Тёмный

ASILI YA MTU MWEUSI KATIKA BIBLIA. Mtu mweusi aitokea wapi? Na Mwalimu Vincent Mwakisyala. 

Hazina ya Kanisa
Подписаться 17 тыс.
Просмотров 126 тыс.
50% 1

Mafundisho ya neno la Mungu, Historia mbalimbali, na mpangilio wa masomo ya kiroho mahali hapa ni sahihi sana kwako. Subscribe chaneli,
mwalimu Vincent Mwakisyala
+255 753114222
intagram Vincentmwakisyala
Hazinayakanisa
Facebook Vincent Mwakisyala Vincent
Hazina ya Kanisa

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 156   
@African511
@African511 3 месяца назад
Napenda sana mwafrica kama wewe anavyoelezea historia ya Alkabulan
@lampadshigonko3006
@lampadshigonko3006 2 месяца назад
mtafute "imani mcimbwa"
@JoachimMagori-vm9pg
@JoachimMagori-vm9pg 3 месяца назад
Ham hakulaaniwa kwa sababu Mungu alikwisha mbariki... Hivyo Canaan ndiye alikaaniwa...
@kazejustin5535
@kazejustin5535 3 месяца назад
Soma vizuri. Hamu hakulainiwa kamwe.
@shedrackgeorge1980
@shedrackgeorge1980 2 месяца назад
Fikra za watu weusi ziko chini sana kujitambua, ni kwa sababu ya kisoma kitabu kimoja tu hiyo Biblia ya wazungu, Hizo ni story za kusadikika, zinazomfanya Mwafrika asijitambue na kupambana na Uafrica wake, Its a time to wake up, Mwafrica ni lazima akubali kufungua Ubongo wake, Abali za kuchukua sadaka kwa maskini ni ukatili wa wazungu kuhakikisha Mwafrica anakua masikini mpaka mwisho
@ElardMlawa
@ElardMlawa 3 месяца назад
Ninacho jua ni kua adamu ndiye binabamu wa kwanza kuwepo duniani.siwez kuipinga biblia
@josephkapondo1213
@josephkapondo1213 3 месяца назад
nimekuelewa vizuri anaye sema hadam hakuna binadam wa kwanza aseme nani alikuwa wa kwanza
@user-cg1vd5jr8t
@user-cg1vd5jr8t 3 месяца назад
Nyani
@NyarwayaAugustin
@NyarwayaAugustin 3 месяца назад
Huyu nimuwongo sana hatukuraniwa
@pendochalo
@pendochalo 3 месяца назад
Amina mtumish wa mungu ubalikiwe
@baloz858
@baloz858 3 месяца назад
Sawa mkuu tuendelee nakujifunza.
@lordorcas9344
@lordorcas9344 3 месяца назад
I le ni Wongo mukubwa y’a awa WAZUNGU Sisi Tu na Pendewa na Mungu ❤
@FatumaMombo
@FatumaMombo 2 месяца назад
Hahahaaaa umenichekesha kweli yaani wewe umeuwa na kweli kwenye corona tulisimama na Mungu na tukapona
@HaruniGhasper
@HaruniGhasper 3 месяца назад
Amen!! Mwalimu.
@PrinceRubeya
@PrinceRubeya 2 месяца назад
Kuna mambo hujayaweka vizuri
@anordtunduru
@anordtunduru 3 месяца назад
Kwaakili yakawaidatu wew ukilaniwa nailelana usiombe msama ukafa iyo Lana itaenda kwa watot wote chamsingi wazungu niwaongo achanavitabu vyao ludikwa destulizako mwabudu myngu
@lordorcas9344
@lordorcas9344 3 месяца назад
Mimi si Na na Chirac niée Mweusi , niée Muzungu kutu moja mi na Juwa ni Bwana Yesu Christu iko Kari I kufika ku tu pdleka mbinguni That’s All
@stephenkimanga2007
@stephenkimanga2007 3 месяца назад
Hongera mwalimu
@josephkapondo1213
@josephkapondo1213 3 месяца назад
ubarikiwe mwalim
@mutakoalphonsine3240
@mutakoalphonsine3240 2 месяца назад
Na ijawaje tukawa na rangi ya ngozi tofauti na ndugu wengine wa huyo Nuhu?
