Тёмный

ALICHOKIONGEA ALI KIBA Baada YA Kujenga MSIKITI 

Подписаться
Просмотров 194 тыс.
% 2 127

ALICHOKIONGEA ALI KIBA Baada YA Kujenga MSIKITI
Baada ya kusambaa kwa Taarifa za Msanii Alikiba Kujenga Msikiti Shehe Amefunguka na kusema kuwa wote wanaoongea jambo lolote kuhusu msikiti huo wanakosea kwani alicho kifanya alikiba ni swawabu kwa Mungu wake na sio vingene kama ambavyo watu wanalitazama jambo hili.
GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982)
( +255 676 229628)
HABARI MPYA DAILY:
ru-vid.com?list...
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
ru-vid.com?list...
GLOBAL RADIO TV:
ru-vid.com?list...
EXCLUSIVE INTERVIEW:
ru-vid.com?li

Развлечения

Опубликовано:

 

20 янв 2020

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 569   
@rohityalsina5972
@rohityalsina5972 4 года назад
SHEKHE AMEONGEA VIZUR XANA DAH sio watu wa upande wa pili kule aliejenga alitaka kiki na yule shekhe pia alitaka kiki na wasanii waliempongeza pia walitaka tu kiki🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ila uku dah alietengeneza alitaka ghamar na shekhe pia anatetea ghamar
@rukyaabdilo7921
@rukyaabdilo7921 4 года назад
Mungu ndio anajuwa zaidi..na wote ni wasanii
@respicusjohn9765
@respicusjohn9765 4 года назад
Nomaaa
@respicusjohn9765
@respicusjohn9765 4 года назад
Nakubali xana kaka
@ramadhanikibenga6317
@ramadhanikibenga6317 4 года назад
@@rukyaabdilo7921 umeongea vema sana
@babafranco3366
@babafranco3366 4 года назад
ROHITY ALSINA huyo shekhe ni chuma ulete
@officialjohanesmkandara4301
@officialjohanesmkandara4301 4 года назад
🕌🕌🕋 *wenyewe mzuri inshaallah mwenyezi mungu amuongezee pale alipo toa sio kama wenzetu upande wa pili apo midia zote zingetia team* 🙏🤝
@athumannanunu2923
@athumannanunu2923 4 года назад
officialjohanes Mkandara
@jumajuma2726
@jumajuma2726 4 года назад
officialjohanes Mkandara ww unajiona umeongea maneno mazuri apo mwenyewe pambavuuu ww
@halimaabdallah3409
@halimaabdallah3409 4 года назад
Ameen ya rabbi
@halimasulaimani9085
@halimasulaimani9085 4 года назад
BISMILLAH MASHAALLAH!!ALLAH amzidishie khair
@hamispeter9043
@hamispeter9043 4 года назад
Said well shekhe.....umeeleweka hao ndy binadam hawakosi kukosoa hata kitu kizuri....Allah ndy mlipaji wakila kitu.
@jimjam7687
@jimjam7687 4 года назад
MASHA ALLAH. ALLAH amjegee nyumba yake peponi amin amin yarabi amin.
@ayoubmtumishi3532
@ayoubmtumishi3532 4 года назад
Allah anazikubali SHUGHULI za ALLY KIBA au ikoje hii.
@sospeterkaponoke3789
@sospeterkaponoke3789 4 года назад
Hongera shehe 🙏🙏🙏🙏japo Mimi sio mwislamu nmependa n.a. hongera Kiba 🙏🙏🙏🙏
@harith_k
@harith_k 4 года назад
Mungu alisema mkitowa mtangaze?
@mohamadmohamad9522
@mohamadmohamad9522 4 года назад
Hongera kaka kiba mungu akulipe inshaallah...akujalie kila la kheri yaarab sema amin kwaku gonga like apa kama u apenda kiba kwel...
@masudabdilah5176
@masudabdilah5176 4 года назад
Tatizo shekh aongea bila dalili,uislam auko ivyo
@masudabdilah5176
@masudabdilah5176 4 года назад
Sasa ksjenga kwa kaz gsni?
