Тёмный
No video :(

"TULIA UTATUKUTA 2025,UNAJISAHAU SANA,ACHA KUJIKOMBA,PUNGUZEN KODI KWA WAFANYABIASHARA" MWAMBIGIJA 

IPINDA ONLINE TV
Подписаться 14 тыс.
Просмотров 28 тыс.
50% 1

IPINDA ONLINE TV..........Asante kwa Kuchagua Ipinda Online Tv..........usisahau Kusubscribe Channel yetu

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 31   
@jumajukikoti8133
@jumajukikoti8133 2 месяца назад
Asante sana sana Mwambigija unanikosha sana speech zako!!!! Unanifanya nisijute kuwa mwanachadema.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 месяца назад
Sanaaaa mwambie Tulia amuache Mpina kabisa mtetezi wa Wanyonge mwambie
@AndreaMussa-x9h
@AndreaMussa-x9h 2 дня назад
Nimekupenda Bure baba
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow 2 месяца назад
Kweli barabara ni shida sana Tanzania daaa magufuri angekuwepo
@VianeMakarious-lt3is
@VianeMakarious-lt3is 2 месяца назад
Huyu mwamba noma sana.
@josephkmarwa7425
@josephkmarwa7425 2 месяца назад
Mpina..wewe..ni..mfano..mwema.kwa... wananchii..utakubumbukwa..nakila..mtu..,🙏🙏🙏🙏🙏
@valenakomba7686
@valenakomba7686 2 месяца назад
Yeye huyo na mwenzake Jenista muhagama. Wako hapo tuu hawaendelezi mikoa yao. TUWAOMBE WATANZANIA IFIKAPO 2O25, TUSIFANYE MAKOSA KATIKA KIPIGA KURA, LA SIVYO MIAKA MITANO MINGINE IJAYO TUTAKOMAA. NA NDO WATAKOMBA MBOGA BILA UGALI.
@HassanKibwana-h3w
@HassanKibwana-h3w 24 дня назад
Good
@JacksonFrances
@JacksonFrances 2 месяца назад
Piga Spana CHADEMA Kwa hoja Zenu Nzuri dhidi ya utawala wa Chama Kibovu CCM Mpaka tuwaondoe Wanyang'anyi CCM "
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh 4 дня назад
Meseg sent
@geofreymwanshuli4344
@geofreymwanshuli4344 22 дня назад
Walimu 😢😢😢mh
@mwanagwakyala3213
@mwanagwakyala3213 2 месяца назад
nimepita mbeya mjini kiukweli nimeona ujenzi unaendelea huko mahali pengine ahsante kwa kumkumbusha ,umeongea vizuri sana ktka hali ya kupigania maendeleo yetu wote
@user-my7fj6wn7y
@user-my7fj6wn7y 2 месяца назад
Storia inaandikwa je, hapo umeme washida barabara shida maji,nikiu tupu, elimu ni,kichaka tupu,
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 2 месяца назад
Mwambigija anaongea na kueleweka vizuri,ila tahadhali ni kwa chadema kuwa makini kuhakikisha hakuna machawa na mamluki wa ccm ndani ya chama!
@DaudiSanga-m5o
@DaudiSanga-m5o 13 дней назад
CCM bila dora sera kwa kweli hamna kabisa twambieni makandalasi wa barabara mbeya je, wameshamaaliza?
@charlesphilipo3533
@charlesphilipo3533 2 месяца назад
Huyu ni mnafiki namba 1
@daudimaniseli759
@daudimaniseli759 2 месяца назад
Humstari nimgumu sana kwakila....alie lala USINGIZI je?? Ulitufanyia nini?? Hapa jimboni?? Mhhh....nauogopa sana hili swali...watu wakiulizwa,,na jibu lake huwaga nilefusanaaaaanaa,,ila ukweli ni jibu fupi sana..KWA NIWEWE HUONI NILIYO YA FANYA...
@EliaoniTerry
@EliaoniTerry 2 месяца назад
Huyu hatufai chadema, ni muda tu ataunga juhudi siku tulia akimhakikishia bahasha. Anawezaje kumshawishi mbunge wake achukue hela za umma apeleke kwake kama magufuli??? Huyu chadema kuweni macho nao.
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd 2 месяца назад
Kumshauri Tulia kufanya MAENDELEO NYUMBANI HATA IKIWA KWA UBADHIRIFU WA FEDHA ZA UMMA HAIKUBALIKI KABISAAAA!!! MIMI NIMESIKITISHWA SANA NA KAULI YA MWAMBIGIJA!!! BASI HAKUNA MAANA KUISHANBULIA CCM KWA UFISADI. MIMI NI WA RUNGWE LKN SIUNGI MKONO.
@EphraimMwandemange
@EphraimMwandemange 2 месяца назад
Huyu jamaa ni. Chawa wa tulia halo ni danganya toto
@leokamil6284
@leokamil6284 2 месяца назад
Ni kweli hata mimi nimemsoma sura yake inawalakini ni kweli huyu wakumtizama kwa jicho la kipekee
@SurprisedFullMoon-gg9vu
@SurprisedFullMoon-gg9vu 2 месяца назад
Kamwambia ukwel"shida watz hawajitambuiii
@EzekiaMtwale
@EzekiaMtwale 2 месяца назад
Jaman kiukwel co Kila asemae people's kuwa ni mfuasi wengine tuwaangalie! kwa umakini, sababu hiyo speech yake! mmh!!!
@joshuandabazaniye7642
@joshuandabazaniye7642 2 месяца назад
MZEE WA UPAKO NIMKUPATA
@geofreymwanshuli4344
@geofreymwanshuli4344 22 дня назад
❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉
@barakanyanchama4297
@barakanyanchama4297 2 месяца назад
Hii serekari yasaivi imependa rushwa kuriko maendeleo ngoja tuone 2025 watakuja waje kutudanganya nini
@BenjaminiEdward-zh7zt
@BenjaminiEdward-zh7zt 2 месяца назад
CCM mnazidiwa akili na paka anemwacha panya Mwenye mimba
@DaudiSanga-m5o
@DaudiSanga-m5o 13 дней назад
Mzee wa upako mwambie dada yako ukweli
@user-wu2du6jy5c
@user-wu2du6jy5c 2 месяца назад
Ivi yabandari yameanza Barbara afazar nishabikie mpira siasa nikualibiana
@user-ji1mq4sk1n
@user-ji1mq4sk1n 2 месяца назад
mama yake amesha muhamisha yupo Dar.
@user-bz5ti6op6z
@user-bz5ti6op6z 2 месяца назад
Hizo siyo sera kwani wewe umeweka rami kwa mamaako
Далее