Тёмный
No video :(

ALIKIBA MATATANI APATIKANA NA KESI YA KUJIBU 

BSTV
Подписаться 26 тыс.
Просмотров 62 тыс.
50% 1

KWA MAWASILIANO ZAIDI WHATSAPP +255714321521

Опубликовано:

 

29 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 244   
@vincentauxerbius7554
@vincentauxerbius7554 7 лет назад
Kiba ndo kaiba
@shafiizawadi8634
@shafiizawadi8634 7 лет назад
Vincent Auxerbius acha ushabiki ww pia una akili
@wemakalam9415
@wemakalam9415 7 лет назад
Acheni umbea mwachosha akiimba kiba dunia nzima tafrani punguzeni majungu wa bongo mumezidi na uchawi wa nafsi kama ni domo msingeongea mumeona nyimbo yake ina fanya vizuri laana zimewakumba mpeni nafasi#king kiba 4real afanye yake mtu kajiandaa vizuri kero tayari punguzeni punguzeni punguzeni tumewachoka ndipo. Masalama ✋
@hansramadhan8945
@hansramadhan8945 7 лет назад
Acheni choko choko bwanaaa,huyo jamaa alikua wapi tangu mwanzo?hivi kwa dunia ya Leo kitu gani utakifanya ili iwe siri?kama jamaaa alikua na ngoma kama hiooo mbona haikuwahi kusikika dunian?baba hiyo ni lugha tuu haya mm Leo ninaweza kuimba kichina na nikadai kua wimbo alikua wangu.Big up sana ALLI KIBA kwa kazi nzr bnaaaa
@geofreyjohn1039
@geofreyjohn1039 7 лет назад
iyo nymbo imekua kubwa na kama kuna mwenye ngoma xi atokeeee king awez kuiba nymbo
@rosemarybenjamin5866
@rosemarybenjamin5866 7 лет назад
Ila kiba ndo mwiz kabisa koz kakop kila kitu Bora mond yeye zilipendwa Tu😂😂😊😍😋kiba kila kitu ha ha ha ulijua zakichin hatuto skia huku eeeh 😁
@wemakalam9415
@wemakalam9415 7 лет назад
Dua mawazo wameowa hawana pakuhemea ndipo wana tafuta kiki kwa nguvu inshaallah 👃 washindwe tunamuaminia#king kiba 4real na tutazidi kukupenda.
@worldstartz
@worldstartz 7 лет назад
kama huyo jamaa angeibiwa angesha jitokeza na kama angekua sio mbongo wangesha mtaja hadi jina kwahyo masnich waache ufala kiba hana time zakupoteza kujibu ujinga... aliye ibiwa atoke aseme na kama ni mwarabu hyo nyimbo aliyeipata aseme kaitoa wapi ili tuone record ilitoka lini na wapi?
@umydaddy4697
@umydaddy4697 7 лет назад
Hawa wadaku mafisadi sana. Wao wao wanampamba mtu halafu wanamponda. Hakuna nyimbo moja iloibiwa. Unafikiri kiba mpumbavu achukue nyimbo nzima aiimbe. Na wote walosikiliza hawakusema kama washaisikia . Iliimbwa kaburini? Katoa nyimbo nzuri mwacheni asifiwe mpeni haki yake.