@hamispeter9043
@hamispeter9043 4 года назад
Mungu akuongoze King....mambo ya kheri hufanywa kwa kimya kwa kuwa mlipaji ni Allah pekee nasio binadam....binadam watakupa sifa zahapahapa tyu dunian ila kwa Allah inakuwa ni mavumbi hakuna ulichokifanya.
@chrisbrownbrown8182
@chrisbrownbrown8182 4 года назад
Unajielewa hapo vile kunaongelewa
@jumajuma2726
@jumajuma2726 4 года назад
Hamis peter ww ujitambui ata kdg
@peterchuwa5880
@peterchuwa5880 4 года назад
shee umejibu vizuri sana kwa ustadi wa hali ya juuu sana
@jabilishekusa2202
@jabilishekusa2202 4 года назад
Mashaallah Mwenyezimungu amnusur Na azabu ya kaburi pamoja Na akhera
@michaelmaiko5461
@michaelmaiko5461 4 года назад
vldeo
@aboubackhrkassangullah8380
@aboubackhrkassangullah8380 4 года назад
Huyu jamaa alikiba anajielewa sana na anaishi maisha ya kweli hapendi kujinakishi
@jumasalum5769
@jumasalum5769 4 года назад
Usitetee upuuz acha Unafq wew mbn huo msikut wenyew hamuuongelei??? au yeye kazi yake n ya kuuza dagaa???
@aboubackhrkassangullah8380
@aboubackhrkassangullah8380 4 года назад
@@jumasalum5769 nilichozungumza mimi cyo kazi ya mtu wala fani ya mtu kazi yatu mi hainuusu nilichoongelea mimi ni namna gani mtu anafanya jambo pasipo kujifaharisha hata ungefanya wewe ningekuoongeza kabla ya kujibu watu komenti zao jaribu kutafuta maudhui ya comment usidandie gari kwa mbele
@kibudelvotz5560
@kibudelvotz5560 4 года назад
If'frc cy
@zainabubakari3630
@zainabubakari3630 4 года назад
@@aboubackhrkassangullah8380 safi safi tena gari yenyewe gari linalonyonya choo
@jumajuma2726
@jumajuma2726 4 года назад
Aboubackh'r Kassangullah anae penda kujinadisha ni nani baba ako au mama ako unaongea pumba ww mbwa wa shughuri
@sumasullesulle419
@sumasullesulle419 4 года назад
Mashalhà alikiba mungu akufungulie milango ya kheli nasi pia mungu atupe muongozo wa kuwekeza khamali njema mbele ya mola wetu tusikalie kutaka ya dunia zaidi na sifa zake
@fintaniferx9535
@fintaniferx9535 4 года назад
Mimi ni wa yesu ila namwonaga alikiba ana ipenda dini sana ndo mahana apendi majigambo ana ijuwa kesho mungu amjalie ekima sana najuwa na bwana wetu yesu ata mwacha mbele za mungu amina
@msafijuniorzeboss7977
@msafijuniorzeboss7977 4 года назад
Sawa kabixa
@aliarkam9548
@aliarkam9548 4 года назад
Vizur sana
@zainabubakari3630
@zainabubakari3630 4 года назад
Safi kabisa na wewe pia uwe na moyo wa kusapoit kile mwenzako amekifanya km ni kizuri
@jumajuma2726
@jumajuma2726 4 года назад
FINTANI FERX duuuh ungejua
@truthspeaker2062
@truthspeaker2062 4 года назад
Bwana yesu ata mwacha mbele za mungu sasa nani mungu apo .
@ambiamash2194
@ambiamash2194 4 года назад
Its sadaqa Ali alijitolea c vyema kutangaza alietenda,may Allah give him long life to continue building more of it,always humble guy
@khadeejaabdullah7083
@khadeejaabdullah7083 4 года назад
MashaAllah hongera sana king kiba
@bahatimsangi9957
@bahatimsangi9957 4 года назад
Nakupenda sana kiba mung akuzidishie kaka ang ka
@khamissalum4061
@khamissalum4061 4 года назад
Maashaallah dada unaongea vizuri nakwaheshma.