@BernardSindano
@BernardSindano 2 месяца назад
Mbele Ham alaaniwe na babaye, alikuwa muzungu ama mweusi. Hiyo ndio swali langu.
@NabilKhalifa-b8d
@NabilKhalifa-b8d 3 месяца назад
AMBU TUMIENI AKILIZENU KIDOGO UKIONA UCHI WA BABA YAKO NA MAMA YAKO UNAZANI NI UPI UNA WEZA UKAPATA LANA KAMA SIO MAMA KWAAKILI YANGU HIVYO VIZALI ULIZO SEMA HAPO NI BIBI ZETU NA SIO BABU EMBU ELEWA KWANZA UNACHO KIONGEE
@Mickosalum
@Mickosalum Месяц назад
Kwanini tusiseme watu weupe walitoka wapi?
@user-xi7wh3dr4o
@user-xi7wh3dr4o День назад
Tatizo mnasema Laana ila Hamjui maana ya Laana Africa ni neno la kiarabu فرق (Faraka) Alafu Kuna jambo mnachanganya unaposema Binadamu unajua maana yake Adam siyo Bina Adamu Bali ni mtu Bina Adamu ni watoto wake Alafu jifunze maana ya Nene Ustaarabu
@sarahkingunza1516
@sarahkingunza1516 2 месяца назад
Soma vzr kitabu cha mw0anzo Mungu aliposema na tuumbe mtu utajua Adamu ni nani
@FrankBella-qe4tj
@FrankBella-qe4tj Месяц назад
Wewe unaesema binadamu wakwanza sio adamu ,inabidi upimwe ubongo
@Sheba4651
@Sheba4651 27 дней назад
Africa ipo tangu na zama, Africa haioweza kua yenye laana, wala watu wake. Africa ushakua na Nabii, Musa na Haruni, Yusuf aliishi Africa, Misri. Ulaya na America labda itakua ndio kwenye laana, wakoloni madhalimu.
@Onesmoboyz
@Onesmoboyz 2 месяца назад
🎉Amina
@daltonjohnmumberekimeme4890
@daltonjohnmumberekimeme4890 2 месяца назад
Wa afrika niwatoto ya shemu
@JaphetBuhungiro
@JaphetBuhungiro 3 месяца назад
Namimi siamini kwamba mtu oweusi alitokana na nyani!uongomtupu.
@januarykaganga4212
@januarykaganga4212 3 месяца назад
Mtumishi wa Mungu na mpakwa mafuta wa Bwana. Nimeona mafundisho yako mengi ambayo ni nyeti sana. Mungu akubariki sana kwa mafunuo haya makubwa mno uliyonayo ambayo ni baraka kubwa sana kwa watu wengi. Hakika una hazina kubwa sana kwa ajili ya kazi hiki. Mungu na azidi kukuinua ili uendelee kufanyika baraka kwa watu wengi wanaokufuatilia na kupata elimu hii ambayo ni adimu sana
@markojames7855
@markojames7855 3 месяца назад
Manefili walitoka wapi
@marwawambura2880
@marwawambura2880 Месяц назад
Mheshimiwa wewe ni muongo , soma vizuri Biblia.
@MrPeter.M
@MrPeter.M Месяц назад
Swali langu ni Hili, ivi mke wa Kaini katokawapi?
@peterbalyagati7834
@peterbalyagati7834 Месяц назад
Acha uongo, soma hiatoria ya africa ujue jinsi tulivyokuwa tunawatumikisha wazungu
@cyprianboniphace-oz5lw
@cyprianboniphace-oz5lw 2 месяца назад
Zamani laana zilikuwa zinashika kikweli kweli,siku hizi ukimwambia mtu utaokota makopo,makopo nayo dili.
@Mobigogeita
@Mobigogeita 2 месяца назад
Happy birthday
@jameskazimili1849
@jameskazimili1849 2 месяца назад
Haha
@stanleymhozi7590
@stanleymhozi7590 2 месяца назад
Asante
@PhilipoMichael-s5f
@PhilipoMichael-s5f 17 дней назад
Je mtu mweusi siyo binadamu au hakuubwa Na mungu?
