Тёмный

NABII MKUU AMPA GARI MCHUNGAJI MASHIMO NA PESA TASLIM MILIONI 3 (3,000,000/=) GeorDavie TV 

GeorDavie TV
Подписаться 244 тыс.
Просмотров 214 тыс.
50% 1

SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
TUFUATILIE
▶︎ Facebook: / geordavietv
▶︎ Instagram: / geordavietv
▶︎@GeorDavie Maarifa

Опубликовано:

 

15 июл 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 726   
@DeoKasokola
@DeoKasokola 8 месяцев назад
Mungu utusaidie njaa ni mbaya sana. Maana maadui wa msalaba wa kristo Mungu wao ni tumbo na mwisho wao ni uharibifu
@eddyempire9797
@eddyempire9797 2 года назад
Mashimo ana Akili nyingi Sana.... Ametafuta pakutobolea
@user-vi6uf5zc1i
@user-vi6uf5zc1i 8 месяцев назад
Anamsujudia binadam mwenzake jmn ee Mungu Tuokoe na Mwovu shetani
@sophiankwera9020
@sophiankwera9020 2 года назад
Ni zaidi ya upendo Nabii Mkuu hongera sana baba ni jambo la baraka sana ulilolifanya Kwa mchungaji mashimo
@daudimichael7338
@daudimichael7338 2 года назад
Mkono utoao ndiyo hubarikiwa, Asante nabii mkuu, Mungu akuzidishie vingi zaidi ili uweze kuwasaidia wahitaji. Hongera mchungaji mashimo, kazi yako imepata kibali mbele za. Mungu
@djwise1887
@djwise1887 2 года назад
Badala ya kuhubiri nyumba hadi nyumba yupo Yesu kristo mwokozi wetu wewe watembea nyumba hadi nyumba kutangaza kuna nabii mkuu. Huko ni kumtukuza mtu siyo Mungu
@emmanuelmwesongo7177
@emmanuelmwesongo7177 2 года назад
Nimesoma comments nyingi ila ya kwako ndio ina mashiko ✍
@bonimasero649
@bonimasero649 2 года назад
Mimi sjamwelewa huyu jamaaa
@eliachacky7562
@eliachacky7562 2 года назад
Baba MUNGU akawe nawe siku zote uzidi kutusaidia watanzania na kutuvusha 🙏🏻
@atupelemwitiki
@atupelemwitiki 2 года назад
Asante sana nabii Wa Mungu,huyu MTU amefanya kazi kwenye mazingira magumu sana, sasa ni wakati Wa kubarikiwa kwake.
@marympemba2137
@marympemba2137 2 года назад
Baba umenena vizuri sana, somo zuri sana, namuomba mungu wako awe nami baba🙏🙏♥️♥️🔥🔥🇹🇿🇹🇿
@mariakisinda7235
@mariakisinda7235 Год назад
Mungu akuzidishie nabii ninapokusikiliza wewe naskia Julia juu ya ninayopiti juu ya kumtumikia mungu lakini kamwe sitakata tamaa naamini ipo siku name nitatoa ushuhuda
@abdulrahmanpaskalina7627
@abdulrahmanpaskalina7627 2 года назад
Nakupenda Yesu, nakupenda Mungu kwa ajili ya Watumishi wako, Amina🤲🙏
@Sunday-rl9uu
@Sunday-rl9uu Год назад
mashimo mwenyewe nabiii wa mchongo siwaaamin manabiii namwamini mungu anatosha
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 2 года назад
Hongera Sana nabii kwakweli unanitakasa roho yangu kwa utoaji huu daaah MUNGU akuongeze zaid na zaidi
@deusmorris1030
@deusmorris1030 2 года назад
huyu mtu wa Mungu nilikuwa sielewi sasa naelewa ukiona mtu anaachilia vitu kwaajili ya injili huyu si mchezo Mungu akuinue nabii mkuu
@christianmwasakogo5579
@christianmwasakogo5579 2 года назад
Watumishi wa Mungu watoaji kiasi cha kumfikia Nabii mkuu Geordavie hapa Tanzania na Africa Mashariki mimi bado sijaona!! Salute sana kwako NABII Geordavie!!
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 2 года назад
Kabisa sijaona
@kapiriisavictoria4175
@kapiriisavictoria4175 2 года назад
I tap the anointing in Jesus Mighty Name 🙏
@juliusgenya3231
@juliusgenya3231 2 года назад
Huyo ni nabii feki hakuna nguvu ya MUNGU
@christianmwasakogo5579
@christianmwasakogo5579 2 года назад
@@juliusgenya3231 heee una uthibitisho?
