Тёмный

ALIKIBA ALIVYOMKUMBATIA NANDY, BAADA YA KUFIKA HOTELINI KIGOMA SHABIKI AFANYA HILI 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 34 тыс.
50% 1

Alikiba na Nandy wamekumbatiana mbele ya mashabiki wakati walipofika Kigoma, hii ni kuelekea Tamasha la Nandy Festival linalotarajiwa kufanyika siku ya Jumamosi hii, Alikiba alipokbatiana na Nandy kuna shabiki naye alitoa Bango lililoandikwa Nenga. PLAY kutazama ilivyokuwa

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 71   
@lowasamollel9852
@lowasamollel9852 3 года назад
Kiba amebarikiwa sana anaroho safi
@elizabethsakina2306
@elizabethsakina2306 3 года назад
Too much love🥺🥺😍😍🤩king kiba for lifee 🔥
@yeyeofsound2850
@yeyeofsound2850 3 года назад
King is King. Mwaaaaaaa. Yeeeebabaaaaaa
@rashidmohammed4887
@rashidmohammed4887 3 года назад
King Kiba unapendwa sana kwa sababu hujivuni Wala hujioni kama ww ni bora zaidi. Big up king.
@zainabubakari6055
@zainabubakari6055 3 года назад
Mfalme huwa anakuwa mmoja tu. Wapi like za king kiba
@shazzywakingsmusic8672
@shazzywakingsmusic8672 3 года назад
Kingkiba 👑👑💯
@sixfingerthedon4907
@sixfingerthedon4907 3 года назад
Wasanii wenginee wamejificha au mbana kiba kiba. jamanii irudiwe😂😂😂😂
@sampachino5184
@sampachino5184 3 года назад
Millard ayoo nawapenda sana yani katika wana habari mpaka sasa ntinyi ndio pekee hamsemi habari za uwongo m Mungu awabariki sanaaa🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@hawamgallah7410
@hawamgallah7410 3 года назад
Mim mwenyew nawakubal mno nikisikiag habal mosipooon ayo hajaipost najua ni uongo
@sampachino5184
@sampachino5184 3 года назад
@@hawamgallah7410 kweli kabisa 🙏🏼🙏🏼🔥🔥
@bekabeyser4119
@bekabeyser4119 3 года назад
King
@marthakajiru2498
@marthakajiru2498 3 года назад
Duuu unaeza ukashiba furaha hongera king
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 3 года назад
KINGS4LIFE 🌍 🌎 🌍
@officialdesiderius
@officialdesiderius 3 года назад
Polisi Wana ushirikiano mkubwa Sana kigoma hongereni na tz kwa ujumla
@shazzywakingsmusic8672
@shazzywakingsmusic8672 3 года назад
King Kama king 👑💯
@kigomamc1179
@kigomamc1179 3 года назад
wasita oyoooo yebaba
@jasmineeomary2041
@jasmineeomary2041 3 года назад
Waweza ukalia ukijiangalia na ww ni msanii lakini ata huitwi🤣🤣🤣
@sixfingerthedon4907
@sixfingerthedon4907 3 года назад
Sanaa
@sixfingerthedon4907
@sixfingerthedon4907 3 года назад
aly kipenz cha watu noma sanaa king👑👑👑
@savanny_music
@savanny_music 2 дня назад
This is extra ordinary when Nature praises you
@zaidankasamya2211
@zaidankasamya2211 3 года назад
Kiba habari yao🔥🔥
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 3 года назад
KINGS4LIFE 🌍 🌎 🌍
@kingcheater2554
@kingcheater2554 3 года назад
Kingkiba
@eliya56richard96
@eliya56richard96 3 года назад
NIMESIKIA 2 KIBA MENGINE SIJASIKIA YOOOOO.
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 3 года назад
KINGS4LIFE 🌍 🌎 🌍
@ghhhhy1812
@ghhhhy1812 3 года назад
From 🇧🇮 Saudia ongeren
@hidayaking3383
@hidayaking3383 3 года назад
Watu kiba kiba noma sana 🔥🔥🔥🔥
@edwinnyale4481
@edwinnyale4481 3 года назад
King kama king👑👑
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 3 года назад
KINGS4LIFE 🌍 🌎 🌍
@alicenice1711
@alicenice1711 3 года назад
King kiba👑
@mbarouksaidi8770
@mbarouksaidi8770 3 года назад
King kiba
