BARUA YA BABA by Jennifer Mgendi new song Karibu Utazame video ya wimbo mpya wa Barua ya Baba nawe ubarikiwe na Ujumbe huu muhimu. Thamini Upendo FT Senga & Bibi Esta. Audio by Daudi Kiloba
You did it again Mom, katika waimbaji wakongwe wewe ni mmoja wapo Wa ambao hawajawahi kuyumba katika Imani na katika kuimba shikilia hapo hapo I am proud of you,
Nice message Jan, hakuna utofauti na mme anae fundisha mkeo kesho mkewe anapata kazi kisha kumuacha na kwenda zake kusaka wenye wanalinga kielimu na kiuwezo
This one deserves series, Fanyia muendelezo kama series, ili tuone Limbuko yanavyo mkuta baada ya kumkataa na kufukuza baba yake, iwe na part II ama hata part III. So proud of you Jennifer Mgendi
Amina mama angu Mungu akupe maisha marefu Yenye Neema Na balaka tele kwenye hii dunia ili uweza kutuelimisha wanao tulio tawaliwa na dunia hii ilio jaa uovu