@gervasmwijage8657
@gervasmwijage8657 2 года назад
@@juliusgenya3231 upo smart snaaa..Mie nakaa naangalia tu watu
@irenelulu530
@irenelulu530 2 года назад
Ameeen God is mighty..nmejifunza kuwa mwaminifu mbele za mungu
@amenaameeena3317
@amenaameeena3317 2 года назад
Mungu anainua MTU kupitia MTU mashimo amepambana sana Ivo Mungu amemwonakania ni Jambo la kumshukulu Mungu awezi kukuacha ukimtegemea asante Nabii mkuu unajitoa sana kusaidia watu tungekuwa na watumishi kama wewe tusingelia umasikini watumishi wengine macho Yao yako kwenye sadaka
@bobwhite9252
@bobwhite9252 2 года назад
Hawa jamaa ni professional. Wakal wa hiz kaz
@frankbangimoto3462
@frankbangimoto3462 2 года назад
Nabii unafanya kazi kubwa mno, katika kutangaza Injili ya Bwana Yesu Kristo. Mungu akubariki na kukulinda wakati wote.
@salmampinga4995
@salmampinga4995 2 года назад
Yaani Baba Mheshimiwa Nabii Mkuu Dr. Geordavie unanipa rahaa kwa kweli.Unatoa Nakutoa, Nakutoa Nakutoaaa ,Vivaaa Maono ya Nabii Mkuu Vivaaaaah:
@nhawalala276
@nhawalala276 2 года назад
Wa kumwamini ni mungu pekee picha ya MTU inaponya kivipi mungu ndiye anaeponya
@magdalenapeter6106
@magdalenapeter6106 2 года назад
WA KUABUDIWA NA KUTUKUZWA NI YESU PEKEE YAKE HAKUNA MWINGINE CHINI YA JUA HILI HAKIKA HIZI NI NYAKATI ZA MWISHO NA UKWELI YESU YUPO MLANGONI YESU NIREHEMU MIMI MKOSAJI NISAIDIE NIWE NA MWISHO MWEMA🙏
@karenmchomvu3300
@karenmchomvu3300 2 года назад
Barikiwa mtumishi wa Mungu Geodavie, Mungu atazidi kukuheshimisha kwa kumkumbuka mashimo ,amen
@neemanziku5403
@neemanziku5403 2 года назад
Mtumishi Geodev mungu unae mtumikia akubarik ujulikane kote ulimwenguni na mbingu zikujue na ardhi itetemeke kwa ajili yako ubarikiwe Sana nakosa Cha kusema
@esthermyers1696
@esthermyers1696 Год назад
Can this pastor minister to the peoples have mercy ohhh God!!!!
@boniphacemabala4551
@boniphacemabala4551 2 года назад
Mmmmh, Yaan imani igeuzwe kutoka kumwamini Yesu mpaka kumwamini binadamu, Bwana Yesu atusaidie sana...ila hakuna cha ajabu kwasababu yote yalisemwa kwenye neno lake takatifu
@georgeigogo9259
@georgeigogo9259 2 года назад
asante kwa kuliona ilo
@boniphacemabala4551
@boniphacemabala4551 2 года назад
Mambo yanatisha sana haya, Bwana Yesu aliyetuokoa na kutupa neema ya kuyaona haya na kuyaelewa asifiwe sana
@apostlealexgervas7856
@apostlealexgervas7856 2 года назад
Barikiwa Sana Baba umebakia wewe unayejali wahubiri wadogo wanaojitoa kwa moyo.
@mariakibwana3700
@mariakibwana3700 2 года назад
Nabii Mkuu,Mungu azidi kuinua kazi yako. Muda mrefu natamani ningekuona unitamkie neno, lakini kwangu inakua ngumu. Mana wewe ni mtu mkuu sana.Ila kwa kumbariki mtumishi Mashimo maneno haya yangu ya comment yawepo ili siku moja nije nitoe ushuhuda. Kupitia hili tendo nami napokea kuinuliwa.
