangu❤❤❤❤❤
@AshfaynaRajabu
@AshfaynaRajabu 13 часов назад
Thank ue.. aseee napendwa❤
@SusanWangechi-h1z
@SusanWangechi-h1z 9 месяцев назад
Nimeamini baby daddy ananipenda sana may God 🙏 protect him always thank you lord 🙏 for bringing this man to my life
@onderinyaboke
@onderinyaboke Год назад
Asante sana ni ukweri kabisa hiyo kitu inakushumbua kabisa maisha ukiolewa na yule zio wako.
@Lizzyktd
@Lizzyktd 10 месяцев назад
Hii Elimu imechelewa kuja tunamshukuru Mungu kwa ajili yako 🎉🎉🎉🎉
@AvillaJuvenaly
@AvillaJuvenaly 13 дней назад
Namshukuru Mungu kanipatia mtu huyu naamin ni sahii kwangu❤❤
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 7 месяцев назад
Ahsante mngu akubariki
@MaryamOmary-c4y
@MaryamOmary-c4y 11 дней назад
Alhamdulillah popote ulipo ahmedy wang nakupenda sana vigezo kama vyote unavyo bby daddy wanguu❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉😊
@MercyMakale
@MercyMakale Год назад
Asante sana jamani mpenzi wangu akuivo iyo yote umesema walai Jamani 😅😊😊😊
@christinangombe
@christinangombe Год назад
asante doctor kwa mafundisho mazuri,Mungu aendelee kukutia nguvu na kukupigania🙏🙏🙏
@HekimaMgaya-q1q
@HekimaMgaya-q1q Год назад
Asante docter kwa kutuimaeisha wanawake ❤❤❤❤
@JoinaMsigwa-lg7vh
@JoinaMsigwa-lg7vh 11 дней назад
Asanteee doctor kwa unifunguwa hakirii ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@ZipporahZippy-ng9rr
@ZipporahZippy-ng9rr Год назад
Weee aki umenichanua bro nilikua na Nia ya kumwacha wa kwangu juu ya kuniogopea wee kumbe upendo❤️❤️❤️❤️
@saidbaraka8996
@saidbaraka8996 Год назад
Mmmmh dokta asante
@marynjiiri4329
@marynjiiri4329 11 месяцев назад
Mimi hupatana tu na magaidi mpaka nka give up😢😢 nimeamua single by choice😢
@ASFAISSA-pm8ck
@ASFAISSA-pm8ck 4 месяца назад
Mambo vo
@zawadihozza3500
@zawadihozza3500 Год назад
Khee kumbe leo ndo nimegundua nammependa Mume wangu jmn yote anayafanya aweee nilikuwa naona hanipend kumbe ndo penyew Asante doctor
@salehemohamedi6560
@salehemohamedi6560 11 месяцев назад
Ukosahihi Sana Kaka mungu akubariki
@GraceKimenanga
@GraceKimenanga Год назад
Mungu akubariki sana mfumdisho yako ni ya kweli kabisa
@maryamnasir5911
@maryamnasir5911 Год назад
Asante Mungu kwa mafundisho haya nimejua niko pahali sahihi
@RukiyaButoyi-sk5nm
@RukiyaButoyi-sk5nm Год назад
Kweli Kaka unafundisha vizuri kabisa Mungu akubariki
@VeronicaMumbi-yd9sx
@VeronicaMumbi-yd9sx Год назад
Asante sana doctor nmepata fuzo kutoka kwako nakusikiza nkiwa mjini Nairobi kenya
@fayjeff3651
@fayjeff3651 Год назад
Umenisaidia sana thanks so much from 🇰🇪
@Rachel-q9m
@Rachel-q9m 20 дней назад
Asante docta,,nasaidika sana na ushauri wako kiukweli,,kwenye tiba urembo na mahusiano nimejifunza mengi sana,, nashkuru sana docta...Sikosi kutazama video zako...Hongera sana docta,,Salma toka Mombasa
@PaulinaMasali
@PaulinaMasali 10 месяцев назад
Aseee xhukran saanaa doctor hyo nko nmeipendaa aseee ❤❤❤
@ShamsaAbasi
@ShamsaAbasi 7 месяцев назад
Asante so tar
@JackMartin-002
@JackMartin-002 8 месяцев назад
