Тёмный

AMPLIFAYA: BABA LEVO ATOBOA SIRI JUMBA LA DIAMOND, AIKANDIA NYUMBA YA HARMONIZE 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 33 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 57   
@ShedrackDamiani
@ShedrackDamiani 24 дня назад
Baba levo is Good 🎉🎉
@LyonWalker_
@LyonWalker_ 23 дня назад
MILLARD AYO My understanding of assets and liabilities is that an asset is something you own that generates income and maintains itself. For example, a house is an asset if it is rented out, meaning it generates income and covers its own maintenance costs. However, if you build a house and live in it yourself, it is not an asset but a liability, because you need to find other sources of income to pay for electricity, water, and repairs. Similarly, if you buy a car and use it for your personal travel, it is a liability. But if you buy a car and rent it out, whether through Uber or as a public transport vehicle like a minibus (daladala), then it becomes an asset because it generates income and pays for its own maintenance. For instance, if the car needs servicing, the money earned from renting it out will cover those costs, making it an asset.
@christophermgego7019
@christophermgego7019 22 дня назад
Umetisha boss✌✌✌
@shamssaid2892
@shamssaid2892 23 дня назад
Kufixd hela bank pia ni Aseti Kuna watu wanafixd pesa Bank mfano billion Moja Kwa miaka kumi lkn mtu akawa anatumia profit na pesa yake ikwa haijapungua hiyo ni Aseti. Lkn Aseti pia iwe kwenye magari ya biashara na sio yakutembelea huwezi tembelea gari ya milioni 400 wakati kipato chako Cha mwezi ni milioni 2 huo nikuukaribisha umasikiin😆
@FrancisRM-ex8vf
@FrancisRM-ex8vf 7 дней назад
Hii ndiyo tofauti ya matajiri na wasanii...😂😂😂 Huwezi kumkuta MO anamvimbia GSM au Rostam Aziz anamvimbia Bakhresa😊😊😊
@LyonWalker_
@LyonWalker_ 23 дня назад
The difference between assets, liabilities, and personal brand is key to understanding how they affect your financial situation. An asset is something that generates income or appreciates in value, like rental property or investments. A liability, on the other hand, drains your resources, such as a car loan or mortgage. While a car typically depreciates and is considered a liability, it can still play a significant role in enhancing your personal brand. For instance, if having a luxury car boosts your image and helps you secure high-paying deals, it indirectly becomes a tool for income generation through your personal brand. So, while the car itself is a financial liability, it can still contribute to your overall wealth by elevating your brand value.
@mimibusarachibu
@mimibusarachibu 23 дня назад
Mtanzania namsikizaga kutoka Kenya, huku mie ndiye balozi;nawakubali sana tangu mnaanza
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 22 дня назад
karibu kiongozi
@user-wf4vk3vz8e
@user-wf4vk3vz8e 23 дня назад
I have come to love your show so much, I request sometimes u use English coz the kiswahili your using is abit challenging, big fun from Kenya
@feronandsulubu6711
@feronandsulubu6711 23 дня назад
Buda wacha za ovyo soma Kiswahili
@elinamilyatuu7337
@elinamilyatuu7337 23 дня назад
Hauna excuse yakutokujua kiswahili
@merinakassembe118
@merinakassembe118 23 дня назад
😂wewe mapua kunywa kwanza vidonge vyako nya VVR nff❤o udmusene
@innocentleonard1957
@innocentleonard1957 13 дней назад
Asset: Anything that brings money into your pocket. Liability: Anything that takes money out of your pocket. So Dada Frida ivo vitu ulivo viongelea kwa namna hiyo ivo vyote ni "Liability", hizo vitu zote ni investment in your brand and zinakuwa stored kwenye Liability.
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 24 дня назад
Baba atakuwa tishio Tanzania
@vanessastafford6426
@vanessastafford6426 18 дней назад
hizi sifa za majumba makubwa acheni uzeeni huwa yanabaki kama gofu, pesa ikiacha kuingia gharama za ukarabat ni kubwa sana. Mwisho huwa yanakuwa mabaya. Kupangisha hayapangishiki. Unasema unamiamini Mungu. Imani potofu futa.
