From my little kimaasai I think the song says: kumbuka wengine mungu akikukumbuka... literally,look after those who are not well off in all aspects of life. With the story of David mentioned in the song.
Siku moja nimekutana na mambo mengi za kunifunja roho nikafikia uamusi wa kujinyonga lakini wakati nimefungulia nyimbo zako sikanitia nguvu nikarudi kuvumilia kuzubiri MUNGU xo Mungu akutie nguvu mtumishi wa Mungu napenda nyimbo zako sana yananifariji na kunijenga katika dunia hii
I don’t understand a word but the Holy Spirit of God is connecting me and praising with them! At least I hear Clap for Jesus! Amazing!! Can’t stop watching again and again!
Agustino ndugu wetu ni kweli umeimba sana wimbo za kugusa moyo wa mtu na kuleta faraja ndani ya maisha wa mtu wewe uimbagi nyimbo za kawaida bali unahubiri brother wetu na MUNGU akulinde sana na akutumie mpaka mbinguni siku moja utaongoza malaika kwa nyimbo nzuri kama na hizi
Beautiful songwriter composer and arrangements is top through I don't understand but Mephiboshefu,Saul and Enkai is being praised n there powerful maa community.
Sere oleng! Olalashe! You made it bro. That song is lovely, awesome, beautiful and wonderful. It's full of anointing. The holy spirit is moving. God bless you.