Тёмный

ALICHOANDIKA P DIDDY KWA MARA YA KWANZA TOKA AKAMATWE 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 97 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

21 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 89   
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 5 дней назад
Ngono wanafanya wengi tu tena hao wazungu wana support ushoga sema wanachuki zao binafsi
@MwajumaJuma-x8o
@MwajumaJuma-x8o 5 дней назад
Nampenda P DlDy❤
@habibangoma
@habibangoma 5 дней назад
Nakuombea Kwa MWZ/MUNGU Kwa uwezo wake utatoka gerezani na utakuwa huru❤❤❤
@AbdulhamiidKalumuna
@AbdulhamiidKalumuna 5 дней назад
Atoke aende wspi?
@PrettyMarie81
@PrettyMarie81 5 дней назад
@@AbdulhamiidKalumunaataaamua yye ila atoke
@gannygibhe
@gannygibhe 5 дней назад
Amiin
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 5 дней назад
Bado yupo hai Anayo nafasi yakutubu Allah mtukufu tunamuomba woote tufe mwishon mwema lnshaAllah
@joymkenya2359
@joymkenya2359 5 дней назад
Shindwe katika kina la yesu😅
@hamadmussa2786
@hamadmussa2786 5 дней назад
Marekani inaubauguzi wa rangi sana p didy nimweusi ndiomaana wanamletea tuhuma ambazo zinamchafuli katika maisha yake awo wote walikuaga wapi siku zote saizi ndio wanayaona matatizo yake
@Mayasa-o2w
@Mayasa-o2w 5 дней назад
pengine na nikweli kama hio ndio tabia yake toka mda mrefu nikwanini watunado walikua wakienda kwake yani mtu unajua ukifika kwake atakufanya kitoeo nikwanini uende mh mjuzi wayalio jificha na yalio dhaahri anajua km kasingiziwa ama kama alikua ndio tbia yake yeye anajua na atahukumu
@zeinabjuma9389
@zeinabjuma9389 4 дня назад
Means all blacks wil face this juu bill cosby pia alituhumiwa n case za urongo Whites ppl thy cn put down even if ur born there
@shedrackmolell6669
@shedrackmolell6669 День назад
Mngu amlinde maana hajakosea kama mikundu wazungu ndo waloanza na wafrika wakaipenda hiyo so wamuachie mkaka wawatu
@aediaygo8546
@aediaygo8546 5 дней назад
MTU wa peponi Diddy akili nyingi duniani kamaliza starehe zote Sasa anataka Za peponi kaomba mwenyewe wamuweke huko ili apate kuomba msamaha Kwa mungu wakimpa miaka 30 akitumia vizuri Pepo itamuhusu😊
@Khannatrahmadi
@Khannatrahmadi 5 дней назад
nyooo
@mdachiog5211
@mdachiog5211 5 дней назад
Kama kweli hivi🎉
@hanifa9153
@hanifa9153 5 дней назад
Allahumma amjaalie kauli thabit na wote wanaosilim gerezani. Allah ampe muongozo aijue njia sahihi naapa akiwa muislam ata pata raha sahali hko gerezan😋
@edithandunguru3405
@edithandunguru3405 5 дней назад
​@@hanifa9153kweli kabisa hata gerezani kwetu huku waislamu tuna raha sana
@sadamissa5687
@sadamissa5687 5 дней назад
Mungu anasamehe we fala😂😂​@@Khannatrahmadi
@Rennyanselim
@Rennyanselim 5 дней назад
Diddy aachiwe atuoni kosa lake yote ni mchongo tu kumchafua
@lucasmhagama8166
@lucasmhagama8166 4 дня назад
Unao ushahidi?
