Тёмный
No video :(

ALIYEKUWA MBUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA NA WALINZI WA CHADEMA WAAJIUNGA NA CCM LEO HII 

LONGA TV
Подписаться 65 тыс.
Просмотров 30 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 119   
@joshuac.mashida1378
@joshuac.mashida1378 Месяц назад
Ukuiona mwana chama anasema anarudi nyumbani ccm mwangalieni akili yake anaweza kuwa chizi apelekwe milembe kwanza poa yawezekana akili imefeli kule mbele Hana nafasi kaoma aludi nyuma mama Samia situka hao hawana jipya weka stoo ipigwe vumbi bidhaa chakavu hawafai kwa gziii
@uredmwasembo8579
@uredmwasembo8579 Месяц назад
Njaa mbaya sana
@johnkapinga755
@johnkapinga755 Месяц назад
Njaa hizoooo
@benardkinde8496
@benardkinde8496 Месяц назад
Danganya toto hakuna chama mbadala ni chadema vingine vinatumikia ccm hakuna atakaye danganyika na wanaohama chadema tunafahamu ni watu wasio itakia mema Tanzania
@omaryramdhani9823
@omaryramdhani9823 Месяц назад
Chadema ni CCM B chama cha upinzani ni C.U.F peke yake wenye akili timamu tulijua hilo
@MonayLai
@MonayLai Месяц назад
Yaani wenzao ndio kwanza wanawabeza na kuwacheka, wanapiga soga tuu😁😁
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 Месяц назад
Hawa wadangaji ni mibaunsa yale ya rangi ya upinde
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b Месяц назад
Hatuhitaji Kwa Sasa wanasiasa mabadiliko ya taletwa na machinga na mamalishe siyo maraya wa kisiasa
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko Месяц назад
Nywele badia
@zawadimbwambo1091
@zawadimbwambo1091 Месяц назад
Hata akili ni bandia huyu.
@fredyjeremia7074
@fredyjeremia7074 Месяц назад
Ulikuwa wapi sku ZOTE,,mbona umechelewa sana
@IdrisaTuppa
@IdrisaTuppa Месяц назад
Usimuamini Kila Mtu Kwenye Maisha.Subirini Muone Mashushushu Awo.
@jumakisailo8496
@jumakisailo8496 Месяц назад
Msimu wa uchaguzi umefika watanzania tutayaona mengi huu ni mwanzo tu. Haya bwana sisi tunaangalia "movie"..🙄🙄🙄
@alexbujenja2750
@alexbujenja2750 Месяц назад
Nunueni tu ila 2025 tutapima wangap wataingia Bungen
@peterhelpeterluena9191
@peterhelpeterluena9191 Месяц назад
Kwani uchaguzi wa serikali za mitaa mtapata wangapi? CHADEMA ni genge la wahuni na wasaka pesa na wala hawana mpango wa kuongoza hii nchi na hawana huo uwezo. Hebu jiulize kile chama msomi ni nani?
@zawadimbwambo1091
@zawadimbwambo1091 Месяц назад
​@@peterhelpeterluena9191kwahio ccm ni wasaka mavi?
@peterhelpeterluena9191
@peterhelpeterluena9191 Месяц назад
@@zawadimbwambo1091 vyovyote unavyoona wewe lakini ndio chama kinachoongoza nchi hii. Hiyo saccos, haiendi popote.
@TakasiSulle
@TakasiSulle Месяц назад
Wewe ni njaa tuwemakini watanzania kiongozi yeyote anayehamahama hafai kuwa kiongozi has wamenunuliwa tusisubutu
@ALCADOJAMES
@ALCADOJAMES Месяц назад
Hao na mangoma wako sawa😅😅😅
@AYUBURUGOYE
@AYUBURUGOYE Месяц назад
Tatizonjaaaaaa!!!!! Nautovuwanidhamu nakutokumbuka wanakotoka
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh Месяц назад
Kwendaa chdema ni taasisi msitupasuevvichwa keendaaa
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 Месяц назад
Ovyoo!Tumechoka
@allymganga3223
@allymganga3223 Месяц назад
Njaa mbaya aduwi yako Kweli muwombee nenda muheshimiwa mtaji ni ule ule msemo mama kaupiga mwingi mtu mnatowa mashavu wananchi wanalia njaa
@sammymdemeka7937
@sammymdemeka7937 Месяц назад
Alihama Lowasa na Slaa CHADEMA Bado ipo
@goodlucknnko5493
@goodlucknnko5493 Месяц назад
Hawa wanaotoka upinzani na kurudi CCM. Ili hali walikikimbia ni dalili za uroho.
