#annointamanistokikizembe
kama kuna haki yako mahali frani na una haki zote kisheria Rohoni na Mwilini,
Usikubali kuacha Kizembe, hakikisha unapewa haki yako iwe kiroho au kimwili usikubari kuachia Kizembe,
Mungu wetu ni mkuu sana, kuliko hata vile tunavyo mzungumzia hivyo hatufai kuogopa lolote maana vita yetu yote Bwana anapigana💪💪
Annoint Amani
Song,Sitoki Kizembe
( Language Swahili )
👇
Annoint Amani For booking
Instagram Annoint Amanitz,
Tiktok Annoint Amani tz,,
WhatsApp &Call +255767240181 = +255755099942)
👇
VIDEO, Directed by Meddy ( A.E.A)
AUDIO,A.E.A Tones studio producer by Meddy
Dar Es salaam Tanzania )
27 фев 2023