@samwelimadaha767
@samwelimadaha767 2 года назад
Maneno ya unyenyekevu. MUNGU akutendee, Zaburi 138:2,8
@christopherthomas4485
@christopherthomas4485 Год назад
Baba nakupenda sana baba uwanabalikiwa sana kukusikiliza nafatilia sana maubili yako naomba uniome mabadiliko ya maisha mm na familia yangu ubalikiwe sana baba naludia tena na kupenda sana
@mosesjohnswilla9926
@mosesjohnswilla9926 Год назад
Njaa
@happinesstesha4745
@happinesstesha4745 2 года назад
Najiungamanisha na muujiza huu wa gari mungu akatende na kwangu kwa mungu wa jo dev mchungaji huyu mume wangu apate gari mpya alphad kama hii
@makolokolodavid6707
@makolokolodavid6707 2 года назад
Loooh!! Nnachojua mim nikuwa Mungu yupo na Mungu hadhihakiwi, ipo siku tutajuana tu
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 2 года назад
Mmi ni muisilamu lakini kiukweli huyu mzee anawasaidia sana walioko chini japo kuna kuonekana anatengeneza ila haijalishi nifunzo wallah
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 года назад
Wewe je Kwa nafasi yako umewasaidia wangapi?
@SaideAndurabe-kh7lu
@SaideAndurabe-kh7lu Месяц назад
Usijingize uko
@paulmadundo8084
@paulmadundo8084 2 года назад
hongera yake sana, kwa alivyoianza kazi yake na jitihada zake anastahili kupewa zawadi zaidi ya hiyo. Mungu amsaidie asipandishe mabega huko dar sasa
@aaronswai6935
@aaronswai6935 2 года назад
Mungu atuhurumie na kuturehemu sana. Muda wa Kristo BWANA kurudi u karibu!
@oscargmosha3108
@oscargmosha3108 2 года назад
Hakika
@juliethbudugu7640
@juliethbudugu7640 Год назад
Kweli
@silvestersevangelisticmini8917
Napenda nabii mkuu.Mungu azindi kumtumia.mimi natoka kenya
@kaseeedeo7839
@kaseeedeo7839 Год назад
baba yetu nabii mukuu nakupenda sana baba uko na upako kwakweli niko Congo ningelikuwa nauwezo ningeli kuja ulipo baba nakupongeza sana kwa kazi unayo fanya
@flm1530
@flm1530 2 года назад
Ungeajiriwa na YESU ungepata mengi kwa wakati huu na uzima wa milele baada ya kifo lkn kwakuw umeajiriwa na mwanadamu umekwish kupat thawab yako
@jamesngasi7252
@jamesngasi7252 2 года назад
Kweli
@hakitv4717
@hakitv4717 2 года назад
Hujui unachokisema na upofu wako wa kiroho , but I don't blame you,,,, that's ur spiritual level.
@isongacharlesnilanga2582
@isongacharlesnilanga2582 2 года назад
Mathayo 15:13-14 [13]Akajibu, akasema, Kila pando asilolipanda Baba yangu wa mbinguni litang’olewa. [14]Waacheni; hao ni viongozi vipofu wa vipofu. Na kipofu akimwongoza kipofu mwenzake, watatumbukia shimoni wote wawili.
@bonimasero649
@bonimasero649 2 года назад
Nikweli umeliona hili
@mamertarweyemamu3438
@mamertarweyemamu3438 Год назад
Nataka Mimi wachawi na washirikina siwaendi
@honhonhaule9232
@honhonhaule9232 Год назад
Nabii uko vizuri Sanaa kwa kweli unafanya kazj ya Mungu yaani natamani nami nipate baraka zako Babaaa your very powerful I can call you WONDEFUL Lion oF TANZANIA Thanks
@beatricekilasi7622
@beatricekilasi7622 Год назад
Mungu akubariki sana nabii kwa kaz ya kuitangaza injili ya mungu amina
@itsangystyle5498
@itsangystyle5498 Год назад
This is too much jamanii.mungu amu bariki sana Nabii wa mungu.nasikiya machozi ya rahaa🥰
@emmanuelmachira4883
@emmanuelmachira4883 2 года назад
Hongera kwa misaada wako kwake kumwezesha aweze kutangaza ufalme wa mbinguni. Tunaomba umsaidie na Paschal Cassian alie toka ufreemason upate kumpongeza kwa maamuzi hayo ya kutoka ufreemason. Asante sana mtumishi
@prophetzakayomkemwa5154
@prophetzakayomkemwa5154 2 года назад
Paschal Yule NI mtumishi wa MUNGU wa kweli hawezi kupewa chochote kwasababu kweli imekaa ndani take amen
@festochristopher7293
@festochristopher7293 2 года назад
Duuuuh it's so much touching, ukwel mi sio muumini wa Mtumishi huyu lakini kwa Hili kwa kwel anastahi pongezi
@deboraleonard3441
@deboraleonard3441 2 года назад
Yesu anarudi jamani tubuni dhambi. Zichunguzeni izo roho Kisha mziiamini.jamani jamani fumbueni macho .uwiii kweli yesu Yu aja jamani tubuni
@zimanigervas7281
@zimanigervas7281 2 года назад
@@deboraleonard3441 Toba inaingiaje hapa kwa mtu kusaidiwa ,acha roho mbaya ,Inabidi jianze kujichunguza wewe roho yako?????mfyuuuuuuuuuu
@shariffkareem8045
@shariffkareem8045 Год назад
Tumsifu yesu klisto nabii mkuu Mimi naomba usome komt yangu na niombee agizo kwa yesu klisto mana naona nawito wa yesu klisto ingawa min ni mwislam kwa baba mpaka mam oja yangu ni mafundisho yako kwangu Amin Asante yesu klisto
@kpppatrick6328
@kpppatrick6328 2 года назад
Amen! God bles you geodave!
