Тёмный

AINA ZA MAOMBI || PASTOR GEORGE MUKABWA || 02/06/2023 

Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Подписаться 83 тыс.
Просмотров 30 тыс.
50% 1

Mwanza #Jesusrestorationcentre #jesusislive
KARIBU KATIKA IBADA LIVE na PASTOR GEORGE MUKABWA,
Jesus Restoration Church

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 45   
@HhMm-w3l
@HhMm-w3l Месяц назад
Amen amen babangu mungu akubariki
@rosemaryowory5710
@rosemaryowory5710 Год назад
Hakika wakati wake ukifika hakuna wa kipinga nimengundua makosa yangu nilikuwa kinyume lakini Nashukuru Mungu kwa mafundisho yako nimechukua hatua ya maombi nakushukuru kabisa mchungaji ubarikiwe sana tena zaidi 🙏🙏🙏
@uwimanadady6563
@uwimanadady6563 7 месяцев назад
Amen Bwana Yesu kristo
@magnifiqueuwimana759
@magnifiqueuwimana759 Год назад
Mungu akubariki patsa hakika umechaguriwa naMungu mafundisho unayofundisha yanananifanya kujaanguvuzamungu
@elizabetty-rt7py
@elizabetty-rt7py 6 месяцев назад
Amen 🙏
@roselynekarema-jk2ox
@roselynekarema-jk2ox Год назад
Mtumishi ubarikiwe saana umekua wa baraka kwangu kupitia mafundisho yako...
@veronicanzingula5426
@veronicanzingula5426 Год назад
Hakika ww Pastor Mungu amekuleta kwa Makusudi Yake. Huw nazd kuimarika kwa kusikilza mahubir Yako.
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 Год назад
Na mimi nazaa mtoto mtumishi maana Hawa walioko watakuwa wamezeeka,,,,,awe mtume na mwinjilisti in Jesus name
@MercylineAoko
@MercylineAoko 3 месяца назад
🙏🙏🙏🙏 Amen
@hmunisy
@hmunisy Год назад
Somo limeanzia katikati wapendwa, sijapata maombi mawili ya mwanzoni, kwa anayefahamu msaada taafadhali
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 Год назад
Nakuelewa mtumishi wa MUNGU
@veronicanongonop9659
@veronicanongonop9659 Год назад
Amen,mungu amenikumbuka kupitia mtumishi wake,barikiwa Sana man of God
@anithambise90
@anithambise90 Год назад
Asante Mchungaji kwa somo hili zuri umenifundisha kuondoka hofu
@FaithGwamaka-je1ye
@FaithGwamaka-je1ye Год назад
Ameen
@evamarua4998
@evamarua4998 Год назад
Amina nimepata kujua mengi MUNGU akulinde na akujalie Maisha marefu na akutunze mchungaji
@margywanjala8317
@margywanjala8317 Год назад
Ahsante sana pastor Kwa mafundisho mzuri 🙏🙏
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 Год назад
Asante sana na MUNGU akubariki
@lwisegodson9665
@lwisegodson9665 Год назад
Amina, ubarikiwe sana pastor
@AaaBbb-fw3sw
@AaaBbb-fw3sw Год назад
Hakika pastor umenijaza kiroho njinsi ya kuomba maana sikufahamu vile naweza peleka maombi yangu kwa mungu barikiwa sana
@RussiaAndrew-kx5fz
@RussiaAndrew-kx5fz Год назад
Amen
@francoisealimasi3999
@francoisealimasi3999 Год назад
Asante Bwana,nachukuru kwa mafundisho iyi,nakufwata toka Drc nta wa Lubumbashi
@EstherMadiya
@EstherMadiya Год назад
Amen pastor Mungu akubariki
@pascalmuzuri4
@pascalmuzuri4 Год назад
Nimebarikiwa nahili somo 😢. Na imani yangu nikwamba nimetokakupitia hili somo nikiwa DRC
@fatemajohn3195
@fatemajohn3195 Год назад
Ameen ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU 🙏
@gracekunambi7438
@gracekunambi7438 Год назад
Amen Ameeeen nimebarikiwa mno na hili fundisho. Barikiwa sana mt wa Mungu 🙏🙏
@josephenemuthuri5351
@josephenemuthuri5351 Год назад
Amen barikiwa sana pastor.umenifudisha kuomba, nimebarikiwa sana
@victoriamaige2862
@victoriamaige2862 Год назад
Mch mimi ni mwanafunzi wako ninakuelewa Nashukuru sana kwa haya mafundisho nipo marekani
@salimajosephine1673
@salimajosephine1673 Год назад
Amene mtumishi wa Mungu
@fatemajohn3195
@fatemajohn3195 Год назад
Ameen ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU naomba namba yako Baba
@NatukundaMathias
@NatukundaMathias Год назад
Asante ubarikiwe nafatilia mafundisho Yako nikiwa hapa Kampala Uganda Nsambya Estate
@losaleennjikho7902
@losaleennjikho7902 Год назад
Amina
@zaituniomollo
@zaituniomollo Год назад
Amen man of God Asante kwa kunifundisha aina mingi za maombi nimeishi kuomba na sijui maombi gani nayaombayo kwa mungu God bless you so much man of God
@patriciaurassa3742
@patriciaurassa3742 Год назад
Ubarikiwe
@EderKavira-zz6iy
@EderKavira-zz6iy Год назад
P ni
@jamespatrick4349
@jamespatrick4349 Год назад
m V V
@rosemarymapango3747
@rosemarymapango3747 11 месяцев назад
Mtumishi unanibariki sana Kwa mafundisho yako,ubarikiwe sana🙏
@yuliasamwel9967
@yuliasamwel9967 Год назад
Amen
@valeslautery2151
@valeslautery2151 Год назад
Pastor Asante nimebalikiwa na mafundisho haya lakini aina ya 1 Hadi ya 3 hazisikiki hapo.
@furahasalama
@furahasalama Год назад
Ubarikiwe sana mushungaji. nataka nijuunge nawe online nitafanyaje
@AgripinaJosephMushi-hw2xw
@AgripinaJosephMushi-hw2xw Год назад
Mtumishi wa Mungu unatutoa kiimani Sana natamani maombi yako yangewekwa kwa flash yanabariki sana
@slamafamily5720
@slamafamily5720 Год назад
Amen Amen
@maicofidelix3549
@maicofidelix3549 Год назад
Amen amen
@patrickakidiva7777
@patrickakidiva7777 Год назад
Amen
@mfarijikiza8470
@mfarijikiza8470 Год назад
AMEN BABA
Далее
MAOMBI YASIYOSHINDWA
45:23
Просмотров 175 тыс.
FAHAMU KUSUDI LA KUOMBA.
41:26
Просмотров 13 тыс.
Пришёл к другу на ночёвку 😂
01:00
ladies let's increase our value 🥰🥰
1:23
Просмотров 9 тыс.
AINA MBALIMBALI za MIFUNGO KATIKA BIBLIA
10:57
FAHAMU NGUVU YA MAOMBI USIKU WA MANANE.
57:20
Просмотров 609 тыс.
AINA YA MAOMBI AMBAYO MUNGU ANAJIBU Mwl Mpoki Jafari
21:44