Тёмный
No video :(

AJITOSA BAHARINI KUTOKA KATIKA BOTI YA KILIMANJARO 5 

KTV TZ ONLINE
Подписаться 375 тыс.
Просмотров 170 тыс.
50% 1

Mtu mmoja ambae hakufahamika jina lake amejitoza baharini leo asubuhi majira ya saa nne na nusu eneo la kisiwa cha pungume kutoka katika boti ya kilimanjaro 5 ambayo ilikuwa inatoka Dar essalam kuja Unguja.
~-~~-~~~-~~-~
Please watch: "LIVE:SHUHUDIA WAZIRI MKUU AKIWASILI UKEREWE"
• LIVE:SHUHUDIA WAZIRI M...
~-~~-~~~-~~-~ #hakikahiinifahariyetu #hakikahiinifahariyetu

Опубликовано:

 

29 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 78   
@Fetty-r4o
@Fetty-r4o 6 лет назад
Inna lillah wainna ilayhir raajiuun. Mtihaan huu. Allah ampe wepesi pmj nasi. Inaonesha lbd alikuwa na problem na alihitaji msaada...
@daprince7545
@daprince7545 6 лет назад
Allah amueke mahali pema peponi amiin
@kibongobongo4608
@kibongobongo4608 6 лет назад
Shetani ni kiumbe mmbaya sana dah!! Pengine matatizo aliyonayo yangeweza kusawazika kwa uwezo wa Allah. Allah amsameh
@salimnassor7293
@salimnassor7293 6 лет назад
Tunasikitika sna n mdogo we2 wa Pemba gombani anaitwa sleyman Rashid n mgonjwa wa maradhi ya wasi wasi
@kibongobongo4608
@kibongobongo4608 6 лет назад
Salim Nassor poleni sana Allah awapeni subra na amsameh Marehemu
@rozeeroz2515
@rozeeroz2515 6 лет назад
Mwenyezi mungu ndie Ajuae
@lutfiaalutfia1135
@lutfiaalutfia1135 4 года назад
Ina lillah waina ilaih rajuun. Alikua jiran yngu uy alie farik qlikwah umwa wasiis n alikua mfanyakz wa shirik la umeme
@gggjjahhhh9419
@gggjjahhhh9419 6 лет назад
subhnaallah jaman mungu tunusuru yaarabiih
@azizaothaman549
@azizaothaman549 5 лет назад
Ahadi yake mungu ailaze roho yake mahala pema peponi Aamiin
@zenaal-baalawy3262
@zenaal-baalawy3262 5 лет назад
Allah amjaalie amsamehe makosa yake na sisi atujaalie mwisho mwema. Pengine inawezekana pia mgonjwa matatizo hayo ya pia kuna watu ukiwaona huwajui kama wagonjwa kumbe wana mitihani ya haya maradhi ya hasada, yapo pia hayo na inawezekana vile vile kajirusha kwa mitihani ya dunia.
@suleimanali3716
@suleimanali3716 6 лет назад
Mtihani kwelikweli
@nassorchollo2406
@nassorchollo2406 6 лет назад
Mtihani kwa kweli
@victoriachesco2833
@victoriachesco2833 6 лет назад
Mungu atuongoze jmn dah
@sharifakhamis2461
@sharifakhamis2461 6 лет назад
Innaillah wainaaillah raijun daa
@khamissaleh5431
@khamissaleh5431 6 лет назад
duhh
@ummuzahrah714
@ummuzahrah714 6 лет назад
Allah atuhifadh
@MdArif-or9um
@MdArif-or9um 6 лет назад
Mauti yalikuwa yakimwitaa cjui😭😭😭innalillah
@bashirisalim2116
@bashirisalim2116 6 лет назад
innalillah
@ruqaiyahali8055
@ruqaiyahali8055 6 лет назад
Allah amuhifadhi mja wako uko alipo
@beautyone7737
@beautyone7737 6 лет назад
Hatukujua nn tatizo lake lkn ndo bc tn mungu amsaidie
@maryamalbahry1387
@maryamalbahry1387 6 лет назад
😢😢 subhanallah
@jaklinifaustini4259
@jaklinifaustini4259 4 года назад
Pumzika kwa aman🙏😥😥
@danielkwilemba4715
@danielkwilemba4715 6 лет назад
Kujiua ni dhambi, swala la peponi sisi hatuna uwezo wa kumshawishi Allah hapa wala pale muhimu watu wajue kunaumuhimu wa kujiweka tayari kwa safari hiyo. Kwakua hata sisi hatujuwi siku wala saa ya kifo.
@mamawa3mamawa321
@mamawa3mamawa321 5 лет назад
Inalillah waina ilayhi rajuun
@Alikidu
@Alikidu 6 лет назад