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Месяц назад
Njaa Kali sana
@Peterchipemba
@Peterchipemba Месяц назад
Madiwani wa kutangazwa,,,hatuna madiwani wa kuchaguliwa
@mwitamwikwabe6611
@mwitamwikwabe6611 Месяц назад
Mbona unaonge hawakusikilizi dada pole Sana
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b Месяц назад
Ccm Kwa njaa iliyopo mtajua amani nini
@konderaeriasi6251
@konderaeriasi6251 Месяц назад
Yan kuliko kwenda ccm bora nife hicho chama nichamashetan
@eliphasmlengu6331
@eliphasmlengu6331 Месяц назад
Majitu yaliyokuwepo fccm yanabaki kuitikia tu. Chadema is more than blacksmith, every one attacking Chadema my Tanzanian brothers and sisters open you ayes
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 Месяц назад
Akuna kama chadema apa Tanzania ata mfanye nn Tanzania ina roho ya chadema
@Silay1034
@Silay1034 Месяц назад
Wew ni chizi chadema ndo dude gn mwenyekit wa milele hhhhhhhhhhhhh je je hiyo ndo democrasia we umerogwa Chama Cha kabisa hicho
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 Месяц назад
@@Silay1034 mwenyekiti wa milele we unatetea kwa Sababu yanga yenyewe ndo CCM
@peterhelpeterluena9191
@peterhelpeterluena9191 Месяц назад
Hakuna chama hapo. Ni saccoss hiyo.
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 Месяц назад
@@peterhelpeterluena9191 Kama chadema ni saccoss na CCM ni nini
@IssaTayari
@IssaTayari Месяц назад
Uu ndo muda wakutafutwa vihelehele walud nyumban
@michaelchombo8956
@michaelchombo8956 Месяц назад
C.c.m mmekwisha hamna lolote,wananchi wameichoka
@TakasiSulle
@TakasiSulle Месяц назад
Wewe ccm Acha hizo zito ni ccm
@Abs-tz8dl
@Abs-tz8dl Месяц назад
Watu wamechoka
@msafiriomary893
@msafiriomary893 Месяц назад
Chakura cha wabunge
@user-ou1ls6oj2f
@user-ou1ls6oj2f Месяц назад
Kidumu kwenye kichwa chako siyo kwetu ovyo
@monicachacha455
@monicachacha455 Месяц назад
❤❤❤❤
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko Месяц назад
Haibu
@CosmasSengenge
@CosmasSengenge Месяц назад
Njaa mbaya, uwezi mkana baba yako ata kama nie taira
@CristovaoMarioJaimeJaime
@CristovaoMarioJaimeJaime Месяц назад
Nacho waambia nyinyi wana CCM Ushauri mnao mpa Rais wenu kwamalengo yenu tofauti na yeye; ujue Makala uta fika the end Samia atafika the end , hao wauza miili yao kwaajiri ya kusariti ahadi zao za mapambano GOD he is going to pay him soon
@nikundiweamosi5087
@nikundiweamosi5087 Месяц назад
Hii shida imeanza tena ya wachumia tumbo ,anajua chadema hapati na ccm hakuna kishindo labda waibe kura
@MonayLai
@MonayLai Месяц назад
sasa wamewaswaga hadi waliofukuzwa ulinzi si kichekesho hili 😀😀
@user-id6xo9td6k
@user-id6xo9td6k Месяц назад
Chama ni watu
@barakabusima
@barakabusima Месяц назад
😂eeeeeeh wacha wee😅
@husseinbachwa8372
@husseinbachwa8372 Месяц назад
Mnakosea saana kumtenganisha mh Rasi na Ayati Magufuli.....! Ivi mnajua mahana ya Kazi iendelee?
