Тёмный

ZANZIBAR NDIO BABA ZETU 

WACHOKONOZI
Подписаться 10 тыс.
Просмотров 4,2 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

26 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 73   
@ndayijeanclaude5094
@ndayijeanclaude5094 День назад
Nawasikiliza sana nikiwa Bujumbura BURUNDI, mnaongea maneno yenye hakili kubwa sana!!
@ben4xhze832
@ben4xhze832 5 дней назад
🙌Wachokonooz, Apo kwenye wimbo wataifa apo iyo kazi nipeni mimi
@AbdallahJuma-wb8lq
@AbdallahJuma-wb8lq День назад
Mnabembeleza,udugu
@ErickmSimon-w7r
@ErickmSimon-w7r 7 дней назад
Listening to you in south Africa nawanukuu sana
@amaniramadhan3292
@amaniramadhan3292 7 дней назад
Brother unaongeaa ukweliii HADI unakeraaa pumbaviuuuu
@ShabanAbdulrahman-b6r
@ShabanAbdulrahman-b6r 5 дней назад
Shirazi ni waajemi na waajemi ni iran ya sasa.
@Abeidjuma1241
@Abeidjuma1241 День назад
Mimi niko Zanzibar mzeee huo ni ukweli hasa over %
@SisoPotashiumz-c7n
@SisoPotashiumz-c7n 7 дней назад
Very perfect
@MohamedRashid-py7ro
@MohamedRashid-py7ro 7 дней назад
Washirazi ni waerani sio waomani
@alijuma8009
@alijuma8009 7 дней назад
Washirazi nikutoka Irani baba sio Amani
@bonifaceferdinand566
@bonifaceferdinand566 7 дней назад
Wafungwa wa akili ni wengi,kuliko wafungwa walioko jela,Hata Bob Marley alishawahi kuimba,Africa UNIT,Lakini kwakuwa Africa imetawaliwa na DINI hakuna fala alieweza kumuelewa ndiyo hiki leo wanachozungumza Wachokonozi,Tunahitaji umoja wa nchi za afrika 😅😅😅.
@allyseif5346
@allyseif5346 3 дня назад
Vyanzo vyenu vya tafiti vinawaletea taarifa nyingi sio sahihi
@abdallahkambangwa7215
@abdallahkambangwa7215 4 дня назад
mnazingua
@AndrewKagete-o6t
@AndrewKagete-o6t 7 дней назад
Fact
@Haleem_07
@Haleem_07 7 дней назад
6:06 oyaaaa🙌🙌🙌🧠👊👊👊👊
@lampadshigonko3006
@lampadshigonko3006 7 дней назад
utumwa wa akili ni mbaya
@FabriceKassim
@FabriceKassim 7 дней назад
Kweli Kabisa 👊🏿🫵🏿💯
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 7 дней назад
Point sana wanangu
@LushidulaJidamawi
@LushidulaJidamawi 7 дней назад
Muko sawa
@IsayaJoseph-v3s
@IsayaJoseph-v3s 5 дней назад
Kweli
@bahatisaimon6019
@bahatisaimon6019 7 дней назад
Walimwengu wenzangu 🎉
@leonicky7451
@leonicky7451 7 дней назад
Hii imeenda tunataka wimbo wetu wa Taifa👊🏾👊🏾👊🏾
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 7 дней назад
Taifa ni vijana
@theopant916
@theopant916 6 дней назад
Akili kubwa hapoo ukweli mtupu
@mhabimina4023
@mhabimina4023 7 дней назад
🔥🔥🔥👌
@ezekielshija9251
@ezekielshija9251 7 дней назад
Mimi ni muumini wa africa spiritualism nishaachana na mgawanyo wa madhehebu,eti mimi mroma,mimi mlutheri,mimi m TAG. mimi msabato na list ni ndefu sana kuiandika kisha tuwe na umoja. Umoja wa nini ktk hali hii. Kwanza tujikomboe kifikra
@FrankMeney-e6o
@FrankMeney-e6o 7 дней назад
Mnasemaje kuhusu utekaji unaoendelea?