@adamkhalfani-sy9bn
@adamkhalfani-sy9bn 3 месяца назад
Mh sjamuelewa kwakweli
@JosephWanje-ng2ry
@JosephWanje-ng2ry 2 месяца назад
Inamana b4 Adamu kulikueko wanadamu wngine? Sio kwli
@JosephWanje-ng2ry
@JosephWanje-ng2ry 2 месяца назад
Adamu ndiye binadamu wa kwanza Duniani: sipingani nalo tuache kupotoshani
@StephanoMoses
@StephanoMoses 3 месяца назад
Mzungu alitudanyanya kwamba tumetokana na nyani . Na alifanya hivyo maana ukishajidharau huwez kujikomboa ki fikra na utatawaliwa kiurahisi sana
@mosirlow8296
@mosirlow8296 24 дня назад
itakuaje imelaaniwa na imejaa rutuba kibao madini acha ufala
@Adjustushaule
@Adjustushaule 2 месяца назад
Ubarikiwe mtumishi 6:47
@christianisdory
@christianisdory 2 месяца назад
Ni kwann Adam alikuwa mpweke?
@Felixogfrank
@Felixogfrank Месяц назад
Vigumu KL kuelewa
@juvenalMuyomba
@juvenalMuyomba 9 дней назад
Sikweli mbona Haïti n'a Jamaica n'a Martinique niweusi wametoka Afrika
@SimeonCharles-j5x
@SimeonCharles-j5x 3 месяца назад
Sijui story za uhongo mnazitoa wapi kila mtu anakuja na yake
@hamisramadhan-eb3ie
@hamisramadhan-eb3ie Месяц назад
Huu niuwongo hisitolia yakweli huwezi kuipata kwenye vitabu viadini
@SagangaKapaya
@SagangaKapaya 3 месяца назад
Mtu wa kwanza alikuwa ni mwenye rangi. Yaani mweusi, wazungu hawakuwa watu wa asili. Wazungu ni Albino, ni tabaka ya watu ambao waliibuka baadae kwa sababu ya u-albino, ndiyo maana kuna aina 4 tu ya nywele za wazungu na kuna aina 4 tu ya nywele za albino. Rangi hizo ni Nyeusi, Nyeupe, Nyekundu, Njano. kwa nini wana maumbo tofauti na watu weusi wakati wametokana na watu weusi? Ni kwa sababu ya kuzaana wao kwa wao, hiyo ililetelezea wai kuwa na maumbo ya aina yao. Albino wa kwanza alikuwa ni Nuhu, kutoka kwake walitoka Shemu (maji ya kunde=mweusi), Yafeti (albino), Ham (mweusi tii). Waarabu wa asili walikuwa ni weusi, wayahudi wa kale walikuwa weusi. Waarabu weupe wa leo ni aina ya damu mchanganyiko (mixed race) kati ya wazungu na weusi. Kama ambavyo leo wabrazili wengi kama akina ronaldo, ronaldinho ambao ni damu mcanhayinko. Kwa hiyo Yesu alikuwa ni mweusi na watu wa kale walikuwa ni weusi. Hata Mungu rangi yake ni kama ya mtu mweusi soma Ufunuo 4:3.
@mwlvincentmwakisyala
@mwlvincentmwakisyala 3 месяца назад
Hili ndilo andiko ulilolitaja hapa kama ushahidi wa ukichokiandika Ufunuo wa Yohana 4:3 na yeye aliyeketi alionekana mithili ya jiwe la yaspi na akiki, na upinde wa mvua ulikizunguka kile kiti cha enzi, ukionekana mithili ya zumaridi. Jiwe la Yaspi kwa Kingereza tunaliita Jasper stone ambalo lina muonekano wa rangi nyekundu. Ningekuwekea picha kama kungekuwa na option hiyo. Jiwe la Akili lililotajwa hapo kwa Kingereza tunaliita sardine stone nalo lina rangi nyekundu. Zumaridi nayo ni madini kwa Kingereza tunayaita emerald ambayo rangi yaki ni kijani inayowaka. Sasa basi hiyo rangi ya Mungu mweusi wewe umeitoa wapi? Kiufupi umeandika fact nzr ila hazipo katika maandiko so ni za kufikirika. Andiko ulilolitoa tunaona mwenekano wa Mungu kwa namna alivyoona Yohana ilikuwa ni kama elewa neno kama akafananisha na madini Mekundu.