@pendogiz806
@pendogiz806 23 дня назад
Napenda Hawa watangazaji wote watatu❤❤❤
@salmabasil385
@salmabasil385 23 дня назад
Acheni ujinga vido yupo sawa sana wazee walio kua na nyumba kariakoo zile ziliwafaa watoto wao baada ya kuuza nyumba moja watoto wao wote wameweza kupata nyumba zingine sehemu nyingine
@delsonandrea5223
@delsonandrea5223 23 дня назад
Hamornize anatia aibu 😂😂😂
@matiabodavidbenjamin7941
@matiabodavidbenjamin7941 13 дней назад
Amumqlizi interview bila kusemq diamond
@FrancisRM-ex8vf
@FrancisRM-ex8vf 7 дней назад
Sister umeongea kwa kujiamini sana ila ukweli ni kwamba, Gari ya matumizi binafsi sio asset ni liability kwa sababu inakuongezea gharama (utailipia kodi, utaifanyia service na utakua unaiwekea mafuta pia). itakua an asset pale utakapoibadilisha matumizi ikaanza kuingiza pesa na kutengeneza faida.
@theemmircozgol3199
@theemmircozgol3199 6 дней назад
Wow ...fact
@jenadiusnicholaus3238
@jenadiusnicholaus3238 23 дня назад
Unajua kamilard kana akili sana... appreciate sana..
@user-om5go9nj6n
@user-om5go9nj6n 24 дня назад
Asset nikitu chochote kile Unaweza kuwanacho na mdaa wowote ukiitaji pesa utapata either kuuzia mtu ama kuchukuwa deni Even Tv, simu fridge, gari, nyumba etc…..inatoka na uwezo wako na vitu utakua ukinunuwa. NB: beer, nyama choma, madawa na umalaya na zengin ukiwekeza pesa zako utakuwa umepata asset mingi sitakusaidia in future.
@WilsonGilbert-ut5fg
@WilsonGilbert-ut5fg 24 дня назад
Kama wewe unamkubali #millldyayo like hapa
@CHINAINDARMARKET
@CHINAINDARMARKET 23 дня назад
Ayo eti nae ana MUSTACHI 😅
@richkaja3317
@richkaja3317 23 дня назад
Nilisema konde mshamba sanaa mwaka huu hatoboi
@elinamilyatuu7337
@elinamilyatuu7337 23 дня назад
Gari ya biashara ndio asset sio ya kutembelea...asset inaleta pesa kwako sio vinginevyo
@juliusmayaka2763
@juliusmayaka2763 23 дня назад
Asset inakuingizia pesa, liability ni kile kitu mbacho kinatumia pesa kutoka kwako, mfano kama hivo mlivosema nyumba ya kuishi sio asset, gari la kutembelea haiwezi kua assist kwasababu ili uitumie lazima ikule pesa yako, watu wa uchumi wana kuambia hata mtoto wako ni liability kwasababu atakukamua pesa kuanzia mimba, kuzaliwa mpaka pale atakapoanza kujitegemea
@sophieburcham3399
@sophieburcham3399 24 дня назад
Magari No
@abdullahmapesa
@abdullahmapesa 23 дня назад
⭐⭐⭐⭐⭐
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 23 дня назад
B Levo baaa😂😂😂
@ramadhanihudhaifani4376
@ramadhanihudhaifani4376 23 дня назад
Point of Correction kwa dada yetu hapo: Gari yako ya kutembelea haliwezi kuwa ASSET! Ili liwe ASSET,basi lazima utakapoliuza hilo gari likupe faida. Usiuze bei uliyonunulia na wala usiuze chini ya bei uliyonunulia! Liability kwa upande mwengine,ni kitu chochote kile ambacho hakikuingizii faida yoyote ile zaid ya kuhitaji msaada wako wewe ili kiweze kuendelea kuwepo. Nyumba yako unayoishi na familia,ni LIABILITY! Maana inakuhitaji wewe kutoa pesa kwenye vyanzo vingine ili uweze kuifanyia mambo kama RENOVATION na UKARABATI. Kwa ufupi tu: 1. An asset: Brings you MONEY with Profit. 2. A liability: Takes MONEY away from you. And,sometimes,with a LOSS in it!