@mnaipessa6578
@mnaipessa6578 2 года назад
Acha ujinga mzee zama za manabii zimepita acha kuwaminisha watu ujinga jiandae kujibu siku ya mwisho
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Год назад
Nabii huyu ni mtu wa wanyonge ni tofauti sanaaaa na manabii wengine sijawahi kuona au kusikia kama nabii anaesaidia wanyonge waumini wake na ambao siyo waumini wake huyu nabii atafunguliwa mengi sanaaaa geodavie mungu akupe nguvu sanaaaa
@livingstonemsungu9694
@livingstonemsungu9694 2 года назад
Niliamua kufuatilia huduma yako kwenye mtandao baada ya Kusikia Baaadhi ya Tuhuma Kadhaa ambazo wengi wamekuwa wakikulushia, ndipo Nikaamua Kujifunza zaidi na kukufuatilia huduma yako kwa Ukaribu zaidi kwenye mtandao. Kiukweli ni Mengi mazuri sanaa ninaendelea kujifunza kupitia Kwako, Mazungumzo na wosia wako kwa Mtumishi Mashimo, umenifungua sehem kubwa, Kuna swali nilikuwa nalo mda mrefu lkn kwa leo Nimejibiwa na nimekuelewa, Wosia huu utanifaa Sanaa pia Kwenye utumishi na huduma YANGU.MUNGU Aliye Mbinguni aendelee kukubariki na Kukuinua kwa viwango vikubwa zaidi. Rev. Livingstone Msungu IRINGA.
@davidlaiser8174
@davidlaiser8174 2 года назад
Tumuombe Mungu Sana atusamehe dhambi zetu. Tujifunze kutubu zaidi sio kujipromote zaidi. Na Mungu aliyeumba mbingu na nchi atatusamehe.Amen!
@isongacharlesnilanga2582
@isongacharlesnilanga2582 2 года назад
Mathayo 15:13-14 [13]Akajibu, akasema, Kila pando asilolipanda Baba yangu wa mbinguni litang’olewa. [14]Waacheni; hao ni viongozi vipofu wa vipofu. Na kipofu akimwongoza kipofu mwenzake, watatumbukia shimoni wote wawili.
@heritier5119
@heritier5119 2 года назад
Mashimo piga kazi Mungu kasikia maombi yako
@salimmohammad3627
@salimmohammad3627 Год назад
Mungu akupe maisha marefu nabii mkuu. Sinjawai kuona nabii kama wewe duniani. uko Mutumishi wa mungu wakweli baba nabii mkuu mimi binafsi nitatangaza Jina lako duniani kama pako nabii mkuu Tanzania .mwenyezi mungu akupe maisha marefu ...mimi naomba uniombee kwa mungu. anisaidie na aniponye ungonjwa ya mapepo mabaya. Amen Amen......in God we trust. God bless you my dear daddy
@dativajoachimwai1194
@dativajoachimwai1194 2 года назад
Umaskini mbaya sana. kusaidiwa milion2 basi unaanzakumwabudu na kuhubiri mtu na sio kumhubiriYesu kristo. hii ni laana. ndo maana uliowaalika walikataa maana hapo ni kumwabudu mwanadamu. Geuka mhubiri Mungu aliyekuumba. utajiri utapita. halafu huu utajiri unaoutegemea hapo utakugarimu. Mche Mungu muumba mbingu na nchi .usimwache Yesu ukaanza kuhubiri mtu kwa million 2 na gari
@ericklazaro7567
@ericklazaro7567 2 года назад
😭😭😭😭😭
@zimanigervas7281
@zimanigervas7281 2 года назад
Si unayo ndio maana hauoni ajabu,kwa kuwa unazo haikushtuwi ,,Umeshiba mwenye njaa humjuuuiiii
@JackJack-si7ne
@JackJack-si7ne 2 года назад
@ dativa joachim wai anayeyajua mambo ya rohoni ndiye anaweza kukuelewa, anafurahi kwa sasa lakini angejua yaliyo mbele, hakika yatamgharimu. Barikiwa sana
@dativajoachimwai1194
@dativajoachimwai1194 2 года назад
