Тёмный
No video :(

ANJELLA kusaidiwa na DIAMOND? BABALEVO afunguka haya kuhusu jambo hilo 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 24 тыс.
50% 1

#diamondplatnumz #babalevo #anjella
Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti

Опубликовано:

 

21 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 43   
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 Год назад
Hivi Harmonize hizo pesa anazonunulia wanawake zake magari alishindwa kumtibia mwanamziki wake daaah kweli watu wanaangalia masilahi kwanza
@innocentboykid2442
@innocentboykid2442 Год назад
Hisia ndo utenda kaka
@amarybaajun8811
@amarybaajun8811 Год назад
Anjera kajiaribia mwenyewe
@johnsonchonja4032
@johnsonchonja4032 Год назад
Baba levo kashayapatia
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 Год назад
Baba levo anafurahisha pia ni mkweli
@nicholauslwena3189
@nicholauslwena3189 Год назад
Eti kila mlemavu aje kwa diamond
@samuelmasafu3434
@samuelmasafu3434 Год назад
Babalevo😂😂
@AbdulfatahSaid-og6vu
@AbdulfatahSaid-og6vu Год назад
Harmonize ni mlafi unadhani kutoa hella kusaidia mtu ni rahisi yeye kahonga gari Kisha analitangaza hiyo yote njaa mwamba ana force tu hamnakitu anajuwa 😂😂ampe shikomoo Simba #Simbaplutnumzbabayao
@duvaboy
@duvaboy Год назад
🤣🤣🤣💯
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no Год назад
😂😂😂 Baba Levo unafurahishaga sana
@fatmaally7252
@fatmaally7252 Год назад
😂😂😂 eti kakutana na heka heka we baba levo atari aseee
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Год назад
Johan nawe ukipata pa kula utakuwa hivohivo hujapapata tu ndo mana unamuona baba levo mwehu
@westcijosh
@westcijosh Год назад
Geto la mudi😂😂
@elishaelisha6755
@elishaelisha6755 Год назад
Nakubaliii fund majumbaaa
@Aleckieofficial254
@Aleckieofficial254 11 месяцев назад
Baba ake na Levo muongo sana
@rehaniabeta
@rehaniabeta Год назад
OBD na GAZ, K town peoplesssss
@RamadanPaul
@RamadanPaul Год назад
Baba levo
@neemapraigory8832
@neemapraigory8832 Год назад
Huyo mwanaef simuelew tuzo hamja fin wal mario mirabapia
@feronandsulubu6711
@feronandsulubu6711 Год назад
Ati wema ni jukumu😅😅😅
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Год назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👊
@kassimdrake9527
@kassimdrake9527 Год назад
Washamfukuza kaz hayumo
@merinakassembe118
@merinakassembe118 Год назад
Simlisema siku nyingi anamoeleka india?
@abdullherry3072
@abdullherry3072 Год назад
😁😁
@neemapraigory8832
@neemapraigory8832 Год назад
Jaman fina mario mbona hajapewa
@kelementbushishi3687
@kelementbushishi3687 Год назад
🤣🤣🤣🙌
@ghadaalzuhari2739
@ghadaalzuhari2739 Год назад
Uyu babalevo anajielewa ga kweli mbona anapenda kumjaza sifa diamond
@joshuasanga9213
@joshuasanga9213 Год назад
Unataka akusifie ww au vp ww
@sekunda-lz5ov
@sekunda-lz5ov Год назад
😂😂😂😂 ndip ugal ulipo 😊
@ghadaalzuhari2739
@ghadaalzuhari2739 Год назад
@@joshuasanga9213 we mpumbavu ama achakuwa unavamia coment zawatu
@jastinsimon7635
@jastinsimon7635 Год назад
😂😂😂😂😂
@azzahdora3058
@azzahdora3058 Год назад
Waandishi wa bongo maswali cjui huwa hawajipangi
@KijaJohn
@KijaJohn Год назад
😂😂😂
@johnsonchonja4032
@johnsonchonja4032 Год назад
Yaan baba levo anamuona diamond km mungu wake vile🤣🤣🤣🤣
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 Год назад
Hayo ni maoni yako tu
@BigZhumbe
@BigZhumbe Год назад
Mungu hatoi hela Bure Mondi anampa hela kama unahisi anamuona Mungu aendelee.
@johnsonchonja4032
@johnsonchonja4032 Год назад
@@mohammadoman8963 ndio ni maoni yangu au kuna mahala nimesema ni maoni yako?
@gustavompemba1781
@gustavompemba1781 Год назад
@@johnsonchonja4032 na mm maoni yang anakuona ww mke wng mtarajiwa
@ibrahimfarha3853
@ibrahimfarha3853 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂
@thelight-ur3oi
@thelight-ur3oi Год назад
😂😂😂😂
Далее
💀СЛОМАЛ Айфон за 5 СЕКУНД😱
00:26
When I met the most famous Cristiano
01:03
Просмотров 17 млн