@zayanasudi3731
@zayanasudi3731 4 года назад
Maashallah Maashallah......M/Mungu amuongezee kule alipotoa InshaAllah
@saudambinga3832
@saudambinga3832 4 года назад
Mola amzidishie Ally kiba
@maliambachubila5804
@maliambachubila5804 4 года назад
Mashaallah allah amzidishie king kiba 🙏🙏🙏
@stellambeca5913
@stellambeca5913 4 года назад
Nawow ooo, king K... Mashalllah, deco on point, classic. God bless
@rohityalsina5972
@rohityalsina5972 4 года назад
KING ZAMUNDA .......🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@mustulaumjaphari3524
@mustulaumjaphari3524 4 года назад
Mungu amjaalie na amuongezee kheri
@zemgotanar5264
@zemgotanar5264 4 года назад
Ongera shekhe wangu nimejifunza mengi kutoka kwako kwa maerezo mazuri Asante baba
@babafranco3366
@babafranco3366 4 года назад
zemgo Tanar chuma ulete huyo
@hatujuaniimani5677
@hatujuaniimani5677 4 года назад
🇹🇿
@sumeiyaaswani9559
@sumeiyaaswani9559 3 года назад
Mashallah Allah akupe jazaa yake Ali Kiba umefanya jambo la maisha daima ytakumbukwa na Kila atakae swali hapa Allah atakuandikia mema umejenga akhera yako mdogo wangu nakupenda kwa hilo
@meshacksamsonmexher3377
@meshacksamsonmexher3377 4 года назад
Mimi ni Mkiristo kabisaaaa lkn kwa jambo zuri kama hili haliitaji matabaka na tofauti zetu za kiimani,ninampongeza Alikiba sana kwa roho yake hii njema na moyo wake wa ibada,Mungu amzidishie kheri zaidi ktk maisha yake...!!!
@kpspalmer3364
@kpspalmer3364 4 года назад
SHEIKH UMEELEWEKA SAANA MKUU ALIKIBA MUNGU ATAKULIPA KWA JAMBO ULILOLIFANYA
@ahjucekim5138
@ahjucekim5138 4 года назад
Allah ,ambarik na amuongezee iman na rizk ktk kaz zake na awape mwisho mwema wte walohusika kutmiza jmbo zma Inshaallah"
@omarmohd1635
@omarmohd1635 4 года назад
You are only king in tz
@husseinally6699
@husseinally6699 4 года назад
Jamani kujenga msikiti Ni Jambo la kher Ila tusitetee ouvu Ikiwa pesa alizo jengea zimetokana na mziki Hakuna kitu hapo Ni vumbi tu maana haramu haiwezi ikazaa halali , lakin ikiwa hainambatani na mziki Inshaallah Allah atamulipa Kama Ni mziki haramu na Kila kinachopatikana kutokana na mziki huo ni haramu Mwambieni arejee kwa Allah na Achane na mziki Tusipakane poda kwenye mambo ya Allah
@mwanaimaabdallah7825
@mwanaimaabdallah7825 4 года назад
Swadakta
@gharibsheikh3632
@gharibsheikh3632 4 года назад
Safi sana ukweli lazima usemwe tusipake rangi kinyesi
@dadarehema5901
@dadarehema5901 4 года назад
Mashallah kk Kibaa
@frenkisaya1280
@frenkisaya1280 4 года назад
Icho nikipaji chake u nini umefanya kwa Allah
@khanafrica22
@khanafrica22 4 года назад
Jifunze dini juu ya hili ndio ukatae suala la kujenga msikiti......Ali yupo sahihi na imeswikhi....soma khadithi vema msikiti huu ni halali haramu ni muziki wake anaofanya
@hamisikijiba3520
@hamisikijiba3520 4 года назад
Asante mungu kwamjaaliya uwezo Ali kiba Ali kiba endeleya kujali sana ahera usimfate huyo madani ya msalaba Usiyache swala mungu akusaidiye amin
@halunakuyela4769
@halunakuyela4769 4 года назад
Mashalhaa Mr aiy
@magrethkimambi8007
@magrethkimambi8007 4 года назад
Mashaaallah. Daa hakika hii. Familia imelelewa kwenye maada sana. Kiba anajielewa sana. hp tz
@aishaomer6934
@aishaomer6934 4 года назад
Kheri inshaallah mungu amzidishie
@mickThadon
@mickThadon 4 года назад
Mungu amwongezee Alikiba pale alipo toa. Na kumjalia yote mema yanayompendeza Mwenyezi Mungu.
