Тёмный

AMENIVUSHA (Video) By Jennifer Mgendi 

Jennifer Mgendi
Подписаться 161 тыс.
Просмотров 592 тыс.
50% 1

Featuring Bahati Bukuku and Bibi Kigaloni

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 340   
@urbanmission3072
@urbanmission3072 Год назад
Amen AMEN,MUNGU WA MBINGU NA NCHI AENDEREE KUKUTUMIA SANA KUKUTUKUZA KWA JINA LAKE YESU
@jenishungu9079
@jenishungu9079 Год назад
Ubalikiwe sana nyimbo nzuri sana inafaliji mungu akubaliki sana
@omuyaalphonce4387
@omuyaalphonce4387 2 года назад
Amen kweli Mungu anatenda... alafu mama amenenepa si kama vile akitaka pombe yake wakati wa maombi....
@oscarshikuku9869
@oscarshikuku9869 4 месяца назад
Alikuwa msumbuvu sana
@elizabaya-u6y
@elizabaya-u6y Год назад
Amen dada Jeniffer barikiwa sana wewe u wa baraka kwangu
@mkingasana400
@mkingasana400 2 года назад
Daah namwona apo malkia wa dunia wa gospel aka Dada bahati bukuku mm hip hop sana lakini nyimbo zake zote nko nazo.
@goodluckmakundi1685
@goodluckmakundi1685 2 года назад
Mungu akubariki sana dada na kukutia nguvu,yeye hatakupungukia wala hatakuacha,NA HUU NDIO UJASIRI TULIO NAO KWAKE,SONGA MBELE
@upendo1020
@upendo1020 2 года назад
Napenda Sana mnavopendana na Bahati Bukuku, nawapenda Sana
@AdonisSifa
@AdonisSifa 3 месяца назад
Bahati bukuku ana miezi hii 👌🏾hajaoga😅😅😅😅
@estershilla9576
@estershilla9576 2 года назад
Ujumbe mzuri kweli kabisa haka katabia kameshik kas
@ValentinBoss-z4g
@ValentinBoss-z4g 5 месяцев назад
Ubarikiwe Dada
@arleneilunga9202
@arleneilunga9202 2 года назад
Bibi esta kanenepa ivi?🤔🤣 nimefurahi sana kuwaona tena nyinyi wote mpaka leo mungali hayi my favorites love you from congo 🇨🇩🇨🇩
@doriszephania3503
@doriszephania3503 2 года назад
Ujembe konkiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Unafiki ndio unaoendelea makanisani MUNGU atusaidie
@erickmutungi8792
@erickmutungi8792 2 года назад
Mama wimbo una ujumbe mahususi kabisa...kwa nyakati tulizonazo.....nimebarikiwa
@Solanjerecho
@Solanjerecho 2 года назад
Emen and emen mama uzidi kuinuliwa
@raymondbahati7626
@raymondbahati7626 2 года назад
Vizuri Jenifer,bibi Esther na bukuku na wengine wamefanya pia vizuri. From Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@janetmtenzi9239
@janetmtenzi9239 2 года назад
Amen Bwana amenivusha Nga,mbo mshukuru Mungu pamoja nami
@joycekaganga6924
@joycekaganga6924 Месяц назад
Nice message natural beauty ka baby face ❤ tangu utoto be blessed
@nabi925
@nabi925 2 года назад
Bahati bukuku una maneno mzito🤣🤣
@alphamasinjisa8140
@alphamasinjisa8140 2 года назад
Barikiwa Sana madame Jennifer in short umeimba!!Nakupenda sana
@MwajumaLubeleje
@MwajumaLubeleje День назад
Ubarikiwe sana dada
@milkamugomo218
@milkamugomo218 2 года назад
Kwanza Pole sana dada Jennifer kwa kumpoteza mwenzi wako na asante kwa wimbo mzuri Bahati mama Esther mko vizuri
@sophiabanana2309
@sophiabanana2309 2 года назад
Amefiwa lini mwaka gani sijasikia janani😭😭😭
@dorinekansime3856
@dorinekansime3856 2 года назад
Ansante sana maman Mungu aku zidishie
@neemamtangi368
@neemamtangi368 2 года назад
Kabisa ameen nakupenda sana daa wangu
@danielmwenga3480
@danielmwenga3480 2 года назад
Amen fanya kazi my dada Mungu akuinuwe zaidi 💥💥💥🙏
@naomimark5346
@naomimark5346 2 года назад
Hongera sana Kwa kuirudia kazi Yako ya uimbaji🙏🙏
@rhinakiza
@rhinakiza 2 года назад
Nawe penda buree 😄😄 this is lesson. Asante kwa massage kubwa hii
@davidnyirabakunzi8805
@davidnyirabakunzi8805 2 года назад
Amen. Hongeleni Mzakazi wa Mwenyezi Mungu. Wimbo zako zna mafundisho sana tena sana.