Asante sana katika hizo sifa zote bado amna ata moja Kwa mtu wangu
@sadasa3955
@sadasa3955 27 дней назад
😂😂😂😂😂😂😂
@JackMartin-002
@JackMartin-002 12 дней назад
😂😂​@@sadasa3955
@AdolpheZakaria
@AdolpheZakaria 8 месяцев назад
Nakupenda sana mpenzi wangu ila na huzunika kwa nini haukuja mapema kwenye maisha yangu
@JoyceOcharo-y9h
@JoyceOcharo-y9h Год назад
Asante kwa mafundisho yako dock❤
@HilmenJackson-k1l
@HilmenJackson-k1l 15 дней назад
Asante mungu napenda sana sifa zote ulizoongea doctor bae wangu anazo
@FatmaAlly-d5v
@FatmaAlly-d5v Год назад
Asante sana
@NISHAMTEGA
@NISHAMTEGA 13 дней назад
Ahsante Kwa elimu nzuri
@AsimweGregory
@AsimweGregory 13 дней назад
Asante
@ProscoviaKokuberwa
@ProscoviaKokuberwa 8 месяцев назад
May God protect you my love P Sifa zote unazo. True love nk...❤❤
@ImeldaJonnas
@ImeldaJonnas 4 месяца назад
Jaman Asante mungu kwakunipa mwanaume mwenye vigezo vyote
@StellarKway
@StellarKway 7 месяцев назад
Asante sana jaman nimegundua napendwa sana❤😊
@DotnathaKivinge
@DotnathaKivinge Месяц назад
Eeeeewaaaaaaaa
@رحيمهكينيا
@رحيمهكينيا Год назад
Shukran sana kwa mafudhisho yako doctor
@SamiJonathanMadekizy
@SamiJonathanMadekizy 11 месяцев назад
Asante sanaaa kwa mafundisho mazur...
@DelightfulPenguin-wk4kv
@DelightfulPenguin-wk4kv 9 месяцев назад
Hapo kaka umesema ukweli nao n wengi hao wenye hizo sifza wanaume wenye hizo mashallah Mungu akuzidishie Kwa maono
@fatumazakalia-yx4kg
@fatumazakalia-yx4kg Год назад
Asantu sana Doctor nimekuelewa na Asante mungu kwa kuniletea
@AsmaMatu-d4q
@AsmaMatu-d4q 28 дней назад
Asante Sana inno mushi ❤️ kwakunipenda ilq nauuzuka kwasababu umechelewa kuja katika maixha yangu 😭😭😭 ila na 🙏🙏🙏❤️❤️❤️
@TEDY-MTEMY24
@TEDY-MTEMY24 24 дня назад
Uhuzinike nini kama upo naye wakati huu furahia maisha na ndyo muda wake
@invocavitmbise5296
@invocavitmbise5296 Год назад
May Almighty God bless you
@EdwardJosephJohn-or5bv
@EdwardJosephJohn-or5bv Год назад
Your very very said love you
@bibip9181
@bibip9181 11 месяцев назад
Doctor true but,nimependa elimu nzuri ❤❤
@salomemakuluga9650
@salomemakuluga9650 Год назад
Mungu akubariki sana
@CelestinKubaho-wo8ft
@CelestinKubaho-wo8ft Год назад
Thenk you so much my brother
@JennyJe-w4h
@JennyJe-w4h 8 месяцев назад
Asate sn kwaushauri wako kaka 🎉🎉🎉
@Marykishimba
@Marykishimba 9 месяцев назад
Nashukuru Mungu me nmempata mwanaume mwenye hzo vgzo mungu amubark xana mme wang kipenz🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@YehuKashindi-we4us
@YehuKashindi-we4us Год назад
Good teacher
@andrewdiganyeck
@andrewdiganyeck 8 месяцев назад
Asante kwa mafundisho yako Kuna kitu nime gain
@suzanne9517
@suzanne9517 10 месяцев назад
Asante docter kwa ushuri mzuri
@RegulaPeter-jm7iq
@RegulaPeter-jm7iq Год назад
Asante mungu 🙏 kubarki utufundishe zaidi
@secymndeme-wb4mu
@secymndeme-wb4mu Год назад
Nimepitia comment karibia zote😇 asee hongereni mnapendwa sana,, alafu kuna Mimi sasa😂😂😂😂
@alindasimeo5063
@alindasimeo5063 Год назад
😅😅😅
@rosemilingi7860
@rosemilingi7860 Год назад
Co Kuna wewe Kuna akina sisi
@secymndeme-wb4mu
