Тёмный

Ajabu hii jamaa adai hana dini lakini mungu wake anaishi msituni kimeumana leo 

Salim Daawah Kenya
Подписаться 50 тыс.
Просмотров 9 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

29 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 74   
@MohamedQays-s7p
@MohamedQays-s7p 3 месяца назад
Alhamdulillah Kwa Neema tul Islam hi Ni Neema kubwa Lakin watu wengi Hawa juwi
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
Alhamdulillah
@MashoAbdi-m6n
@MashoAbdi-m6n 3 месяца назад
Leo maswali mengi MashaAllah watu wa elimike
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
Inn shaa Allah
@rizikiali328
@rizikiali328 3 месяца назад
Mashallah sheikhs hata hiyo bibilia yafundisha uislamu kama kusujudu kutawadha kuvaa kanzu mashekh kadhi iddi Na mengi tu so ni dhahiri kuwa manabii wote ni waislamu wakristo motoni tuu Kwa kutosoma wenyewe wao NI kufata wachungaji tuu hasara kubwa alhamdulillah alla niimatul islam
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
Wakristo wengi hawajui wanafuata viongozi wao wanavyo sema
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p 3 месяца назад
Alhamdulillah kw neema ya uislam
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
Alhamdulillah 💖💖💖💖
@rahilyas254
@rahilyas254 3 месяца назад
Alhamdulilah ❤ Nashukuru kwa kazi nnayoifanya kuwatowa watu kwenye ujinga Wengi wamepotea sana Allah awaongoze Ameen Allah akupeni ujira na subra maana kazi sio ndogo Ameen
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
Aameen ameen ameen sote
@fatumahamisi1604
@fatumahamisi1604 3 месяца назад
Mashallah shekh Salim napenda unavowajibu wakristo maswali yao
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
Mpaka kieleweke inn shaa Allah
@HamzaAkilimali
@HamzaAkilimali 3 месяца назад
MWALIMU SALIM, UNA KAZI NGUMU, LAKINI ALLAH, ATAKUSIMAMIA. INSHAALLAH Huyo jamaa, yaonyesha ni mbishi tu, wala hajui lolote. Sawa umuuliza 2+2 atajibu 8😅😅😅Achana naye huyo. Utakesha tu huyo ni 00+000
@AntonySimiyu-b3s
@AntonySimiyu-b3s 3 месяца назад
Mashallah mwalimu, kupitia kwako twajifunza mengi
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
Masha Allah
@mwangimuhammad-sx9hb
@mwangimuhammad-sx9hb 3 месяца назад
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuhu... Maa Shaa Allah..hapo pa finger of god...weee walitetemesha sana...Allah awahifadhi nawapenda sana
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh mpaka kieleweke inn shaa Allah
@MOHDNASSOR-zv5cx
@MOHDNASSOR-zv5cx 3 месяца назад
ALLAH AKUFENYIE WEPESI KWENYE KAZI HII NGUMU YA DAAWA
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
Aameen ameen ameen sote
@estherwamaitha1006
@estherwamaitha1006 3 месяца назад
Allah awafanyie wepesi kwakila jambo
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
Aameen ameen ameen sote
@mamasiham9287
@mamasiham9287 3 месяца назад
Mashaalah ❤
@josemu870
@josemu870 3 месяца назад
Barikiweni sana sana kwa mafundisho yenye utaratibu yani mawaidha ya Koran Allahamdhullah
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
Alhamdulillah kwa neema ya uisilamu
@bahsansheikh6042
@bahsansheikh6042 3 месяца назад
Nimefurahi kukuona Sheikh Salim. Jana hukuwa kwenye daawah. Yule m bishi wa jana ilkua yataka wewe umueke sawa
@Shilangadi
@Shilangadi 3 месяца назад
Mashaallah
@SheeMaryam.M
@SheeMaryam.M 3 месяца назад
Jana I wasted my mbs huyo jamaa wa Jana msilete tena....
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
Inn shaa Allah
@SheeMaryam.M
@SheeMaryam.M 3 месяца назад
@@salimdaawah123 He's a time waster
@bmxsports581
@bmxsports581 3 месяца назад
Alhamdullilah .....laa illaha illallah
@AlhajiSaidi-uo8zl
@AlhajiSaidi-uo8zl 3 месяца назад
Jazakallhu haira
@faridbashuu
@faridbashuu 3 месяца назад
Isa Bin Maryam Mathayo 4:10 Muhammad ﷺ Surah : An Najm Aya ya mwisho 62 Allahu'Akbar
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