@SagangaKapaya
@SagangaKapaya 3 месяца назад
@@mwlvincentmwakisyala neno rangi nyeusi ni relative. Hoja ya rangi Nyeusi au nyeupe ya watu ni ya juzi takribani miaka 300 iliyopita. Kisema Nyeusi inamaana pana sana. Ndani ya watu wanaoitwa weusi ukiwaangalia kwa kuona utaina ni kama wekundu wengine ni kama weusi, kwa hiyo ndo maana baadhi ya watu wanatajwa kuwa ni maji ya kunde n.k. kuna watu weusi amabo ni wekundu. Kwa hiyo hoja yako ni nyepesi sana haina mashiko.
@mwlvincentmwakisyala
@mwlvincentmwakisyala 3 месяца назад
@@SagangaKapaya ndo maana maandiko hayajataja rangi ila yametaja madini ili sisi tupate picha ya Kilichoandikwa. so kuna wakati ilipaswa kuwe na picha lakini picha tunazipata katika mifano, amesem ni kama mawe ya Yaspi na akiki na rangi ya haya mawe si meusi kwa nini unalazimisha yawe meusi? Je unapata faida gani kubalisha ukweli wa Kilichoandikwa ili tu kulinda hoja yako? Kuna sehemu Biblia inataja rangi za watu kwa uhakika kabisa mfano imemtaja Daudi kuwa mwekundu, so kwa hapa mwandishi anafananisha alichokiona na madini yenye rangi nyekundu. So usipindishe hili andiko umelitaja wewe na mimi nimeliweka sawa so tuache vile andiko liliandikwa pasipo kuchakachua. Au unaweza kutoa hoja pasipo kutoa ushahidi wa maandiko kama hujayaju vyema bado tutaheshimu hoja hiyo kama mtazamo binafsi na si ukweli wa kimaandiko. Ukishatoa tu andiko basi ni lazima hoja yako itafsiriwe kwa hilo andiko na hapo hoja yako na andiko ni vitu tofauti, andiko halijaitetea hoja yako.
@YusufMubuya
@YusufMubuya 3 месяца назад
ALiFIKA@
@user-io1tp6nz8m
@user-io1tp6nz8m Месяц назад
❤❤❤❤
@fasanitztiri5371
@fasanitztiri5371 3 месяца назад
Africa maanake mkaaa mkaa manaake weusi
@josephkidima-nc3di
@josephkidima-nc3di 3 месяца назад
Mafundisho ya uongo yaliandikwa na wazungu ili watudhiofishe kisaikolojia
@mwlvincentmwakisyala
@mwlvincentmwakisyala 3 месяца назад
Unaweza ukathibitisha hoja yako kwa hoja zenye mashiko.
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 3 месяца назад
Adam ni mmoja tu, aliyetolewa mwanamke ubavuni mwake, naye alikuwa mtu mweusi. Kama angekuwa mweupe weusi tusinge kuwepo. Yeye ndiye aliyefinyangwa kutokana na udongo mweusi wa mfinyanzi kusha akahuwishwa kwa kupuliziwa roho. Kama alivyo puliziwa Mariam kwenye titi akapatikana Nabii Isa ( Yesu).
@CharlesSimkoma
@CharlesSimkoma 2 месяца назад
Na angekuwa mweusi weupe wasingekuwapo
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 2 месяца назад
@@CharlesSimkoma Charles ukifuka kuku mweupe. Hatozaliwa mweusi, ila ukifuga kuku mweusi Watazaliwa weupe, weusi, wekundu, wenye madoa rangi mchanganyiko hivyo. Mimi ni Mwalimu.