@anamashiri2336
@anamashiri2336 Год назад
Barkiwa Sana jenifa nimebarkiwa nawimbo wako
@MARYNAGUJustin
@MARYNAGUJustin 5 месяцев назад
Haya ndy mambo yangu god bless u llove u jenifa
@GRACENyanda-cn3pg
@GRACENyanda-cn3pg 6 месяцев назад
Wimbo mzuri sana Mungu akubariki ❤🎉
@EuphrasieBahatiBurundi
@EuphrasieBahatiBurundi 11 месяцев назад
Amen amen God bless you my mother 👩🙏❤🙌❤❤❤
@a.j.m9740
@a.j.m9740 2 года назад
Mabest kama best mnapendana sana Bahati Bukuku na Jenipher
@MelesianaKafwita
@MelesianaKafwita 25 дней назад
Barikiwa wonderful
@kabwefrancine99
@kabwefrancine99 2 года назад
Ahuja wai kosea kwa nyimbo zako maman 🙏🙏🙏
@bahatimbilinyi7871
@bahatimbilinyi7871 6 месяцев назад
Mungu akubariki Kwa nyimbo zuri🙏🙏
@TeresiaNyangalima-gf5yo
@TeresiaNyangalima-gf5yo Год назад
Waoooo jenifaa mungu akutunze mtumishi wa mungu
@PASTEURGENEROSEKABAKA
@PASTEURGENEROSEKABAKA Год назад
Aleluya
@marymwapiya1274
@marymwapiya1274 2 года назад
Amen ubarikiwe sana Mama 🙏 ila mimi natamani tu Mama mngeachana na hayo mapambo siku ya mwisho kazi yenu isiwe bure kwa sababu tu ya mapambo ,nimesikiliz ushuhuda nyingi za watumishi wa Mungu wanasema wamewakuta wanawake wengi waliomtumikia Mungu vizuri kabisa wapo kuzimu wanateseka kwa sababu tu ya mapambo,natamani umuulize Mungu kuhusu hili siku ya mwisho usiende motoni kwa sababu tu ya mapambo. wanasema lisemwalo lipo na pia kitu kikisemwa na watu zaidi ya watatu kitu hicho ni kweli 🙏🙏
@happyalbert5089
@happyalbert5089 2 года назад
Barikiwa sana, injili lazima ihubiriwe kwa namna yeyote
@sanchezrose1560
@sanchezrose1560 2 года назад
Amen kubwa natumai wangesoma hii comments waneelewa zaidi 😢
@amanisaa1426
@amanisaa1426 2 года назад
Mary mwapiya@ mi pia nilitaka kuwaambia hivi nikaona umesema tyr kwa kweli wanawake tuwache mapambo yatatupeleka jehanamu kazi yetu itakuwa ni bure juu hukumu itakuwa sawa na Ile ya makahaba itakuwa ni hasara kwa kweli😭😭😭😭 moyo unaniuma Sana nkifikiria juu ya hili.
