Тёмный

AMAPIANO INAHARIBU UTAMADUNI WA KIAFRIKA 

WACHOKONOZI
Подписаться 10 тыс.
Просмотров 1,9 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

26 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 59   
@hebeye
@hebeye 6 дней назад
Sawa kaka nimekuelewa sana vip sasa kuhusu singeri yetu nayo inafanya nini so kama ipokama amapiano Maana singeri nayo huwa inamfanya mtu kuwa mwehu mwehu like amapiano
@siriwandewina4892
@siriwandewina4892 4 дня назад
Mjukuu wangu Mrindoko uko vizuri mnoo
@benjo_brighter
@benjo_brighter 7 дней назад
Dah! Mpo mpaka kwenye muziki 🙌🔥🙌
@BennyCrisanto
@BennyCrisanto 7 дней назад
Awa Kweli wachokonozi fat sana ukweli.❤❤❤ 🇲🇿🇲🇿👍👍👍
@isackmachiyanshoka6754
@isackmachiyanshoka6754 2 дня назад
Hapo kwenye song unetisha kaka❤
@BarnabasFabiani
@BarnabasFabiani 7 дней назад
Daaaaa ngoma kali
@MTUMISHINZIKU
@MTUMISHINZIKU 6 дней назад
We jamaa upo vizuri sana
@kinungejulius4124
@kinungejulius4124 7 дней назад
Kweli bro nimeona upo vizuri,
@MendradNyimbi
@MendradNyimbi 7 дней назад
Fany mpngo wa hii ngoma mze mbona kali san
@JohnMabustar
@JohnMabustar 7 дней назад
Much respect wachokonozi 😊😊 Nini mistari kama vp collable
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 7 дней назад
Mwimbaji mzuri sana mwamba
@lampadshigonko3006
@lampadshigonko3006 7 дней назад
hawa jamaa wapo kila secta
@AlexLeonardAthanas
@AlexLeonardAthanas 6 дней назад
Oyoooooooooo hapoo kwenye rege sasaaa
@omydebaba7591
@omydebaba7591 7 дней назад
❤❤❤❤ love
@yossobenayunkn-d2g
@yossobenayunkn-d2g 7 дней назад
ilove 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 penda kwetu TANZANIA 🇹🇿🇹🇿 🇹🇿 wachokonozi mnatuondolea stres mmenifanya nisihame tanzania 🇹🇿🇹🇿 🌍🌍 ,,ila msisahau kunitumia Jina la mwimbaji iyo nyimbo ilo gitaa unavyolipiga mchokonozi safi sana ,,
@anorldmassawe7048
@anorldmassawe7048 6 дней назад
Nenda yutubu sachi andika JOMRI
@bonifaceferdinand566
@bonifaceferdinand566 7 дней назад
Kumbe wachokonozi mko vizuri kwenye music pia,Dah hakika mnatisha kila sekta😂😂😂
@eksielo
@eksielo 7 дней назад
Daah!! We mwamba ni kiboko.
@golebenson4597
@golebenson4597 6 дней назад
😂😂sasa mmechokonoa watu
@MarcellySumaye-bv5lh
@MarcellySumaye-bv5lh 7 дней назад
Hilo song hatari sana
@AnjelMwaluka
@AnjelMwaluka 6 дней назад
Saaa natural gn mbn kizungu tn 😂😂😂
@siwaletv4185
@siwaletv4185 7 дней назад
😂😂wazungu mnawaponda ila lugha yao ahaaaa
@ISSACKRICHARD
@ISSACKRICHARD 7 дней назад
Kweli asee tunawaponda lakini lugha Yao tunaipenda bana chezea English ww😅😅😂
@glatestar
@glatestar 6 дней назад
😮Zigdnoumaa tukutane kwa mwalim Pima
@kerionsilvesta6283
@kerionsilvesta6283 3 дня назад
Mim nataka jona lahiyo nyimbo uliye imba
@kambas2
@kambas2 7 дней назад
Nataka nipate nyimbo zako platform gan naweza pata nisikilize
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 6 дней назад
Ni kweli kabisa lakini hata wewe mwenyewe unajidai Peter Tosh hebu kuwa wewe tukuone
@mckobatz5861
@mckobatz5861 7 дней назад
Good strategy to promote your music side Keep it up you are doing well
@wachokonozi_
@wachokonozi_ 7 дней назад
Thanks for listening
@nyambangomahekemaheri2586
@nyambangomahekemaheri2586 7 дней назад
