Тёмный

BABA LEVO AMVAA HARMONIZE: ANAJISHINDANISHA NA DIAMOND/ DIAMOND ANA NYUMBA 126 / WEWE UNA NINI? 

Bongo5
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 71 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 288   
@jumannemfaume
@jumannemfaume 3 года назад
Hii kaz baba levo anaiweza vizur sana😂😂😂😃🙌🙌🙌🙌
@rehemashafi4809
@rehemashafi4809 3 года назад
Kweli kbc baba levo uko sahihi homrze mjinga sana
@achottomazonge8639
@achottomazonge8639 3 года назад
Safi sana Baba mpe huyu mmakonde mshamba sn hana Shukurani” yeye alisema mondi kamsaidia sn ata mondi akimtukana amjibu leo kasahau ana mpiga vijembe mtu aliye mtoa tongotongo . Acha ushamba wewe mmakonde.kumbuka ulikotoka wewe mondi kakupa maisha. Safi sn Baba LEVO nakupenda sn✌️
@kaburaakbar4838
@kaburaakbar4838 3 года назад
Baba levo anaongea ukweli kabisa harmo si anapend kutusi wengine aya sasa baba levo njo uyo
@juniorcx0114
@juniorcx0114 3 года назад
Namkubali sana huyu baba levo kinajitambua ni pointi tu
@maxozone3762
@maxozone3762 3 года назад
Kabisa
@mdachiog5211
@mdachiog5211 3 года назад
Nikweli ila country boy ameshaingia trend
@alexmanase981
@alexmanase981 3 года назад
Duh!
@shebynizedaudi336
@shebynizedaudi336 3 года назад
Nakukubali sana baba levo
@jameswanjohi5795
@jameswanjohi5795 2 года назад
from kenya but napenda baba leva sana sana coz nimeishi kumskiya huogeyanga ukweli kila mara
@ogboy5493
@ogboy5493 3 года назад
Unamchana kabisayani nakubali babalevo
@lm6373
@lm6373 3 года назад
Huyo anasema sana harmonize anawachinda Sanaa tena sana harmo ni No 1
@suleimanmbogo2457
@suleimanmbogo2457 3 года назад
Kajifunze kuandika kwanza ndio uje ukoment
@lm6373
@lm6373 3 года назад
@@suleimanmbogo2457 jifunze ku andika ""comment hujui rudiya kusoma
@senettadavid6894
@senettadavid6894 3 года назад
😀😀😀😀...mzee small kakutana na chawa ...chawa anatetea ugali wake .....
@kingsuleiman7201
@kingsuleiman7201 3 года назад
Harmoniz mwenyewe bila daimond tusingemjua fala yule wa kimakonde halafu anajiona king.
@ayubusanga2325
@ayubusanga2325 3 года назад
Sanaa Anzuruni
@kassimramadhani7903
@kassimramadhani7903 3 года назад
Kigoma hapatoki boi gonga like hapo kwa bb lv
@edwinplatnumz07jr81
@edwinplatnumz07jr81 3 года назад
Wabhonyeee......😁😁
@kingsuleiman7201
@kingsuleiman7201 3 года назад
@@edwinplatnumz07jr81 i kigoma ni Noma mwamba,
@krizofrancisco1287
@krizofrancisco1287 2 года назад
Ni noma sowawe
@juniorcx0114
@juniorcx0114 3 года назад
Mm kwasasa uamuzi nilio chukua kuhusu huyo korosho akitoa nyimbo siend kuangalia wala kutoa komment yoyote Tuungane tuache kulisapot maana kinavimba muno mpaka kumwita alie msaidia Diamond et Simbaa zee et mshambaaa
@omisamjr4864
@omisamjr4864 3 года назад
Kweli harmo anazingua ila hilo haliwezi. Tokea hata kidogo sasa tutajuae kama katoa nyimbo mbaya tutajua
@juniorcx0114
@juniorcx0114 3 года назад
Me skoment wala kuangalia maana nikiangalia Nakua namutrendisha me sio shabiki yake tena
@juniorcx0114
@juniorcx0114 3 года назад
@@omisamjr4864 anavimba mno kiki tu ndo zinakalibia kumuua
@celestinekhivali5824
@celestinekhivali5824 3 года назад
Usiangalie Mimi na wengine tutaangalia,hamo anajitaftia rizki na anasemwa vibaya,uyu dude levo nae ata ajui kuimba Ni kujigamba tu,
@juniorcx0114
@juniorcx0114 3 года назад
@@celestinekhivali5824 ww sio mm MB zang hazita tumika hata dakika moja yy siana jifanya kafka kama alikua na mashabiki kumi me nimetoka akae akijua wame bak 9 Kwaajili ya kiburi chake fara corosho huyo
@cosmasthomas9164
@cosmasthomas9164 3 года назад
Mmakonde anajipambanika!😁😁😁
@sallygrace1495
@sallygrace1495 3 года назад
When God blesses you! No one can take away your position 🙌
@ognazymusic5754
@ognazymusic5754 3 года назад
Baba levo fanya yako ukifanya ya mwenzako utachelewa kufanya yako diamondi mumeo au
@chicharitoronaldo5950
@chicharitoronaldo5950 3 года назад
Nyooosha hio kenge!!!
