Тёмный

KWA MARA YA KWANZA MKUU WA SHULE AONGEA KUPOTEA KWA MWANAFUNZI, AELEZA HATUA ZILIZOCHUKULIWA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 3,7 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 20   
@ttss7716
@ttss7716 2 часа назад
Masomo mengine achaneni nayo kutafutia wanafunzi bala na masaibu kwa wazazi milimamani kuna mambo mengi 😢😢utoe pesa na mwanao apote me wangu uwa sikubali mtandao uko wazi si enzi za zamani mpaka muende wafanya utafiti mweyewe na simu ama labtop wengine wataka kutoa kafara 2😢😢😢😢😢
@user-gu3px5me6u
@user-gu3px5me6u 3 часа назад
Pole Sana mkuu,poleni sana walimu na wazazi wa Joel, Mwenyezi Mungu akamlinde aliko apatikane mzima
@alawi-n2n
@alawi-n2n 2 часа назад
Jamani Mm Ni Mtu Wa Tanga Uyo Kina Aliepotea Uko Mlimani Kunaushirikina Apo Watu Wabaya San
@josephlorri431
@josephlorri431 Час назад
Ni changamoto za kazi, wote kwa imani zetu tuzidi kuomba Joel apatikane
@VeronicaMacha-pl3xt
@VeronicaMacha-pl3xt 51 минуту назад
Ee Mungu wa huduma mlinde huyo kijana apatikane akiwa hai.
@alawi-n2n
@alawi-n2n 2 часа назад
Uyo Kijana Alice Potea Ayo Ni Mambo Ya Kishirkin
@petro8010
@petro8010 3 часа назад
Mkuu row call unayoongelea ni ipi wakati mtoto abainika mapema tu mlimani kuwa hayupo. Hata vijana wenzake huko huko mlimani waliliporti mwenzao hayupo
@jaytalented_tz
@jaytalented_tz 3 часа назад
Usiongee kama ulikua nao kaka, kikubwa tumuombe Mungu Joel apatikane akiwa mzima na ajiandae kwa mitihani wiki tatu zijazo
@FatmaHamad-g6s
@FatmaHamad-g6s 3 часа назад
Mungu jaalia apatikane anawapa watu kihaihai
@MAGRETHSANDO
@MAGRETHSANDO 2 часа назад
Walimu wako ni wazembe...kwenye kuwaongoza wanafunzi...
@chesconkwera2005
@chesconkwera2005 3 часа назад
Mkuu Acha ulofa wako ulikuwa wapi
@mataypanga5262
@mataypanga5262 2 часа назад
Unajua mkiwa porini pengine mtu anaweza kwenda haja,na kama ndiyo anaweza kuarifu mwenzake. Ila kama harudi baada ya dk 10 kuna haja ya kwenda kumuita.Sasa hiyo ya kwao sijui,huyo dogo waligundua hayupo baada ya muda gani
@dotomanda-h9q
@dotomanda-h9q 2 часа назад
Amechukuliwa msukule huyo
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq 3 часа назад
Maskini 😢
@FurahaMbuya-ut9yi
@FurahaMbuya-ut9yi 3 часа назад
Tokea jmosi mwanafunzi kapotea leo ndio unakuja kujiongelesha apa tunamtaka ndugu yetu kwasababu uzembe ni wawalimu wenu kutokua na ulinzi mkubwa kwahao wanafunzi
@josephlorri431
@josephlorri431 Час назад
Wapo walioongea.. waalimu wengine, wanafunzi, wapanda milima..nafikiri mkuu alikuwa kwenye mshtuko kidogo siku za mwanzo. Bagara ni kati shule yenye waalimu makini
@ubuntubantu2404
@ubuntubantu2404 3 часа назад
Kwa umri wa kijana ni wa kujitambua. Nina imani atakuwa hai.
@alfoncejohn2104
@alfoncejohn2104 Час назад
Kwani wanaopotea wanakuwa hawajitambui?
@alfoncejohn2104
@alfoncejohn2104 Час назад
Angekuwa mtaani asingepotelea mlimani naona mnaangalia pllan B.JOEL siamini kama YUPO mtaani TAARIFA imesambaa Tz na Dunia nzima atajificha WAPI?TUANGALIE KWA JICHO LA PILI
@betty4o43
@betty4o43 2 часа назад
Huyo kijana nikaa hataki kusoma amejificha😮
Далее
LIVE: P. Diddy Trafficking Indictment - Bail Hearing
3:23:16