@YUSERIIZEFANIA
@YUSERIIZEFANIA 5 дней назад
achiwe mana hakuna aliye mfata kwake wote Wana mfata wenyewe
@mylasadick5189
@mylasadick5189 5 дней назад
Thank you
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 5 дней назад
Hivi imekaaje hapo!!!! Marekani mnaruhusu ushoga, Kisha mnafungulia blackstars kesi za mafuta!! Mbona siwaelewi😮😮😮
@officialgakankara
@officialgakankara 5 дней назад
😂😂😂😂
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 5 дней назад
@@officialgakankara labda akishinda Kamala Harris Atawaachia,, Maana sera yake anasema atawaongeza uhuru wa kujiamlia kila jambo
@EliudWiston
@EliudWiston 5 дней назад
Mwamba yupo uraini katulia tuli sisi ndo tuna hagaika too yupo gerezani gerezani
@JamesMwandoje
@JamesMwandoje 5 дней назад
Daaaa...😢😢😢😢😢 Muacheni jmn
@IreneShadrack-p6c
@IreneShadrack-p6c 4 дня назад
Ila diddy ni mzury jaman ni handsome boy ana lips za maana kabisa m naona wanamsingizia kwasababu ye ni mweusi
@cosrevynewchord2022
@cosrevynewchord2022 3 дня назад
Mimi kama mtanzania naomba shemeji yetu aachiwe huru maana dada diamond atateseka na tyari alikua kishaanza kuutafuta ufalme wa utajiri dunia nzima
@FredrickMatiku-xf2uk
@FredrickMatiku-xf2uk 5 дней назад
P.didy mbonaaa alitoka jela kwa dhamanaaa ya bilioni 200 na jana tu tulikuwa nae kwake tukala na tukanywa tukacheka baadae akatuambia twende juu tukaangalie movie tukamwambia kaka tunaijuaaaa hiyo chupa 1000 baby oil mafuta
@maryraphaely9696
@maryraphaely9696 5 дней назад
😂😂😂
@hildagabriel1003
@hildagabriel1003 5 дней назад
😂😂😊
@lamecksayenda
@lamecksayenda 2 дня назад
Hahhah......umetisha asee!
@SijaliMputa-gy1kb
@SijaliMputa-gy1kb 4 дня назад
Apo Sean comb anatoa onyo kwa wanao mshutumu wazingatie vitu vitakavyoweza kuwekwa bayana kwa wanaotaka apotee.
@youngyayoo2805
@youngyayoo2805 5 дней назад
Sisi kama watanzania tunataka diddy awachiwe hiri
@mansoorburuhan6791
@mansoorburuhan6791 5 дней назад
Na atakushona km watanzania wenzako🤣🤣🤣🤣
@LuqmanKawela-qf8ny
@LuqmanKawela-qf8ny 5 дней назад
Oya mzee mzima jiongelee usijumuishe wengine hatumaindi Wala kufagiria ushoga we p Diddy wako
@revocatusawadhi6550
@revocatusawadhi6550 5 дней назад
Watu wa upinde mmepata pigo kubw xn
@SunhighMkwazi
@SunhighMkwazi 5 дней назад
We shoga jiongelee
@AdamNdojeti
@AdamNdojeti 5 дней назад
Mie nisha fika home eti asa mda huu siutakuwa umeenda twaweza ata kuhinjoi kweli
@jostamzxkaole3113
@jostamzxkaole3113 5 дней назад
Oy vipi jAna alifika❓ au alighairi kuja❓
@thumalove1886
@thumalove1886 5 дней назад
Umbea tu kuoga Aaaaah
@Sarah-e1o9k
@Sarah-e1o9k 5 дней назад
😂😂😂😂
@luciasteven3314
@luciasteven3314 5 дней назад
😂😂ww umeoga
@kimah9855
@kimah9855 5 дней назад
This is Hollywood baby everything is possible 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 5 дней назад
wamuachie wabongo wengi wanataka kutoka so waende kwa didy ili wapate mafanikio
@PaulNyerere-p8x
@PaulNyerere-p8x 5 дней назад
😅😅😅 diamond platnum
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 5 дней назад
😂😂😂😂
@nanaritho6850
@nanaritho6850 4 дня назад
Kafanya nini acha usenge😊
@thefinalstand2022
@thefinalstand2022 5 дней назад
AMEFUNGWA TAYARI?.... HAPANA, SEMA "AMEZUILIWA."
@Ibrahim-ne3in
@Ibrahim-ne3in 4 дня назад
Money talk
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 5 дней назад
Au kasha toka jamani
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 5 дней назад
si kuna dhamana labdaa kapata
@sizabintrajabu6709
@sizabintrajabu6709 5 дней назад
Na mtasubili sana kwahuo umbea wenu maana hamchoki kila siku mtoto wa watu hatoki midomoni mwenu daah mnatia huruma yani
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 5 дней назад
Mwenyewe anazidi kupaa...kila ukimuombea mwenzako mabaya Mungu anazidi kumneemesha...piga kazi simba la masimbaaa🦁🦁
@Younomane
@Younomane 5 дней назад
Uwo niuongo
@SalumuLiinda
@SalumuLiinda 5 дней назад
P Diddy katoka jana kaja geto tumekaa nae kaondoka leo
@thefinalstand2022
@thefinalstand2022 5 дней назад
POLE SANA, YAMEKUKUTA!