@@zimanigervas7281 soivo ndugu yangu. hatumwabudu Mungu kwasababu tumeshiba.Mumgu akure au asokupe bado atabaki kuwa Mungu na heshima yake inabaki palepale.haifai kuuacha wokovu sababu ya shida.dunia tunapita utajiri na umaskini vyote tutavisahau hapa duniani.kama umeokoka endelea na kumsema yesu kwa watu waokoke.injili iletayo wokovu ndo injili iliyokusudiwa na Mungu.sasa injili ya kinabii kuhubiri nabii sijuisijui imekaaje
@zimanigervas7281
@zimanigervas7281 2 года назад
@@JackJack-si7ne tufundisheni sasa
@naomidonald1679
@naomidonald1679 Год назад
I love you prophet ! Mungu akuinue na zaidi uguse maisha yetu
@abelisack3072
@abelisack3072 Год назад
hadi nmetoa machozi mm MUNGU wangu anitendee namm muujiza nitoke kwenye giza nililomo, mtumishi wa Mungu GeoDavie uzidi kunghara zaidi, haijalishi wanasema maneno gan
@meshacknyandongo577
@meshacknyandongo577 Год назад
Pole mtumishi mashimo najua umefirahi sana na Mungu ambariki kwa hapo alipotoa Ila kua makini usimpigie mwanadamu goti maana wewe ni mchungaji na unaelewa maandiko
@fredrickshantiwa9710
@fredrickshantiwa9710 2 года назад
Ameni... Hakika Mungu akupe maisha marefu Sana
@nessa4899
@nessa4899 2 года назад
Amen unastahili mashimo. Mungu mjalie Geor davie, Ehh Mungu mjalie nabii huyu, Amen 🙏.
@neemabrown1063
@neemabrown1063 2 года назад
Hakika mungu ni wa ajabu sana baba kwa moyo mkunjuf amemzawadia gar sijawahi ona mungu hakika anatenda nami najisikia raha sana kumwabudu mungu anayejibu maombi
@12322879
@12322879 Год назад
Kabisa,Mashimo amempambania Mungu miaka mingi sana tena kwa kukubali matusi na dharau za wasioamini.Wakati wa Mungu Ndio wakati sahihi.Amen
@bernadysospeter5794
@bernadysospeter5794 Год назад
Asante sana nabii mkuu kwa kzi ya mungu unaendelea kufanya uzidi kubarikiwa sana sana NABII MKUU
@godfreymwamaso2424
@godfreymwamaso2424 Год назад
Amen Mtumishi wa Mungu ubarikiwe na Mungu akuinue kwa kazi kubwa uliyoifanya ya kumsapoti Mtumishi wa Mungu Mashimo Mungu azidi kukuinua Amen
@rihanawanzala4335
@rihanawanzala4335 2 года назад
Amen I connect with my children, watching from Saudi Arabia
@husseingabo5497
@husseingabo5497 Год назад
Kafie mbele hao matapeli watakusadia nini habari ya mjini ni ukitaka kuwa milionea hapa mjini anzisha kanisa yaan wewe umeshindwa kusimama usiku Kwa ajili ya kumuombea mtoto wako unataka usaidiz kutoka Kwa matapeli we una akili kweli
@weldersirinimakelemopeter4671
@weldersirinimakelemopeter4671 2 года назад
Nabii Mkuu Mungu akubariki. Lakini naomba usijipe utukufu. Usiseme kanisa ni lako. Ukweli wewe ni nabii wa Mungu wewe ni muonaji wa Mungu utukufu sifa ni za Bwana, kanisa, nila Mungu wa mbinguni hakuna mwenye kanisa hapa duniani kanisa nila Bwana. Nakupongeza kwa Huduma uliyopewa na Mungu usinyamaze, usichoke safari ya ukombozi iende mbele. Ameeen
@bonimasero649
@bonimasero649 2 года назад
Mtu habudiwi Bali mungu tu
@pastorteddywaziri5754
@pastorteddywaziri5754 2 года назад
Najiungamanisha na huu upako na nabii mkuu maana kwa Mungu ktk ulimwengu wa roho hakuna umbali..Mungu aniinulie wafadhili ktk huduma yangu ktk jina la Yesu🙏🙏🙏🙏.
