Тёмный

Annoint Amani - Poleni adui zangu ( Sina Mashaka official video ) 

Annoint Amani
Подписаться 270 тыс.
Просмотров 324 тыс.
50% 1

#swahiligospel#sinamashaka#poleni#
Maadam umemjua Yesu, bas maadui zako waniandae kushindwa kwa kila baya juu yako,
Annoint Amani
Song,Poleni adui zangu ( Sina Mashaka )
Album,Kiboko yake ni Usingizi Album Vol 6.
Language Swahili)
Annoint Amani For booking
Instagram Annoint Amanitz
Tiktok Annoint Amani tz, +255767240181=+255755099942)
VIDEO, Directed by Meddy ( A.E.A)
AUDIO,A.E.A Tones studio producer by Meddy
Dar Es salaam Tanzania )

Видеоклипы

Опубликовано:

 

2 янв 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 172   
@protus5033
@protus5033 Год назад
Nipeni likes za Kenya 🔥🔥🔥
@mercywanza9141
@mercywanza9141 Год назад
Yesu fimbo yangu natembelea... likes za waKenya jamani
@nabiibikemwayowele
@nabiibikemwayowele Год назад
MUNGU akuinuwe zaidi Baba YANGU Annoint Amani kwapamoja ƙwakweli BABA Mwili umoja Na roho Moja Tumaini Moja la wito wetu BWANA umoja imani Moja Ubatizo Moja Na MUNGU mumoja
@Diana-te2ft
@Diana-te2ft Год назад
Mungu yupo Katika Maisha yako,Huu Ni mwaka wako🥰🥰🥰🥰
@GenZmedia443
@GenZmedia443 Год назад
Second to comment.. wapi Likes zangu nifike 200 Kazi nzuri Annoith Amani
@marylinebarasa1764
@marylinebarasa1764 Год назад
Nikisikia nyimbo zako I feel lyk Niko kwa baba ,plz niombeeni nami pia niokoke kweli nani fate njia za Mungu kikamilifu
@kambakambatena6878
@kambakambatena6878 Год назад
Nani alikudaganya kuimba nikuokoka? Unaeza kuwa mtuzi na mjuzi mkubwa wa nyimbo bt it has nothg to do with wokovu
@petermusee3537
@petermusee3537 7 месяцев назад
Amen dada Mary. Paulo anasema katika Warumi 10:13 yeyote atakayeliitia Jina la Yesu ataokolewa. Uamini moyoni Yesu ni mwana wa Mungu alizifia dhambi zetu na ukiri kwa mdomo wako. Hivi omba maombi haya umpokee Yesu. Sema Bwana Yesu, nimekuamini ulishuka duniani kuniokoa. Naamini ulikufa msalabani kuniokoa na dhambi zangu. Nisamehe ninakiri zote. Nioshe kwa damu yako takatifu. Leo nimeokoka. Amina"
@atupelemwitiki
@atupelemwitiki Год назад
Haleluya!asnte mtu wa Jehova sitakuwa na mashaka yeyote.
@Terryann25
@Terryann25 Год назад
Amen🙏🙏🙏🙏. To all my enemies 😈 am so sorry all ur plans are in vain God is my sheld and I passed am in 2023. Thanks mtumishi ur my hero. 🙏🙏🙌🙌.
@roslinekasuma2069
@roslinekasuma2069 Год назад
Amen. Yesu ni fimbo yangu🙌
@marthasulle9491
@marthasulle9491 Год назад
Hakika Yesu Ni fimbo yangu😍
@meshackamani2936
@meshackamani2936 Год назад
That's great keep it up my brother
@liliansiekei5871
@liliansiekei5871 Год назад
Barikiwa sana brother kwa kanzi nzuri .
@violetyumelo
@violetyumelo Год назад
Amen hallelujah 🥰 hongera kaka yangu hebu naomba tuwe marafiki napenda uimbaji wako sana
@marthanyalo5432
@marthanyalo5432 Год назад
Wow what a inspiring song Barikiwa Sana ndugu waneda mbali kwa utumishi wako. Nawapa pole adui zangu juu Sina mashaka njiani Yesu yu fimbo yangu.
@gordonwalexs1685
@gordonwalexs1685 Год назад
Dady hongera sana na Mungu akuinue viwango ya juuu sana mmi wako Gordon, Peter nakuoenda sana karibu pia kenya
@liliansiekei5871
@liliansiekei5871 Год назад
Hallelujah
@ziporamwita
@ziporamwita Год назад
Wimbo muzuri sana kakangu mungu hakusidishie neema🙏
@solangerechol6881
@solangerechol6881 Год назад