@KhairatBundala
@KhairatBundala 4 дня назад
😂😂😂😂😂😂😂😂
@FiollaIsaya
@FiollaIsaya 5 дней назад
Aliyefungwa ni mfano wa piddy ,yeye mwenyewe yuko nje
@emazjassam2452
@emazjassam2452 5 дней назад
Unadhani marekani ni Africa😅
@JeffHustle-d2v
@JeffHustle-d2v 5 дней назад
Mtu wa maana sana diddy,namkubali sana huyu mtu
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 5 дней назад
Ulaya si bongo
@Dorolifeathome
@Dorolifeathome 5 дней назад
Yuko uraiyani uyu mwamba 😂
@KitalembwaSimon
@KitalembwaSimon 5 дней назад
Unatak sema atawaacha wana wa seli au mafuta kwa pochi hayakai
@Ndototv97
@Ndototv97 5 дней назад
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Abel-b3m
@Abel-b3m 5 дней назад
Didiy anatumia pejas...
@TotoSupet
@TotoSupet 5 дней назад
P dd anaishi tu vzr ata akiwa apo
@ChoroTesla
@ChoroTesla 5 дней назад
Anaruhusiwa kutumia simu
@InnocentKiwello
@InnocentKiwello 5 дней назад
Watu wakubwa hao wkiwa jela Wana fanyiwa vyote
@Peterchila-un2lx
@Peterchila-un2lx 5 дней назад
Mbona unamsifia Sana inaonekana Alisha kufira mkundu
@Peterchila-un2lx
@Peterchila-un2lx 5 дней назад
Pididi alishakukula mkundu
@storytownTv
@storytownTv 5 дней назад
Anasmart kitoch cha magendo..😂 any way Diamond alienda kwaDidy..😂
@nataliamtonga5260
@nataliamtonga5260 5 дней назад
😂😂😂😂😂😂😂
@phallyplatnumz8896
@phallyplatnumz8896 5 дней назад
Jifunze Kuabize Na Mamboyako Boss
@Asha-h4p6j
@Asha-h4p6j 5 дней назад
😂😂😂😂😂,wewe
@RajabuMkonje
@RajabuMkonje 5 дней назад
Mbona p didy yupo nje kwa dhamana ya hela nyingi tu tangia wiki iliyopita aliachiwa kwa dhamana ya ma bilioni ya pesa
@said2048
@said2048 5 дней назад
Mimi naomba kuuliza sasa wewe unasema unasubiri ripot kamili kuusu nn kwani wewe mkeo hawezi post au mwanao ebu tumieni akili kidogo tuna waamino 😊
@dismasjerome1658
@dismasjerome1658 5 дней назад
Didy
@amyboyfighter7281
@amyboyfighter7281 5 дней назад
Du
@NubyFadhili
@NubyFadhili 5 дней назад
ℎ𝑎𝑡𝑎𝑟𝑖 𝑠𝑎𝑛𝑎 ℎ𝑦𝑜 𝑚𝑢𝑛𝑔𝑢 𝑎𝑡𝑎𝑚𝑛𝑢𝑠𝑢𝑟𝑢 𝑘𝑚 ℎ𝑎𝑢𝑠𝑖𝑘𝑖 𝑖𝑙𝑎 𝑘𝑚 𝑎𝑛𝑎ℎ𝑢𝑠𝑖𝑘𝑎 𝑘𝑎𝑧𝑖 𝑎𝑛𝑎𝑦𝑜
@samwa9496
@samwa9496 5 дней назад
Mbinu za wazungu kumfilisi mtu mweusi, ukizingatia pesa anayo wanajua atasaidia wapinzani kwenye uchaguzi
@MeshackMlack
@MeshackMlack 4 дня назад
Amna ukweli kaka piddy ni firauni Tena anawalawiti wanaume weusi ili walete ushoga Africa uyu Kuma anafaa kunyogwa Kuma la mama ake wakala wa firimason kwanni asiwafire mademu😮
Далее
Paint Projects
00:17
Просмотров 2,8 млн
Human vs Jet Engine
00:19
Просмотров 113 млн
SHUGHULI ILIANZIA HAPA/ DKT.TULIA AKITOA MSIMAMO WAKE.
12:54