Тёмный

MAMA HUYU AWATOA WATU MACHOZI KWENYE IBADA: BISHOP ELIBARIKI SUMBE 

Bishop Elibariki Sumbe
Подписаться 88 тыс.
Просмотров 1,1 млн
50% 1

Ibada iliyofanyika Katika kanisa La Vuka Yordan Ngaramtoni Arusha Tanzania,Na kuongozwa na Mtumishi wa Mungu Bishop Elibariki Sumbe.
Follow kurasa za Bishop Sumbe,Bofya Link Hapa Chini.
/ bishopelibarikisumbe
/ bishopelibariksumbe
Website
Vukayordani.Org
LIKE | COMMENT | SHARE.
UBARIKIWE.
#VukaYordaniChurch #NgaramtoniArusha

Опубликовано:

 

5 авг 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 517   
@bellasfoundation2928
@bellasfoundation2928 2 года назад
Sumbe uko tofauti sana na watumishi wengine saanaa wengine hawaulizi kama umeokoka wanakuombea tu mungu akubaliki your such unique man of god
@trophywilson7211
@trophywilson7211 3 года назад
Mbarikiwe mliojitoa kwa Ajili ya huyo Mzazi Mungu atatue shida zenu,nimelia kwa uchungu mwingi saana
@dadamkubwa1087
@dadamkubwa1087 3 года назад
We we mam heeee mungu bwana wako ni wako mme wako must come in jesus name amen 50×wa from saudia Arabia.
@pastortimothyjoshua3304
@pastortimothyjoshua3304 3 года назад
Nimefurahi sana mtumishi wa Mungu kwa huo moyo wa huruma! Hivi ndivyo wahudumu wote wa injili tunatakiwa kuwa! Tuige mfano huu mzuri sana katika kuwahudumia watu kwa huruma na upendo
@rallyjoe9607
@rallyjoe9607 2 года назад
From Burundi ,Bwana Yesu apewe sifa ...Yesu ni mzuri sana leo kesho hata milele
@lucialeoter934
@lucialeoter934 2 года назад
Ameni mtushi yesu akubali mtumishi ,nami naomba maombi niwe mtumishi wake.
@happykajeli5453
@happykajeli5453 3 года назад
Asante Yesu kupitia mtumishi wako mwema baba yangu wa kiroho Mungu akubariki
@paschaltsaxara2376
@paschaltsaxara2376 3 года назад
Kama umeangalia clips ya huyo mama mara nyingi kama mm like apo chin
@fatmabakari9958
@fatmabakari9958 3 года назад
Anaitwa fatma huyo yesu anaoka wapi tn msituharibie majina
@paschaltsaxara2376
@paschaltsaxara2376 3 года назад
@@fatmabakari9958 cjakuelewa kwan kina Fatma hawaokolewi?
@galary8688
@galary8688 3 года назад
@@fatmabakari9958 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mosesmuyanga3244
@mosesmuyanga3244 3 года назад
Wakristo nawapenda sana mnamoyo wa huruma sana mungu akabariki sana
@ndetaulwapallangyo8408
@ndetaulwapallangyo8408 3 года назад
@@mosesmuyanga3244 utapeli mtupu
@LuluFwalo
@LuluFwalo 16 дней назад
Mungu akubali Sanaa mngu nitetee na familia yangu nikawe naamn
@MathayoMollel-iz3iw
@MathayoMollel-iz3iw Месяц назад
Hapo ni ngaramton mchungaji niombee niko mombasa pole sanadada yesu anaweza
@loreenmwambinguloreen7373
@loreenmwambinguloreen7373 2 года назад
Tanzania iko na ummoja MUNGU AKUBARIKI sana bishop....kwa uwongozi mzuri...