Woow emen and emen Wimbo muzuri sana yesu nifimbo yangu natembeleya kabisa 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙌🏻🙌🏻
@rosekawira1979
@rosekawira1979 Год назад
It so touching may God bless you
@damillakwamboka9716
@damillakwamboka9716 Год назад
Amen. What a wonderful song, adui zangu i give u sorry Mungu tu nami. Being blessed with them from Kenya
@evansoramisi7269
@evansoramisi7269 Год назад
Good work 🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@pellagiamukora426
@pellagiamukora426 Год назад
Woow Nice one keep going son of God watching you from south Africa awesome
@elinya4379
@elinya4379 Год назад
Amen l love u song Sana 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@millicentakinyi5504
@millicentakinyi5504 Год назад
Wooow,sujawa,yesu Mutuwa,mungu Safisana
@mrnickmusician7139
@mrnickmusician7139 Год назад
Aminaaaaaaa Mtumishi wa Mungu nimebarikiwa sana🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏
@annwafula9066
@annwafula9066 Год назад
Yesu ni fimbo yangu mwaka huu Sina mashaka njiani,🙏🙏🙏🙏amen amen amen 🙏 Amen hallelujah
@afrikaone9609
@afrikaone9609 Год назад
Yani watasubir sana kunipata
@annwafula9066
@annwafula9066 Год назад
@@afrikaone9609 amen
@rijikarijika7045
@rijikarijika7045 Год назад
🔥🔥🔥👏🥰yesu ni fimbo yangu sitakuwa na mashaka kamwe
@lilianshantelmugonyi9384
@lilianshantelmugonyi9384 Год назад
Hongera.sana kwa nyimbo nzuri mtumishi
@elizabethnamwinga3210
@elizabethnamwinga3210 Год назад
Kweli Sina mashaka yesu ni fimbo yangu.
@gloriaamase9764
@gloriaamase9764 Год назад
Hallelujah yesu ni fimbo yangu natembelea ananilinda kila wakati🙏🙏
@sarahnekesa788
@sarahnekesa788 Год назад
Always you normally bless me let bless you more and more
@gloriaamase9764
@gloriaamase9764 Год назад
Amen🙏🙏
@everlynatieno9800
@everlynatieno9800 Год назад
Pongezi sana anoint ambao maduui wote wasikie
@eunice3876
@eunice3876 Год назад
Nimeona mungu akiwa fimbo yangu katika maisha yangu indeed God is soooo good.may God bless you my brother your songs are a blessing to many people including me may God bless you.
@AdonisSifa
@AdonisSifa Год назад
oh hallelujah Good work papa
@josephwanjala7794
@josephwanjala7794 Год назад
Wape mtumishi pole kabisa tena ile kubwa
@tabby1725
@tabby1725 Год назад
Hakika Yesu ni fimbo poa yakutembelea
@princessdianah66
@princessdianah66 Год назад
Good song praise the living God Amen 🙏
@afrikaone9609
@afrikaone9609 Год назад
Yesu ni fimbo,sina mashaka njian hakika
@magdalenamsuta7336
@magdalenamsuta7336 Год назад
juu juu juu jitu la mbinguni, Mungu ni usalama wako nenda nenda Mungu yupo mbele yako!
@makumbilinnetshally9092
@makumbilinnetshally9092 Год назад
God is real using you,man of God,be bless 🙏
@naomycherono5540
@naomycherono5540 Год назад
Glory be to God hallelujah hosanna powerful powerful message mungu akuinue zaidi 🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪
@chaztz1782
@chaztz1782 Год назад
Sjampata kuona kijijini kwetu ngoma zako Zina trend Hadi za zamani hazichuji kazi nzuri na hii nitawa tumia
@katilejoy8924
@katilejoy8924 Год назад
unanibariki sana na nyimbo zako,, niobee kwa Mungu siku moja nifike ulipo
@juliusmusembi3108
@juliusmusembi3108 Год назад
Haki huyu kijana si amebarikiwa. Ufunuo alio nao ni wa hali ya juu sana
@shadrackosabil6354
