Тёмный

ALLY KAMWE AFUNGUKA BAADA YA PACOME KUJIUNGA NA KIKOSI AFRIKA KUSINI | ALIPUA BOMU JINGINE 

Yanga TV
Подписаться 699 тыс.
Просмотров 90 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

17 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 224   
@kitaanitv
@kitaanitv 2 месяца назад
Duke abuya namkubali San like Kam unamkubali Duke abuya
@claveryamede8919
@claveryamede8919 2 месяца назад
Namkubali Duke Abuya
@MaxMatinde
@MaxMatinde 2 месяца назад
Anatoka nani?
@TEJATEJA-nw9vl
@TEJATEJA-nw9vl 2 месяца назад
Qqqq we​@McbarakaeventsTz
@halimasawa611
@halimasawa611 2 месяца назад
​@@MaxMatinde kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@MaxMatinde
@MaxMatinde 2 месяца назад
@@halimasawa611 Oh sawaa..
@marthamjandwa4325
@marthamjandwa4325 2 месяца назад
Yangaaaa naipenda nimefurahiii kumuona pacomee boka pia yuko fiti nifurahaa ilionjee Mungu awalinde wachezajiii wetu kwa ujumla na viongoz💚💚🖤🖤💛💛💯
@mshosha_tv
@mshosha_tv 2 месяца назад
Ali kamwe unazingua fraha imekuzidi uko vizuri mwamba unajituma
@DanielSinavangi
@DanielSinavangi 2 месяца назад
Kamwe unaakili nyingi Sana dogo😄😄😄😄 ushauliwangu kwako washukuru Sana wazaziwako kwakukulea kwene misingi mizuri❤️❤️❤️🇹🇿🇹🇿🇹🇿 hongereni wazazi wa kamwe 🇹🇿🐦
@augustinomkongwa5444
@augustinomkongwa5444 2 месяца назад
Ujumbe mzuri sana
@ChenchiKing
@ChenchiKing 2 месяца назад
Duke Abuya Nakubal Xana Ni Jembe Kweli Kweli💚🔥🔥
@fazo-kl9fu
@fazo-kl9fu 2 месяца назад
Wow God bless you all the best 🎉🎉🎉🎉🎉
@KofikNungwiShop01
@KofikNungwiShop01 2 месяца назад
Kama umemuona pacome gonga likee🎉
@MashakaMbaigwa
@MashakaMbaigwa 2 месяца назад
I love YANGA 🔰🔰🔰🔰
@danielbenard9053
@danielbenard9053 2 месяца назад
God bless and protect our players from evils people ❤❤❤
@SelemanMagambo
@SelemanMagambo 2 месяца назад
Wananchiiiiiiiiii,? Wa kwanza Leo gonga like hapoo👈
@AbrahamChengula
@AbrahamChengula 2 месяца назад
TUNASEMAGA WAMEKUNYUGWA HIYO STYLE
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 2 месяца назад
Duke abuya fundi wangu🎉🎉🎉🎉
@amaniomar1755
@amaniomar1755 2 месяца назад
Hawa vijana wawili ni hatareeh sana kwa kukera wanajua kukera sana 🎉🎉🎉 Edit: Tuendelee kusubscribe wananchi Daima mbele nyuma mwiko
@PascoPas-pe5zs
@PascoPas-pe5zs 2 месяца назад
Kwa hii yanga mwaka huu kuna watu watatapika Mo Energy😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@SarahMpwehuka
@SarahMpwehuka 2 месяца назад
😂😂😂 Tz hatari sijui watu wanatoaga wapi maneno eti watatapika mo energy
@paulmasunga1754
@paulmasunga1754 2 месяца назад
Hii ya mwisho inauma sana mwananchi😂😂💚💛
@hamisiomary4147
@hamisiomary4147 2 месяца назад
Wakwanza nipeni like zangu
@errydeo8865
@errydeo8865 2 месяца назад
Ili iweje? Toa maoni,ndo maana ya comment section! Acheni ushamba wa mitandao
@Espiboy2
@Espiboy2 2 месяца назад
Anae amini diamond platnumz atakuepo agost 4 a like
@Elon-r4o
@Elon-r4o 2 месяца назад
Sina mengi cha muhimu dua tuu basi nipeni like 😢
@errydeo8865
@errydeo8865 2 месяца назад
Dua ndo muhimu! 🤛🤛
@TamimuHassan
@TamimuHassan 2 месяца назад
Hiyo palapanda italiya nimeipenda sana et sanda itaingia mavumbini Ally kamwe unabalaa wewe