@amanisaa1426
@amanisaa1426 2 года назад
Sikilizeni shuhuda za kweli za makatazo ya mapambo kwa (PROMOVER TV)
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 2 года назад
Iwe kwa hila iwe kwa hujuma injili lazima ihubiriwe ndo maana Paul akasema anayaona yote km mavi, Sasa waspojoamba Nani atanunua cd na flash kiufupi NI biashara hakuna mwenda mbngun
@aderanderwa7623
@aderanderwa7623 5 месяцев назад
Hayo ndio mambo ya wapendwa wanafiki kweli YESU KRISTO atusaidie
@amenaameeena3317
@amenaameeena3317 2 года назад
Wimbo mzuri mungu akubariki pia hongera kuvaa vizuri dada
@KassimMnyone-g4h
@KassimMnyone-g4h 5 дней назад
Siwezi amini dada huyu alietulea kiroho kwa nyimbo nzuri za injili au ni mambo ya mitandao maana nanyie wenye mitandao bwana mnajirushia mambo ya ajabu
@ladyfarajadanda8575
@ladyfarajadanda8575 2 года назад
Ameni dada yangu uwa unanibania Sana nyimbo zako zinaniponya Sana Mungu akutunze
@salomengabo3641
@salomengabo3641 Год назад
Ubarikiwe mtumishi wa mungu
@yesuyarishuye3380
@yesuyarishuye3380 2 года назад
Tunakupenda sana kuanzia kwa mavazi .from Australia unapendwa😍😍😍
@joycetweve6618
@joycetweve6618 2 года назад
Mungu akiruhusu jaribu.Ibilisi naye hujihuzurisha.cha msingi ni kumpuuza kwa haraka,na kutokufungua mlango kwa wakala wake. Amen
@jacksonjohn5686
@jacksonjohn5686 2 года назад
Mungu pekee ndiye anayefanya maishani mwetu barikiwa samtumishi
@reubenlucumay1929
@reubenlucumay1929 2 года назад
Wimbo mzuri Sana imebeba maneno mazuri mmejipa sawasawa Mungu awaongeze ujuzi wa kueneza injili ya Mungu Ahsante Sana Jennifer kurudi katika ubora wako
@edwardazinga4369
@edwardazinga4369 2 года назад
Waaaaooo nivizuri kushukuru,maana bwana amenivusha,gd song
@OnesmoEmmanuel-xr2rf
@OnesmoEmmanuel-xr2rf 7 месяцев назад
Nakupenda mama angu
@Deborah-m6r
@Deborah-m6r 11 месяцев назад
Mungu akutie nguvu dada naitwa debora
@uwizeyimanasara
@uwizeyimanasara 2 года назад
Hsanteni. Dadayangu. Ubarikie. Sanatunakupenda🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🇹🇿🇹🇿💋💋💋💋💋
@officialjemimahowiti
@officialjemimahowiti 2 года назад
You are agift to the kingdom 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@paschlpius2985
@paschlpius2985 2 года назад
Ameen mungu azidi kukupa pumzi dada yangu
@pendobaharia5598
@pendobaharia5598 Год назад
Mama mkwe kanenepa 😍😃
@wemasangasanga757
@wemasangasanga757 7 месяцев назад
Umependeza dad Jenifa umevaa mavazi ya heshima kwenye nyimbo zako🎉🎉❤❤
@JOËLKAPINGA-g7x
@JOËLKAPINGA-g7x 3 месяца назад
Bonjour Madame cemoi Dédé kasongo bonne journée merci beaucoup pour votre Shanson
@arleneilunga9202
@arleneilunga9202 2 года назад
Tunaomba movie ya huu wimbo please 🤣🤣🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@NahimanaAlbinally
@NahimanaAlbinally 4 месяца назад
Mungu aluminum ju jenifaa
@annastaziakalula1475
@annastaziakalula1475 4 месяца назад
Mungu akuinue zaidi dada Jenifer Mgendi
@ibizmediatechnology
@ibizmediatechnology 11 месяцев назад
Nyimbo zako zinanifariji sana
@siniremeraanicet7851
@siniremeraanicet7851 Год назад
Barikiwa sana dada iyo nikweli Mungu akuongezee mafuta
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 2 года назад
Huyu mama kanenepa aise. Hongereni saana ,,,,mama wa Gubu
@bethamsemwa5179
@bethamsemwa5179 Год назад
Hongera xana mamdogo
@EmmyExaud
@EmmyExaud Год назад
Ameen mungu mkubwa very nice
@devothapoyongo4440
@devothapoyongo4440 Год назад
Ubalikiw kwa wimb mzuri
@maryjames7438
@maryjames7438 9 месяцев назад
Ubarikiwe sana mama nyimbo zako zinanibariki sana napenda sana pia uvaaji wako
@samuelkimomo2336
@samuelkimomo2336 2 года назад
Yes jenipher nii hatali
@rebeccamukonyi3489
@rebeccamukonyi3489 2 года назад
Amen 🙏🙏🙏 nyimbo zako ni za mafunzo mungu asidi kuinua huduma yako.