@shimyclevertz5011
@shimyclevertz5011 3 года назад
Kwan hapo wengine sio wasan baba Levi unaniangusha
@joezeno8
@joezeno8 3 года назад
Ali Kiba, Wengine ni wabeba Mabegi sio Wasani
@Sabrina-tf9lb
@Sabrina-tf9lb 3 года назад
@@joezeno8 😁😁😁😁
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 3 года назад
KINGS4LIFE 🌍 🌎 🌍
@shaugentwaha2063
@shaugentwaha2063 3 года назад
Yeeee babaaaa
@mwanajumamohammed6327
@mwanajumamohammed6327 3 года назад
Jaman si mu wape hata pesa kiac vle wana washangilia
@skyonlinetv8301
@skyonlinetv8301 3 года назад
Punguza tamaa kaka kwan hela ndo nn
@Irenenyaki330
@Irenenyaki330 3 года назад
Kiba kibaa
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 3 года назад
Atawapa wangapi katika huo umati? Mapenzi ya kweli hayana haja ya kuongana.
@jonesiha1945
@jonesiha1945 3 года назад
@@damariszuckschwert9489 shikamoo kwa jibu lako zuri la hekima na lenye litadumu daima.
@zainabubakari6055
@zainabubakari6055 3 года назад
@@damariszuckschwert9489 point
@imankanyonyi3786
@imankanyonyi3786 3 года назад
Nihatar sana hiyo ndo king kiba
@ellashine2124
@ellashine2124 3 года назад
Am here for aliiii,🥰💜
@ankalmzito254
@ankalmzito254 3 года назад
😂😂😂kwani hatuoni pia Marioo ni Kiba tuu???
@daudm4892
@daudm4892 3 года назад
Utadhan mwenye show ni alikiba. Jamaa anapendwa sana
@festocharlres2867
@festocharlres2867 3 года назад
Marioo mbn ananyosha mikono tu au na yy anataka wamuite nn
@emmanueljoseph2576
@emmanueljoseph2576 3 года назад
😂wamemuita kidogo wakaendelea na kibakiba
@user-cn5xf3eb3p
@user-cn5xf3eb3p 9 месяцев назад
Sema nandy unapenda kujishauwa alokwambia ukivaa. Ivo unapendeza nan nyoo et msela pambavu
@teammafish5045
@teammafish5045 3 года назад
kigoma nomaaa 💥💥💥
@jayboy9552
@jayboy9552 3 года назад
Hhhhh waandishi nyie hhh yeebaba
@anthonykondobole3962
@anthonykondobole3962 3 года назад
Hv baba levo alikuwepo...?
@joojombi2341
@joojombi2341 3 года назад
Kumbe Kigoma kuna washamba wengi tu aisee daaah poles zao
@chollejr_
@chollejr_ 3 года назад
Libabalevoo sasaaa🤣🤣🤣🤣
@pettyjongera1295
@pettyjongera1295 3 года назад
Nani amesikia yooooh
@pettyjongera1295
@pettyjongera1295 3 года назад
Chawa katishs😂
@rajabukanuni4623
@rajabukanuni4623 3 года назад
Uyujamaa anapendwa kitoka rooni siyo muzikitu
@kudrantegakaje1624
@kudrantegakaje1624 3 года назад
Poko poa san
@savanny_music
@savanny_music 2 дня назад
Huyu mfame inafaa awe Rais sasa
@msafirisalum8436
@msafirisalum8436 3 года назад
Polisi anampiga chabo alikiba Kwa kuibia
@allyduniaally5673
@allyduniaally5673 3 года назад
Kweli Daimondi baba lao
@gracielachiloloma2154
@gracielachiloloma2154 3 года назад
Kwa kipi?
@johnchrispini5592
@johnchrispini5592 3 года назад
Chenga ww
@gracielachiloloma2154
@gracielachiloloma2154 3 года назад
Nandy kuonexha kina nenga umextuka
@prochatv
@prochatv 3 года назад
Team WASAFI(wcb) GONGA LIKE,,Woyooooooooo!!!
@kasomamama4774
@kasomamama4774 3 года назад
Like zinahusu nn
@prochatv
@prochatv 3 года назад
Kuwakubali WASAF2,, na cyo huyo kiba wenu!!!!!!!!!!
@officialdesiderius
@officialdesiderius 3 года назад
Polisi Wana ushirikiano mkubwa Sana kigoma hongereni na tz kwa ujumla
Далее
World’s Tallest Man VS Shortest Woman!
15:07
Просмотров 17 млн
BABA YANGU KIPOFU Full Episode /38/ #love
26:23
Просмотров 12 тыс.