Тёмный
No video :(

ALAIGWANANI OLESUMUNI ATUNUKIWA TUNZO MTI-MMOJA. 

OLDONYO MEDIA
Подписаться 826
Просмотров 6 тыс.
50% 1

Viongozi wa mila maarufu kama Malaigwanani ndani ya jamii ya kimaasai wametakiwa kudumisha Amani na Upendo ndani ya jamii hiyo.
Hayo yamesemwa na Daniel porokwa aliyekuwa katibu wa waziri mkuu mstaafu Edward lowassa katika sherehe maalum ya kustafishwa kwa Alaigwanani Leboi Olesumuni ambaye amehudumu katika nafasi hiyo tangu mwaka 1999 hadi 2024 kijiji cha Mti mmoja kata ya Sepeko.
Sambamba na hayo Viongozi hao wametakiwa Kuwa Na ofisi Ili waweze kutunza kumbukumbu , Na kudumisha Amani na kuacha Mgawanyiko katika jamii.
Ikumbukwe kuwa Alaigwanani Leboy Olesumuni Ameamua kustaafu mwenyewe ili Viongozi wengine Wapate nafasi ya kuhudumu katika jamii kwa Nafasi hiyo.

Опубликовано:

 

22 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 2   
@MiriumLemayan
@MiriumLemayan Месяц назад
Hongera sana kakangu Daniel Porokwa umenena vyema na hongera kwa laigwanani...
@winnermatei792
@winnermatei792 Месяц назад
Congratulations Alaigwanani Ole Sumuni.
Далее
would you eat this? #shorts
00:39
Просмотров 723 тыс.
ILAISER - NASINYA NDOOKI
11:07
Просмотров 11 тыс.
Jambo la kihistoria Lafanyika kwa Wanawake wa Kimaasai
5:18
intoyie ormamasita ILKEYIANI wafanya yao tena
7:34
Просмотров 9 тыс.