@mubarakasefu958
@mubarakasefu958 4 года назад
Mashallah kaka Ally kiba Allah akupe hitaji ra moyo wako kaka kilalagher ishallah
@rasekonde4537
@rasekonde4537 4 года назад
Inshaallah mungu akuongezee zaid alikiba hakika we ni mtu wa watu hongera sana
@salamabakari8632
@salamabakari8632 3 года назад
Walkm musalam mungu amzidishie nasi pia tuwe muogoni mwao amiin nnshaallah
@wifematerial8943
@wifematerial8943 4 года назад
Mashaa ALLAH, mashaa ALLAH Ali Kiba mungu atakulipa kheri mbele za khaki, jamani ndugu zangu muache kumjagi binadamu mwenzetu mungu ndiyo Mwenye muhukumu, Ali Katoa sadaka jariya sadaka inayo endelea, in shaa ALLAH mungu atakulipa ujira wako na mimi naomba mungu anijaalie nitoe kwa ajili ya Mola wangu.
@samcharzy4657
@samcharzy4657 4 года назад
Makini Sana, nimekubali shekhe alivyoelezea kuhusu kiba kujenga msikiti
@babafranco3366
@babafranco3366 4 года назад
sam Charzy shekhe wapi uyo chuma ulete
@samcharzy4657
@samcharzy4657 4 года назад
@@babafranco3366 chuma ulete kwako mzee
@hawaynatimam982
@hawaynatimam982 4 года назад
@@babafranco3366 alipochuma alikuletea au
@salmamansour3718
@salmamansour3718 4 года назад
@@babafranco3366 alikuletea nn alipochuma au maembe
@issazakaria9704
@issazakaria9704 4 года назад
Allah amzidishie kheri inshallah
@maajabuhamisi3024
@maajabuhamisi3024 4 года назад
Masha Allah mwenyezi mungu amfanyie wepesi kwenye kila jambo
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 4 года назад
Mashallah🙏 Allah ambariki Alikiba
@stevensimtoe2989
@stevensimtoe2989 4 года назад
Mungu akubaliki Sana king music
@raheemyusuph5694
@raheemyusuph5694 4 года назад
ali wew ni star mwenye maadil bro
@habibakirungikirungihabiba9407
@habibakirungikirungihabiba9407 4 года назад
Mungu akuongoze kiba nakukubali sana maana mambo yako si yasifa japo ufahari unao unafaaa kuwigwa king mungu akuzidishie inshaaalllaaahhh
@mamafatuma138
@mamafatuma138 4 года назад
Ma sha Allah bro king kiba
@naimawahwewenani.anskutaka1162
@naimawahwewenani.anskutaka1162 4 года назад
Bora useme ww sheikh maana watu wanamuandama Sana
@vinanimwinyi3163
@vinanimwinyi3163 Год назад
MashaAllah tabarqAllah...Allah akjalie heri leo apa dunia n kesho ahera
@abunabinty960
@abunabinty960 2 года назад
Mashaallah tabaraka Allah MUNGU amzidishie imani zaidi
@abokrarshamsan7963
@abokrarshamsan7963 4 года назад
Mashaallah may Allah bless you and your family inshallah
@emmydzoo8729
@emmydzoo8729 4 года назад
All,hamndull llah ,rabbilaalamina
@HassanAli-eq8ko
@HassanAli-eq8ko Год назад
Mashaallah jazakumllah kheir amiin mola amlipe pepo pa moja na ss inshaallah jazakumllah kheir
@anoldamoni9303
@anoldamoni9303 4 года назад
M/Mungu akuongezee pakubwa zaidi ya ulipotoa Allikiba 🙏🙏 Hongera mnoo
@calskim4173
@calskim4173 4 года назад
Hongera King Kiba msikiti mzur sana
@officialjohn9420
@officialjohn9420 4 года назад
I nsha-Allah munguakupemaisha marefu Alikiba
@mussamwamoto8231
@mussamwamoto8231 4 года назад
safi sana kijana,mungu anajua zaidi japo wapo watakao pinga mana ya diamond yalimkuta,hapa watakao swali ni waumini na sio kiba wala diamond.
