Тёмный

ALL WHEEL DRIVE: Mautundu ya kijana Jun anayeijua gari aina ya Subaru nje ndani 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 146 тыс.
50% 1

MAUTUNDU YA KIJANA JUN ANAYEIJUA GARI AINA YA SUBARU NJE NDANI:
Jun Nakatsugawa na mdogo wake Ken kupitia kampuni yao ya Gear Tech Performance wana uwezo mkubwa wa "kuzichokonoa" sports cars ziweze kuwa na nguvu zaidi.
Fuatilia mazungumzo ya Ken na Sadam Mushi katika makala hii ya All Wheel Drive kutoka AzamTV akiongea kuhusu kinachofanya gari aina ya Subaru Impreza WRX kuwa chaguo la wengi katika kunogesha magari, yaani modification na tuning kupitia kampuni yao ya GearTech Performance.
Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► bit.ly/2wB6zmR
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

Авто/Мото

Опубликовано:

 

12 мар 2020

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 95   
@Nitwa08
@Nitwa08 2 года назад
Presenter is not a car guy. Clearly Jun is "taking it easy" on the presenter. Presenter Kashindwa kuspecify how many pounds of boost is "biggest boost" Pia inakuaje kipindi kizima presenter kashindwa kuuliza 0-60 times, horsepower inayozalishwa baada ya modification.. bruh🤦🏾👎🏾
@ekaiewoi759
@ekaiewoi759 3 года назад
I like the way this guys explanation. He is very much conversant with what he's doing!
@deadcrush
@deadcrush 3 года назад
The host of the show knows nothing about cars though. Not even a grain of sand.
@tonybrighter3878
@tonybrighter3878 4 года назад
Very Nice Video kwa Kwelii Kama Mtanzania najivunia kuwa na Mtaalamu Doctor Jun
@Sadammushi
@Sadammushi 4 года назад
Karibu vingine vingi vinakuja
@dm7412
@dm7412 4 года назад
Presentation nzuri sana.... Wrx part 💯 kabisa!
@Sadammushi
@Sadammushi 4 года назад
D M asante
@hassanhamudy6639
@hassanhamudy6639 3 года назад
Arusha/Namanga.......wapi wazee wa Subaru kaskazin!!!!!
@Ahumedbatik
@Ahumedbatik 3 года назад
Man massive am in love with ur job InshaAllah am interested in buying a wrx
@patrickKitambo
@patrickKitambo 3 года назад
sprinter ya mwaka 1996 tunaweza kutunie?
@robertkamwaro2919
@robertkamwaro2919 3 года назад
Great stuff. 🔥🔥🔥
@deogratiouswestornwipson3201
@deogratiouswestornwipson3201 3 года назад
Mm niswali kwamba Hadi Bajaj na pikipiki mnaweza kuzfanya hvo ??
@kibetwalter8528
@kibetwalter8528 3 года назад
Kazi mzuri WaTanzania wa Subaru 🔥
@fredodhiambo7612
@fredodhiambo7612 3 года назад
This guy knows his shit..large up🤙
@rafikmusani789
@rafikmusani789 2 года назад
Garage yenu ipo wapi?.......mobile/email contact?
@pascomassawe180
@pascomassawe180 2 года назад
Dream Car naipenda sana subaru
@simbomart6186
@simbomart6186 3 года назад
Hiyo garage yenu ipo wapi namba contact
@davidwalker2144
@davidwalker2144 3 года назад
An engine backfire occurs whenever the air-fuel mixture in your car combusts somewhere outside the engine's cylinders. This can cause damage to your car's exhaust or intake if left unchecked -- and it also means that your car's engine isn't making as much power as it should, and is wasting lots of fuel
@thadeusmuthemba5557
@thadeusmuthemba5557 3 года назад
I thought soo too it is running too rich. I bet no catalytic converter in it either coz that will clog it.
@meditationtime6472
@meditationtime6472 3 года назад
Like the beat bro💪💪
@BantuTegemeo
@BantuTegemeo 4 года назад
Sadam kazi nzuri sana. leo nimejifunza vingi sana kuhusu Gari
@Sadammushi
@Sadammushi 4 года назад
Bantu Tegemeo shukran
@thegreat.9869
@thegreat.9869 3 года назад
