Neema ya mungu inandosha bro ukiona majaribu mengine huwa inafanyika ili neno lamungu lisimame kubuka Anyubu alipindia mambo mengi sana lakini mungu hakumuaja kile kilicho nyanguliwa na shetani kirijeswa mara pili jipe nguvu 🙏🙏🙏
My dia man of God,, never give up,,,, God knows everything,,,,Niko Na Imani kubwa kila kitu Itakua shwari hivi karibuni it's just a matter of time,,,,najua fans wako Wa ukweli hawatakuaja kbxaa,,nikiwa ndani Yao,,,,,trust in the Lord,,,,xai ndio unaonekana uko dhaifu kimwili yaani Kwa Maisha ya binadamu Wa kawaida lkn kiroho uko xwa,,,,,huku Kenya 🇰🇪🇰🇪 tunakupenda xna King
Amen...hakika tutafikia kwenye ushindi mkuu unaokwenda kudhihirisha viwango vyetu...kazi yetu sii bure mbele ...kila mbegu njema tulizopanda tutavuna kwa wingi kwa wakati wa Bwana...OOO haleluya
Yoooooooooooh Jamani BABA Yangu😂😂 pole sana Akika Ni kweli wewe unayo Majukumu Mengi kwasababu Nyumbani kwako watu Ni wengi zaidi piya wote wanakutegemeya Nimeyaona Live kwa Macho Yangu Ya Mwilini
😭unaimba yaliyomo kwenye jamii. Mungu akuinue mwanangu, utasimama hakika. Ukiwa mfuasi wa kweli wa Kristo, mapito ni lazima, ila najua kuvuka kwako kupo karibu. Barikiwa sana Annoint🖐🏾