@hamfreynyange1413
@hamfreynyange1413 6 лет назад
King kiba noma kama kaiba wimbo na wimbo umekubalika hao wengne na wao waibe waone kama watatoboa
@cisseafricamedia1212
@cisseafricamedia1212 7 лет назад
Huo ni wivu kwani Ana mausiano yoyote Yale na kiba kila mtu yuko kiviake. Je wimbo utafata nn kwa king kiba. Na alikuwa anasubilia nini kwaachia wimbo wanaitaji kuchafua lakini hakuna uchufu hata kidogo big up all K
@anjelanikalenga4828
@anjelanikalenga4828 7 лет назад
Acheni ujinga hii sini cover king namuamini awezi kuiba wimbo king do ameibiwa
@moxkenya254
@moxkenya254 7 лет назад
hiyo ngoma ni cover ya seduce me ya alikiba kiarabu ata ukiisearch RU-vid utaona. Kiba is a king huyo mwarabu ndo alisample beat akacover
@januariponera388
@januariponera388 7 лет назад
MOX EMPIRE we fala sio nyimbo ya kiarabu na wala mwimbaji hana rafudhi ya kiarabu umekulupuka ndugu acha uongo Huyo jamaa hana hats dalili ya middle east
@hadijasobo3695
@hadijasobo3695 7 лет назад
MOX EMPIRE kiarabu nn Ww kijipangen upya team mond mkavae madela sio mawigi tena chura nyie
@ibrahimdiwanonlinetv1430
@ibrahimdiwanonlinetv1430 7 лет назад
Kuma la mamake kamuibia Kiba, nmeskia na mwarab pia kafany cover ya hyo hyo,
@qudratullahibnhubab9778
@qudratullahibnhubab9778 7 лет назад
Team mond naona wanatokwa na povu km kiba kaiba sema wimbo kaiba kwa msanii gani ili watu wafatilie details na wajue kua ngoma ya huyo na kiba ipi ni ya kwanza kutoka. Msije kusema kuba kaiba wakati nyie ndo mmetengeneza ili kupotosha jamii
@qudratullahibnhubab9778
@qudratullahibnhubab9778 7 лет назад
Cko na team yoyote bt najaribu kuweka sawa coz mi nackia tyu kiba kaiba kaiba wapi na kwa nan cjuwi munaoamini kua kiba kaiba weken ushahidi tujue
@bintalhwamer5291
@bintalhwamer5291 6 лет назад
kiba nomaaa hiyu nyimbo wenzio wameikubali
@samira0616
@samira0616 7 лет назад
waulizweee atuwezi jua ilaaaaa mtaaaaam🖒🖒🖒🖒🖒🖒🖒🖒
@frashconnect.1
@frashconnect.1 7 лет назад
Iyo ni cover , hua zipo sana. RU-vid ni global. Wanasikia na wanafanya kwa lugha zao. But ali na team yake watupe mwelekeo
@paschalmagesa1640
@paschalmagesa1640 7 лет назад
Beat yenyew inaonekana cyo real yani ndo kacopy kW kiba kabx...... 😁😁cyo wcb haw😁😁😁😁😁.#...kipusa
@rojasyshaby4785
@rojasyshaby4785 7 лет назад
Huyo katoa remix .....hatujafunzwa kuiba.....
@Amadkelly
@Amadkelly 7 лет назад
saa jiulize hiyo nyingine mbona hatukusikia kabla hajatoa kiba seduce? achageni kutafuta kiki, mi naomba tu munionyeshe tarehe iliyo postiwa ntandaoni alafu tuone ni kabla au ni after king kutoa seduce.HAYA NASUBIRI
@yohanashombe916
@yohanashombe916 7 лет назад
Kuma wew uyo bwege alikuwa WAP kuachia hiyo single kabla ya kiba acheni unafki watz
@olivrexpie6311
@olivrexpie6311 7 лет назад
Check out LET ME LOVE YOU by Justine Bieber video and compare it with Alikiba's video
@mushojey8389
@mushojey8389 7 лет назад
Acheni kumponda mtuu wakati JAMAA mwenyewe aliyetoa cop kasema sababu za kukopi
@comfort-rjtv3291
@comfort-rjtv3291 7 лет назад
Huo wimbo hauna asili ya kizungu ukisikiliza vizuri, alaf naomba kujua wimbo wa king kiba umetoka lini na huo mwingine umetoka lini
@muyaibrahim4371
@muyaibrahim4371 7 лет назад
yes Chillin I'm good Innkeeper in Hindi New England Quarry come down
@nasibumponda6098
@nasibumponda6098 7 лет назад