@allianceabweshauri7437
@allianceabweshauri7437 2 года назад
Mbarikiwe Sanaa 🙌🙌 nyimbo imenigusa Sanaa nawapenda toka Congo 🇨🇩🇨🇩🙏
@lizzybahati3739
@lizzybahati3739 2 года назад
Nzur sana hii ila huyo mama ile teke la mama video 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@davidbitsiri6566
@davidbitsiri6566 Год назад
mungu awabariki kwamafundisho
@VioletBusaala
@VioletBusaala 6 месяцев назад
Waau. Unapendasa mama Mungu akupe ufunuo mwingene
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 2 года назад
Nakubali saana kazi za Jeniffe na wenzako wote
@annelwabi5549
@annelwabi5549 Год назад
Mungu akuinue san
@annelwabi5549
@annelwabi5549 Год назад
Mungu akutie nguvu san
@annelwabi5549
@annelwabi5549 Год назад
Nime pendA wimbaji wak
@GervasRevocatus
@GervasRevocatus 11 месяцев назад
Wema niakiba pate tuu
@barakabarkey9374
@barakabarkey9374 2 года назад
Mubarikiwe🙏🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@nesielias9493
@nesielias9493 Год назад
Mmhh kweli Mungu anawabadilisha watu huyo mama aliyevaa gauni la madoa meusi alikuwa amechoka ila saizi amenawili sana
@haniphahanipha4814
@haniphahanipha4814 2 года назад
jamn huyo mama kanenepa
@Happydaisy1
@Happydaisy1 2 года назад
😂😂😂😂ila mama angu bahati amejua kunichekesha 😂😂😂 Ila wimbo umejaa ujumbe kweli kabsa Yesu atusaidie zama hizi
@PendaelHagaiMRPH
@PendaelHagaiMRPH 2 года назад
Barikiwa Sana
@ujumbekwawaulimwengu
@ujumbekwawaulimwengu 2 года назад
Amen 🙏 amen 🙏 ubalikiwe sana Jennifer , malikia wa waimbaji nakupenda sana nyimbo zako zina faliji sana yani mimi sito kusahau wewe ndie mwimbaji wa kwanza tanzania kila mwimbaje ana fuata wewe usi simamishe kalama yako endelea kumtumikia mungu yani na kupenda sana yani sana 🙏💕💯 I love you so much Jennifer You are my sister watching from America 🇺🇸
@machiyamayunga7816
@machiyamayunga7816 Год назад
Ī
@rizikishemsaga7937
@rizikishemsaga7937 2 года назад
Nyimbo nizuri sanaaaa imenibariki nakuombea sana mm mwinjilisti Riziki wa kkkt dayosisi ya mashariki nakuombea kwa Mungu akununue zaidi ya hapo
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 2 года назад
Bibi,esta☹️☹️😹😹😹😹😹😹😹nimeskia kucheka hongera dada ukojuu haswa
@tinajoe5487
@tinajoe5487 Год назад
Pole Sana Dada Jennifer,Bibi Ester Umependeza sana.