@Adjustushaule
@Adjustushaule 2 месяца назад
Samahani mr, mafuru, huyo alye kuwa before ya adamu ni nani?😅
@SalomonK-ic6mw
@SalomonK-ic6mw 2 месяца назад
Nuhu alilaani uzao wa Hamu, jinsi alivyo tamka alaaniwe Kanani hapo aliliaani uzao wa Hamu wote.
@jonasmrema8550
@jonasmrema8550 2 месяца назад
Moja WA vizazi vya Humu NI waafrica na watu wa asia
@divaimafuru6844
@divaimafuru6844 3 месяца назад
Adam hakuwa binadam wa kwanza duniani,kulikua na binadam wengine before,fatiliavitabu mbalimbali zaidi ya biblia
@mwlvincentmwakisyala
@mwlvincentmwakisyala 3 месяца назад
Tumevituatilia hivyo vitabu mbalimbali na hatukurupuki labda Unamaanisha tuviamini vitabu mbalimbali zaidi ya Biblia?
@GorbaChev-yn2tb
@GorbaChev-yn2tb 3 месяца назад
Acha uongo wako wewe
@divaimafuru6844
@divaimafuru6844 3 месяца назад
@@GorbaChev-yn2tb pole
@GorbaChev-yn2tb
@GorbaChev-yn2tb 3 месяца назад
Pole ww unaejitungia maandiko yako mwenyewe
@Mbora255
@Mbora255 3 месяца назад
@@divaimafuru6844 mwishoni Yesu Kristo alisema patakuwepo na maarifa mengi.✅ Ila evidence ipo. Adamu na Hawa ndo watu wa kwanza kuumbwa. Wakawekwa mashariki mwa Edeni. Ambapo mnapajua ni wap East Africa
@joely58
@joely58 2 месяца назад
Africanosi
@DeogratiusmalimaBurilo-wc2dz
@DeogratiusmalimaBurilo-wc2dz 3 месяца назад
Kama laana ya NUHU kwa HAM haituhusu, Vipi laana ya ADAM ilituuhukimu hadi Leo?
@mwlvincentmwakisyala
@mwlvincentmwakisyala 3 месяца назад
Laana ya Adamu ni kwa watu wote, ni dunia yote. Na hiyo inaoondolewa kupitia Kristo Yesu.
@Sheba4651
@Sheba4651 27 дней назад
​@@mwlvincentmwakisyalaKwa hivyo Yesu alifanywa laana? Mwenye laana huwa wa Jehanam ama mbinguni?
@user-gq2ji2pg1i
@user-gq2ji2pg1i 3 месяца назад
wewe acha kuwadanganya wasio juwa kwazatokalini nuhu akatowa laana laana hatowi mwanadamu anatowa Mungu
@LucasLaizer-if2du
@LucasLaizer-if2du Месяц назад
Acha ushetani wako ww kwani albino ametoka wapi kama sio mungu ametuumba wote
@TheSabbathcalChurchKibaha
@TheSabbathcalChurchKibaha Месяц назад
MY WORD, I, YOUR HOLY GOD, LET IT REACH HUMANS EVERYWHERE IN THE WORLD All human beings, the time has reached. There was silence, but now the time has reached, a time to be open. The HOLY GOD who is up in HEAVEN is speaking in the world through his servant for many years. Don’t stay with your questions of every kind. People you are asking, what is happening? We don’t have a place to ask. There is His servant who speaks with him and has all the answers from the King of HEAVEN, the HOLY GOD. Don’t keep silent while disasters are happening in the world. There is His Seer who speaks with Him and will tell us why all these things are happening. Well, there are still many things that will happen, brought by the HOLY GOD. Don’t stay knowing that there is no prophet to ask. There is His Seer who speaks with the living HOLY GOD up in HEAVEN. Let us go and ask what is happening so that the living HOLY GOD up in HEAVEN can answer us. He speaks with the Seer, who has already been prophesied to communicate with the living HOLY GOD in HEAVEN. He has received the Good News of the Kingdom of HEAVEN, he is African who started in 1988. The Good News has arrived in Tanzania; there is a Seer who receives hymns from HEAVEN, sung by the ANGELS in HEAVEN and sung here on earth. He prays for people with various problems and casts out demons. It is necessary for everyone to come and know what the HOLY GOD is saying. location: The Sabbatical Church-Tanzania-Coast Region (Pwani)-Kibaha District -Misugusugu Ward-Vitendo Street. No. Elider’s Name Contacts 1 Adamson Mwandalima +255752092911 2 Aloyce Msilikale +255714404922 3 Peter Missana +255755536419 4 Paul Chibuga +255672562255 5 Benjamini Lawi +255784679613 6 Simeoni Joeli +255628801127 7 Daniel Kashushu +255768803430
@husha6372
@husha6372 3 месяца назад
Uislamu ndio dini iliondowa ukabila
@j.bjacobbasubi2187
@j.bjacobbasubi2187 3 месяца назад
Wale ni wauwaji sana tena hawaupendo hata kidogo😢
@cosmasmwaitete5004
@cosmasmwaitete5004 3 месяца назад
Hahahaaaa pole sana na uislamu wako
@cosmasmwaitete5004
@cosmasmwaitete5004 3 месяца назад
Usikaririshwe funguka kimawazo na mtazamo
@Sheba4651
@Sheba4651 27 дней назад
​@@j.bjacobbasubi2187Wale waliompiga mungu wenu ndio walikuwa na upendo?