@juniorcx0114
@juniorcx0114 3 года назад
Kabsa
@juniorcx0114
@juniorcx0114 3 года назад
😂😂😂
@obagoabhiathan3565
@obagoabhiathan3565 3 года назад
B level Manyumba fundi wa beef 🙌 Wcb for maisha..
@ervinseya6791
@ervinseya6791 3 года назад
Baba levo nakupata kutoka South Africa ww msema ukweli harm bado mtoto
@frenkxamwel7131
@frenkxamwel7131 3 года назад
Sikuping baba levoo👍👍👍👊👍👊
@hashirjuma1356
@hashirjuma1356 3 года назад
Asante baba levo wcb 4 life
@engineertarimo7345
@engineertarimo7345 3 года назад
Asee Level we ni mkali.
@videozaaj1069
@videozaaj1069 3 года назад
Baba levo mchambuzi wa masuala ya muziki wa kizazi kipya😂😂😂
@ybmtaakwamtaaofficial3415
@ybmtaakwamtaaofficial3415 3 года назад
Baba levo ni rapper anasema ukweli
@nishawangaiwangai9765
@nishawangaiwangai9765 3 года назад
Ww baba Leva I love you from Kenya
@aby21111
@aby21111 3 года назад
Harmonize was nominated by H baba as #1 singer in tenda himba. 🤣🤣🤣
@vinesofyore5735
@vinesofyore5735 2 года назад
H Baba is now singing the praises of Diamond
@gaeljulienakbar8976
@gaeljulienakbar8976 3 года назад
Kweli baba
@julietmombasa1103
@julietmombasa1103 3 года назад
Ooh 😯😯😯
@zubedaali4155
@zubedaali4155 3 года назад
Wewe mwenyewe ni mshamba tu kwa hamo yoote hunayolopoka nimajungu tu na wevu hunakusumbua hamo kaza but I bb mungu hatakusaidia tu kwani huyo mondi ni Nani ? Kwani yeye ni mungu? Acha unafiki wehunaejifanya bb levo
@celestinekhivali5824
@celestinekhivali5824 3 года назад
Kabisa wanaboa Sana,ata uyu mjinga ajui kuimba anaropoka tu,diamond simpendi maringo mingi n kuzalisha ovyoovyo,
@tarifsarahoman7047
@tarifsarahoman7047 3 года назад
Baba levo nakupenda bure 😘
@neaboy4032
@neaboy4032 3 года назад
Uongeee ww nani bhana baba levo unazngua uwoniushamba
@lamecknkini8774
@lamecknkini8774 3 года назад
Washamba nyie wasenge
@benitokibwaa4251
@benitokibwaa4251 3 года назад
Mshamba konde gang
@neaboy4032
@neaboy4032 3 года назад
@@lamecknkini8774 😂😂
@johnmasanja1762
@johnmasanja1762 3 года назад
B levo gd boy
@elizaberthjeremiah2178
@elizaberthjeremiah2178 3 года назад
Huyu jamaa ni genius sema watu hawaelewagi .