@NdageKitahama
@NdageKitahama Месяц назад
Hata sauti yako hatuitaki kusikia ww ni msaka tonge huna jipya kwetu
@MonayLai
@MonayLai Месяц назад
Hmm hawa hawajui siasa hizi zilishapitwa na wakati unaona kabisa wanatangaza kurudi ccm lakini wenzao ndio kwanza sura km wamelamba ndimu maana wanawaona kama ni wa kuja tuna kutishia kuchukua nafasi za wengine 😆
@Edger-bn2mt
@Edger-bn2mt Месяц назад
Unamaliza mb ze2
@gidongailo7174
@gidongailo7174 Месяц назад
Hawa si ndio COVID 19 Waliofikuzwa hawa?!? 😂
@jacobmbeta5612
@jacobmbeta5612 Месяц назад
Wanasiasa ni viumbe ambao hawaaminiki na ile amri ya kukataza kusema uongo na dhambi ya tamaa haitawacha salama
@jacksongidione-yo8vg
@jacksongidione-yo8vg Месяц назад
Njaa
@user-ck7rs2de6g
@user-ck7rs2de6g Месяц назад
Kwan chadema ina wabunge 1:24
@hassanzuber
@hassanzuber Месяц назад
Mmmmmh cjui kama wanafaa hao kiongozi siku zote anamsimamo cna uhakika kama xio tamaa na njaa hiyo ni haki yao ila hao hawafai maana kesho wanaweza kurudi chadema wakasema hivyohivyo cwaamini kamwe ctawaamini ila tuwape kazi majukwaani lkn msiwasalihau wenye misimamo kwenye chama madaraka yanafaa wenye micmamo wasioyumba tuwape vyeo wakilinde chama ccm
@johnsmwandu7338
@johnsmwandu7338 Месяц назад
Chadema mbona Haina wabunge wa vitu maalum wapo wabunge wa spika wa bunge tuu
@FrankEmmanuel-y1e
@FrankEmmanuel-y1e Месяц назад
Embu mniache niumzike Zang HIV Kwa akili ya kawaida mnawez uo cdm hiyo nindoto mtu aliyekuwa na nguvu halima mdee lkn Yuko wap ..embu achen dram zen msigwa ni wakawaida San cdm
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv Месяц назад
Mbona hawa walinz hatuwajui chadema inamakomandoo ndo tunawajua km walinz hawa ni vijana wa lumumba
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 Месяц назад
Wanaume kibao mmejazana kwa ajil ya ujnga mtupu,mwsho wenu utafka tu hakuna atakaye tawala milele
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 Месяц назад
CCM OUT CHADEMA IN 2025
@mwitamwikwabe6611
@mwitamwikwabe6611 Месяц назад
Umepokelewa na wenyeji wko shingo upande wamekupa maiki badara wakusikilize tunasikia wanabiga kelele
@fredyjeremia7074
@fredyjeremia7074 Месяц назад
Kumbe ukitoka ccm,Tena ukarudi ccm .kondooo walokatwa mkiaa😂😂😂😂
@evelina9621
@evelina9621 Месяц назад
Jamani.hamsera.nyingine.jifunze Kwa.wenzenu.naona.makelele.fanyini.mambo.mazuri
@vicentnyanda828
@vicentnyanda828 Месяц назад
Hiki ndo mnakiweza Ccm, Acha wale matamu ya nchi na nyie Makada endeleeni kukijenga Chama
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 Месяц назад
Utoporoo
@MeshackErnest-qt6xi
@MeshackErnest-qt6xi Месяц назад
Wanachi wanataka Maendeleo sio siasa matope kama hizo wananchi wananjaa sasa watashiba wewe kuhamia CCM au hao mabaunsa
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula Месяц назад
Mbona wamenuna wenyeji
@Nyalafu
@Nyalafu Месяц назад
Tena wenyeji wanasema wangebaki hukohuko
@dancerboy2686
@dancerboy2686 Месяц назад
njaa ni mbaya xana ikihamia kichwani
@heriel2002
@heriel2002 Месяц назад
Inahuzunisha sana kuona j jaa zimeingia mpaka kichwani! Jambo la kushukuru ni kwamba wapokeaji wenyewe nao wamenuna haswaaa!!
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq Месяц назад
Hakuna chadema aliyekuwa bungeni wadanganye wasenge kama,,,,,
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 Месяц назад
😂😂😂😂 NYI
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 Месяц назад
Hakuna lolote nyinyi tunasubiri mwakani hamtakiwa na nafasi ccm
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 Месяц назад
Hivi mnawaonaje watanzania ?
