Тёмный

AL RAHMAH SCHOOLS LABORATORIES 

Al-Rahmah Complex - Tanzania
Подписаться 116
Просмотров 989
50% 1

AL-RAHMAH SCHOOLS
Tazama Maabara za shule za Al-Rahmah zilizokamilika kwa vifaa na kemikali za kutosha kufanyia majaribio mbali mbali ya Kisayansi.
Karibu Ujifunze nasi.
Nafasi ni chache, wahi sasa kupata nafasi ya kujiandikisha kwa mwaka wa Masomo 2022.
☎️ Wasiliana nasi au tupigie kupitia nambari:
👉🏽 Al-Rahmah Pre & Primary School:
📞 +255 677 330 099
👉🏽 Al-Rahmah Secondary School:
📞 +255 677 990 033
👉🏽 Al-Rahmah Development Complex:
📞 +255 673 526 644
au fika shuleni, Mkuranga mkoa wa Pwani, Karibu na shule ya msingi Ngunguti, kilomita moja na nusu (1.5 Km) kutoka barabara ya Kilwa. Vilevile ni kilomita Sitini tu (60 Km) kutoka Dar-Es-Salaam.
Bonyenza Link hii hapa chini kuona Location yetu katika Google Maps
👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽
maps.app.goo.g...
Pia Tutembelee katika kurasa zetu kujionea zaidi
Facebook:
/ alrahmahcomplextz
Instagram:
...
🔮 AL-RAHMAH SCHOOLS 🔮
🔅 Always The Best 🔅
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#alrahmahschools
#elimu
#knowledge
#maadili
#islamicschools
#muslim
#alrahmahadevelopmentcomplex
#alrahmahcomplextz
#alrahmahcomplex
#kusoma
#masomo
#school
#schools
#success
#learning
#internationallearning
#technologyaidedlearning
#technologicallearningfacilities

Опубликовано:

 

16 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 8   
@khadijashabani5509
@khadijashabani5509 11 месяцев назад
Nzuri ada bei gani
@alrahmahschools
@alrahmahschools 11 месяцев назад
Asante kwa kutufikia na karibu sana Al-Rahmah Schools. Naomba Wasiliana nasi kupitia Nambari 0673526644 kwa Maelezo ya kina kuhusu Ada na mchanganuo wake.
@jawehiralharthy4413
@jawehiralharthy4413 10 месяцев назад
Assalam alaikum warahmatullah wabarakatuh hii shule ina form five na six
@nasramohamed4923
@nasramohamed4923 Год назад
Al Rahma the best,, Allah awaongoze daima
@faridaabdallah7424
@faridaabdallah7424 Год назад
Ni nzuri hii shule? Naomba uthibitisho nimpeleke mwanangu
@alrahmahschools
@alrahmahschools 11 месяцев назад
@@faridaabdallah7424 Karibu sana Al-Rahmah. Tunakualika kututembelea na kujionea mazingira ya shule ili ujiridhishe mwenyewe. Shule zetu zina ithibati kutoka Shirika la Viwango vya Kimataifa (ISO - International Standard Organization)
@faridaabdallah7424
@faridaabdallah7424 11 месяцев назад
@@alrahmahschools ada shngap kwa secondary form one boarding mpk form 4
@alrahmahschools
@alrahmahschools 11 месяцев назад
@@faridaabdallah7424 Naomba Wasiliana nasi kupitia Nambari 0673526644 kwa Maelezo ya kina kuhusu Ada na mchanganuo wake.
Далее
MTAZAMO WA KUCHANGANYA QUR'AN NA MASOMO YA SHULE
9:36
Просмотров 1,5 тыс.
Outsmarted 😂
00:20
Просмотров 4,1 млн
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
Просмотров 468 тыс.
Lakewood Premier School 2021
4:25
Просмотров 4,2 тыс.
IFAHAMU SHULE HII: AL RAHMAH SCHOOL
2:47
Просмотров 8 тыс.
Madrasat al-rahman mkuranga ikifanya maulidi yao
1:07
Просмотров 1,2 тыс.
IMAAN PRIMARY SCHOOL 2023
1:24
Просмотров 410
AL-RAHMAH SCHOOLS 2023 ADMISSION NOW OPEN
1:01
Просмотров 1,8 тыс.