Masha Allah shukuran kwa ukumbusho huo
@faridbashuu
@faridbashuu 3 месяца назад
@@salimdaawah123 شكرا
@faridbashuu
@faridbashuu 3 месяца назад
😂😂😂 P.A.G ni ya Nyang'ori... Subhan'Allah Munafurahisha ( siku zote )
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
😂😂🤣🤣😂mpaka kieleweke inn shaa Allah
@mohachinku362
@mohachinku362 3 месяца назад
Mashaallah sheikh salim ❤
@mohamednurmohamed8812
@mohamednurmohamed8812 3 месяца назад
Mash ALLAH alhamdulilah Neema ❤❤❤
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
Alhamdulillah kwa neema ya uisilamu
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 3 месяца назад
Walalhykm.msalam.warahamatullah.wabarakatuh.mashekh.wetu.nahuyo.mwenye.Mungu.wamsituni.atakuta.kaliwa.naSimba🤣🤣🤣🇹🇿
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
😂🤣😂😂😂😂hii kali
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p 3 месяца назад
Allah amfugue akili
@mahmudmugarura2175
@mahmudmugarura2175 3 месяца назад
Walaikum salam warhmatillah wabarakat
@husseinmoha7959
@husseinmoha7959 3 месяца назад
Masha Allah
@AliHaji-x3e
@AliHaji-x3e 3 месяца назад
Kazi njema kutoa mwangaza wa uislamu
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
Mpaka kieleweke inn shaa Allah
@jumashindano4758
@jumashindano4758 3 месяца назад
Asante e...
@mamasiham9287
@mamasiham9287 3 месяца назад
Allhamdullilah
@ZakiyaAnwar-w1r
@ZakiyaAnwar-w1r 3 месяца назад
Asalam aleikum warahmatulahi wabarakatuh
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@AbdullahiSwalleh-x6f
@AbdullahiSwalleh-x6f 3 месяца назад
Alhamdulillah
@seifabdulwahid4579
@seifabdulwahid4579 3 месяца назад
Huyo mtt chizi
@walidsaid7807
@walidsaid7807 3 месяца назад
As kum Nauliza huyo kijana wetu msomaji ni kijana wa Ustaadh Ally? Naona wamefanana MashaAllah
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@ahmednasib8465
@ahmednasib8465 3 месяца назад
@oopsm3574
@oopsm3574 3 месяца назад
Huyu jamaa hajielewi "confused "
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
Kabisa hajui na hawajui kama hawajui
@salhkasmm558
@salhkasmm558 3 месяца назад
Huyo mungu wamsitu ni backwards bakawa
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 3 месяца назад
HayupoSaaHiiKaliwaNaFisi
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
Hahaaaaaaa 😂🤣😂🤣😂😂
@seifabdulwahid4579
@seifabdulwahid4579 3 месяца назад
Kashavuta bangi huyo dogo
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
😂🤣😂😂
@JamilaJumanne-u7q
@JamilaJumanne-u7q 15 дней назад
@@salimdaawah123😂
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 3 месяца назад
NasubiriaHapaMkristo.Atuambie.NabiiAliyekuwaMkristo
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
Hawawezi kutoa
@BashirHussein-d5c
@BashirHussein-d5c 3 месяца назад
Hapa wapi My lovely sheikh salim nataka kukuja❤
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
Ni mkuru kwa Ruben
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 3 месяца назад
Shekhe.mieNacheka.huku.na.naona.nitamaliza.mkataba.kwawepesi.kwaUwezo.waAllah.Oman.hapa..nimekujakutafutaRizk...Eti.ushawahi.ona.pichaYashekhe.namkewe.pale.msikitini🤣🤣🤣🤣🇹🇿wakristo.Wamevurugwa.hawasomi.kitabuChao
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
Mpaka kieleweke inn shaa Allah
@thechallangeboystheawadh5195
@thechallangeboystheawadh5195 2 месяца назад
Range Rover 40 million Kenya da nimeskia kweli kutoka kwa Shekh Salim au kakosea?
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 месяца назад
Yeah ziko za 40 millions
@collinstogoch761
@collinstogoch761 3 месяца назад
Mashallah
@abdullahiadan4930
@abdullahiadan4930 2 месяца назад
Masha Allah
@ahmedcaptain2347
@ahmedcaptain2347 3 месяца назад
Masha Allah
Далее
СОБАКА И ТРИ ТАБАЛАПКИ😱#shorts
00:24
ALIYESILIMU AAMUA KUTOBOA SIRI😀
58:34
Просмотров 17 тыс.
Muhadhara aina yake kakara kukuru kiwanja cha eleweka
1:15:55