@rajabumasinde5935
@rajabumasinde5935 6 дней назад
Acha bangi ww
@yusuphabdulazizkinega3039
@yusuphabdulazizkinega3039 7 дней назад
Facts sanaaaaa
@Haleem_07
@Haleem_07 7 дней назад
Sabuni ya ubongo 🧠🙌
@BarnabasFabiani
@BarnabasFabiani 7 дней назад
Wachokonozi ####
@angelousfrank6945
@angelousfrank6945 7 дней назад
❤❤❤❤❤❤
@StephanoKamunya
@StephanoKamunya 7 дней назад
Nyie kweri wachokonozi
@USDisdoomed
@USDisdoomed 6 дней назад
Hata sisi washirazi Kenya tupo....ila asili yashirazi ni Wairan
@Maboki265
@Maboki265 4 дня назад
APO INABIDI TUANZISHE DINI YA KIAFRICA ILI TUWAAMBIE HII NDO DINI YA KWELI
@simonmalegesi414
@simonmalegesi414 7 дней назад
Wa choko nozi 🎉🎉🎉
@eksielo
@eksielo 7 дней назад
Kabisa
@zanjhilary
@zanjhilary 7 дней назад
Wachokonoe baba
@patrishamaulid5670
@patrishamaulid5670 7 дней назад
Mbaya zaidi hata huko saudia nao wameanza kuruhusu vitu vya kidunia kama bar pombe kumbi za starehe nk.na sasa hivi kiongozi wao kasema hakuna kumpangia mwanamke vazi la kuvaa avae anavyo taka yeye sasa sijui watakumbilia wapi tu labda Oman😅😅😅
@eksielo
@eksielo 7 дней назад
@@patrishamaulid5670 duuh
@ray9738
@ray9738 6 дней назад
Mimi binafsi siamini kwenye MIUNGU ya kigeni, UKIRISTO na UISLAMU ila Nina Jua na kuamini kuwa Kuna DEVINE POWER Inayo tugovern sisi Wanadamu. Finally Quran/A-QUARIAN and bible/Bi- Balls( two balls) ni vitabu vya "Lights" kama haujui Mythology, astrotheology, syncretism, astrology na Occultic science/knowledge, kama ukisoma vitabu hivi kama literally huwezi kuelewa kitu. Mfano JESUS/ ni mfanano wa JUA na miezi/Nyota/milango 12( wanafunzi 12) Muhammad (saw)= MOON/MWEZI na Nyota 12. Mohammad means MOON IN MARS ambapo tunapata jina kama RAMADHAN/RAMASON/RAMS SON/SUN (Mwana KONDOO) RAM= KONDOO ambayo ni First Sign au Alama au ISHARA ya kwanza ya Uumbaji. KONDOO au ARES-kigiriki(ARISING)anafananishwa na MOTO au MARS/MIRIKH the First Element of Creation. Katika MWILI wako MARS inadominate/DONATE your BLOOD, IRON, POWER.
@cryptoboy_5
@cryptoboy_5 7 дней назад
mbali na kuwa watu wa psychology mnajihusisha na digital marketing hasa biashara za cryptocurrency ,forex N.K
@MetoIgotyou
@MetoIgotyou День назад
Umejuaje kaka
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 3 дня назад
Nyie wajinga hamna dini yoyote na wasomaji wanawaona watawatupia kitu muwe makini wahuni ni wengi😂😂
@MarioTV255
@MarioTV255 6 дней назад
Kuuusu zanzibar sikupingi hilo wabaguzi
@amoursalum8266
@amoursalum8266 6 дней назад
na yule aliesimama kanisani akiwakandia Zanzibar si mbagizi.. kosa la za zanzibar sio ubaguzi kosa lao ni kudai uhuru wao . acha izo
@yussufmohammed9299
@yussufmohammed9299 10 часов назад
Wazanzibar cyo wabaguzi hatuna Shobo kila mtu yupo bze n maisha yke Mana hku wazanzibr tushazidiw n wahmiaji n cyo kw ubaya n kw wema wetu tu
@golebenson4597
@golebenson4597 7 дней назад
Washirazi ni waajemi sio waarabu.
@simeonmazigo5918
@simeonmazigo5918 6 дней назад
Waajemi ni Wairan lugha isikuchanganye
@johnkitwima6963
@johnkitwima6963 7 дней назад
umesema ukweli, mi nimekaa zanzibar miaka 6, ukiwa mbara af unafatilia kitu serikalini au haki au kitambulisho au kitu kingine chochote hata uwe umeonewa unataka haki Zanzibar haupati, hawako tayari kijana wa kule awe na kesi akituhumiwa na mbara. Na hata ktk maisha ya kawaida ya kiharakati sehemu za serikali mbara utasota kupata huduma au kufanikisha jambo lako. ubaguzi upo sana
@mohammedsalim3315
@mohammedsalim3315 6 дней назад
Rudi kwenu Mimi pia nilibaguliwa bara nikarudi kwetu za nzibar, .