Kwa kwel huyo kijana alikua ameshapigwa na ugonjwa maana tangu zamani anauguwa maradhi ya wasiwasi.. Anakaa Pemba gombani nijirani yngu
@jeninunu9177
@jeninunu9177 6 лет назад
pole sana ndugu
@Alikidu
@Alikidu 6 лет назад
tushapoa... hadi sasa hajaonekana na alienda dar kimatibabu
@salummohdnyiga9760
@salummohdnyiga9760 6 лет назад
Ali Kidu polen
@rahmaally3586
@rahmaally3586 6 лет назад
Ali Kidu Allah awatie nguvu ndng na jama wote jmn polen xan mtiani mzito huo jmn dah inaxikitixha xana xijui alikua anaomb mxahada wanini jmn dah xijui alikua anajixikiaje wallah inaxikitixha xana wallah
@Alikidu
@Alikidu 6 лет назад
alikua anaomba msaada wa kukamatwa ili aokoe maisha yake.. maana alijua hayuko sawa.. yeye alikua na ugonjwa wa kurukwa na akili
@alimaalima6016
@alimaalima6016 6 лет назад
Mungu amuhifadhi mja wake mahali popote alipo
@minangomanoti6097
@minangomanoti6097 6 лет назад
Alima Alima iyo pepo sio kusema 2
@swalehechan2630
@swalehechan2630 6 лет назад
inawezekana alikuwa na msongo wa mawazo tatzo hakutaka kusema
@rayambarouk9972
@rayambarouk9972 2 года назад
Mauti hayakimbilik sawa alisema asaidiwe lkn ilikuwa allah kashapanga na ndomaan akapat mda wakuondok bila kuzuiwa na mtu yyt
@rahimarajab4306
@rahimarajab4306 6 лет назад
Mtihan
@ahmedyoung7300
@ahmedyoung7300 6 лет назад
Duh
@ummuzahrah714
@ummuzahrah714 6 лет назад
Tenaaaa mwengineeee mbn balaaaaa
@khamistano4848
@khamistano4848 3 года назад
Inaonesha wazi kwa Hali aliokuanayo Ni kwamba ana matatizo ya kiswahili huyo , hata Mimi pia nilimshuhudia mtu mwezi uliopita alichupa kwenye jahazi wakati tukitoka bagamoyo kuingia malindi unguja Tena amechupa wakati tumeshaingia maeneo ya mbele ya forodhani . Ila yeye alikua na matatizo ya kiswahili Kama huyo . Ila sisi tulimpata muda huo huo.
@joycemashikolo9096
@joycemashikolo9096 6 лет назад
Lakini nanyi ndugu zangu mmefanya uzembe kidogo mtu anakuambia nisaidie kisha unamuuliza ananyamaza hamkuona km tayari anashida?Basi tena imeshatokea.
@mamydame7121
@mamydame7121 6 лет назад
njoo Tuijenge inchi hakujieleza asaidiwe nn...angesema ndo ungelaum
@flyhigher5393
@flyhigher5393 6 лет назад
njoo Tuijenge inchi ni kweli wajinga sana kwa maelezo waliyoyatoa ilikuwa watoe taarifa kuhic mtu hayuko sawa ila yanaongea kama maboya vile
@joycemashikolo9096
@joycemashikolo9096 6 лет назад
Mamy D Ame sikushangai sana maana wewe ni sawa na hao walio mwacha mwenzao akapoteza maisha.mtu anakuambia nisaidie kisha ananyamaza huwezi kuhisi kweli anahitaji msaada wa ziada wewe km uko timamu inabidi utumia njia ya ziada.
@joycemashikolo9096
@joycemashikolo9096 6 лет назад
Abdul Gingo kabisa bro yaani nilisikia asira sana niliposikia maelezo yao.bora ata wangenyamaza tu.
@mamydame7121
@mamydame7121 6 лет назад
njoo Tuijenge inchi....usilaumu tu ndugu...maisha ni matatizo na changamoto nyingi....na mtu huwez kujua siri ya moyon mwake mpaka akuelezee ndo utajua km huyu kweli anahitaj msaada....sasa labda ungeisikiliza hio clip vizur ndugu halaf ndo ungelaum....anyways ndo imetokea lkn muhusika alikuwa aseme jaman mm nna tatizo hili naomba munisaidie...lkn yy hakusema asaidiwe vp...sasa mtu km uyo utamuelewa vp mmh!!????
@iliyasamanzi5667
@iliyasamanzi5667 5 лет назад
Nawausia Na kuakumbusha hasira ni hasara Allah atunusuru
@katherinebritish8281