Alimusa Abdikadir mipango ya mond tuu hiyo kama kwel kaiba mbon zimepita cku nying tunasikia leo hamna jipya ninyj
@duamawazo9088
@duamawazo9088 7 лет назад
huyo boya kamuibia kiba ili teem mawigi waongee
@hapymwalongo555
@hapymwalongo555 7 лет назад
kaibakabisa hajawahi kuwa wakimataifa. kiba
@salmasaid7469
@salmasaid7469 7 лет назад
kabisa msenge huyoo sauti mbaayaa
@BigZhumbe
@BigZhumbe 7 лет назад
Dua mawazo Sasa mspanish kaiibia wapi ngoma hio...kiba kaiba koz kajisahau mpaka akaimba Despacito ni ya mspanish pia
@leeedannaftal5746
@leeedannaftal5746 7 лет назад
nyooooo chezea yo we kba cyo kampun ya mawigi
@leeedannaftal5746
@leeedannaftal5746 7 лет назад
em 2meni na shooting yke 2one
@jeanmalilo8855
@jeanmalilo8855 7 лет назад
Alikiba AKA swala ndie ameiba tumchome moto huyo
@hamseejuma7690
@hamseejuma7690 7 лет назад
Stop watch u doing, King his a straight man and open musician.can u please mind u r on business.live kiba out of this.sisi mashabiki tunapenda mziki na tunachaguwa msiki mzuri,wacha King kiba afanye vitu vyake.thanks Hamsee from Qatar
@mrtigerfrenation1165
@mrtigerfrenation1165 7 лет назад
ya kiba hiyo song
@maryamelyas9382
@maryamelyas9382 7 лет назад
i don't care whether he quoted i like him
@paulkashebo9672
@paulkashebo9672 7 лет назад
kiba kama kiba hawezi cop na kupest namna hiyo uyojamaa amependa tu kutumia nyimbo ya kiba kaipenda kama wasanii wabongo wanavyo fanya remix za majuu mfano ngoma ya sheg church kwaiyo kiba yuko juu kama mawingu mpaka wanje wanamkubali nakukuakikishia ataenda kutoa shoo uphilippino
@zenasalumu2560
@zenasalumu2560 7 лет назад
Pumbavu sana kiba hawezi kufanya upuuzi uo nakumbuka yalitokeaga kwa T.A.D
@BigZhumbe
@BigZhumbe 7 лет назад
Kiba tangu lini ajue Kispanish mpaka akaimba Despacito....... hio nyimbo kaibia waspanish akidhani watu hawatajua
@yassinmohamed8241
@yassinmohamed8241 7 лет назад
atakae endelea kudisi akatombweee tuibee tusiibee tyal tushavunja recod kuma lenu wcbo woteeeee
@lidyamarco9794
@lidyamarco9794 7 лет назад
kiba hajaiba
@hemedijambe4290
@hemedijambe4290 7 лет назад
iyo nyimbo ya Mshikaji wa CANADA saiv yupo USA iyo nyimbo katoa 2015 Ali kiba kaiba
@leeedannaftal5746
@leeedannaftal5746 7 лет назад
apelekeshe hko cc 2meanza kuiskia ngoma ya king kba yey ànadài kaibiwa huwo wimbo alkuw anaimbia WAP kcheche mkubw alykba fund so waache wajfunze mzk kuptia rapa ya king kba mkal wa bongo flavour
@hassanamiry2869
@hassanamiry2869 7 лет назад
mwiziiiiiiiiiii uyoooooo
@jacxonygoodbert8890
@jacxonygoodbert8890 7 лет назад
Angalien Nyimbo ip Ime Upholdiwa Mdaa U Tube na Ip N Ya Sasa Apo Ndo Utajua Nan Kaiba Song , alaf Huyo Msaanii Aliyesema Nyimbo n Yake cyo Ya Kiba Naomben jina Lake
@sharonomondi5692
@sharonomondi5692 7 лет назад
King kaiba
@deviminja5655
@deviminja5655 7 лет назад
Kaiba
@yassinmohamed8241
@yassinmohamed8241 7 лет назад
hyo ni cover kaka kiba ajaiba hyo nyimbo
@bintalhwamer5291
@bintalhwamer5291 6 лет назад
ukiona wameidisikasi seduc hiyo nyimbo ujue wameikubali unafiki acheni kila mtu apambane na hali yake acheni kiki zakishamba
@felistamagoyo2887
@felistamagoyo2887 7 лет назад
Baada ya Ali kutoa Seduce me ndo umeibuka au ulikuepo toka mwanzoooi WATU WANAMASIHARAAA
@maalimwazir8896
@maalimwazir8896 7 лет назад
kuna neno kwenye wimbo mashalla na rock star