@secymndeme-wb4mu Год назад
@@rosemilingi7860 kabisa yan naona kabisa hatuwezi kaa kwa group moja😂
@twahiadaudi4051
@twahiadaudi4051 Год назад
😅😅😅😅😅
@FurahaThadeus
@FurahaThadeus Год назад
Kuna kina siiisi simu mara Moja kwa wiki 😢😢😢😢😢😢
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 9 месяцев назад
Asantee dctr somo zuri
@AishaMbuba
@AishaMbuba Месяц назад
Ni kwer kabisa brooo Asante sana
@mwasitiabu4232
@mwasitiabu4232 11 месяцев назад
Asante nimekuelewa
@fatinamdoe1894
@fatinamdoe1894 Год назад
Upo sahihi Kaka mim sipendwi mungu nijaalie unipe yule anaenipenda kiukweli kutoka moyoni Asante doctor
@neemakatana-ek8ff
@neemakatana-ek8ff Год назад
❤❤❤❤ mafundisho mazuri sana mungu azidi kukupa kibali cha mafunzo zaidi
@JacquelineMuhayimana
@JacquelineMuhayimana Год назад
Asante sana mwanaume wangu yuko na sifa zote ulizosema
@SubiraLibaba-xe1hx
@SubiraLibaba-xe1hx 11 месяцев назад
Mimi pia
@PASTEURGENEROSEKABAKA
@PASTEURGENEROSEKABAKA 10 месяцев назад
😅😅❤
@tabaithd8629
@tabaithd8629 Год назад
Asante Sana ubarikiwe
@HusseinRamadhani-k6b
@HusseinRamadhani-k6b 21 час назад
Uncle mtu anaweza akafanya vyote na aka kuchezea tu kikubwa muombe Mungu Inshaallah
@sonniebanks6022
@sonniebanks6022 11 месяцев назад
Asante doc
@JacklineGakii-z7h
@JacklineGakii-z7h Год назад
Thanks 🙏 that true
@cyrilchamungwana6718
@cyrilchamungwana6718 10 месяцев назад
Asante Sana kaka angu kumbe napenda mie nashukuru mungu
@lisauroble31
@lisauroble31 26 дней назад
Asantee ❤❤
@evangelinemunene
@evangelinemunene Год назад
Asante daktari na hiyo ni kweli shukrani
@ElizabethMasanja-k9r
@ElizabethMasanja-k9r Год назад
Asante kwa mafundisho
@MwanapiliMzungu
@MwanapiliMzungu 10 месяцев назад
Aq so true..mume wangu ananpenda sana jaman❤❤❤
@SADALeonard-vd6dn
@SADALeonard-vd6dn 4 месяца назад
Thanks God kumbe nipo maali sahii ❤❤🙏
@fatinamdoe1894
@fatinamdoe1894 Год назад
Asante doctor kwa mafundisho mazur
@MauaMwasa
@MauaMwasa 8 месяцев назад
Alhamdulillah! Wangu ananipenda
@Gladyshappy-yp4bb
@Gladyshappy-yp4bb 18 дней назад
Kumbe napendwa sana ❤ nakupenda bure husband to be❤❤❤❤❤❤
@SofiaTito-f9s
@SofiaTito-f9s Месяц назад
Alhamdulillah asante mungu acha nitulizane tu❤❤❤❤❤❤
@OdileKahambu-k2p
@OdileKahambu-k2p 29 дней назад
Thank you
@Isccobah
@Isccobah Год назад
Asante kaka Kwa mafunzo mungu azidi kukupa nguvu ya kutufundisha zaidi
@GraceMunga-d3k
@GraceMunga-d3k 20 дней назад
Good job
@rehemangome2667
@rehemangome2667 Год назад
Asante nimeelewa sasa
@aishakassim75
@aishakassim75 Год назад
Kumbe sipendwi😂😂
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 7 месяцев назад
kumbe tupo Wengi
@EstherThenya-r5b
@EstherThenya-r5b Месяц назад
Don't worry,upendo wa Mungu watosha
@FatumaBakari-c3l
@FatumaBakari-c3l 29 дней назад
My kma kwel vile
@sadasa3955
@sadasa3955 27 дней назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@sadasa3955
@sadasa3955 27 дней назад
😀😀😀😀😀😀
@JumaFlora
@JumaFlora 10 месяцев назад
Wao my lovely J❤❤❤❤ u my champion
@bahatiMwaka
@bahatiMwaka Год назад
Asante sana dotr.