@gaferejustin1344
@gaferejustin1344 3 года назад
😄😄😍😍😍nakupenda levo
@rafikimyala9322
@rafikimyala9322 3 года назад
Tafta maisha yako fara wew
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 3 года назад
Bongo mna raha mnashikana ovyo ovyo uku nje wenzenu tunaogopa kugusana ni kukwepana kwa kwenda mbele
@kishokatz1058
@kishokatz1058 3 года назад
Mmmmhhh kwani wewe uko wap
@officialldarkdj5575
@officialldarkdj5575 3 года назад
😃😀😃ila we baba levo unajua unaongea point sana 😀😃😀😃
@nshonabdll9363
@nshonabdll9363 3 года назад
Kubishanae na uyu mtu nisawa na kujichosha tu maana uwa akasiliki na anachukiza htr 😁😁
@festopaul7549
@festopaul7549 3 года назад
🤣🤣🤣mchaneni mpumbavu huyo anabishana na wakubwa shenzi type
@aby21111
@aby21111 3 года назад
Baba levo 💪💪💪👏👏👏👏❤❤❤💃💃💃💃
@madegeiddy5360
@madegeiddy5360 3 года назад
Au aseme yeye mwenyew Harmonize aseme yey ni namba moja kwenye nini 😅😅😅😅
@georgemumbee3691
@georgemumbee3691 3 года назад
Nakupata vizuri baba levo
@missimichael6378
@missimichael6378 3 года назад
Yeah
@johnsonkuli7975
@johnsonkuli7975 3 года назад
Huyo mtangazaji mbona anatoa macho sana kila wakati anageuka nyuma tu.
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 3 года назад
Labda anaogopa kubakwa na wahuni
@jumaradhm3926
@jumaradhm3926 3 года назад
😅😅😅🤣🤣🤣🤣Ila nyie
@rukkysayid6613
@rukkysayid6613 3 года назад
Naona hata cjuwi ana shida gani wasiwasi kama kanya nnje
@alexmanase981
@alexmanase981 3 года назад
Ni mwoga na hajiamini halafu hajui kuhoji yeye amebaki tu mpenzi msikilizaji
@mereyamhomesmariamhomes3464
@mereyamhomesmariamhomes3464 3 года назад
Ww Baba levo acha kufuatafuata Hamo kila mtu afanye maisha yake kwakuwa ww umeajiliwa wasafi Sifa zimekuzidi kila mmoja anatakiwa ajikubali mwenyewe
@yagaboy8629
@yagaboy8629 3 года назад
Kausha nawewe fata yako
@felisterjames9770
@felisterjames9770 3 года назад
Anawakomesha Sana 🐘💪
@tysonsinga5021
@tysonsinga5021 3 года назад
Baba Levo Baba lao
@babylonyNgwembe
@babylonyNgwembe 3 года назад
HARMONIZE ANGETENGENEZA LIGI YAKE NA RAYVAN WANGE KIKI SANA NA WANGEFANIKIWA KIBIASHARA SANA.
@othumaniruby7249
@othumaniruby7249 3 года назад
Wewe unajua wangepiga hela
@babylonyNgwembe
@babylonyNgwembe 3 года назад
sana wangepiga pesa lakn lig ya Diamond holiday ila ni Mond na kiba ndo maana Kiba akiwa kimya Konde ndo Ana trend lakn KIBA akirud konde anapotea kwanza na hafurukuti mpaka Kiba apoe.