@jamaalcabdi8040
@jamaalcabdi8040 4 года назад
Masha alaaah
@karanidicky4489
@karanidicky4489 4 года назад
Mungu Akubariki Zaidi Ali K, Sheikh Tumekuelewa,
@juriosmazengo7613
@juriosmazengo7613 4 года назад
insha'Allah mwenyezi mungu azidi kumuongezea
@halimaabdallah3409
@halimaabdallah3409 4 года назад
Mashaallah,Ali kiba,Allah akujaliye kwa kila hatua unayepiga ameen ya rabbi
@raymondwanjala373
@raymondwanjala373 4 года назад
Thanks watching from kenya
@salehehamza3944
@salehehamza3944 Год назад
Maasha Allah Ally Kiba Allah akufanyie wepesi na malipo stahiki mbele ya Allah 🤲🤲
@salumnassor3319
@salumnassor3319 4 года назад
Allah bless all of us.masha Allah
@therealafricana1372
@therealafricana1372 4 года назад
Kazi nzuri kiba.mungu akuzidishie.Simba pia mungu amzidishie.
@salehkimamba2263
@salehkimamba2263 4 года назад
Masha Allah
@asinatjuma8088
@asinatjuma8088 4 года назад
MashaAllah jadha ka Allah kheir Ali 3
@mariammgeni8830
@mariammgeni8830 4 года назад
Hongera shehe kwa maneno mazuri...hongera Ally kiba..
@Togolay
@Togolay 4 года назад
MashaAllah hongera sana kingkiba Allah akuzidishie
@salimomar6740
@salimomar6740 4 года назад
hongera brother kibbber allah akubarik zaid
@mozaothman7530
@mozaothman7530 4 года назад
Mashallah M/Mungu akuzidishie Ali kiba
@binegonshimirimanabutazima9435
@binegonshimirimanabutazima9435 4 года назад
Ma sha ALLAH👏👏👏
@ramakibati7415
@ramakibati7415 4 года назад
allah amjalie wepes ktk kuimarisha kujenga nyumba zaallah naamfanyie wepes ktk mamb yake nakaz zake ila namm pia mwalimu nina eneo nemepewa alina chuo walamsikiti kwahyoo namm pia naomba kujengewa jaman inshaallah
@fathomcool9902
@fathomcool9902 4 года назад
Alhamdulillah Allah amjalie kher inshaallah
@rehemakitogo7997
@rehemakitogo7997 4 месяца назад
Allah awalipe kila la kheri vijana wetu insha'Allah
@sadatihaji7671
@sadatihaji7671 4 года назад
Allah amzidishie pale alipotoa na ampe mwisho mwema na amuongoze njia ile ilionyooka inshalla
@salmaali7080
@salmaali7080 4 года назад
Shekh sema kweli,hizo pesa una uhakika gani ni zahalali, mziki ni haram,pesa za haram huwezi kufanya jambo is halali,swadaqa haitangazwi,mashaallah angaliya majuto.allah amuepushe na adhabb ya qabri,hatukujua alichokifanya mpaka alipofariki, nyinyi mwajenga miskiti kisha mwaingiya miskitini na tatuu mwaswali,mtu.yoyote mwenye tatuu ni haram kuingiya mskitini,Allah atuongoze njia ya siratallmustaqqynn,killa jamii.islam
@thanibright3768
@thanibright3768 4 года назад
Shekhe huyu Nadhani ana upungufu wa Elmu Unaweza ukaita waandishi wa habari kwa nia ya kuhamasisha. Nia ya mtu ipo moyoni. Kwa mwenye ufahamu huyu shekhe anaupungufu mkubwa na hakupaswa kuhojiwa ana vielemea vya upotoshaji
@deedan6538
@deedan6538 4 года назад
Hongeran sana team kiba kwa hili jambo kubwa
@ismailodemo5661
@ismailodemo5661 4 года назад
Diamond ana riyaa ajifunze kutoka kwa king kiba mashallah
@mikidadymohammedy7603
@mikidadymohammedy7603 20 дней назад
Uyo mtu usimtaje mavi tu.