@katherinebritish8281 3 года назад
Sio hasira uyo mtu alkuwa na maradh ya wasiwasi ni jirani yetu mkaazi wa gombani chake chake pemba
@salehsuleiman1218
@salehsuleiman1218 5 лет назад
Itabid mpige debe inawezekana wengine wanashuka njian wameshafika hao
@dhiabmohammed4238
@dhiabmohammed4238 5 лет назад
Subhanallah masihara na misiba
@fatmajumaa1069
@fatmajumaa1069 5 лет назад
Kweli kazi yamungu haina makosa
@hamnakituumupumbatupumohd8505
@hamnakituumupumbatupumohd8505 5 лет назад
shabiki wa Chelsea?
@zaitunikijumu9612
@zaitunikijumu9612 6 лет назад
Rip
@ibrahimothmansuleiman5330
@ibrahimothmansuleiman5330 6 лет назад
mngeliacha life
@mahersaid258
@mahersaid258 4 года назад
Wacha roho yakishetan ww
@sheebqpsheebqp8314
@sheebqpsheebqp8314 6 лет назад
Shetani huy daa
@bjzee1981
@bjzee1981 6 лет назад
Sasa na nyinyi dakika 45 mnazunguka bila kuita waokoaji jamani vipi hapo .
@jaklinifaustini4259
@jaklinifaustini4259 4 года назад
Hata kama ni ugum wamaisha jaman
@hawamsuya9770
@hawamsuya9770 4 года назад
Jmn pepo hilo
@jenijeni9785
@jenijeni9785 5 лет назад
Huyu si ndo yule alojirusha akaokelwa na wavuvi kwenye kidau?kwenye video ile alikuwa ni kijana mwenye umbo kubwa hivi! Au huyu ni mwengine?
@daudipaulomatanga6479
@daudipaulomatanga6479 5 лет назад
kajizuru mwenyewe huyo
@khamiskhamis5323
@khamiskhamis5323 6 лет назад
Sasa mtu ashasema nisaidie kwa kumuuangalia tuu kwa macho hujajua tuu nini kinacho msibu,,amakweli kila mmoja na kichwa chake na akili yake,,,ila kila jambo na sababu yk huwez kupinga alipangalo Jalia,,zake zime fika Allah atuhifadh na adhabu zk mana mhhh uko tunapo kwenda si mchezo,,kila abiria achunge mzigo wke,,
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 6 лет назад
Siku zimefika au wachiwi washamla supu ..
@jeninunu9177
@jeninunu9177 6 лет назад
your are silly man!! ungesema hivyo kama nindugu yako?
@rahmaame1700
@rahmaame1700 6 лет назад
Kajitupa mwenyewe muacheni ukoo atajijua na mungu wke
@salimnassor7293
@salimnassor7293 6 лет назад
Rahma Ame Nashkuru kwa kejeli yco kma n mdogo wco wenge ongea ivyo uyoo n mdogo we2 anaumwa na maradhi ya wasi wasi kma ki2 hamukijui musiongee ovyo
@rahmaame1700
@rahmaame1700 6 лет назад
Salim Nassor mtangazaj hajasema km anaumwa na nyie mshajua mgonjwa mumemuacha asafir pekee yke vp. Maom yngu sina nia ya kukejel hakuna mkamilif
@najma3268
@najma3268 6 лет назад
Rahma Ame usiongee hivyo ndugu yangu kabla hujafa hujaumbika , kikubwa tumuombee tu maana hujui kilichomkuta yawezekana siyo akili yake
@fadhilimlingi6192
@fadhilimlingi6192 6 лет назад
Salim Nassor sasa ninyi Ndugu mnajua kabisa Ndugu yenu anamaradhi, kwa nn mmemuacha akasafiri mwenyewe tu? Halafu leo mnasikitika, si unafiki huo?
@fadhilimlingi6192
@fadhilimlingi6192 6 лет назад
Rahma Ame wala sio kejeli, kwa nn ilihali wakijua Ndugu yao anamatatizo ya wasiwasi wakamuacha akasafiri peke yake ? Halafu wanajifanya wanasikitika
@ibrahimothmansuleiman5330
@ibrahimothmansuleiman5330 6 лет назад
kamamm ndo baharia ningeliacha
@bashirisalim2116
@bashirisalim2116 6 лет назад
innalillah
@ziadaalute6836
@ziadaalute6836 6 лет назад
Rip
@husnauthman7609
@husnauthman7609 6 лет назад
Kwan hakunaga walinzi
Далее
Chelsea gym be like.. 😅⚽️
00:20
Просмотров 14 млн
BOMOA BOMOA  YAZUA VURUGU ZANZIBAR
8:03
Просмотров 64 тыс.