@Dm-yd1tl
@Dm-yd1tl 7 лет назад
huyo jamaa kafanya cover song ukisikiliza kwaumakini kunasehemu anaitaja company ya rock star ambayo alikiba anamkatabanayo
@issamiladi1981
@issamiladi1981 7 лет назад
mtoa post kabla ujatoa post zako jichunguze inamaana ujui cover na original #king mtu mbaya
@ramaismail5957
@ramaismail5957 7 лет назад
mwiz ali kiiba
@officialdesiderius
@officialdesiderius 7 лет назад
Huyo alieimba kwanza rockstar ameitoa wapi Acheni utoto #kingkiba #Kibarockstar4000
@sandukaboyz1687
@sandukaboyz1687 7 лет назад
ukuma tyu hii si n cover huyo boya alofanya mbn mnapenda kukuza usenge #kiba atawaoa #wcb mwaka huu
@jaykhan6269
@jaykhan6269 7 лет назад
Uyo kaiba na sio yeye weng wanapiga cover had vinanda magitaa wap weng youtube
@seiphkimconfesser1024
@seiphkimconfesser1024 7 лет назад
2siangalie ushabik hiyo ngoma inatambulisha kwa 100% kwamba brother kiba ndo ka copy na kupest km Timbulo kwenye domo langu zito km hakuna makubaliano yyte kat ya hzo seduce bac king kiba atakuwa kazingua na atakuwa anatuangusha mashabik zake na kuanzia hapo me namvua u king na kumpa u queen
@zaudatmakula3454
@zaudatmakula3454 7 лет назад
Seiph kim Confesser aloimba keshajibu yeye kacopy lol tuache na kiba yupo mabibo
@fadhilisatmah9651
@fadhilisatmah9651 7 лет назад
wew n team mond kwaiyo cie twakuona km chiz uliokimbia kutoka milembe wakati siku zako zakutoka n bado!! mtasubiri xana
@emanueladamayubu9940
@emanueladamayubu9940 7 лет назад
nafikiri king kakopi na so vinginevyo
@jumawilondja9948
@jumawilondja9948 7 лет назад
Alihibiya kwa kiba kwasababu alikiba yeye diye ha lihanza kutowa mwibo uo nasijausikia pengine nimesikiyakwa alikiba tu simwingene ni yeye tu kiba ndiye anajuwa kuiba
@fizzosanga3211
@fizzosanga3211 7 лет назад
ww ndo kuma kbisa yan boy kweli
@banqlynedewper1536
@banqlynedewper1536 7 лет назад
From kenya 🇰🇪 east Africa I'm a big fan of African artists. Now I have a question? So what if he ain't the rightful owner? Should he kill himself? If he stole the song then well and good coz he made it in the best African version.
@BESMARTTELEVISION
@BESMARTTELEVISION 7 лет назад
mercy wambui not real...he can't kill his self 😂😂😂😂🤝🤝
@fizzosanga3211
@fizzosanga3211 7 лет назад
kwanza hiyo nyimbo wanayo isema ya kiphilipino wafilipino wanajua kiswahil huon kama kweny hyo nyimb kuna neno LA kiswahil mm sikubalian na hiloo swala hat kidg
@maegabalitazali9997
@maegabalitazali9997 7 лет назад
kaiba wimbo kiba
@alimaalimaa6048
@alimaalimaa6048 7 лет назад
niatar kweli ya dunia siliwanisema niwarabu walimfatilia alikiba kwasababu walipenda iyo nyimbo eeee kiba hawezi iba mkomeni
@makueimakuei9712
@makueimakuei9712 7 лет назад
Nah Nah do not talk like that this is king kiba music okay
@karimmaije1971
@karimmaije1971 7 лет назад
alioimba mwingine huyo nani mbona amumtaji au wewe mtangazaji na wawapi msitengeneze story zisizoeleweka
@hurumasanga6383
@hurumasanga6383 7 лет назад
Karim Maije 😂 wameimba team mond nn wameona king kiba kawapasua mabichwa yenye mawing ya zilipendwa
@nyotaclassicmelicknyotacla4949
king kiba kaiba
@hadijasobo3695
@hadijasobo3695 7 лет назад
Nyota classic Melick nyota classic wweee kaibiwa mtapasua vichwa sanaaaa
@rabinho4real637
@rabinho4real637 7 лет назад
kwan hamnaga remix za nyimbo..?.
