Uhuni natija yake hasara. Ubabe mwisho wake ni majuto. Hapa pana fundisho pande zote mbili. Usalama barabani baadhi yao wanakiuka sheria. Kwa hiyo JKU ukiukaji wao waloufanya iwe ni fundisho kwa askari wa usalama barabarani. Nao JKU wameona faida ya ubabe.
Wawindeni muwanaseni muwachinjeni muwabanike, mleni nyama zawo wala uzisheni kwa wale wala nyama za mamba. Zinafanana na kabila la mamba wa mto Nile. Hawo ni wakali sana tena wanarefuka sana. Jamenie safisheni huyo mto. Ni mchafu sana, la sivyo, mtaasirika na magonjwa mabaya sana na kufariki kwa uwingi kabla hamjaliwa na mamba.
Asubutu , Ajira , Madini, Uchumino , pemba ? mbee hamna kitu 😳😳watu wallah wamechoka wananuka umasikini hadi unalia pemba leo yanazuka madini baada ya Petrol hamna liwalo nusu karne sasa