Endelea kupepea ndugu Annoint,, baraka za Mungu kupitia kwako zinamiminika Kila uchao nisikiapo nyimbo zako,, ubarikiwe sana uende viwango na viwango,,
Kweli wacheni mungu aitwe mungu ,kwanini nasema hivi hii ni baraka sana kwa mama yetu Rose muhando kumuinua na kuinua kizazi chake na kuheshimisha,Annoint wacha mungu akuangazie daima
Mungu azidi kubariki huyu kijana anoint aendelee kutoa nyimbo nyingi ziokoe kizazi cha kisasa haswa miminmesisikia mpaka nmsikia kuokoka mungu azidi kuinnua huyu kijana namimi pia ntamwombea azidi kumwinua
annoint wewe dungu yangu najua wewe ulitoka Kwa mungu mungu akakutuma Kucha hapa duniani utuwokoe sisi binadam Kaka yangu mungu akubaliki uendelee kufaya kazi yako Kaka yangu 🙏🙏🇰🇪👈
aki wewe Kaka yangu mungu akubaliki uendelee kufaya kazi Yako my brother najua wewe mungu amekutuma Kucha hapa duniani utuwokoe sisi mbinadam lakini sisi mbinadam atusikii mungu akubaliki Sana my brother 🙏🙏 nakusikia Kaka yangu nikiwa hapa Tanzania kikazi my Kwa leo Niko nyumbani kwetu kenya ningeomba ukuche ata HAPA kenya wakusikie kina ruto wakujue my brother 🙏🙏🇰🇪👈 and Tanzania ni kitu kimoja 🇯🇲👈
Kama kujulikana ingekuwa ni lazima MTU awe na meneja....Sisi wengine,tusingefika hapa,,,,,,,"hapo Tu inanifanya nikimbie kwenye studio nikatoe wimbo hata kama sijawai imba,😂