@hanifabakari6245
@hanifabakari6245 2 года назад
mimi mwislamu lakini naamini imani zote ,nakufatilia sana mchungaji ila kwa xx nimjamzito ,naomba baraka za maombi yako ,kwa imani na hamini nitabarikiwa
@kassioothemiracle1688
@kassioothemiracle1688 2 года назад
Amina
@buuwahiid2898
@buuwahiid2898 Год назад
Ww muislamu lkn imani yako ndogo sana
@ramakazina170
@ramakazina170 Год назад
Innalillah wainalillah rajiuni Dada Hanifa Bakari achana na hii michezo hawa ni wataalam wa kuwahadaa watu kama wewe ambao hamtaki kumjua Mungu mnataka miujiza kuliko kumuamini Mungu usidanganiyike wewe kinacho kuathiri ni kwasababu wewe ni Mwislam poa lkn kama ungekua Muumini haswa wale usinge shawishika na huo mchezo wa kitapeli Waislam huwa hatuko hivyo hatudanganyikagi kirahisi kaachini ujitathimini Inshallah Mungu atakufunulia ukweli wa hayo mambo ya kisanii.
@selestinsongola2787
@selestinsongola2787 2 года назад
Nabii mkuu amebarikiwa Sana alichokifanya mashimo najua utamuwekea Mikono nayeye awe mtumishi wa mungu mkubwa
@zachaliaagustino8546
@zachaliaagustino8546 2 года назад
Mungu akupe maisha malefu nabii mkuu
@jeanpaulndabirorere5966
@jeanpaulndabirorere5966 Год назад
Nakupenda sana nabiii mukuu kwamafundisho mazuri yenye upako heri ningeweza kufika kwenye huduma zako iri niuzuriye katika wengine iri unibariki
@stephenking3602
@stephenking3602 Год назад
Tatizo lenu ni kuwa hamuamini utajiri na mambo mazuri kuwa yanapatikana kwa Mungu mnajua pesa na utajiri ni vya shetan
@emanuelmargwe7087
@emanuelmargwe7087 2 года назад
Namshkuru Mungu Sana, kwa mwanae wa pekee Bwana Yesu Kristo. Hallelujah 🙏👏
@gracedamas5883
@gracedamas5883 2 года назад
Ameni
@EastherEmmanuel
@EastherEmmanuel 2 месяца назад
Mungu wa Nabiii Devi anibariki mimi akoe watoto wangu wameharibika na siku nikija Arusha lazima nimwone
@hawaally7712
@hawaally7712 Год назад
Barikiwa baba ,hakika ww mfano wa kuigwa nimelia sana kuona mchungaji Leo ameinuliwa Asante yesu matendo yako ni makuu mno
@mundelejudith3940
@mundelejudith3940 2 года назад
Mungu akulinde nabi mku na mimi napokeya upako kupitiya mchunganji mashimu I received in Jesus name Amen 🙏 💖 🙌
@mosesjohnswilla9926
@mosesjohnswilla9926 Год назад
Hujui kuandika
@kwabiNyaga
@kwabiNyaga 10 месяцев назад
You are the Real Man of God
@KatulebeJaphet-jr4br
@KatulebeJaphet-jr4br Год назад
Huo ni upotoshaji, yaani badala ya kumtangaza Yesu Kristo(kumuhubiri Yesu watu waache dhambi) eti uwatangaze watumishi wa Mungu wanaofanya vzr kweli mtawatambua kwa matunda Yao, imeandikwa Mungu hachukiliani utukufu na wanadamu, "pasipo mimi ninyi hamwezi neno lolote(yonana15:5)" mitume waliotangulia walimtangaza Yesu Kristo watu watubu wapate msamaha wa dhambi wala hawakutangaza habari na kuwasifia na wala kuwainua wanadamu , na Mungu alipowatumia kufanya matendo makubwa walikataa kutukuzwa kwakuwa sio wao wanaofanya hayo Bali kristo ndio anayefanya yote(matendo3:11-14), (matendo14:8-16) . NABII MKUU NI YESU KRISTO, imeandikwa mtu ye yote atakayewahubiri injili ya namna nyingne tofauti na hii tuliyowahubiri, iwe ni mm au malaika na alaaniwe(galatia1:6-10). HIZO INJILI ZA KUWATUKUZA WANADAMU NA KUWAINUA ZAIDI KULIKO MUNGU(KRISTO)SIYO INJILI ALIYOTUAGIZA YESU . Ukiwasikiliza Vzr hulisikii jina la YESU linasemwa wakati YESU ndio Nguvu yetu, wokovu wetu , imagine, uponyaji wetu , na ndiye anayefanya mambo yote piano ni yote ktk yote. Kama Yesu hazungumziwi wala kutajwa hatajwi, basically huo ni uhuni kwa kutumia kivuli cha ukristo na sivyo neno linavyoagiza.