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 года назад
Yani leo baba levo nime muelewa sana
@chareskyaromwita1860
@chareskyaromwita1860 3 года назад
Safi
@felisterjames9770
@felisterjames9770 3 года назад
Saiz mmeanza na kumtaja alikiba wakati mwanzo mlikua hampend kweli 🐘💪 wajambishe hao mmbwa
@ramadhanathuman940
@ramadhanathuman940 3 года назад
Kweli music siasa
@johnmgaya4571
@johnmgaya4571 3 года назад
Hana akil iyoo jmn tumxameh tyu jmn
@husseinbwakame3785
@husseinbwakame3785 3 года назад
Amsaidie baba yake
@dieudonnebigirimana8083
@dieudonnebigirimana8083 3 года назад
Kanyooshe kale kajinga msaliti yuda
@shemaemmanuel7373
@shemaemmanuel7373 2 года назад
Kwa upende wako vip konde anaweza
@ibrahimabobakar2966
@ibrahimabobakar2966 3 года назад
Kweli huyu jama ka2mwa live kumshambulia konde boy ila usijali mungu atakupambania
@yagaboy8629
@yagaboy8629 3 года назад
Kabula hujaongea tafakali kwanza
@aminatakhamis3390
@aminatakhamis3390 3 года назад
Ukweli utabaki kuwa kweli
@raymondmunis3553
@raymondmunis3553 3 года назад
Baba levo harmonize wewe ni msanii mdogo sana kwa Harmonize...Baba levo wewe ukiongea unataka watu wakuamini....Harmonize anahaki kujisifia kuwa yeye ni bora..Baba levo shida iko wapi?Tatizo unanjaa sana baba levo
@elevanjohn6138
@elevanjohn6138 3 года назад
Chokoo wew
@mudathirmiungu2044
@mudathirmiungu2044 3 года назад
Baba Levo Anaongea hivi kw7 yupo wasafi mshamba tu uyooo awezi kumponda diamond kwakua boss akee
@lamecknkini8774
@lamecknkini8774 3 года назад
Ila ni kwel anavyo ongea
@jumanente4833
@jumanente4833 3 года назад
Ata kama lkn anaongea ukweli ww vumilia tu ndo ukubwa huo
@richstar150
@richstar150 3 года назад
Yaan hili lijamaa bhn
@rozmihambo1935
@rozmihambo1935 3 года назад
Haloooooooooooo malipo ni hapa hapa duniani biguni ni mahesabu siba gulumaaaaaa daimond eee mugu kakulipia watakulana wao wenyewe halo kimiya kimiya tu 🔥🔥🔥🔥
@brightnesshawa1089
@brightnesshawa1089 3 года назад
Yaa yaa yaaa Baba Levo yaaa... Iyo list n yenyewe Harmo ni wa 4 haina UBISHII
@erickpetter5740
@erickpetter5740 3 года назад
Yaaap
@hassanakida9226
@hassanakida9226 3 года назад
harmonise na wenzake ni kikundi cha wavuta bangi angalia washabiki wake ni wavuta bangi
@nurdin.mndeme3447
@nurdin.mndeme3447 3 года назад
BABALEVEL BABALEVALS BABA LA BABA . achia mdude huo
@subiramagembe227
@subiramagembe227 3 года назад
baba levoooo
@polywabmlo8056
@polywabmlo8056 3 года назад
Truth
@ramadhanimahongole8764
@ramadhanimahongole8764 3 года назад
Kumbe hamonaiza Ni wa nne kimzki Tanzania kapitwa hata kwa leyvany
@felisterjames9770
@felisterjames9770 3 года назад
Asishindane nae kwani yeye Nani yy nimungu pumbavu ww Kwa sasa 🐘
@fredykephacy5166
@fredykephacy5166 2 года назад
Na pua lako hiloo acha uchonganishi
@rmags8654
@rmags8654 3 года назад
Mmakonde kapata mbabe mwenzake..hahahah!! Akomee!!
@cktamunga2356
@cktamunga2356 3 года назад
baba levo baba levo 👍👍👍👍🙏🙏🙏💋💋❤♥️ love
@maxozone3762
@maxozone3762 3 года назад
Olewako! Harmonize sasa jibishana na baba levo
@ybmtaakwamtaaofficial3415
@ybmtaakwamtaaofficial3415 3 года назад
Utaweza wapi sasaaa
@evancetilya5140
@evancetilya5140 3 года назад
😃😄😁
@hassankitibe4076
@hassankitibe4076 3 года назад
Choko wa daimondi
@stivepeter8054
@stivepeter8054 3 года назад
Weweee muhaa
@shemaemmanuel7373
@shemaemmanuel7373 2 года назад
Wewe uko wangapi?