@linnahcasmir5275
@linnahcasmir5275 2 месяца назад
Chama na dube jmn wanachek vzr jmn💚💛
@AllySele-uz4mk
@AllySele-uz4mk 2 месяца назад
Wsnanchi wote hapa like 💚💚💚
@chiefnumborecords4819
@chiefnumborecords4819 2 месяца назад
Yaani pa pa pa paccomeee
@freefromhunger
@freefromhunger 2 месяца назад
+255 💚💛🖤💛💙 YOUNG AFRICANS
@pauloisso5815
@pauloisso5815 2 месяца назад
Dah kushabikia yanga raha tupuuuuuuuuuuuuuu♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯🎉🎉🎉🎉🎉
@MalinoKadwame-u1c
@MalinoKadwame-u1c 2 месяца назад
Kny komasava ya mond dk ya 2 na sekunde 44 kuna jez ya yanga asante kamwe kutupa code tumeenda yotube
@KhalphanSabuni-t6g
@KhalphanSabuni-t6g 2 месяца назад
Leo me ndo wa Kwanza naombeni like zang
@sittandaki2135
@sittandaki2135 2 месяца назад
Kivipi unaomba like tena?
@errydeo8865
@errydeo8865 2 месяца назад
Toaaoni kuhusu vid! Ndo maana ya comment section!
@zakayomaendeleo
@zakayomaendeleo 2 месяца назад
Leo nimekuwa wa kwanza😂😂
@sulevevo
@sulevevo 2 месяца назад
Yangaaa yangaaaa yangaaa
@shaibusaady2420
@shaibusaady2420 2 месяца назад
Allaah Akbar
@ComasLugob
@ComasLugob 2 месяца назад
Yanga Bingwa 💚💪
@AbuuAbduli-nu4jd
@AbuuAbduli-nu4jd 2 месяца назад
Namkubali Sana duke abuya pakome aucho cham ddube zengeli kiujula naikubali Sana yang mungu awalinde wachezaji wetu
@ericungele8082
@ericungele8082 2 месяца назад
William Shemoka “the man behind the Camera”. Unaishi ndoto zako bro, long time no see you, since NIT 2016
@dengahmediatz1230
@dengahmediatz1230 2 месяца назад
Rasta hali nyama anakula hela
@DeogratiasMaltine
@DeogratiasMaltine 2 месяца назад
anakula dangaa na mbogamboga tu
@azizymachadeson3577
@azizymachadeson3577 2 месяца назад
😂😂 Fala sana wewe unatafuta vita ba watu!
@zakayomaendeleo
@zakayomaendeleo 2 месяца назад
Hatari sana
@paschalymajizo702
@paschalymajizo702 2 месяца назад
Tupo pamoja sana
@GivenMabena-ls7dq
@GivenMabena-ls7dq 2 месяца назад
Mm wa 1kwahiyo
@filemonkwaja6181
@filemonkwaja6181 2 месяца назад
Yanga bingwa
@rukiakyaka1827
@rukiakyaka1827 2 месяца назад
Mashaallah nawapenda sn
@Abbasmkumba
@Abbasmkumba 2 месяца назад
Wanahabari muko sawa kabisa wanqnch tunahabarika
@redforcemagume958
@redforcemagume958 2 месяца назад
Yangaaaaaaaaaaaaaa
@DeogratiasMaltine
@DeogratiasMaltine 2 месяца назад
Kama unamkubali chama nipe lake zang
@MussaKingwande
@MussaKingwande 2 месяца назад
Kama ww mwananchi like
@DouglasChuwa-ec7mv
@DouglasChuwa-ec7mv 2 месяца назад
Mm nimwananchi kudadeki na mtaka my wetu hapo 8
@AminaTanzania
@AminaTanzania 2 месяца назад
Ila yanga inaraha kweri🎉🎉🎉
@Nope6e07
@Nope6e07 2 месяца назад
Alikamwe tunakukubali unaupiga mwingi sana brother
@linnahcasmir5275
@linnahcasmir5275 2 месяца назад
Oyoooo 💃💃 jez za mpira
@GodwinMtungi
@GodwinMtungi 2 месяца назад
Beki atuongezi au ilikuwa tetes sehemu muhimu tufunge usajil mangalo
@MosesWilliam-oh8tt
@MosesWilliam-oh8tt 2 месяца назад
Andambwile
@faharihakikazi
@faharihakikazi 2 месяца назад
aziz ki pacome dube duke baleke max aucho Diara Msonda Mzize Boca Mda Chama Baka Kibabage Yaaukwasi 💛💛💚💚💛💛 Yanga inapaswa ishtakiwe kwenye mahakama za kimataifa sio siri na sina utani!