@mpokienock-nh3zz
@mpokienock-nh3zz 8 месяцев назад
Kweli kabisa ndugu
@prophetess2024
@prophetess2024 7 месяцев назад
KatulebeJaphet. Mungu akumbariki Kwa kusema ukweli....ATA Mimi nitamuinua Yesu Kristo Kwa roho na kweli, Roho mtakatifu nisaindie.
@neemamjema1067
@neemamjema1067 2 года назад
Ishi sana Mheshimiwa Nabii mkuu Dr GeorDavie 👏👏🙏🙏🙏
@ndoricimpaelyse7752
@ndoricimpaelyse7752 Год назад
Kwanini watu wanaamini huyu Nabii hawa ni mashetani.sio Mtumishi wangu muwombe sana.
@stewartukason231
@stewartukason231 Год назад
Wow....this is amazing....Dr. Geor Davie is an amazing Prophet from the Lord.
@sumaliinaleng5430
@sumaliinaleng5430 Год назад
huna lolote
@aremachurch4010
@aremachurch4010 2 года назад
Baba wa Manabii na Mitume wote Tanzania. Tunakupenda sana. Tunakupenda sana 🌹♥️
@rogersmaokola3147
@rogersmaokola3147 2 года назад
Mwamini MUNGU KWA AKILI YAKO YOTE NA MOYO WAKO WOTE,,,, LAZMA UTAFANIKIWA, Maneno mazuri sana na yanaukweli ndani yake Hongera sana Nabii mkuu
@michaelnzunda7347
@michaelnzunda7347 2 года назад
Nchi inaangamia kwa kukosa maarifa
@frankmushi8892
@frankmushi8892 2 года назад
Uhu ni mfano wa kuigwaaa kabisaaaaaaaaa he mungu wabarikiiiiii awa watumishi wako na nabihi mkuuuu nakuomba uniinuwee na mimi
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 Год назад
I love you much Nabii Mkuu,God Bless you abundantly in Jesus mighty name
@mosesjohnswilla9926
@mosesjohnswilla9926 Год назад
Kwa lipi sasa
@nabiialuta8234
@nabiialuta8234 10 месяцев назад
Mungu akujaze baba usipungukiwe kwa mibaraka ya mbingu na ungefaa kuwa raisi wa tanzania bb kwa moyo wako unaofanana na hayati magufuri kwa kuwasaidia wanyonge baba MUNGU Akupe wazo la kugombea uraisi maana anasema hakuna jambo litakaro shindikana kwenu mat 17:20 we pray for you
@fatumaibrahim8973
@fatumaibrahim8973 Год назад
Natamani hata mie siku Moja nihudhurie ktk ibada ya Nabii mkuu G.mungu Anisa indie niweze kufika Arusha
@mathsmeme-tv6576
@mathsmeme-tv6576 2 года назад
Baba Unapenda kazi ya Mungu .......touching Nampenda Yesu wa NYU
@mariamelia3906
@mariamelia3906 Год назад
leo nimekubali anatoa sana mungu ampe kibali mbele za mungu sku zote
@gladsonuronu6364
@gladsonuronu6364 2 года назад
Asante sana Nabii Mkuu Dr Geordavie
@heritier5119
@heritier5119 2 года назад
Hata Mimi ningekuwa na pesa ningesapoti Kazi ya Utumishi wa MUNGU
@moseszakayo4570
@moseszakayo4570 Год назад
Ku support kazi ya mungu sio mpka uwee millionaire hata kw shiringi 500 unaweza ku support kazi ya mungu na ukabarikiwa
@vicentelias491
@vicentelias491 2 года назад
Tumuamini nabii au Mungu kupitia kwa mtume wake yesu kristo
@JackJack-si7ne
@JackJack-si7ne 2 года назад
Tumuamini Mungu kupitia mtume wake Yesu Kristo ndivyo biblia inavyotuelekeza
@stephanonyasanga7778
@stephanonyasanga7778 2 года назад
Tumuamini Mungu tu nawatumishi wake wanao mwabudu Mungu katika Roho na kweli
@JackJack-si7ne
@JackJack-si7ne 2 года назад
@@stephanonyasanga7778 hapo sasa kwenye roho na kweli sasa lazima uwe na Roho Mtakatifu wakukujulisha na kukufunulia yaliyo sirini, watumishi walio wengi sasa hivi ni maigizo matupu. Wanajifanya wao ndo wamejaa Roho Mtakatifu, wanajua sana neno wako karibu na Mungu na wengine huthubutu hata kusema wanaongea na Bwana Yesu uso kwa uso, Nimewahi kusali mahala fulani, huyo mtumishi pasipo kujua nilikuwa naamini kabisa ni Mtumishi Wa kweli wa Mungu katika Kristo Yesu, nilipoendelea kusali pale, Nikaanza kumuhoji Mungu kuhusu roho inayotenda kazi ndani yake, jamani mwanzoni sikuamini lakini kadri Roho Mtakatifu alivyizidi kunifunulia niliondoka hiyo madhabahu. Lakini je swali la kujiuliza ni wakristo wangapi wanaopenda kuhoji kuhusu roho zitumikazo katika madhabahu wanazoziendea? Na je wakishajua wako tayari kuondoka? Mungu atusaidie sana hakika.
