Тёмный

ALLY KAMWE MBELE YA MSEMAJI WA COASTAL ASHUSHA NONDO KUELEKEA MCHEZO WA KESHO 

Yanga TV
Подписаться 706 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Спорт

Опубликовано:

 

24 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 61   
@marthageorge5043
@marthageorge5043 49 минут назад
Mungu ni mwema Yanga tutashinda💚💛🔰
@AminoKhalif
@AminoKhalif 39 минут назад
Jeshi letu kila kheri dozi nzito mungu awabariki wachezaji wetu inshallah tutashinda 🙏🙏💚💛💚💛💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚
@marthajosephdihimbwa2329
@marthajosephdihimbwa2329 2 часа назад
hongera sana msemaji wetu Ally kamwe mwenyezi mungu akupe maisha malefu afya njema uendelee kuipambania yanga
@fatmaomar8335
@fatmaomar8335 Час назад
Kila la kheri inshaallah daima mbele nyuma mwiko kikubwa alama 3 💛💛💛💚💚💚
@nynyarugusumatukio255
@nynyarugusumatukio255 2 часа назад
Mpende BWANA MUNGU wako Kwa moyo wako wote, pia jitenge na uovu wa Kila namna, kama umepokea ujumbe huu gonga like
@FrankMahuna-xb7lt
@FrankMahuna-xb7lt Час назад
Huku umefata Nini mafungu na mpra wap na wap
@denismabubu291
@denismabubu291 49 минут назад
Hongera semaji letu kwa misunari yako kama kawaida yako
@DanielTediNdabila
@DanielTediNdabila 56 минут назад
Asante tuko pamoja yanga yetu ❤
@DicksonMchapo
@DicksonMchapo 43 минуты назад
AMINA SANA MJOMBA kamwe
@paulmasunga1754
@paulmasunga1754 Час назад
Yanga Furaha yetu ni ushindi tu haijalishi timu inafunga Goli gapi Kikubwa pont3💛💚💛💚💛💚
@aishabakari8040
@aishabakari8040 56 минут назад
Mwaka huu ni mwendo wa kimoko kama kocha Nabi alikua akivuna point 3 kwa kimoja 🤲🏻
@mwajumampokileomckapela7541
@mwajumampokileomckapela7541 30 минут назад
All the best chama langu pendwa 💚🖤💛
@SuziMsemakweli
@SuziMsemakweli 39 минут назад
All the best my favorite team 💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@triceyanga
@triceyanga 2 часа назад
sisi kama wananchi tunajivunia kupata msemaji kama wewe Alikamwe mwenye taaluma na maarifa mengi💚💛🫶mbona semaji la coast lina wasiwasi😂 Mungu ibariki yanga na wachezaji wote🙏
@ShabaniKhatibu
@ShabaniKhatibu Час назад
Kila la kheri.... 🔰🔰🔰point tatu muhimu💛💚
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 Час назад
😂😂😂😂alikamwe bhn sema sema ukawe mchezo wa kheri kesho inshallah 🙏 yanga bingwa
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo 2 часа назад
Yanga 🎉🎉🎉
@BullahSambiga
@BullahSambiga Час назад
Allah awatangulie tutashinda kwa uwezo wake inshallah
@moiseszacariasmoisesmoises
@moiseszacariasmoisesmoises 2 часа назад
ongera sana semaji wetu aly kamwe
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo 2 часа назад
Hongera semaji Ali kamwe 🎉🎉🎉🎉
@monicalucas3738
@monicalucas3738 Час назад
Inshallah kwa uwezo wa MUNGU tutashinda 🙏
@BarakaBeato
@BarakaBeato 34 минуты назад
Hahahahahahahahahah ila huyu jamaa anakera sana
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo 2 часа назад
Kila la kheri mpate ushindi jumamosi 🎉🎉🎉
@matrida.lunyilija5196
@matrida.lunyilija5196 Час назад
Mungu wetu ni mwema tutashinda
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo 2 часа назад
Daima mbele nyuma 🎉🎉🎉
@AminaTapwale-e5t
@AminaTapwale-e5t Час назад
Inshallah allah bless yanga africa❤❤❤❤
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo 2 часа назад
Daima mbele nyuma mwiko 🎉🎉🎉
@RahmaKhalfani-qp3vc
@RahmaKhalfani-qp3vc 34 минуты назад