@footballlove.2305
@footballlove.2305 23 дня назад
ni asset tena ina depreciate vzuri tu kama skosei ipo kweny asset class 3
@footballlove.2305
@footballlove.2305 23 дня назад
kwahy nyumba uliyojenga ni asset au liability?
@ramadhanihudhaifani4376
@ramadhanihudhaifani4376 23 дня назад
@@footballlove.2305 Ni Asset endapo inakuingizia kipato tu! Kama haikuingizii kipato kwa muda ambao unaitumia,hiyo ni liability. Asset yoyote ni sharti ukuingizie kipato in terms of money au ukija kuiuza,basi ikupe faida. Na sio kukupa exact figure ama less the amount you used.
@viherymgusii5143
@viherymgusii5143 21 день назад
Kitu ambacho ni liabilities ni nyumba ila kiwanja ambacho nyumba imejengwa ni asset kwa maana always inapanda thamani so ukiuza nyumba bei ya juu mara nyingi ni kiwanja so kuiterm nyumba unayoishi kama liability ni kwa maana utatumia hela kuimaintain na wala haitakuingizia chochote
@BarakamussaBarakamussa-go7nv
@BarakamussaBarakamussa-go7nv 23 дня назад
Mwambie kwamba kiba Ana jumba lakifahari kigamboni analijuwa😂😂 na hakuna mtu analijuwa baadhi tu ya watu mbwa huyo
@musamagulu2023
@musamagulu2023 23 дня назад
Km wewe umelijua kwann useme na hakuna mtu anayelijua kivipi
@ziddyziddy2524
@ziddyziddy2524 23 дня назад
Ndio hapo sasa 😅😅😅​@@musamagulu2023
@ziddyziddy2524
@ziddyziddy2524 23 дня назад
Ndio hapo sasa 😅😅😅​@@musamagulu2023
@faridapatel7584
@faridapatel7584 23 дня назад
Mbwa mwenyewe. Huwezi kumuita binadam mbwa
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 22 дня назад
natamani kuiona maana kenya kuna jaman ana channel yake yaitwa the Fine Urban Real Estate construction, yaani huyu mtu ni sio mchezo HATARIII..
@bongelabwana7523
@bongelabwana7523 23 дня назад
Car is a liabilities
@erikamartin2655
@erikamartin2655 23 дня назад
no, gari ni liability!!! sio asset jamani
@saidabdalah-p2u
@saidabdalah-p2u 23 дня назад
fifi
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 23 дня назад
Miradi Ayo ukimwangalia unaona kabisa kichwa chake kimepoa akili mingi
@user-be9zb4eg2l
@user-be9zb4eg2l 24 дня назад
😅😅
@user-wf4vk3vz8e
@user-wf4vk3vz8e 23 дня назад
Private car is a liability
@footballlove.2305
@footballlove.2305 23 дня назад
ni asset tena non current asset
@shamssaid2892
@shamssaid2892 23 дня назад
Naomba hapo kwenye Aseti niwaeleweshe kidogo. Gari haiwezi kua Aseti coz wakati unaitumia vile vile inatumia vitu vingi. Mfano service, mafuta, ajali, nk. Ila Kwa nyumba inarudi kwenye Aseti,
@user-om5go9nj6n
@user-om5go9nj6n 23 дня назад
Kama iyo gari itakua ni @Kajala 1 na @Kajala 2 iyo aiwezi kuwa asset kwamtazamo wako😊 Ila fact ni Gari ni Asset Uwezi nunuwa gari bila kuwa na pesa ya kununuwa mafuta because siku unakosa pesa za kuweka mafuta then from apo unauza which mean ni Asset - . Ila yanaweza kuathiriwa na sababu mbalimbali za kushuka kwa thamani ambazo zinaweza kusababisha thamani kuporomoka,
@MissiKadjeneleMartins
@MissiKadjeneleMartins 24 дня назад
Mk
@bariqmassi4794
@bariqmassi4794 22 дня назад
Nyumba unaweza kukopea pia which value ya mkopo wa nyumba ni kubwa kuliko wa gari.. @millardayo
Далее
Новый уровень твоей сосиски
00:33
INTERVIEW SHOW  BABA LEVO  at COCONUT fm ..ZMOTION
7:05