@charlesamuli7425
@charlesamuli7425 3 года назад
Wewe chawa competition is healthy harmonize anabigania number coz anajiamini respect that na wewe ni liga ya nani
@vitusprotus8877
@vitusprotus8877 3 года назад
😁😁😁😁😁
@lungelekiza631
@lungelekiza631 2 года назад
IS ok
@felisterzapoka789
@felisterzapoka789 3 года назад
Jamani huyu Baba Levo, kazi ya Domo anaiweza , Niki pata Muda wa kuonana na Bosi wetu MO ntamshauri tumchukue asaidiane na Mkari HAJI MANARA ili YANGA mtukome vizuri
@jaffarmagawa3245
@jaffarmagawa3245 3 года назад
😃😃😃anabshana na waha
@farajaharuna6011
@farajaharuna6011 3 года назад
duuuu kweli nakibali kk
@moisebasila1640
@moisebasila1640 3 года назад
wambiyeni nguyangu
@lungelekiza631
@lungelekiza631 2 года назад
baba levo anajuwa
@kingdeetv2712
@kingdeetv2712 3 года назад
Fact
@evancetilya5140
@evancetilya5140 3 года назад
😃
@jumajrhamisi894
@jumajrhamisi894 3 года назад
Baba levo neci
@altojaphet3394
@altojaphet3394 3 года назад
Kondeeboyaaa uyoo falaaatuuu anafake Sana life yy mdogo sanaaaa
@milcahchao2557
@milcahchao2557 3 года назад
Umeongea ukweli babalevo
@kassimthomas3745
@kassimthomas3745 3 года назад
Mchane uyo korosho ajielew
@philipojmwaipopo949
@philipojmwaipopo949 3 года назад
Mnaoamini baba levo hajitambui nipeni like za kutoaha, Mara mia konki sio mbumbu..
@bittostar3524
@bittostar3524 3 года назад
Kuna swali nimelipenda
@celestinekhivali5824
@celestinekhivali5824 3 года назад
Babalevo wacha ujinga,hamo yupo vizuri diamond kwani Ni mungu,manyumba tutayawacha humu duniani,ata ujui kuimba Kama konde boy na unajilenganisha nae,unabore wewe pua Kama nyoka,
@giftafrica6143
@giftafrica6143 3 года назад
kwani anacho onge ni UONGO
@celestinekhivali5824
@celestinekhivali5824 3 года назад
Of course,Ni wivu tu,
@mudyking8282
@mudyking8282 3 года назад
Kwel broo wape
@jeanbeby2718
@jeanbeby2718 3 года назад
Alikiba ni namba 1 . Diamond ni namba 2 . harmonize 3 ..toka R D C Congo nasema🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@husnamanase3943
@husnamanase3943 3 года назад
Nyinyi nimachawa2 Hachagui pakwenda mnacho taka gugomba Nisha
@saidimlanzi2725
@saidimlanzi2725 3 года назад
unajua nini tatizo makondee bado mavi yapanya ayajamuisha alafu anataka kushindana nawakubwa
@christizarzak1173
@christizarzak1173 3 года назад
Diamond mwenyewe hana ujinga kama huyu boya
@robt3620
@robt3620 3 года назад
Huyo baba Levo ana umama sana hata hana kitu huyo jamaa apeleke ushamba wake kwa mkee wake kwa DIAMOND PLATNUMZ. Mwanzo n mtumwa huyo babu
@joycemsegea7787
@joycemsegea7787 3 года назад
Wewe nayeye anapambana kivyake Sasa nailiufanikiwe lazima upambane kwahiyo unataka tuwe na msanii mmoja tu Tanzania mbona mnamambo ya ajabu
@robt3620
@robt3620 3 года назад
Wewe n mtumwa bana usi katae n Diamond mwenyewe husema wewe n mtumwa wake
@yagaboy8629
@yagaboy8629 3 года назад
Wekoma kabisa rini simba akakwambia hivo
@robt3620
@robt3620 3 года назад
Wewe pia una tetea kama nani n wewe pia n moja wapo watumwa. Foolish sana
@dieudonnebigirimana8083
@dieudonnebigirimana8083 3 года назад
Kanajipampanika sana kapotelee uko mtwara
@aishangozi854
@aishangozi854 3 года назад
Ugali uwo ,una ata ngoma ya ukweli ambayo inastua watu mm hata cielewi unaimbaga nn why
Далее
best naso ndani ya HERITAGE FULL
27:41
Просмотров 9 тыс.