@antoniopius4009
@antoniopius4009 5 дней назад
Matako yako​@@mohammedsalim3315
@StephanoKamunya
@StephanoKamunya 7 дней назад
Wajibiwe kwani wamekosea wap wajibu wewe bas Waache waseme mumbafu
@amaniramadhan3292
@amaniramadhan3292 7 дней назад
😂😂😂😂
@JAMBOBoy-v3k
@JAMBOBoy-v3k 7 дней назад
Sio kwamba nyerere lazima angefanya vyote ata hawa viongoz wa sasa wanawez fanya
@jazzjeff8431
@jazzjeff8431 7 дней назад
Hivi hawa vijana Wana Siri gani ?mbona wanajiamini sana
@ezekielabisai9365
@ezekielabisai9365 6 дней назад
Hutaki wajiamni?
@chawaasiejulikana7583
@chawaasiejulikana7583 7 дней назад
Kama wewe hauko sawa unasema hakuna mungu iyo pumzi umepewa na mama yako na iyo mbingu umeweka wewe
@NachaKing-nj7cp
@NachaKing-nj7cp 6 дней назад
Kaweka baba ako na mama ako
@SephaniaMsigwa
@SephaniaMsigwa 6 дней назад
Uxhawahi muona mngu kwa sura pumbavu
@wawerukamau1260
@wawerukamau1260 7 дней назад
Washirazi si wa-arabu,ni wa-ajemi , Persian kwa English.
@MetoIgotyou
@MetoIgotyou День назад
Persia si ipo Iran Iran si waarabu kaka
@abdullmo8736
@abdullmo8736 2 дня назад
Wasenge hamuna kaz muna tujaji zanzibar kwni inakumeni nin si mukae kimya km hatakiw wajinga nyny
@AbduMohammed-fn6ot
@AbduMohammed-fn6ot 7 дней назад
Hivi Hawa wachokonozi kwanini hawajibiwi chochote wanachokiongea kuhusu dini hata kama wakiiongelea dini ya kiislam pia jambo ambalo sio la kawaida kwasababu mara nyingi watu ambao wanaouongeleaga vibaya uuislam uwa wanajibiwa na viongozi wa dini ya kiislam hapo Tanzania kulikoni kuhusu Hawa wachokonozi au kutakuwa Kuna ukweli na wanavyoviongea?
@kwisa4899
@kwisa4899 7 дней назад
Katiba yetu inatoa uhuru wa mawazo .
@IsayaJoseph-v3s
@IsayaJoseph-v3s 7 дней назад
Yani hawa jamaa nawakubali sana sijutii mb zangu natana sikumoja nionane naoo nawaelewa sana
@roberttagaya9098
@roberttagaya9098 7 дней назад
Ukiona hawajibiwi na hao viongozi wa hiyo imani. Basi ujue kuwa viongozi wa hiyo imani kuna ukweli fulani uliyo jificha wanaujua na hawa jamaa ndio wanao uzungumza. Huyu jamaa alishasema ktk dini zote hizi mbili yeye wakuongea nao ni Papa, Maaskofu na Maulamaa kwani hawa ndio levo zake. Waliobaki wote hawajuwi kitu. Kwani wengi wao wamefundishwa na kuishia levo ya tatu tu ya uelewa wa dini zao. Hivyo hawajuwi kitu.
@chawaasiejulikana7583
@chawaasiejulikana7583 7 дней назад
Hao ni wapungufu wa akili na hata anae wasapoti pia kwani hao ndio makundi ya pelato kumuazibu yesu mbona wapiga kristo hao na hawana akili hao
@fredysigy4771
@fredysigy4771 4 дня назад
​@@chawaasiejulikana7583kujieleza tu ni shidah
Далее
HIVI NDIVYO MADAKTARI WALIVYOTUMBULIWA ZANZIBAR
11:57
Бокс - Финты Дмитрия Бивола
00:31
WATUMISHI WENGI HAWAPENDI KAZI ZAO ((2))
12:39
Просмотров 1,2 тыс.
BUNGENI
8:46
Просмотров 4,8 тыс.
WATUMISHI WENGI HAWAPENDI KAZI ZAO.
11:22
Просмотров 2,5 тыс.
UISLAM SI DINI YA MWENYEZI MUNGU
17:24
Просмотров 39 тыс.
AMAPIANO INAHARIBU UTAMADUNI WA KIAFRIKA
7:19
Просмотров 1,9 тыс.
Бокс - Финты Дмитрия Бивола
00:31