@seciliamchalo5627
@seciliamchalo5627 2 месяца назад
Kwani wao hawaogopi
@robertmaximilian3264
@robertmaximilian3264 2 месяца назад
🔥🔥
@nayopamlimbatv1382
@nayopamlimbatv1382 2 месяца назад
Duuuh!! Hii yanga noma sana
@kasandajohn5005
@kasandajohn5005 2 месяца назад
Namkubali sana pacome
@DegratuasJulias
@DegratuasJulias 2 месяца назад
Brother nimeielewa hiyo sitaili ya mapiano
@Kimweri_tz
@Kimweri_tz 2 месяца назад
💛💚💛💚💛💚
@azizymachadeson3577
@azizymachadeson3577 2 месяца назад
Ila niwaambie kitu Wananchi Muda wa furaha ukiupata unapaswa ufurahi asee asikupangie mtu Huu ni Muda wetu wa furaha so asikutishe mtu Mwananchi yeyote afurahi tania yeyote cz ndo muda wetu coz furaha na huzuni ni vipindi ambavyo binadamu tunapitia so ukiwa na furaha mtu asikwambie eti usifurah cz uzuni ipo ase piga nginja nginja 🎉🎉😂😂
@ShakiraMasoud-ox5tj
@ShakiraMasoud-ox5tj 2 месяца назад
#Hali nyama yy anakula hela!
@rachelcheyo-p5z
@rachelcheyo-p5z 2 месяца назад
Love yanga
@japhetindobeji7239
@japhetindobeji7239 2 месяца назад
Mwenyekiti wa wasemaji oyeeeeeeeeeeee
@HajiHaji-v9f
@HajiHaji-v9f 2 месяца назад
Yanga iongeze beki wa kati ili kuongeza ushindani na kuwapa mda wa kupumzika
@MartinE..98
@MartinE..98 2 месяца назад
❤❤❤❤
@LinusFidel
@LinusFidel 2 месяца назад
Yanga ya moto
@SussankhanKhan
@SussankhanKhan 2 месяца назад
💛💛💛
@chamimdesa148
@chamimdesa148 2 месяца назад
Toeni maoni, dume zima unaomba like, acheni ujinga
@HusnaKibwana-t2e
@HusnaKibwana-t2e 2 месяца назад
Ngoja akae manalaulepimba
@SussankhanKhan
@SussankhanKhan 2 месяца назад
🙏🙏🙏
@angelakilimali689
@angelakilimali689 2 месяца назад
Mko vizuri tunawapenda sana
@KasmiliAndrea
@KasmiliAndrea 2 месяца назад
Namkubali pia
@fazo-kl9fu
@fazo-kl9fu 2 месяца назад
Ya rastaaa😂😂😂😂
@ThabitiMkemwa
@ThabitiMkemwa 2 месяца назад
Ali J4 yuko wapi mbna simuon hapa
@charlesmwaipasi2884
@charlesmwaipasi2884 2 месяца назад
Noma sana
@sulevevo
@sulevevo 2 месяца назад
Yanga
@pambaboniface1199
@pambaboniface1199 2 месяца назад
Good lucky
@FrankLaizer-j8s
@FrankLaizer-j8s 2 месяца назад
Kamilllllllllll.... Kudadadeki Kamwe mwambie Duke namtegemea 5 tare 8
@feyxalbarry4595
@feyxalbarry4595 2 месяца назад
Nanga uyo
@erickfene1642
@erickfene1642 2 месяца назад
Had lahaa
@gabinuskambongo7024
@gabinuskambongo7024 2 месяца назад
🙌🙌🙌
@FrankNguvumali-e1f
@FrankNguvumali-e1f 2 месяца назад
🤝🤝
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 2 месяца назад
Angekuwa manala hapa maneño yangekuwa kama mchanga
@GELLARDJOHN
@GELLARDJOHN 2 месяца назад
💚💚💚💛💛💛
@AlafaHaruna
@AlafaHaruna 2 месяца назад
Angalieni msije mkapigw jmn maana madunduka wao Huwa ngumi mkononi
@HousenAhmadi
@HousenAhmadi 2 месяца назад
❤nguvu moya
@RazakiAjika
@RazakiAjika 2 месяца назад
Kama unamkubali alikamwe gonga nipe like
@abednegoklamian3977
@abednegoklamian3977 2 месяца назад
Bravo yanga but vip kuhusu Kennedy Musonda
@hassanbaraza1165
@hassanbaraza1165 2 месяца назад
Musonda yupo
@amaniomar1755
@amaniomar1755 2 месяца назад
Kwani hujamuona hapo?