@VascoKasambala-wb3ep
@VascoKasambala-wb3ep 3 месяца назад
UPO VIZURI
@Kulwaseleman-kv3lr
@Kulwaseleman-kv3lr 2 месяца назад
Kwenda
@user-je9nv2mo1l
@user-je9nv2mo1l 2 месяца назад
Biblia haiwezi kukupa historia ya mwafrika, ungefanya reference kwenye vitabu vingine vya kale,kwakuwa biblia sio kitabu cha kale kuliko vingine
@mwlvincentmwakisyala
@mwlvincentmwakisyala 2 месяца назад
Kitabu cha kale kuliko vingine ni vipi? Na viliandikwa mwaka gani? Na kiliandikwa kwa lugha ipi?
@Sheba4651
@Sheba4651 27 дней назад
​@@mwlvincentmwakisyalaVitabu vya kale cha kwanza ni Zaburi, Torat, na Injili, Hivyo vitabu vyote vimekua chakachua, ndio wajanja wakamalizia na kuunda bible, humo ndio habari zake sadiki ukipenda. Kwenye Quran Adam aliumbwa kwa udongo, na si mchanga, udongo ndio una asili ya weusi, kwa hivyo mtu wa kwanza alikua mweusi, ukweli usiopendwa kusikiwa na watu weupe.
@johnkitwima6963
@johnkitwima6963 3 месяца назад
Je, hii story imeandikwa na mwafrika au unatupa vitabu vilivyoandikwa na wazungu wakajipendelea..? Wazungu na Waafrika ni nani mashetani zaidi au wanaofanya ushenzi duniani..?
@mwlvincentmwakisyala
@mwlvincentmwakisyala 3 месяца назад
Hakuna kitabu katika Biblia kimeandikwa na mzungu. Afu hii video hakuna sehemu inapoelezea ushetani wala ushenzi wa watu kama ulivyoandika bali video inaelezea asili zao, so umeitazama video kwa emotions zako binafsi.
@gracekiondo2541
@gracekiondo2541 2 месяца назад
Je na Abyssinia?
@mwlvincentmwakisyala
@mwlvincentmwakisyala 2 месяца назад
abyssinia ni jina la Ethiopia ambalo lilitumiwa zaidi wa waarabu wa kale
@DiaflachristUbangombongo
@DiaflachristUbangombongo 3 месяца назад
Hapana haviezekani
@SawasawaSamuel-kj7op
@SawasawaSamuel-kj7op 3 месяца назад
SASA hamu kalaaniwa je na ni mwanaye ndiye aliye laaniwa?
@AquileraKaria
@AquileraKaria 3 месяца назад
Mbona Kuna wahindi weusi?
@julius795841
@julius795841 3 месяца назад
Super mkt
@jumajohnmwilelo7453
@jumajohnmwilelo7453 3 месяца назад
ADAMU na NUHU , WALIKUWA WA RANGI GANI?