@pascorich5966
@pascorich5966 7 лет назад
kiba kaiba
@LevSports
@LevSports 7 лет назад
hakuna kitu huyo dogo namfahamu anaitwa WillDoyen na ana akaunti ya You Tube inaitwa DOYEN RAE kaifungua juzi kati baada ya #KingKiba kuachia ngoma, yeye kafanya kava kisha kaituma kwenye akaunti hiyo.....ila dogo ana kipaji na ana ngoma kadhaa ninazozifahamu. huenda anataka kiki kupitia alikiba. akaunti ya huyo dogo instagram ni instagram.com/doyenraegotyou na nyingine ni instagram.com/doyenrae
@andreashayo1168
@andreashayo1168 7 лет назад
Kiba umebugi jombaaaaaaaaa
@esthermataba2943
@esthermataba2943 7 лет назад
kawaida sana kwa wanamuziki.mbona wengne hamsemi?
@starshinemussa8326
@starshinemussa8326 7 лет назад
Uwongoooooo
@kiyelamayunga9572
@kiyelamayunga9572 7 лет назад
mwambie akasome king hawez kuiba nyimbo
@kingbone3308
@kingbone3308 7 лет назад
sisi sio kwani nyimbo tumeishiwa mpaka tuibe waliuwona wimbo upo vizuri una promo kubwa ndo maana wakaamua kutengeneza kiki izo ni kiki na kumpa jina baya mfalme wetu kwa kua tumeonyesha kiasi gani tunampenda ni hayo 2
@malogikisekwa2667
@malogikisekwa2667 7 лет назад
tabora kwetu hivi nyie mpoje kwa hiyo nyimbo ikitolewa na kiba ndo imeibwa
@rahmaninoh7434
@rahmaninoh7434 7 лет назад
tabora kwetu 😂😂😂😂umeona eeh yaan kama wanatafuta kiki kwa kiba wamechelewa sanaaaaah
@azizayassin3623
@azizayassin3623 7 лет назад
Malogi Kusekwa haahhahahahahhahahhha safi
@fabianjohn6961
@fabianjohn6961 7 лет назад
+Rahma ninoh oya tabora sehm gn rahm
@hurumasanga6383
@hurumasanga6383 7 лет назад
pasua kichwa
@karimually4130
@karimually4130 7 лет назад
iyo ngoma n y mwalabu alitoa 2015
@hassanmudy1435
@hassanmudy1435 7 лет назад
Ishu ni tujue jina la huyo msanii na details za huo wimbo wake umetoka lini
@agustadickson1562
@agustadickson1562 7 лет назад
Nyie acheni usenge dadek kwahiyo wimbo akiimba kiba ndokaiba au mbona kiki zingine zakisenge sana
@imanitongo5584
@imanitongo5584 7 лет назад
Uyo anatafuta Kiki, na uyo ndo kaiba
@shodristvtv6121
@shodristvtv6121 7 лет назад
Nafatiliwa nawatu wasiojulikana na ninasoma comment
@swedyharuni3226
@swedyharuni3226 7 лет назад
Jamani jina lenyewe king kibaka eeeee
@tatut3889
@tatut3889 7 лет назад
Mamae uyo Ndio kamuibia kiba Alikuwa wp zamani
@emmanuelmlay5249
@emmanuelmlay5249 7 лет назад
huyo kafanya cover alafu uwezo wake wa kawaida ali k ndiye mmiliki halali wa hiyo nyimbo
@beatriccharles3767
@beatriccharles3767 7 лет назад
kiba sio mtu wamchezo mchezo hajafikia sehemu ya kuiba nyimbo acheni kumchafuwa jina mfalme bwana
@mapundacmkajogolo6875
@mapundacmkajogolo6875 7 лет назад
King kiba kaibiwa wimbo wake.
@hashimkaiza7250
@hashimkaiza7250 7 лет назад
msenge tu ajuwi kuimba
@boazmtileghe1534
@boazmtileghe1534 7 лет назад
Huyo ndo kaiba kutoka kwa king na inawezekana anataka kiki
@bahatimusic2555
@bahatimusic2555 7 лет назад
Haahaaaa.... Nyimbo za #watuwasiojulika saaasaaaaaa daaaa
@rashidnassor2946
@rashidnassor2946 7 лет назад
Kiukweli huo wimbo usikiliza hauna mahudhui kabisa ya tadha ya bara la Afrika, usanii mtupu tu hapo Copy & Paste, hapo mfalme wa uswaz ametupiga za USO.