@danielndam5997
@danielndam5997 Месяц назад
Amekufa kifikra huyo
@NixonJohnson-r4m
@NixonJohnson-r4m Месяц назад
Nchi hii hamna wa hivyo tena Gen z stanza muda si mrefu nyie fanyeni maigizo tu
@sulemanndunguru114
@sulemanndunguru114 Месяц назад
Walinzi wanani
@sulemanndunguru114
@sulemanndunguru114 Месяц назад
uamuzi mgumu na mwepesi hata hueleweki
@mohamedmatewele9185
@mohamedmatewele9185 Месяц назад
Nilishasema kwa wale tuliokuwepo miaka ya tisini kifo cha NCCR kinawakuta chadema
@leonardjohnson2058
@leonardjohnson2058 Месяц назад
Maisha yako labda mbowe atoke
@williamnyakasi2323
@williamnyakasi2323 Месяц назад
MAIGIZO
@MonicaBeni
@MonicaBeni Месяц назад
Yani kama vikatuni mbele ya walio ridhika.
@harunamtiko117
@harunamtiko117 Месяц назад
😂😂😂😂😂
@user-sw7gm6ok4u
@user-sw7gm6ok4u Месяц назад
0:08 mmmm
@MichaelMwasese
@MichaelMwasese Месяц назад
Nikumbusheni jamani hii njaa initwaje du anongea utporo
@user-ux7kg2bw9l
@user-ux7kg2bw9l Месяц назад
Game zimeanza
@OswadSanga-hb2vi
@OswadSanga-hb2vi Месяц назад
Njaa kali wanasiasa
@isackphilipo9870
@isackphilipo9870 Месяц назад
Msitupange nyie na hiyo nunua nunua
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 Месяц назад
Baunsa nao vp hao wameshindwa kubeba chuma wameona siasa inalipa
@goodluckswai7496
@goodluckswai7496 Месяц назад
Njaaa
@MichaleMwakyambiki-pq4co
@MichaleMwakyambiki-pq4co Месяц назад
Dagañya toto
@daudimchileg307
@daudimchileg307 Месяц назад
Mijinga tuuu
@bonifacemwanga3115
@bonifacemwanga3115 Месяц назад
CCM UPINZANI HAUTAZIMWA KWA MARANDA YA MBAO, MNAO VIJANA WAZRI, LAKIN KWA VILE.MMECHOKA MNAFIKIRI KUCHOTA MAKADA WA CHADEMA MTAPONA. MNAZIDI KUNUNUA WACHUMIA TUMBO, MNAZIDI KUCHOCHEA HASIRA KWA UMMA KUPOTEZA PESA KUNUNUA WACHUMIANTUMBO, WAKAT UTAINGEA
@EliaHiluka
@EliaHiluka Месяц назад
Acha ujinga
@ayububrantaya6624
@ayububrantaya6624 Месяц назад
Hawa vifua km panzi vipe
@user-fu6qv4ug2v
@user-fu6qv4ug2v Месяц назад
Bongo movie
@shanjemanumba6325
@shanjemanumba6325 Месяц назад
Hivi vijana wa ccm mnajisikiaje wanaponunuliwa kwa mamilioni halafu wewe upo tu unapgika kwa kupewa elfu 5 ili ukafanye vurungu kwa wapinzani wasiokijua chama wanakula mema ya nchi
@barakabusima
@barakabusima Месяц назад
😂....wanahabari sasa
@OswadSanga-hb2vi
@OswadSanga-hb2vi Месяц назад
Haaaaaaaaa tena siasa hizo
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 Месяц назад
Matahira nchi hii kibao
@MonayLai
@MonayLai Месяц назад
huyo wa viti maalum anatafuta dili za uteuzi tu hamna lolote
@charlesmbise2344
@charlesmbise2344 Месяц назад
Njaa kali sana jamani
@danielkanso
@danielkanso Месяц назад
Walinzi mhhh mnajua kutengeneza uongo nyee
@ericlowasa3097
@ericlowasa3097 Месяц назад
Inasikitisha sana na inatia hasira kwakweli....
@ntegrity277
@ntegrity277 Месяц назад
Njaa kali
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 Месяц назад
Ficiemu. B
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw Месяц назад
Chadema inazidi kufa
@leonardjohnson2058
@leonardjohnson2058 Месяц назад
Hakiwezi kufa milele
@Noelkitoi
@Noelkitoi Месяц назад
Ccm ni wezi tuko tayari Shari kama chadema
@user-xo3tc4tx7y
@user-xo3tc4tx7y Месяц назад
Tatizo mboe anakula peke yake
Далее
Bahati Bugalama - Shida |Official video
13:51
Просмотров 524 тыс.