Lazima afanye hivyo maana Simba ndo imeingia mkataba na M-bet wanapata hao pesa, Ally yuko sawaa, akiacha hiyo M-bet anakuwa anawatangazia biashara yao, bila kulipwa tena, buree..
Mimi ni team kiba ndaki ndaki ila hapo kwenye soka la yanga na simba hapana sitoki yanga milele kwa kweli wewe piga mkwanja hapo unyamani utarudi home tu
Vido elewa kuna wimbo wa timu na wimbo wawachezaji, yani watangazaji wa Tanzania tatizo sana uelewa ni mdogo sana yani unawaza nyimbo tu wakati wimbo wa timu upo