@naomymoraa2362
@naomymoraa2362 2 года назад
Mimi anapenda pastor,mungu akubariki sana.watching from Kenya
@susankitila8684
@susankitila8684 3 года назад
Huu ni uonezi sana Asante Yesu maana wewe ni mtetezi na utamsaidia
@jeriahonkoba
@jeriahonkoba 11 дней назад
Mungu wewe ni mweza yote tushindie matatizo yote kwa damu ya yesu kristu mwana wa mungu amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@Mr.Isayamaziku
@Mr.Isayamaziku Месяц назад
Nimelia nimelia😭😭😭 upendo wa yesu ulinitoa dhambini yesu yesu yesu ❤
@user-ov2os5ff7x
@user-ov2os5ff7x 26 дней назад
mungu akurinde mchungaji usiache kuturinda barikiwa kwa jina la yesu
@laudakanyika3247
@laudakanyika3247 3 года назад
Kwa Mungu hakuna linaloshindikana😭😭😭🙏🙏
@moshimatikosendi6906
@moshimatikosendi6906 2 года назад
Qqqqqqqqqqqqqqqqqqqqq
@laudakanyika3247
@laudakanyika3247 2 года назад
@@moshimatikosendi6906 🙄🙄🙄
@GloryPeace-gs3nd
@GloryPeace-gs3nd 4 дня назад
Baba Mungu akubariki sanaa kwa huo upendo wa kristo alokuwa kuwafungua watu na kuwathamini umetimiza maandiko YESU alivyosema,nalikuja na njaa hamkunilisha,nalikuja na kiu hamkunipa chakula,wewe umempa mama huyu mahitaji Mungu wa mbinguni akubariki na kukuinua kwa viwango vya juu sanaaaaaa😢nimeangalia clip hii nikasikia kububujika machozi yalinitoka hili ndo kanisa na wachungaji, ambalo Mungu anawahitaji kipindi hiki🙏🙏
@Bahatifatuma-h5m
@Bahatifatuma-h5m 12 дней назад
Djambo mutumishi wamungu naitwa fatuma nakaa uganda.naomba mungu siku yaleo nifunguliwe bamuone mutoto wangu kwenye Scan. Kwa jina la yesu christo Amen
@GeofreyMhagama
@GeofreyMhagama 3 года назад
Imenitoa machozi ihi video, Yesu akutetee dada angu
@phoebynjacky3252
@phoebynjacky3252 2 года назад
Barikiwa mtumishi wa Mungu
@PendoMatemba
@PendoMatemba 23 дня назад
Nimejikuta nalia sana
@magrethandrew9503
@magrethandrew9503 2 года назад
Nimelia mno, Mungu wewe utabaki kuwa Mungu itunze familia hii, Pastor barikiwa sana.
@user-rh3gz7fo2n
@user-rh3gz7fo2n 27 дней назад
Wewe ndio bishop wa kweli mungu azidi kubariki kazi zako za kiroho amina
@louis8474
@louis8474 2 года назад
Mungu akubariki muchungaji from USA 🙏🙏🙏
@gabriellyadam9415
@gabriellyadam9415 2 года назад
Bishop roho ako nzuri aki Mungu akubariki
@user-py4ss3sj2v
@user-py4ss3sj2v 2 месяца назад
Ee Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo Fanya njia na familia yangu, mkono wako si mfupi hata usituguse
@manirambonajeanne9184
@manirambonajeanne9184 2 года назад
Mungu aendelee kukubalikia pasit muzuli amina🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@christinmulongo8483
@christinmulongo8483 2 года назад
Mungu Awabariki Sana watu wa mungu bishop pia wewe mungu Akutie nguvu Sana in the name of Jesus Amen 💯
@MathayoMollel-iz3iw
@MathayoMollel-iz3iw Месяц назад
Mungu akusaidie mchungaji fungua wengi kwa jina la yesu
@NeemaMaiki
@NeemaMaiki День назад
Pole mwanamke mwenzangu muachie Mungu atashugurika na yoote
@sayunicasmiry4365
@sayunicasmiry4365 3 года назад
Hakika Bishop una YESU
@peaceisrael8158
@peaceisrael8158 3 года назад
Dada umejua kuniliza...Mungu asikupungukie maishani dada🙏🙏🙏
@papiasniyonzima4289
@papiasniyonzima4289 2 года назад
YESU akubaliki wewe na kanisa yako yote kwakazi nzuri mnayofanya .Hiyo njo kazi ya Mungu kabisa.