@kidagodbless6001
@kidagodbless6001 7 лет назад
Mwiz uyo
@banzagaspard6341
@banzagaspard6341 7 лет назад
acheni kuchafua jina la King
@WanandotoBrand
@WanandotoBrand 7 лет назад
Alikiba ndo ameiba
@tinivanny7562
@tinivanny7562 7 лет назад
We we unayetaka kuaminisha watu kuwa kaiba ndio unafaa kutuambia Kamwibia nani basi MTAKE MWENYE WIMBO WAKE HAPA
@evancebarnabas9477
@evancebarnabas9477 7 лет назад
Wewe ni fukunyuku kweli yaaani noma ila hata kama kaiba yeye ameimba vizuri zaidi
@RynlizzyTheBoss
@RynlizzyTheBoss 7 лет назад
Kama angekuwa uyo mtu ndo wakwanza kuimba kabla ya kiba sasa mbona nyimbo haikuvuma! Yaan baada ya kiba kutoa ngoma yake kali ndo na yenyewe ndo yajitokeza! Hamna kitu kama icho hao ni wafala tu wataka mwaribia kiba na ata kama kacopy bac kafanya kaz nzr coz imependwa kuliko ata iyo mnayosemea ameiba.
@zungubakathir1761
@zungubakathir1761 7 лет назад
Sasa si mumtafute uyo aloimba mumskilize kama wake au wa kiba hhhhhh
@yohanakayinga9279
@yohanakayinga9279 7 лет назад
Wasiompenda ndo wanabwabwaja kaimba mwenyewe et ooo kaiba amekuibia ww mbona mnae sema mwenye hasem? Wabongo bwana ushabik2
@marthamartine5077
@marthamartine5077 7 лет назад
imekula kwao kiba4rever
@rahimajuma688
@rahimajuma688 7 лет назад
huyo alisema kaibiwa kenge mmoja muda wote alikuwa wapi mpaka dude limehit ndo anatokea pumbavu zake
@khadijaazuwajiawadh8971
@khadijaazuwajiawadh8971 7 лет назад
Kiba kaibiwa wimbo, mbona hatujauskia huo wimbo mwingine kitambo ulikua wapi? Hebuuu muacheni mwana wa mwenzenu
@jumachiza8581
@jumachiza8581 7 лет назад
kaibiwa
@swaxboychanel2345
@swaxboychanel2345 7 лет назад
Hamna lolote hapo King ni king tu huwez mpotezaaa
@ramaramoo6229
@ramaramoo6229 7 лет назад
aache usenge huyo kama ngoma ilikuwa yake mbone mda wote ilikuwa haisikiki labda ameiba yy,ngoma ni ya mfalme Kiba
@mwanalelee6
@mwanalelee6 7 лет назад
siku zote alikuwa wapi???wanataka kumtia jakajaka tu king hakuibaaaaaaa alikaaa Mwaka mzima anautunga huyo anaesema kaiba akomeeeeeeeee
@hadijasobo3695
@hadijasobo3695 7 лет назад
mwanale lee hajaiba yupo makini kiba
@mwanalelee6
@mwanalelee6 7 лет назад
teyna
@basilking3323
@basilking3323 7 лет назад
mamae zenu mnatafuta kiki acheni kumchafua king kiba
@eshamohammed136
@eshamohammed136 7 лет назад
Huyo muimbaji wa Philippines pia tumsikie live kwa you tube Kama tulivyomsikia kiba
@malikyussuf629
@malikyussuf629 7 лет назад
Acheni kumsingizia kingkiba
@aishaelias986
@aishaelias986 7 лет назад
Lakini kiba kautoa ajaab...kataaa;,,,,,!!
Далее
KESI YA DIAMOND Vs ALIKIBA - USWEGE MURDERER
1:01
Просмотров 356 тыс.
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Просмотров 2,9 млн
Haaland Showed Me How It's Done.. 😜
00:11
Просмотров 2,8 млн
7 Hidden Islamic Signs That You Are Protected by Allah
24:32
Indian 2 Roast  - Not a Review | Reeload Roast
14:12
Просмотров 798 тыс.