@shadrackosabil6354 Год назад
Congratulations .wimbo mzuri sana👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏am a gospel singer from Kenya.
@mutavanyajob3111
@mutavanyajob3111 Год назад
Your channel name?
@esthernthambamusau756
@esthernthambamusau756 Год назад
Send to me your channel name i sub
@phibianjepkurgat5581
@phibianjepkurgat5581 Год назад
Wimbo tamu saana,barikiwa mchungaji
@kambadancer6690
@kambadancer6690 Год назад
Ata sai nasikiza ,nimesikiza 10 times
@sheilacherono-tw3go
@sheilacherono-tw3go Год назад
Wow wimbo mzuri kapisa yesu ni fimbo Yangu natembelea kila wakati Nawapa pole adui zangu
@Princessmanu1366
@Princessmanu1366 Год назад
Waau congratulations for the powerful message, be blessed more in Jesus Name 🙏🙏
@winnieonsongo2833
@winnieonsongo2833 Год назад
Your songs are so powerful 🙏🙏I like beats,I like everything in your songs, God bless you Anoint
@ceciliamuthini4441
@ceciliamuthini4441 Год назад
Nakusikia sana annoint.mie uliyekaa kwangu kihuduma.Nafurahi sana
@rosewanjiru3067
@rosewanjiru3067 Год назад
Hallelujah 🙌 tunawapa pole 🤪adui zetu
@nancywachiran6544
@nancywachiran6544 Год назад
U never disappoint Amani I love u for free
@suziesamuel4036
@suziesamuel4036 Год назад
More grace servant of God
@rebeccamukonyi3489
@rebeccamukonyi3489 Год назад
Amen 🙏🙏🙏 Mungu akubariki sana mtumishi.yesu ni fimbo yangu.
@esthercarolyne9385
@esthercarolyne9385 Год назад
Your songs really strengthen me everyday kama niko na stress inaiisha kabisa ubarikiwe kabisaa
@bettychilwa3361
@bettychilwa3361 Год назад
Kazi nzuri kaka.....itabdi tufanye kolabo😊
@philomenamesimesi2738
@philomenamesimesi2738 Год назад
God bless you my brother nyimbo zako zanibariki sana
@maggymshay7666
@maggymshay7666 Год назад
Amen this is the gospel we need please some Kenyan gospel needs to learn from them ♥️♥️eti mwaka wa kupanuliwa ni nyimbo 🙄🙄😳
@kambakambatena6878
@kambakambatena6878 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@salomewanjiru9040
@salomewanjiru9040 Год назад
Woow a lovely song
@zephakip
@zephakip Год назад
The nawapa pole part is a vibe for me , we thank God for such songs. God bless you M.O.G
@faithkathure9194
@faithkathure9194 Год назад
Yesu ni fimbo yangu natembelea, wimbo mzuri wa kutia nguvu, barikiwa sana mtumishi
@alamusictz
@alamusictz Год назад
#Wouwoooooooh Yesu ni fimbo yangu mwaka huu Sina mashaka njiani,🙏🙏🙏🙏amen amen amen 🙏 Amen hallelujah. Barikiwaaa kaka
@millyengoke5415
@millyengoke5415 Год назад
Really blessed with your song
@janerose6882
@janerose6882 Год назад
Ukweli nyimbo sko hnifutia sn sn😭😭😭😭🏃
@phelisterpatrick834
@phelisterpatrick834 Год назад
Can't get enough of this song 🙏🙏🙏
@ruthmwikalimutua3290
@ruthmwikalimutua3290 Год назад
Fantastic inspiring song,,be blessed servant of God
@sharonjepngetich9057
@sharonjepngetich9057 Год назад
From eldoret kenya 🇰🇪 amen 🙏
@SophieGewona-jn7oj
@SophieGewona-jn7oj Год назад
Bwana yesu asifiwe? Aki nyimbo zako zanifariji sana
@estherlemburismollel5901
@estherlemburismollel5901 6 месяцев назад
Annoint, unaimba mwanangu. Nakuombea sana shetani asikurudishe nyuma
@leonardtesha6540
@leonardtesha6540 11 месяцев назад
🎉🎉🎉🎉Aliiiiiiiii nakupata vizuriii Debora Tesha nikiwa Nairobi Kenya
@user-ff7yf4zf9f
@user-ff7yf4zf9f 4 дня назад
My son is called Amani hope he will be a blessing just like you, amen