@gervasejerry
@gervasejerry 26 дней назад
MUNGU AKUTUNZE MTUMISHI WA MUNGU KWA UNALO FANYA AMEN
@neemamdawa8369
@neemamdawa8369 3 года назад
Nimelia sana unaeza ukaona unashida kumbe tunazidiana duuu
@user-jk5ir4ke3z
@user-jk5ir4ke3z 3 года назад
Masikin
@madamloveness7274
@madamloveness7274 2 года назад
I cry because am a woman too ,I feel sad of this family 😭😭😭😭
@akimanaalice7832
@akimanaalice7832 2 года назад
Ubarikiwe sana utukumbuke na sisi utuombeye tufunguliwe na kupona maladhi
@dativadaud4300
@dativadaud4300 2 года назад
Mungu atabariki ili kabisa maana ni watoaji
@NeemaMaiki
@NeemaMaiki День назад
Hakika Mungu ni mwema maana Mungu ndio mtendaa miujiza
@blackangel3141
@blackangel3141 2 года назад
She is a superwoman she made me cry 😭😢😩
@rosebumi6780
@rosebumi6780 2 года назад
Barikiwa Askofu sumbe..naitwa Selina Bumi kutoka Redio Okoa fm
@Aminaamina-cg8sf
@Aminaamina-cg8sf 2 года назад
Aki machozi I Atoka yenyewe bila kuhamulishwa Mungu yumwema daima
@juliettootu4798
@juliettootu4798 2 года назад
Adonai I worship you , son of God you are so good , almighty FATHER hello be thy name 🙏,😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@OnesmoEmmanuel-xr2rf
@OnesmoEmmanuel-xr2rf Месяц назад
MUNGU akubariki sana mchungaji machozi yamenitoka
@dieudonnekayobera933
@dieudonnekayobera933 3 года назад
From Burundi! Yesu ni Mwema sana! Injili ya kweli kabisa . Na Mali zetu zitumike kwa kuwaokowa Mataifa. Halelua
@AaAa-vj5id
@AaAa-vj5id 3 года назад
Wakwetu mungu amaweza
@renisterhyera2552
@renisterhyera2552 2 года назад
Bwana Yesu asifiwe namshukuru mwenyez mungu Kwa ajili ya mama huyu ,Mwenyez Mungu jidhihirishe kwake ,mpe hitaji la moyo wake
@francinelumuna8470
@francinelumuna8470 2 года назад
Hakuna kinachokushinda ee mungu wa wana waisrael naamini namimi niko kati ya historia yangu 🙏🙏🙏
@Iragibarune1.