Hahaaaa. Hii kitu nmeielewa sana. Yan umeeleza kitaalam sana.
@victorwilbard2585
@victorwilbard2585 3 года назад
Yah
@andriusandryla6863
@andriusandryla6863 Год назад
Superrrrr💥💥💥💥💥💥💯
@davidwalker2144
@davidwalker2144 3 года назад
Why the bullet sound?
@alphankilenga6209
@alphankilenga6209 3 года назад
Mko vizur kaka
@ramadhanisaidi472
@ramadhanisaidi472 4 года назад
Binge la show tupe vitu azamtv aminia
@mouldykomba1852
@mouldykomba1852 2 месяца назад
Namba zenu
@Nesrev95
@Nesrev95 3 года назад
kiswahili mugumu sana "kwenye usimamaje"
@NicholausMtawa
@NicholausMtawa 4 года назад
Muulize Vipi IST SCION xA hawafungi hizo vitu..!
@Sadammushi
@Sadammushi 4 года назад
Nicholaus Mtawa inawezekana
@ellyswai1801
@ellyswai1801 3 года назад
🤭🤭🤭
@african_channel
@african_channel 3 года назад
Naomba address yenu nataka kupimp bmw 3 series Chester
@Sadammushi
@Sadammushi 3 года назад
Unataka ku upgrade 3series kit au
@bernardmasambaji466
@bernardmasambaji466 3 года назад
Check insta gtptz..pale wameweka namba zao, wapigie, wapo Kijitonyama
@consgreg
@consgreg 3 года назад
Tafadhali nisaidie na namba yake.
@nellynassary7122
@nellynassary7122 2 года назад
host wa kipindi hayuko competent na ndo maana haulizi maswali ya msingi.
@brianmajani1777
@brianmajani1777 3 года назад
Where can l locate these guys and what's the name of the garage?
@erickdonald4660
@erickdonald4660 3 года назад
Gear Tech Performance
@exerlex8043
@exerlex8043 3 года назад
GTP Gear Tech Performance. Makumbusho
@omarymsomali1262
@omarymsomali1262 3 года назад
Kwangu najua ameanza. Muda mwingi tangu ana kistarlet
@raydiesel424
@raydiesel424 3 года назад
Huyo mtaalamu anatumia jina gani insta?
@Sadammushi
@Sadammushi 3 года назад
Gtp tz
@mosesndegeya2605
@mosesndegeya2605 3 года назад
Mimi nataka namba ya simu yao
@josephmwangi9556
@josephmwangi9556 3 года назад
Subaru Impreza my dream car
@soaregttz65
@soaregttz65 3 года назад
wapi mnatest horse power?mkisha-tune mnajuaje maana sijaona kama mnatumia dyno
@Sadammushi
@Sadammushi 3 года назад
inatestiwa arusha
@soaregttz65
@soaregttz65 3 года назад
@@Sadammushi arusha kuna stand alone dyno?
@Sadammushi
@Sadammushi 3 года назад
its not dyno road practically in a real road
@Sadammushi
@Sadammushi 3 года назад
we dont have dyno in tz my kenya
@dumesurualikidukutz5376
@dumesurualikidukutz5376 4 года назад
af jitahidini jaman kuongea kiswahili mana wengine tulikimbia umande😀😀😀
@Sadammushi
@Sadammushi 4 года назад
dume suruali kiduku tz sawa tutazingatia hilo
@deusmathew8990
@deusmathew8990 3 года назад
Hiyo sindo inaua
@collinsmakita4196
@collinsmakita4196 Год назад
Host/Presenter should stick to other things, not automobiles. Halafu.... kizungu pia balaaaaa
@kamilagwajuma8384
@kamilagwajuma8384 3 года назад
kibongo bongo hawa jamaa dah
@deeh7322
@deeh7322 3 года назад
Ila subaru sipendi kelele zke tu 😂 Ila good job 👊
@kaluzione2231
@kaluzione2231 3 года назад
Hiv zile kelele zpo had kwenye Forester!? maana sjafatilia
@luqmanothmanjh9084
@luqmanothmanjh9084 3 года назад
@@kaluzione2231 inategemeana....but forester subaru mara nyingi hazina kelele....ila Subaru Forester ndio moto unawaka 😂😂😂
@swalahbarrieislamic9077
@swalahbarrieislamic9077 3 года назад
Hello jun..samahn nlikuw nataka kujua kama unaweza kuongeza speed gari yangu aina ya defender 110 it to be more fast....
@pnkase2562
@pnkase2562 2 года назад
Defender?
@barakangahala2914
@barakangahala2914 3 года назад
Kingeleza kingi mno
@PatrickMagesa
@PatrickMagesa 2 года назад
