Тёмный

ANGEL NYIGU "SIPO sawa na ZUCHU kama Zamani/Wana CHUKI na MIMI/Bila Hela Sichezi wimbo' 

Rick Media
Подписаться 863 тыс.
Просмотров 34 тыс.
50% 1

Dansa Angel Nyigu amepiga stori na Rick Media kuhusu kazi yake na kufunguka mambo mengi, kama kuanza kufanya kazi na Harmonize, uhusiano wake ulivyo na ZUCHU n.k
_________________________________________________________________________________
Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe RU-vid channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
_________________________________________________________________________________
Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp
#AngelNyigu #Zuchu

Развлечения

Опубликовано:

 

15 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 47   
@Husseinfashion
@Husseinfashion Месяц назад
Nimekuwa wakwanza kukomenti apa naombeni like ❤❤
@dizzomontana7219
@dizzomontana7219 Месяц назад
Dada endelea ivo ivo huez fanya kaz bure iyo ni ngumu no money no sevice
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 Месяц назад
Hapo kwa kutotaka kufanya kazi tena akidai wanawake wakipanda kidogo tu zarau...uyu n mrs energy kwa mtazamo wangu😂
@AbdalafurahiamohamedMohamed
@AbdalafurahiamohamedMohamed 2 дня назад
❤❤❤❤❤
@PrincessHellen-pg1oy
@PrincessHellen-pg1oy Месяц назад
Nampenda sana angle ❤
@fatumasaidi2592
@fatumasaidi2592 Месяц назад
Hyu z hataki kuona mwanamke kwenye wcb
@veronicajustus4507
@veronicajustus4507 Месяц назад
wapili
@paulmuyanga3445
@paulmuyanga3445 Месяц назад
Sema Zuchu alidhani mnamchukua Simba 😂
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 Месяц назад
Zuchu mshamba sana hajiamini
@lazaromwambene4516
@lazaromwambene4516 Месяц назад
❤❤❤❤❤❤❤❤
@muniraahmed624
@muniraahmed624 Месяц назад
Hawa Watu 😂😂😂
@nashnene6326
@nashnene6326 Месяц назад
Mwandishi ana force bifu kuwa lazima liwepo
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 Месяц назад
Acheni ujinga zuchu hana roho mbaya na mtu sema ww umebadilika mwenyewe kwa kujiona umekuwa usimsingizie zuchu bure
@ajuwaelie36elimokozi55
@ajuwaelie36elimokozi55 25 дней назад
Ukitaka kujua ubaya wa mtu mpaka uwe naye karibu je una ukaribu gani na zuchu mpaka useme hivo enjo kaongea hivo sababu ni mtu wake wa karibu.
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 25 дней назад
@@ajuwaelie36elimokozi55 watu wote wanaomzunguka zuchu wanasema zuchu ana sifa nzuri hata yy huyo aliwahi sema zuchu ana sifa nzuri vp leo ageuke km si unafiki
@user-ni2kv3yf6e
@user-ni2kv3yf6e Месяц назад
Ila wadau mnachapia sms zenu😅😅😅
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z Месяц назад
UYO DEM AACHE UCHINGA KAZI ZIFOSIWA MJINI,,UKISUBIRI UTAUZA LAKINI UTACHELEWA...WE SEMA TU UNA BIFU NA ZUHURA...NA HUNA MUDA WA KUMTETEMEKEA UELEWEKE.
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 Месяц назад
Fanya mchezo wa kuombwa na zombie
@VexMaizoOfficial
@VexMaizoOfficial Месяц назад