@Iragibarune1. 2 года назад
Bwana yesu asifiwe Ilakuna mda mnatukosea sana nasisi walio inje kama mimi nimechukua number kila nikipiga haipokelewi nikituma ujumbe haujibiwi Tafazali nawahomba m’ we mnatupokelea sim zeta tunawaitaji watumishi wa mungu
@user-lg3lq8kb4k
@user-lg3lq8kb4k 6 дней назад
Mungu mfungulie uyu mama miujiza adiyye mwenyewe ashangaee
@leawamukota9217
@leawamukota9217 2 года назад
Mungu Akubariki muchungaji hata nami uniombee tu
@DellisLema
@DellisLema 21 день назад
Acheni Mungu aitwe Mungu congratulations sana mtumishi
@scholamatogolo3493
@scholamatogolo3493 2 года назад
Mtumishi Mungu akubariki ... Angekuwa mwingine angesema lete sadaka ya kufunguriwa kutoka kwenye vifungo au sadaka ya upatanisho lkn wewe uko vzr umetunza mwili wa kristo 🙏
@Mariam-lu1mg
@Mariam-lu1mg 5 дней назад
Nimelia kwa uchungu mungu yu pamoja nawewe mama
@mdmonyongo4795
@mdmonyongo4795 2 года назад
Kwa yesu akuna linalomshinda kamwe, Amen Amen
@joycembise9793
@joycembise9793 3 года назад
Mungu awabariki askofu Mkuu na kanisa hakika nimemwona Mungu wa kweli
@NizerMgombele-xn5hb
@NizerMgombele-xn5hb Месяц назад
Ee mungu niguse mimi unikomboe na kila nitego ya adui naomba uniinue kila mahali
@user-en2gd2zg2o
@user-en2gd2zg2o 4 дня назад
Mungu Asikie kilio chak dada ang kwkwl xx wanawake tunapitia mengi lakn tumwamn mungu atatusaidia
@LekisosionNangenoi-dz3kq
@LekisosionNangenoi-dz3kq 6 дней назад
Nakataa hiyo roho la farka kwa mimi na mke wangu jina La Yesu litawale kwa maisha yetu in Jesus name
@AikaKesi
@AikaKesi 8 дней назад
Mungu afanye njia kwenye family's hii
@selmasibai5075
@selmasibai5075 2 года назад
Mchunganji mimi nimuislam lakin ubarikiwe
@PendoMatemba
@PendoMatemba 23 дня назад
🥰🥰🥰
@HamisAlly-g9x
@HamisAlly-g9x 3 дня назад
Umetisha
@rehemamhiche6798
@rehemamhiche6798 2 года назад
Ameonyesha upendo wa kweli. Tuige mfano huu kwani kukatatamaa kwaajili ya tuwapendao nisawa na kujiachia maumivu. Huu ndiyo upendo
@annastevensteven9515
@annastevensteven9515 2 года назад
Pole dada mungu mkubwa nimeliy jamani😭😭😭😭
@johnmsaki7920
@johnmsaki7920 2 года назад
MUNGU amfunge mumewe arudi amwezeshe ili mumewe arudi walee familia katika jina la YESU
@user-oy8gk5fj2e
@user-oy8gk5fj2e 26 дней назад
Ubarikiwe baba mungu alutuze
@FLORAMWANSULE
@FLORAMWANSULE 26 дней назад
Mungu ni mwema sn c kama binadamu anavyotuwazia
@LekisosionNangenoi-dz3kq
@LekisosionNangenoi-dz3kq 6 дней назад
Ubarikiwe sana Bishop Sumbe
@naikekangele7117
@naikekangele7117 24 дня назад
Kwa kweli umeutwa kwa ajili ya mapoma MUNGU akutunze mno umekuwa baraka ktk HUDUMA
@officiallee1413
@officiallee1413 2 года назад
This made me cry jamani😭
@GahembaMasudi
@GahembaMasudi 12 дней назад
Mungu akubaliki mtumishi wa mungu
@ruthmbula3564
@ruthmbula3564 3 года назад
Kutoka KENYA....hakika mungu ni mkuu....Amina
@agnesnafuna8455
@agnesnafuna8455 2 года назад
Kutoka Kenya... Na Mungu apewe sifa.... Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
@user-st6ve9ce5k
@user-st6ve9ce5k 11 дней назад
Amen 🙏 mungu akutunze nimelia sana
@naimarishedy1523
@naimarishedy1523 24 дня назад
Mungu akubariki Pastor kwa kazi Nzuri ya mungu
@wemakanka3171
@wemakanka3171 5 дней назад
Bi shop Mungu akubariki sana
@HappinessAhia-ey1lq
@HappinessAhia-ey1lq 10 часов назад
Ai, nimelia sana jamani. Ee Mungu Linda ndoa zetu.
@dommykwizera129
@dommykwizera129 2 года назад
YESU ni Bwana utukufu umurudiye
@RoseMorgani
@RoseMorgani 26 дней назад
Mungu akubariki mchungaji
@gabrielpott3325
@gabrielpott3325 2 года назад
🙏🙏🙏🙏hakika mw MUNGU nimwema daima.