hukulazimishwa kukataa shule bro. hayo ndo matokeo sasa 😂
@danieljames4318
@danieljames4318 4 года назад
Mtangazaji jitahidi kuandaa maswali mengi ili kusaidia uelewa kwa mtazamaji.
@Sadammushi
@Sadammushi 4 года назад
Usijali
@benedictflorence2870
@benedictflorence2870 2 года назад
Adi ktk Toyota baloon mnaeza kuweka
@vayaulashedrack5994
@vayaulashedrack5994 Год назад
ila hamjaweka conduct zenu
@ibrahimmwaim
@ibrahimmwaim 3 года назад
naitaji kujifunza nawapataje
@paulmafuru7283
@paulmafuru7283 4 года назад
Nikinunua yangu daah nitaipimp baraa,Tena WRX
@kisongojr3654
@kisongojr3654 4 года назад
Unachukulia ize simple sana eee
@Sadammushi
@Sadammushi 4 года назад
Hahaha built not bought bro
@hansondanielmeruma5834
@hansondanielmeruma5834 3 года назад
Vip kuhus starlet ya kawaida
@paulmafuru7283
@paulmafuru7283 3 года назад
@@kisongojr3654 nitashindwa nn kununua subaru wakat Nina gari niliyonayo n gharama kuliko subaru
@flaviancharles3356
@flaviancharles3356 3 года назад
Mtangazi hii interview umetunyima vingi sana huna maswali ya kutosha
@deadcrush
@deadcrush 3 года назад
The Host hajui Magari. Toyota driver huyo. Tena ist.
@lexarmcwillz803
@lexarmcwillz803 3 года назад
Yani msela chenga kweli asee.... katunyima vitu vingi, hana maswali ya kuuliza yale challenging. Anachojua ni kingereza tu na tena anaboronga...next time tumia kiswahili bro, utaeleweka zaidiii
@deadcrush
@deadcrush 3 года назад
@@lexarmcwillz803 Tunapozunguzia pawa. Hatuzungumzii kwamba ulaji wa mafuta unaongezeka, Yani? zerese noo somesingi laiki zati? (horse power, torque, velocity.) Nadhani ndo lilikuwa swali lake.
@kennnedykabachia8397
@kennnedykabachia8397 3 года назад
watanzania wachaneni na English bana ongeeni germany ama kiswahili bana
@nkulaasagwile9562
@nkulaasagwile9562 3 года назад
Jun unapatikana wapi hapa dar
@erickdonald4660
@erickdonald4660 3 года назад
Kijitonyama
@stevenelias516
@stevenelias516 3 года назад
Ukiamua kutumia kiswahili usichanganye maneno
@dumesurualikidukutz5376
@dumesurualikidukutz5376 4 года назад
wanapatikana wap hao jamaa ? na vp gharama zao ku de sign kama iyo kitu
@Sadammushi
@Sadammushi 4 года назад
dume suruali kiduku tz wapo dar
@travellingandadventures2549
@travellingandadventures2549 3 года назад
Dar sehemu gan bro
@kamilagwajuma8384
@kamilagwajuma8384 3 года назад
gtp
@musason1680
@musason1680 2 года назад
Hayo makelele ndo kero sasa
@sparrowchuga4047
@sparrowchuga4047 2 года назад
hiyo kelele mi nikiskia huwa nasuuzuka nafsi matatzo yangu yote yanaisha
@musason1680
@musason1680 2 года назад
@@sparrowchuga4047 😂😂😂 asee 🙌
@ibrahimmbela4304
@ibrahimmbela4304 3 года назад
Subaru is over rated
@lexarmcwillz803
@lexarmcwillz803 3 года назад
Acha wivu wewee
@Nitwa08
@Nitwa08 2 года назад
2JZGTE joined the group.
@MrBBBeja
@MrBBBeja 3 года назад
hamna kitu hapa kelele nyingi tuu mimi nilifikiri mwaonyesha magari kumbe mdomo tuu wasted my time here
@LifeLearned460
@LifeLearned460 3 года назад
Wewe ambao hujui magari nymaza tu! Usijiabishe mbele ya wanaume. Tuning a car is the deal siku hizi
@adifar89
@adifar89 2 года назад
Huyo Alex ina onekana ana penda movie tu, hajui A or B kuhusu magari. Ushamba ach3ni learn something when explained.
@Nitwa08
@Nitwa08 2 года назад
Chukua IST yako kashindane nae
Далее
Это конец... Ютуб закрывают?
01:09
I Built a EXTREME School Bus!
21:37
Просмотров 6 млн
SUBARU MADNESS! ft  Rupal racing
7:19
Просмотров 8 тыс.
tbway humwambii kitu kuhusu Subaru/forester 2014
8:15