@jumaeduardo
@jumaeduardo 2 года назад
Asante sana baba, Mozambique iko pamoja nanyie
@hopejohnson7352
@hopejohnson7352 2 года назад
Ubarikiwe xana baba mungu azidi kukutunza
@honhonhaule9232
@honhonhaule9232 Год назад
I like the way your are preaching DADY proud for you our wonderful prophet NABII MKUU may GOD Bless you
@hilaliusjohn8386
@hilaliusjohn8386 Год назад
Utawapata mazuzu Kama wewe
@thetwonotoriousboys6799
@thetwonotoriousboys6799 7 месяцев назад
Eti Dady😅😅
@evaristminja1784
@evaristminja1784 Год назад
Kweli nabii mkuu Mungu azidi kukupandisha, Mungu anapenda moyo kama wa kwako. Asante sana sana, umeonyesha dira ya kuwalea wale wanaomtukuza Mungu.
@Richbtz
@Richbtz 2 года назад
Akika umegusa Moyo Wangu....Mwenyezi Mungu akawe Nawe Baba🙏
@NuruNyanginywa
@NuruNyanginywa 2 месяца назад
Mungu akubariki nabii kwa kumwinua mtumisji wa Mungu
@emmaculatetemba-dd4qv
@emmaculatetemba-dd4qv Год назад
Amen thank you. God give strong and be blessed
@mazimpakaaimable1141
@mazimpakaaimable1141 2 года назад
Ubarikiwe baba nabii mutumishi wabwana
@deusmorris1030
@deusmorris1030 2 года назад
kusapo injili tu nimekuheshimu sana wahubiri tunapata shida sana vijijini barikiwa sana
@Bishopgeorgebilingimotoula9181
@Bishopgeorgebilingimotoula9181 2 года назад
Ndio maana unaitwa Nabii mkuu,hii ndio maana halisi ya wewe kuinuliwa zaidi,nakupenda Nabii mkuu
@edwinelias8554
@edwinelias8554 2 года назад
Amen kubwaa Mungu hana upendekeo siku zote anampa mtu sawa sawa na alivyoomba
@danieltestimon1000
@danieltestimon1000 Год назад
From Kenya I believe you prophet of God
@eliemwandaza2483
@eliemwandaza2483 2 года назад
Mchungaji Bwana Yesu akubariki ili uzidi kuwa baraka kwa wengine Kwakweli Una moyo wa tofauti Mungu akubariki
@mwanjatabitha6554
@mwanjatabitha6554 Год назад
I have been following you Dr.Geo Davie since 2018,I wish one day to come near you
@pastermathayosige1920
@pastermathayosige1920 2 года назад
Hakika nabii mkuu ni Mungu Duniani kama Mungu alivyo mwambia musa nitakufanya kuwa Mungu Baba nabii mkuu wewe ni Mungu Duniani yesu alisema nilipokuwa duniani nilikuwa nuru ya ulimwengu jamani Nabii mkuu ni nuru ya ulimwengu sasa namimi napokea baba
Далее
Ouch.. 🤕
00:30
Просмотров 8 млн
SOMO - AGANO LA MAUTI | FULL VIDEO  | 14-04-2019
2:11:31