Тёмный

ALI KAMWE ATEMA MADINI MAPYA/RIPOTI YA TIMU IKO HIVI/AKATISHA TIKETI MWENYEWE UWANJA WA AMAAN/JIONEE 

Yanga TV
Подписаться 678 тыс.
Просмотров 17 тыс.
50% 1

#DaimaMbeleNyumaMwiko #TimuYaWananchi

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 41   
@Shebe_traLove
@Shebe_traLove 10 часов назад
Kazi kazi semaji muna fanya kazi nzuri san tuko na nyinyi kila hatua
@AminoKhalif
@AminoKhalif 9 часов назад
Kazi nzuri Ali kamwe mungu akulinde raha sana wananchi inshallah tutashinda daima mbele 💚💛💚💛💚💛💚💚💚💛💚💛💚💛💚💚💚💛💚💚💚💛💚
@salvatorymushi2038
@salvatorymushi2038 9 часов назад
Kazi nzuri sana mwalimu wetu na semaji la dunia
@fatmasuleiman3885
@fatmasuleiman3885 8 часов назад
Allahamdulillah kazi iendeleee In sha Allah kwauwezo wa.mwenyezimungu tuta shinda🤲🤲
@fatmaomar8335
@fatmaomar8335 9 часов назад
Kila la kheri inshaallah daima mbele nyuma mwiko Allah a2fanyie wepesi tupate ushindi wa magoli mengi 💛💛💛💚💚💚
@5googleuuu727
@5googleuuu727 10 часов назад
MWALIMU. ALLY SHABAN KAMWE. MUNGU AKULINDE NA MABAYA NA AKUJALIE AFYA DAIMA. TUNAKUOMBEA DUA NJEMA 💚💛💚💛💚💐💐💐💐💯
@HajiHaji-v9f
@HajiHaji-v9f 7 часов назад
Ewe mungu tuondolee husda kwenye timu yetu amin
@agapitymavunde7371
@agapitymavunde7371 10 часов назад
Unyama Sana
@Mawejr2012
@Mawejr2012 10 часов назад
Mwalimu Shaban Ally Kamwe
@jelasnkoma4240
@jelasnkoma4240 10 часов назад
Yanga Bingwa
@aziziabeid6052
@aziziabeid6052 8 часов назад
Mwenyekiti teacher
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 10 часов назад
Yanga bingwa
@TatuHusseni-hs7mu
@TatuHusseni-hs7mu 9 часов назад
Daima mbele nyuma hapana
@Mwanahawamwaka
@Mwanahawamwaka 3 часа назад
Nakukubali sana ally kamwe semaji la watu mbaka wanyama💚💚💚💛💛💛💚💚🖤💯💯👊✊👊👊
@micksonmick3036
@micksonmick3036 7 часов назад
👏👏👏💚💚💚
@BerryMohamedi
@BerryMohamedi 9 часов назад
🏆
@ZaydShafii
@ZaydShafii 4 часа назад
Kazi njema yang africas
@amaniomar1755
@amaniomar1755 4 часа назад
Mwenyekiti wa wasemaji 🎉🎉🎉
@JofreyMtama
@JofreyMtama 6 часов назад
Mungu ijalie timu yetu
@yusuphally6420
@yusuphally6420 9 часов назад
Kama itakuwa Full House basi wekeni Big Screen nje ya uwanja wa Amani watakao kosa waangalie mpira hapo nje. SHUKRAN
@omarymtotela3751
@omarymtotela3751 36 минут назад
Nakubali sana
@mbarakashabani3574
@mbarakashabani3574 8 часов назад
Pamoja
@RashidKidume-w8e
@RashidKidume-w8e 10 часов назад
Leo mimi wa kwanza ninaomna niulize swali nahitaji kupata maji ya GSM nitayapataje au yanapatikana wapi
@JoshuaKashongole
@JoshuaKashongole 10 часов назад
Wow wa kwanza leo😂
@salvatorymushi2038
@salvatorymushi2038 9 часов назад
Tunaomba maelekezo ya kukiunga na uanachama afu pia ...Kuna kipindi mlikuwa matoa muongozo ila hatukuwa na pesa Leo tumepta😅
@user-wz1vn9mn1f
@user-wz1vn9mn1f 10 часов назад
Mm ndo mtu wa kwanza kuangalia hii na mm nipo humo kwenye video nakata zangu ticket na siringi
@radhiamussa1629
@radhiamussa1629 10 часов назад
Nawatakia ushindi mnono wapambanaji wetu umakini unahitajika na utulivu pia tumieni nafasi mnazozipata kwa usahihi na pia kukifanya yanga ya kimataifa iogopeje sio ligi tu yaani linapofika swala la kimataifa msilete utani kabisa tuitetemeshe dunia
@RashidKidume-w8e
@RashidKidume-w8e 10 часов назад
Swali langu la pili jezi mpya zimekuja kwani mwa manzo nilipata moja tu nazihitaji zingine tatu hasa hizo wanazofanyia mazoezi wachezaji
@eduardogodian6861
@eduardogodian6861 4 часа назад
Siku Hiyo ni Kushangilia Mwanzo Mwisho ,hakuna kukaaaaa
@AdrianaRobert-o4k
@AdrianaRobert-o4k 7 часов назад
Furaha haizeeshi, enjoy Alli kamwe, huzeeki
@pambaboniface1199
@pambaboniface1199 10 часов назад
Good luck the Best team
@radhiamussa1629
@radhiamussa1629 9 часов назад
Pia tuige mifano ya waarabu wanashangilia timu Yao mwanzo mwisho hawasubirii mpaka wafunge goli
@kalingavictor7068
@kalingavictor7068 8 часов назад
😂😂Ally Kamwe, wewe ni msemaji bora sana nchini Tz😂
@mwajumampokileomckapela7541
@mwajumampokileomckapela7541 5 часов назад
💛💛💛💛🖤🖤🖤🖤💚💚💚
@AchileusNshekanabo
@AchileusNshekanabo 10 часов назад
🫶🫶🫶👏👏👏
@HerryMohammed-o5q
@HerryMohammed-o5q 4 часа назад
Hivi kama mtu unahii kadi na sihitaji kadi nyengine sasa itakuaje
@JofreyMtama
@JofreyMtama 6 часов назад
Mambo yame damsh pale nzanzibar
@abdallahhemed6785
@abdallahhemed6785 10 часов назад
😂😂😂 Yang Americans
@GoodluckJeriko
@GoodluckJeriko 8 часов назад
Wananchiiiiiiiiiiiiiiuuuuuuuuj
@GoodluckJeriko
@GoodluckJeriko 8 часов назад
Eee
@dullahdullah2344
@dullahdullah2344 5 часов назад
6:23 .
Далее
Добрая весть 😂
00:21
Просмотров 559 тыс.