@fridalyanguka1733
@fridalyanguka1733 3 месяца назад
Afrika ni bara na zamani iliitwa WASE. Hivyo Wase Mutonga - Afrika ya kati, Wase jedu- Afrika Mashariki, Wase pongo - Afrika ya Kaskazini. Na hao wajukuu wa Nuhu na Nuhu kumlaani Kaanani amefanya nini kwani ndiye aliyeona uchi wa baba yake kwa nini asimlani Hamu ambaye ametenda kosa? Hapo hakuna ukweli ktk hiyo biblia juu ya hiyo laana.
@roseMkonyi-bz1rk
@roseMkonyi-bz1rk 3 месяца назад
Hamu nibaba wa kanani ile liana ilikua ya hamu na kizazi chake lakini weusi sio laana
@Mbora255
@Mbora255 3 месяца назад
Sasa kama Shem alikaa middle east inamaanisha kanaan ailkaa sub saharan African nations
@mwlvincentmwakisyala
@mwlvincentmwakisyala 3 месяца назад
Hamu siyo Kanaan, na tunapozungumzia Hamu, Shemu na Yafeth aimaanishi wao ndiyo waliyoyachagua hayo maeneo bali ni uzao wao mara baada ya machafuko Babeli yaliyotokana na Nimrodi. Walipofeli mgawanyiko wa jamii ukaanzia hapo. Ila tunasema tu, Hamu alichagua Afrika tunamaana katika uzao wake isipokuwa Kaanani pekee aliamua kubaki Asia.
@Mbora255
@Mbora255 3 месяца назад
@@mwlvincentmwakisyala ndio lakini Hamu ndio baba wa kanaaani ambapo kwenye biblia yafeti walikaa sehemu ya ulaya shemu akakaa sehemu ya mashariki ya kati na Hamu akakaa maeneo ya Afrika ambapo Hamu watoto wake ndo wakachukua hii sehemu ya Africa. Ndo maana Abrahamu alipotoka uru ya wakaldayo ambapo ni mashariki ya kati alipanda huku juu kwetu.( nikisema kupanda nadhani unafahamu namaanisha nn.)
@Mbora255
@Mbora255 3 месяца назад
@@mwlvincentmwakisyala ndio maana ukisoma Mwanzo 13:1-13. Unaona Abramu alipanda kutoka Misri yeye na mkewe na kila alichokuwa nacho na Lutu pamoja naye mpaka KUSINI(South). Na ninajua hapo utasema ni sehemu lakini hamna sehemu inaitwa SOUTH(KUSINI). Hiyo ni Mungu kwa kupitia mtumishi wake Musa aliweka ili akuonyeshe Abramu alovyotoka Misri alienda wap kwa kupitia direction(Kaskazini,Kusini,Mashariki,Magharibi.) na inaleta maana kwasababu mto nile tunajua kwamba unatokea uku Afrika ya Mashariki (ziwa Victoria). Kwelekea Misri. Kwaio tayar ushafahamu Abramu alikaa wap.
@ibrahimjuma9709
@ibrahimjuma9709 Месяц назад
Mipango ya mwenyezi mungu imenyooka siyo ya kuungaunga kama weee iyo elimu umeitowa wapi ata niki uliza swali unijibu uje na walimu wako wote dunia ina umri wa miaka mingapi ujui jibu unaelimi ya kweli wewe ok nikupe swali raisi shetani anatimiza miaka mingapi?😂😂😂kalale wewe
@MpembaHalisi
@MpembaHalisi 3 месяца назад
Hakuna mtu anaeitwa Nuhu uo ni uongo wa wakoloni walikuja kwa biashara zao nyie munapumbazwa tu mpaka leo
@MpembaHalisi
@MpembaHalisi 3 месяца назад
Pia hu ni uongo mana hata wewe unatumia vitabu vya wakoloni Africa IPO hata hao wakoloni waliokuja na vitabu hawajaja!
@EmanuelVitalis-s3x
@EmanuelVitalis-s3x 7 дней назад
😂
Далее
Как подписать? 😂 #shorts
00:10
Просмотров 649 тыс.
Decompress small game, have time to play it!
00:35
JIFUNZE KUKAA KIMYA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
12:39
Просмотров 500 тыс.