@JamesSambaLengedi
@JamesSambaLengedi 2 месяца назад
Wananchiiii 👍👊👊👊👊👊💪💪💪💪💪🏆🏆🏆🏆🏆
@albertvalentino130
@albertvalentino130 2 месяца назад
SANDA huwa zinakwenda na dua zake ---- Kama " Wainallilah wainallilah rajuun "
@Kakacushy
@Kakacushy 2 месяца назад
💛
@bm4tv602
@bm4tv602 2 месяца назад
Ali kamwe unakela sanaaaaaa
@NelbatKasekwa
@NelbatKasekwa 2 месяца назад
Mungu mwema saana eti Cha mwisho kinauma😂😂😂😂😂🎉🎉
@PeterNgeresa
@PeterNgeresa 2 месяца назад
🎉
@OnesmoShinje-yv9dx
@OnesmoShinje-yv9dx 2 месяца назад
Nyie Ni viboko
@francomwacha2262
@francomwacha2262 2 месяца назад
Nimefrah ujio wa pacome mnoo..
@Hancy_barrow
@Hancy_barrow 2 месяца назад
Saubona mfyetu wena kunjaan
@mealsbymana6561
@mealsbymana6561 2 месяца назад
🔥🔥🔥💚💚💚💛💛💛✅🏆
@livinuskamugisha5296
@livinuskamugisha5296 2 месяца назад
Mbona salamu kama ya walevi Hivi au wamelewa.
@OmaryManjenga-pt2qk
@OmaryManjenga-pt2qk 2 месяца назад
Wakanza leooooo😂
@emanuelphilipo1597
@emanuelphilipo1597 2 месяца назад
Bleach limerudi
@dullamuso6955
@dullamuso6955 2 месяца назад
🎉🎉🎉🎉🎉
@MaryMichael-w1l
@MaryMichael-w1l 2 месяца назад
Mbona tunasikia kuwa kaizer chiefs wanamtaka Max ni ya ukweli hayo jmn msimuache Max huko 🥺🥺💚💚
@RamadhanThabit
@RamadhanThabit 2 месяца назад
Nalikubalii chama rangu
@HusnaKibwana-t2e
@HusnaKibwana-t2e 2 месяца назад
Kwani yangainawasemaji wangapi
@patridabernard9148
@patridabernard9148 2 месяца назад
Mjanja ndo anaielewa salamu hiyo
@SeciliaHegeli
@SeciliaHegeli 2 месяца назад
😅😅😅nginje nginje nginje imenifurahisha maana nimecheka kwa sauti namaanisha nimeipenda
@luchiusmwijage2863
@luchiusmwijage2863 2 месяца назад
Kharidi Aucho bado ataendelea kuwa mwamba wa kiungo
Далее
怎么能插队呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:12
moto tag - AirTag для Android
00:47
Просмотров 428 тыс.
MASAI APAGAWA NA YANGA | NG'OMBE WANGU NAWAPA YANGA
14:25
怎么能插队呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:12