@AgnesNyivaTV
@AgnesNyivaTV Год назад
Iko sawa,nice Tena smart
@maliabonifasi2466
@maliabonifasi2466 Год назад
Mngu akupe maishamalefu
@paulmrema4126
@paulmrema4126 Год назад
Nyimbo nzuri ya kiimani dada yetu edelea kupambana
@mwanashagladys4581
@mwanashagladys4581 Год назад
Paka wa muimbili bibi wewe😂😂😂😂😂🤣🤣
@maryjohn5134
@maryjohn5134 Год назад
Umependeza sana jaman mama Mungu akubariki sana kwa uimbaji wako mzur
@veronicawichoka2421
@veronicawichoka2421 Год назад
Watu Kama hao no wengi mama songa mbele Kama mungu Alisha toa kibali hakuna wa kuzuia
@enosmwangondaofficial8589
@enosmwangondaofficial8589 2 года назад
Nmecheka jamaniii, eti msibaniii anaangalia michango duuh
@bemsinvestment3781
@bemsinvestment3781 17 дней назад
Imenikunbusha miaka 6 bila mtoto walikuwa nakuombea twakuombe kumbe wanafiki nilipojifungua walishindwa kunijulia a daughter mwenye afya mzuri mno nilijifungua wakasema jitoto libonge hatulipendi heri asingekuwa mwa jina wangu 😂😂😂😂 wacheni Mungu aitwe Mungu
@Bintluckas3918
@Bintluckas3918 Год назад
Waooh umependeza sana dada Jenifer
@willykizaka
@willykizaka 9 месяцев назад
GOD bless nice one more Grace
@tumainitumanini8276
@tumainitumanini8276 2 года назад
Amen amen,,nami naamini kupitia huu wimbo ata nivusha kiwango kigne amen
@ScolasticaJoseph-r8y
@ScolasticaJoseph-r8y Год назад
M❤mungu akutie nguvu wew ni jeshi kama Debora
@hodarinzayisengaBwami
@hodarinzayisengaBwami 8 месяцев назад
Maman Jenifer napenda nyimbo zako hongera
@CorethaPaul
@CorethaPaul Год назад
Ameni barikiwa
@reginajose4693
@reginajose4693 Год назад
Napenda nhimbo zako dada Jennifer . 22/06/2023
@ShedieMalc-ij1hp
@ShedieMalc-ij1hp Год назад
Yan huyo Bibi anaesema pole ni jiran yangu anakaa kibaha mailimoj Yuko peace Hatar Ila anafurahisha😅😅😅
@nuruanafisoo4220
@nuruanafisoo4220 2 года назад
Bibi esta we ni shida du jaman mnanifurahisha saan,, wimbo una ujumbe mzito
@MaryamSimai-b9f
@MaryamSimai-b9f 11 месяцев назад
Huyu bahati sauti yako kavu
Далее
BARUA YA BABA by Jennifer Mgendi Ft. Senga & Bibi Esta
8:56
Wema ni Akiba by Jennifer Mgendi
11:26
Просмотров 2,6 млн
КТО БОИТСЯ КЛОУНОВ?? #shorts
00:20
Просмотров 488 тыс.
NIKUFANYIE NINI? By Jennifer Mgendi
5:10
Просмотров 498 тыс.
BAHATI BUKUKU MAAMUZI
11:58
Просмотров 8 млн
SEMA KWELI By Jennifer Mgendi (Official video)
10:47
Просмотров 1,4 млн
Isha Mashauzi - Hirizi Mzigo (Offical Music Video)
9:23
NALIA by Jennifer Mgendi
6:04
Просмотров 1,9 млн
NIONESHE BABA YANGU By Jennifer Mgendi
8:46
Просмотров 129 тыс.
КТО БОИТСЯ КЛОУНОВ?? #shorts
00:20
Просмотров 488 тыс.