🧭🤳 Nimkuwa wa kumi10 from Msumbiji Mozambiki 🇲🇿 PEMBA CariaCo❤❤❤ namkubali Angel N.
@nellymtambo8432
@nellymtambo8432 Месяц назад
Si Mozambiki ni Mozambique na si cariaCo ni Kariakoo hovyoooo😏
@user-bc3lh5ss6c
@user-bc3lh5ss6c Месяц назад
😂😂😂😂😂😂​@@nellymtambo8432
@msomsongera1150
@msomsongera1150 Месяц назад
𝘏𝘰𝘯𝘨𝘦𝘳𝘢 𝘣𝘪 𝘥𝘢𝘥𝘢
@michaelramadhan9466
@michaelramadhan9466 Месяц назад
3
@JechaMakameIssa-gs2bl
@JechaMakameIssa-gs2bl Месяц назад
dada kajipata sasa
@user-yg2xi3su6k
@user-yg2xi3su6k 29 дней назад
My fav❤️🫶🏻
@merinakassembe118
@merinakassembe118 Месяц назад
Lazima chuki iwepo wewe no mzuri zaidi yake halafu unakia lucheza zaidi hunategemea NIMI NA wewe imezidi mpaaka ijanja
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 Месяц назад
Mkiwaga. Nashida mnakuwa wapole. Mkipata mnakuwa na menu jujuu
@user-is7ot7bq9x
@user-is7ot7bq9x Месяц назад
Ko ulitaka awe mtumwa kisa tu hana pesa
@amosihokororo9702
@amosihokororo9702 Месяц назад
Mimi MTU WA 26 kucomment
@user-gj7rb5zd7i
@user-gj7rb5zd7i Месяц назад
Kwahy
@malkavoice2570
@malkavoice2570 Месяц назад
We watu wamekuthaminisha umejipata alafu unawadindia kweli binadamu konyo
@nancyg8664
@nancyg8664 Месяц назад
mfano wewe mtu akufikishe sehemu fulani af atumie iyo kama advantage ya kukumistreat utamchukuliaje uyo mtu et
@mwajumabinwa604
@mwajumabinwa604 Месяц назад
zuchu kamkuta anafanya kazi na Vanessa mdee kusema kwamba wamemthaminisha apo niuwongo 😁😁😁
@malkavoice2570
@malkavoice2570 Месяц назад
@@mwajumabinwa604 huyo Vanessa alimuachaje? Sisi tume.jua akiwa wasafi na Zuchu alikuwa akiwapeleka nje lkn anamtaja pekeake kama dencer wake hamjui kama hapo alimthamini na lengo la zuchu alikuwa amfikishe alipo lkn Sijasikia zuchu akimuongelea kwa lo lote lile ila yy akiulizwa anaanza kubwabwaja badala ya kutoa heshima tu kwa Zuchu na Wcb anajikuta kafanikiwa kuliko wcb hapo alipo yani
@svt3
@svt3 Месяц назад
​@@malkavoice2570Angela kaisha enda inchi nyingi kucheza kuliko zuchu, Norway, Russia, Belgium..... zuchu ahajafika huko kote wewe America alienda na unajuwa kulibuma
@yusternyirenda7231
@yusternyirenda7231 Месяц назад
​@@mwajumabinwa604hilo jambo angel mwenyewe ndio aliyesema kwenye interview alisema zuchu ndio alifanya aonekane sana na mtu aliyefanya kwenda nje ya nchi
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi Месяц назад
Wewe bado umefugwa miguu sijawai kuona unacheza nyimbo za konde naona bado unaogopa
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 Месяц назад
Ni kama ufatilii vida zake zote...anacheza hadi za anjella
@mwajumabinwa604
@mwajumabinwa604 Месяц назад
anafanya kazi kwaku lipwa nasio eti nyimbo imetredi mdo afanye apana
@kibibisafi3331
@kibibisafi3331 Месяц назад
Konde halipi😅uyu anacheza kwa kulipwa😅
Далее
DIAMOND PLATNUM ATOA VICHAMBO/SURA KAMA KWENGE
1:31
BEHIND THE GRAM DIVA & SHEIKH - EPISODE 4
36:03
Просмотров 28 тыс.
Mzimu Gigi money & kitundu
7:57
Просмотров 40 тыс.
Все ради семьи!❤️
0:55
Просмотров 2,4 млн