@cadabraibrahim5162
@cadabraibrahim5162 Год назад
Alikiba ni mtu safi sana asie kua na makuu na mtu mwenye zimungu amlinde kwa makafili
@TheOne-fi6cs
@TheOne-fi6cs 4 года назад
Stara nyingi Sana... Nimekuelewa Sheikh... Nmekupenda sana....
@hashimumkunda6501
@hashimumkunda6501 4 года назад
Timu domo wanakuja halafu wanachungulia kisha wanarudi. Mtakufa na presha. Huyo ndo king kiba. Pia man water pole yako maana ulitumwa na domo ili kumchafua mfalme ilmefeli
@frankakuno.9511
@frankakuno.9511 4 года назад
😂 😂 😂 utasikia alikiba hana hela wapuuzi wale wamezoea sifa nakujionyesha tu
@irenenkwitah8697
@irenenkwitah8697 4 года назад
Kiba ni mmoja tu duniani....hanaga misifa ya kijinga kabisa ally
@venancerogasiane5681
@venancerogasiane5681 4 года назад
Nilishangaa sana mtu anadiriki kusimama kwenye vyombo vya habari eti Alikiba kashindwa kulipia ngoma ya milioni moja,mtu anafanya mambo ya mamilioni leo aje kushindwa kulipa milioni moja,,,,,,nilishangazwa sana,Man Walter rudi nyuma jitathimini unachoongea
@joramnunu1449
@joramnunu1449 4 года назад
😁😁
@maryamjilo7318
@maryamjilo7318 4 года назад
MashAllah takbir
@khamissalum4061
@khamissalum4061 4 года назад
Allah akbar
@zaituninasibumuya4358
@zaituninasibumuya4358 4 года назад
Maryam Jilo Allah Akbar
@amiriramadhan7753
@amiriramadhan7753 4 года назад
Allah Akbar
@subranadja4052
@subranadja4052 4 года назад
Allah Akbar
@magakingojo1151
@magakingojo1151 4 года назад
الله أكبر
@fakihichivelekwa7637
@fakihichivelekwa7637 4 года назад
Ali saleh kiba Mungu amzidishie kher inshallah
@khadijasalum2302
@khadijasalum2302 4 года назад
Shekh maa shaa allah umetoa nasaha nzuri sana maa shaa allah
@hadijaabdallah5879
@hadijaabdallah5879 4 года назад
Mashallah hongera sana king kiba
@ashaathuman1472
@ashaathuman1472 4 года назад
Mashallah mwenyez mungu akusimamie ulipo toa paongezeke kaka
@taanimedia6489
@taanimedia6489 4 года назад
allah akuzidishie kaka yangu mpendwa!!!!