Mtu na ndugu hata haipendezi kulwa na doto
@IgengeMarco
@IgengeMarco Час назад
Ally Kamwe ni mtu bingwa Sana kwenye tasnia ya habari na hakika Wananchi tulipata mtu sahihi Sana. Nakumbuka enzi za Manara akiwa kwa Watani zetu Simba alitaka kutufanya mashabiki tuwe na uadui Sana kwa maneno yake but Mungu Mkubwa mpira sasa hivi tunafurahi kwa kukaa hata pamoja na Watani zetu Simba.
@PauloDawite-o4s
@PauloDawite-o4s 33 минуты назад
Ntakuwa wa kwanza kuingia uwanjan
@mrrockboy9508
@mrrockboy9508 56 минут назад
Pamoja nayote tiketi nimeisha kata tunawanyoosha awa awana jipya Yanga Bigwa
@brycesonmathias6112
@brycesonmathias6112 Час назад
Kamwe wanataka fedha ya kumlipa Kocha Mwambusi
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo 2 часа назад
Inshaalah tutashinda 🎉🎉🎉
@MwanaidiKambi-p1q
@MwanaidiKambi-p1q Час назад
Allah atujaalie tushinde
@malietamaliet
@malietamaliet Час назад
Walipe tu mzunguko watu wote mkiwa wengi mbona mnaeza kaa ata VVIB 😂😂😂 ili kuwakomoa costal union
@Rashdidy
@Rashdidy 2 часа назад
Utawaskia walev makoro tume nunua mpir
@jasirimjasirimedia7940
@jasirimjasirimedia7940 Час назад
Watoto wa baba mmoja
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo 2 часа назад
Alhamdulillah 🎉🎉🎉
@kolosii4351
@kolosii4351 Час назад
Kweli wamejipanga kukusanya pesa.
@josephatn5040
@josephatn5040 11 минут назад
Nimekuwa nikimsikia msemaji akitumia neno "fatik" kuelezea hali ya uchovu wa wachezaji. Kuna kosa dogo la kimatamshi katika hilo. Neno ni "fatig" inaandikwa "Fatigue".
@KulthumAbdalla-l7k
@KulthumAbdalla-l7k 59 минут назад
YANGA BINGWA
@EmmanuelMroki
@EmmanuelMroki Час назад
Shida mdhamini ni moja hawezi kumbaniaaa yanga
@abdunnurahmedsilim7456
@abdunnurahmedsilim7456 29 минут назад
Endelea kujidanganya, kudanganywa na kuteseka....
@songombingo108
@songombingo108 4 минуты назад
😂😂😂Ally waambie hao... Maana kuna wale Wazee wa Madunduka walishasema ati GSM ana timu nyingi😂
@nelsoncharles1296
@nelsoncharles1296 30 минут назад
Daima mbele nyuma mwiko
@paulchaula6796
@paulchaula6796 Час назад
Me najua huo ni mtego
@innocentmmandago3029
@innocentmmandago3029 7 минут назад
Good luck
@innosentmolel8057
@innosentmolel8057 30 минут назад
Watoto wa GSM wote mnaenda kupeana matokeo TU
@amaniomar1755
@amaniomar1755 35 минут назад
Safi sana mwenyekiti huna baya 🎉🎉🎉 Edit: 706K and counting tuendelee kusubscribe wananchi target ni 1M subscribers
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo 2 часа назад
Kila 🎉🎉🎉🎉🎉
@ElishaKalebo
@ElishaKalebo 2 часа назад
Keaho tunafunga magol mengii
@neemamollel6972
@neemamollel6972 28 минут назад
Semaji tuko pamoja ondoa hofu
@gasparmwanalyela2794
@gasparmwanalyela2794 27 минут назад
Una akili sana kijana.
@thomassydney5857
@thomassydney5857 2 часа назад
We jamaa ni mnaa 😂
@marymoshi572
@marymoshi572 2 часа назад
😂
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo 2 часа назад
Yanga 🎉🎉🎉
@DicksonMchapo
@DicksonMchapo 44 минуты назад
AMINA SANA MJOMBA kamwe
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo 2 часа назад
Yanga 🎉🎉🎉
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo 2 часа назад
Yanga 🎉🎉🎉
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo 2 часа назад
Yanga 🎉🎉🎉🎉
Далее
РОК-СТРИМ без ФАНЕРЫ🤘
3:05:16
Просмотров 1,3 млн
Georgina & Ronaldo Now vs 2019 😂
0:21
Просмотров 31 млн
UFC 308: Пресс-конференция
35:18
Просмотров 331 тыс.