@onychabezenikasaila6157
@onychabezenikasaila6157 Год назад
Oh wow!!! Praise be to Jehovah, lovely song 🥰🥰🥰
@julietbawayere6665
@julietbawayere6665 Год назад
💃💃💃💃💃💃👍👍👍 Amen amen amen may God be with us all amen
@petrogisige8361
@petrogisige8361 Год назад
niombeeni nifuate njia za Mungu napigwa vita na watu Wa home 🏠 na watu Wa nje
@eunicewathome
@eunicewathome 8 месяцев назад
Tena samaani sana enyi adui
@wemalaurence6762
@wemalaurence6762 Год назад
Nabarikiwa sana kwakelii....tuendelee kuwapa poleereee😍
@carolineorero-rv2uv
@carolineorero-rv2uv Год назад
Wimbo huu unanbariki sana,sifa zimurudie Bwana,Amen.
@ShamimMjeni
@ShamimMjeni 2 месяца назад
Good,job brother Amani
@NeemaMateleka
@NeemaMateleka 2 месяца назад
Kaka upewe zawadi yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉 mungu akuinue zaidi
@adelasilota2845
@adelasilota2845 Год назад
Jaman we kaka mungu akuweke tu 🙏🙏🙏
@jacquelinebunoro5401
@jacquelinebunoro5401 7 месяцев назад
Amen 🙏,,Yesu ni fimbo yangu kweli.
@user-xz7xl4yq9s
@user-xz7xl4yq9s 7 месяцев назад
I'm in love with the song, it has captured my heart, who can stand against me if Jesus is my rod whom I walk on 🎉🎉🎉
@halimahngala1034
@halimahngala1034 Год назад
Amen 🙏🙏 god bless you hii nyimbo unanifariji sna
@dorcasbakuni4169
@dorcasbakuni4169 Год назад
🔥🔥🔥 nice song bro be blessed 💃💃
@kadzomweni3862
@kadzomweni3862 Год назад
AMEN ubarikiwe AMANI
@metrineterah3304
@metrineterah3304 Год назад
KAZI nzuri sana kaka🙏🙏🙏
@marymuduwa9571
@marymuduwa9571 Год назад
Thanks Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@josephenemwikabe7110
@josephenemwikabe7110 Год назад
Amen napenda sana nyimbo zako mungu akubariki sana
@modestaernesto
@modestaernesto Год назад
Sinto me muito feliz quando ouço seus músicas 🇲🇿 ámen ámen aleluia
@GeoffreyNyachae-gj1eg
@GeoffreyNyachae-gj1eg 16 дней назад
Nice song my brother God bless you for your work.
@raelonchuru4678
@raelonchuru4678 Год назад
Woow well done I love your songs may God give you more insight and keep up 🙏🙌
@mercykache4235
@mercykache4235 Год назад
Yesu Ni fimb yangu bless bro🙌🙌🇰🇪
@aggreyonyoyo-bj6eo
@aggreyonyoyo-bj6eo Год назад
I like your song mostly.... Naeza kuwa dancer wako.
@kemigishanorrish2713
@kemigishanorrish2713 11 месяцев назад
Walai.Ftom Uganda,i love your s
@annatwelewile3498
@annatwelewile3498 Год назад
yaani hapa,du,saluti
@viniusbutati
@viniusbutati Год назад
ubarikiw
@annesonye4977
@annesonye4977 Год назад
Good one
@janemisso9722
@janemisso9722 Год назад
Glory be to God 🖐️
@nabiibikemwayowele
@nabiibikemwayowele Год назад
MUNGU akupe uwezo MUKUBWA ƙwakweli producer MEDD PROD wa viwango vya JUU zaidi Audio FT vidéo By MEDD PROD A•E•A tonnes RECOORD Tunawapenda sana ƙwakweli Piya Musonge Mbele.
@mildredonduru2459
@mildredonduru2459 Год назад
🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 mungu akubariki
Далее
Christina Shusho - Wa kuabudiwa (Official Video)
10:10
Anoint amani location na Kicheche.....
1:36
Просмотров 1,7 тыс.
Лепим из пластилина🐍
00:59
Просмотров 254 тыс.
Mirjalol Nematov - I love you (Videoklip)
3:56
Просмотров 4 млн
I Like It
2:29
Просмотров 2,5 млн
ДжаЯмми - Туман
4:18
Просмотров 200 тыс.
Tamiga & 2Bad - Tell Me | Official Video Extended
4:45
지민 (Jimin) 'Who' Official MV
3:28
Просмотров 23 млн