@subiraboi9397
@subiraboi9397 4 года назад
Subhanallah
@joelmwita6620
@joelmwita6620 2 года назад
ILove you alikiba you my best in song to tanzania
@mcyudasicqo9610
@mcyudasicqo9610 4 года назад
Nijambo kubwa sana hilo king kiba,big up broo
@rashidkhamis5485
@rashidkhamis5485 3 года назад
Allah akjalie ivo ivo ameen
@thamiyuucute7098
@thamiyuucute7098 4 года назад
Muwashauri wawache kuimba...hakika yamziki niharamu namali yaharamu Hata ufanyie jema gani hutopata faidayoyote....mwenyezi Mungu hapokei ila kilichokisafiii...mziki niharamu kwaimani yadiniyetu yakiislam..Namashehe mnaogopa kusema ukweli
@thamiyuucute7098
@thamiyuucute7098 4 года назад
@@sahimm4767 hakika nawanajuwa ila tuu cjui kwanini anaogopa kuwakanya mana wanafanya km mchezo tuu..dah Mungu awasaidie ifike mda watubu kabla yakifoo ila nimtihani mkubwaa sana
@frankelias4699
@frankelias4699 Год назад
Ubarike sana King kiba
@qassimhussein269
@qassimhussein269 4 года назад
Salaam alayQum wewe Shekhe achaunafiki angekuwa hajatoa kwa Ria Yani kujionyesha hata wanazengwe kwenye Mitandao wasinge jua angefanya kimya kimya kikubwa kumuomba Mungu mwisho mwema maana utakuja kusema na Mziki wake ni halali na ule wa upande wa pili haramu vyote haramu ila Malipo ni kwa Allah(s.w)
@mohdmaskin4189
@mohdmaskin4189 4 года назад
Kibaa mtu safiiiiiiii sanaaaa
@niclassicsound871
@niclassicsound871 4 года назад
Unateseka kwani?
@tareqhilal6750
@tareqhilal6750 4 года назад
Uko sahihi mziki haramu lakini haramu hai haramishi halali
@thewhisperer3234
@thewhisperer3234 4 года назад
Kitu kimoja tukifahamu kwamba ingawa jambo alilofanya Kiba ni ya kupongezwa haifai watu kutafuta pesa/mali kwa njia ambalo halifai na kusingizia kufanya nalo jambo njema. Waislamu wenzangu nawahisi watafuta mali halali kwa njia halali insha Allah mungu ataibariki. 🇸🇴🇰🇪🇪🇹🇹🇿🇺🇬🇸🇴
@yassinm69
@yassinm69 4 года назад
ALI KIBA ni muelewa kabisa na sio mtu wa Kiki kabisa long live KINGKIBA
@zanurathhans6409
@zanurathhans6409 4 года назад
Mashallah! umefanya jambo la kheri king kiba
@bensonmandela7503
@bensonmandela7503 4 года назад
Ally kiba nimtu makini yee nimtu sahihi sana
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 4 года назад
Hapana ustadh kila jambo linaenda kwa nia. Hata ukiita waandishi wa habari ikiwa lengo lako watu wahamasike na wao wafanye Kama hivi au zaidi ya hivi hiyo sio ria. Uwe makini ustadh na maana ya ria kisheria ya kidini
@zainabubakari3630
@zainabubakari3630 4 года назад
Hahahahaha HASSAN MAHMUD unateseka sana tena sana. Hd kwenye dini unaleta uteam?
@allybyarushengo5727
@allybyarushengo5727 4 года назад
hassan mahmud mohamed ,ACHA UJINGA KWANI NI LAZIMA UWEKE LIGI? KAMA UMEELEWA SI INATOSHA TU!
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 4 года назад
@@allybyarushengo5727 na wewe matatizo yako ya kifamilia usiyalete hapa.Ukiwa wewe ni mjinga usifikiri kila mtu ni mjinga Kama wewe.Hapa sio kuanzisha ligi bali ni kujibu hoja na upotoshwaji wa maana ya ria.
@daudikilimtali8317
@daudikilimtali8317 4 года назад
Mungu amzidishie
@idrisashelimo307
@idrisashelimo307 4 года назад
mashallah ali kiba🙏🙏
@theofanboniface8158
@theofanboniface8158 4 года назад
Kafanya Jambo la kheri Mr alikiba biger up sana