Issues ni kingeleza ulichoimba ....hiyo ni lugha ya watumwa​@@wachokonozi_
@livingevarest7352
@livingevarest7352 7 дней назад
Daa ngoja nitafute hii ngoma,
@JomoKilawe
@JomoKilawe 7 дней назад
✍️✍️
@kinungejulius4124
@kinungejulius4124 7 дней назад
Unda group bro tushikamane kwa nguvu, wengine tutajuwa tutawaelimisha vipi wasio elewa.
@johnkitwima6963
@johnkitwima6963 7 дней назад
ndo maana amapiano wanaimba kuhusu pombe na mapenzi, hawatoki nje ya hapo lasivyo haitahit😅😅🎉🎉🎉
@NokiMbona
@NokiMbona 7 дней назад
Sasa mbona unaimba kizungu
@RichMichael-j6h
@RichMichael-j6h 7 дней назад
Wengi hawafaham madhara ya Muziki unaosikilizwa sana sasa Unachangia sana kuharibu akili za wengi,
@Edwardmtumbati
@Edwardmtumbati 7 дней назад
❤👏👏👏
@alijuma8009
@alijuma8009 7 дней назад
Pamoja
@JosefNgulinzila
@JosefNgulinzila 6 дней назад
Aise hawa jama niwamuhimu tuwatunze na tuwatumie
@assambakizamossi3948
@assambakizamossi3948 7 дней назад
Pamoja sana!
@bulayaconfidential7212
@bulayaconfidential7212 7 дней назад
natamani msemee kuhusu privacy za wateja ktk mitandao ya simu ambavyo mitandao ya simu hasa vodacom na tigo juu ya shutma za hivi karibuni kuvujisha taarifa za wateja kwa watawala… tujadili hili
@towil0
@towil0 7 дней назад
Ongeleeni hili
@FreedomKasonso
@FreedomKasonso 7 дней назад
Hey broo naomba link ya iyo nyimbo yako broo daah unajua sanaaaa mwamba
@wachokonozi_
@wachokonozi_ 7 дней назад
Andika "so natural" utaipata.
@FreedomKasonso
@FreedomKasonso 7 дней назад
@@wachokonozi_ Asante bro nime iyona daah una madini mengisana mwamba naweza kukuita shamba la uwerewa upo huru Sana bro kuriko hata mungu Kwan yeye hawezi kumuumba mungu mwingine kuriko yeye wewe unatufungua wengi akili so recpect broo
@schigangermayala7706
@schigangermayala7706 7 дней назад
Dizasta vita a confession. Of a mad pholosopher​@@FreedomKasonso
@jeremiahblazio4781
@jeremiahblazio4781 7 дней назад
Hilo la amapiano hata mm nilishawaambiaga watu linahamasisha ushoga kiaina tusiposhtuka
@yamungungendu4839
@yamungungendu4839 7 дней назад
Aise kumbe unaimba?
@Haleem_07
@Haleem_07 7 дней назад
Sabuni ya ubongo 🧠🙌
@simonmalegesi414
@simonmalegesi414 7 дней назад
Wa choko nozi
@yossobenayunkn-d2g
@yossobenayunkn-d2g 7 дней назад
iyo nyimbo. Kaimba nani ,, wachokonozi NIMEPENDA ILO GITAAA UNAVYOLIKONG'OLI VIZULI2 nitumie jina la mwimbaji nimtafute RU-vid chap
@wachokonozi_
@wachokonozi_ 7 дней назад
Wimbo: so natural. Artists: jomri.
@blackhood76tv
@blackhood76tv 7 дней назад
Wachokonoziii.
@RichWise671
@RichWise671 7 дней назад
🔥🧠👽🫂🇹🇿🌍
@BarnabasFabiani
@BarnabasFabiani 7 дней назад
Nyimbo ina itwaje
@wachokonozi_
@wachokonozi_ 7 дней назад
So natural.
@BarnabasFabiani
@BarnabasFabiani 7 дней назад
@@wachokonozi_sante ngoja ni ipakue chap
Далее
WENYE AKILI NDOGO WAENDELEE KUAJIRIWA
12:11
BUNGENI
8:46
Просмотров 4,8 тыс.
UISLAM SI DINI YA MWENYEZI MUNGU
17:24
Просмотров 39 тыс.
ZANZIBAR NDIO BABA ZETU
7:43
Просмотров 4,1 тыс.
SHEIKH KISHKI AVURUGWA NA MASHARIF FEKI
29:55
Просмотров 14 тыс.
VITUKO VYA KWENYE DALADALA (EP1)
11:33
Просмотров 205 тыс.
WATUMISHI WENGI HAWAPENDI KAZI ZAO ((2))
12:39
Просмотров 1,4 тыс.
NDOA SIO KITU CHA MWANAUME
5:59
Просмотров 3,2 тыс.