@DonaldDaniford-fg6tf
@DonaldDaniford-fg6tf Год назад
Okay nimepend
@letisiakunambi5542
@letisiakunambi5542 11 месяцев назад
Ahsante Sana Mungu akubariki nimerielewa Somo🙏
@Belyse-gs4wd
@Belyse-gs4wd Год назад
Shukran mafundish mazur San🙏 🥰🥰🥰🔥🔥🔥👌
@salmakiti1517
@salmakiti1517 11 месяцев назад
Asante sana kaka
@AngelMalaika-f3d
@AngelMalaika-f3d 9 месяцев назад
Ubarikiwe🙏
@LatifaMohamedy-mn2qf
@LatifaMohamedy-mn2qf Год назад
Mungu akubarik azid kukup nguv na kibali utup mafunz zaid
@Lizzyktd
@Lizzyktd 10 месяцев назад
Ahsante sana
@SarahTsuma-w3v
@SarahTsuma-w3v Год назад
Ahsante barikiwa
@ShalonJoackim
@ShalonJoackim 7 месяцев назад
Asante sana bro unayoyaongea nikweli kbs
@EvangelineNDUWIMANA
@EvangelineNDUWIMANA Год назад
Asante sana kwa mafundisho yako ni ya maana kbs. Mbarikiwe
@lettingchepkemboi854
@lettingchepkemboi854 9 месяцев назад
Plz daktari I'm watching u frm gulf naomba tafadhali kwa jina la Yesu kristo nieleze dawa ya heartburn nmetezeka kwa miaka mingi na naamini mungu atakutenda mema
@AbdullahOmar-be4wy
@AbdullahOmar-be4wy 3 месяца назад
Ndio ugonjwa gani
@scholasticadotto5993
@scholasticadotto5993 Месяц назад
@@AbdullahOmar-be4wykiungulia nikama acid kuchoma maeneo ya kifua
@AbdullahOmar-be4wy
@AbdullahOmar-be4wy Месяц назад
@@scholasticadotto5993 mbona dawa yake rahisi hiyo
@ErikaBonifance
@ErikaBonifance 11 месяцев назад
❤❤ Asantee! Sana doctor uishi milele.%100
@فاطمهال-ص7ت
@فاطمهال-ص7ت 16 дней назад
Asante
@WitnesWit
@WitnesWit 5 месяцев назад
Jaman kumbenimepata nakupend aly wang❤❤❤
@maggieshi690
@maggieshi690 10 месяцев назад
1,uoga kuelekea 2,Huonyesha kwa matendo 3,huonyesha uhalikia wake 4,hujali kesho yako Waoooo😊 Fear in expressing Shows in action Shows his reality Caring😮 n action
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 10 месяцев назад
Thanks God bless you ❤️ ❤❤❤❤❤❤
@husnaibrahim2107
@husnaibrahim2107 Год назад
Shukran sanaaa 😊
@NaomiLazaro-m3w
@NaomiLazaro-m3w 2 месяца назад
Asante sanakwa somo lako🙏🙏🙏
@SuzanJonathan-v1e
@SuzanJonathan-v1e Год назад
Mungu akutie nguvu🙏🙏🙏
@DianaDaud-m7b
@DianaDaud-m7b Месяц назад
Ubarikiwe 🎉
@IvonneAlice
@IvonneAlice Год назад
Asante sana kaka mungubakubariki popote pale uko Asante sana
@mwanapilijumwa-fc2ps
@mwanapilijumwa-fc2ps 14 дней назад
Ndio nimejua leo kumbe huyu wangu hunipendi💔💔💔💔 😭😭😭😭mungu naomba unipee huyo wangu wa halali 🤗🤗🤗🙌🙌🙌🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@jacklinemwamsojo2955
@jacklinemwamsojo2955 11 месяцев назад
Asantee Sana Kaka imenifungua macho❤
@HappynesJames
@HappynesJames 9 месяцев назад
Duuh sipendwi mie mwenyez mungu nijalie nimpate anaenipenda kwa dhati
Далее
VIASHIRIA 10 VYA MWANAUME MUOAJI - MIN.SUNBELLA KYANDO
24:53
Chris Mauki: Dalili 5 ameshakutoa moyoni mwake
6:27
Просмотров 182 тыс.
Wait for it 😂
00:19
Просмотров 1,4 млн
Китайка и Пчелке Холодно😂😆
00:21
HAKUNA ULAZIMA WA KUNG'ANG'ANIA WATU  - JOEL NANAUKA
8:03
SIFA TATU (3) ZA MKE | DEO SUKAMBI
1:03:07
Просмотров 147 тыс.
SIFA TATU (3) ZA MUME | DEO SUKAMBI
55:00
Просмотров 49 тыс.
Dr. Chris Mauki: Dalili 4 kwamba anakuchezea tu
5:58
Просмотров 182 тыс.