@dosialugonda2736
@dosialugonda2736 24 дня назад
Barikiwa Mtumishi was Mungu
@christinakomba689
@christinakomba689 27 дней назад
Baba Mungu akubariki
@MerryKingu
@MerryKingu 12 дней назад
Mungu akutie nguv dada siku zote za maish yako pole Sana kwa yaliyokukut binadam wana roh mbaya Sana endelea kumwomba mungu ipo sk mume wako atarud mlee watoto
@user-qb7ej8cp5y
@user-qb7ej8cp5y 26 дней назад
Mungu akutunze mama
@ChristianIssangya
@ChristianIssangya 20 дней назад
Amen pastor mungu akubaliki
@manisobblowi8894
@manisobblowi8894 3 года назад
Asante Mungu kwa uweza ako,Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu
@HappyCompass-le6ki
@HappyCompass-le6ki 24 дня назад
Amen 🙏🙏🙏 mungu ametenda makuu
@veronicasanga2126
@veronicasanga2126 2 года назад
Na iwe hivyo kwa Jina LA Yesu
@violetkerubo7878
@violetkerubo7878 3 года назад
Pole dada may God protect you 🙏 Hadi nimelia aki pole sana
@lillysoi8031
@lillysoi8031 2 года назад
God bless you man of God.May God bless your ministry.may God help us to learn from you.i love this ministry.
@user-np4nv7cv3k
@user-np4nv7cv3k 18 дней назад
MUNGU akutie nguvu dada yangu
@MuyamaBetwa
@MuyamaBetwa Месяц назад
Amina Mungu ni mwema
@naghenjwaely-muzze3301
@naghenjwaely-muzze3301 2 года назад
Hiiii imenitoa machozi kweliii
@DanielMugira
@DanielMugira 23 дня назад
Bwana asifiwe na mm pastor uniombee unifungue nipate wangu
@hellenodongo
@hellenodongo 22 дня назад
Asante mchuganji mungu azidi kukubarika ufuguwe wengi kwa jina la yesu kristo
@HopeFinder-qq9hr
@HopeFinder-qq9hr 24 дня назад
Ooh my God have mercy upon this family
@Iragibarune1.
@Iragibarune1. 2 года назад
😭😭😭😭😭😭😭😭nime lia kwa uchungum sana huyu dada anapitia magum kama mimi
@bernardbernard674
@bernardbernard674 2 года назад
Mungu aibarki familia hii na Mchungaji huyu.
@KibandaakiliSoka
@KibandaakiliSoka 16 дней назад
Mungu ni mwema sana
@user-rz2nt7bj5l
@user-rz2nt7bj5l 3 дня назад
Ubarikiwe sana mchungaji
@neemaruben5427
@neemaruben5427 2 года назад
Nimeumia nimejikuta nalia mm jmn....wanaume wa skuiz mmekubwa na nini jmn😭😭😭😭😭😭😭
@BukuruBeatrice-z4f
@BukuruBeatrice-z4f 23 дня назад
Yesu naomba namimi unitemberee ndoayangu
@user-np4nv7cv3k
@user-np4nv7cv3k 18 дней назад
Amina mchungaji MUNGU akusaidie,azidi kukutunza
Далее
LAANA YA KUJITAKIA MWENYEWE
27:51
Просмотров 2,6 тыс.
ФОКУС С БАНАНОМ🍌
00:32
Просмотров 128 тыс.
MAMA WA KAMBO
13:29
Просмотров 941 тыс.
KIFO CHA YESU.. BY Baraka choir  .
9:41
Просмотров 3,8 тыс.
Watuhumiwa wa Uchawi waibua Kasheshe kwenye Mkutano
10:31
ALIFANYA MAPENZI NA NGOMBE NA KUPATA MIMBA
21:34
Просмотров 1,5 млн
MKE NA MCHEPUKO WA KUTANA Part 2
9:56
Просмотров 252 тыс.
Maombi, Maombezi na kufunguliwa 10-03-2019
1:06:10
Просмотров 8 тыс.