#SYLASS TV ONLINE WASILIANA NASI KWA +255742692079 UNAWEZA KUTUMA SADAKA YAKO KWA M_PESA +255742692079 YOU CAN SEND YOUR LOVE OFFERING TO THESE NUMBERS M_PESA +255742692079
Hii ndio injiri ya kutukomboa hizi siku za mwisho za unabii wamwisho.Huyu Mtumishi wa Mungu nilianza kumsikiliza miaka mingi tangu nikiwa anamiaka 10 mwaka 1982 mpaka sasanibamiaka 50 hii injiri ndiyo yakubadilisha watu tumwende Mungu.Tumtole Mungu.( Asante Mtumishi wa Mungu unayerusha hii injiri)
Ndugu Sylass Tv, nashauri unapoweka mahubiri basi jitahidi kuweka full usikatekate vipande maana inaondoa hitimisho la SOMO lililokusudiwa. By the way unafanya kazi njema Mungu akubariki
habari mbona videos zake nyingi mnazikata kata kuna kitu tunapoteza, pia naomba unisaidie kama naweza kupata mafunzo yake mengine yaliyo full sio vipande
Wana Raha sana walio kuwa wanahubiliwa live na huyu baba,,du mimi nasikiliza TU napokea uponyaji kwa jina la yesu sipat picha hao walio Kaa apo ulikuaje
Eemungu wa IBRAHIMU ISAKA NA YAKOBO kama huyu mtumishi alipita njia yako na umempokea...nakusihi YESU na mimi nipe nafasi ya kuingia paradiso ya MBINGUNI
Mungu aliye hai atupatie mtumishi mwingine .kuimalisha kanisa LA mwisho maana ss.wamebaki wa.mshahara tu.wanatafuta vya kwao tu.ni.kuuza mafuta na udongo na sadaka ya ukombozi.kumbe sadaka ya ukombozi ni yesu ilisha tolewa msalabani
Kaka tunaomba usikatize mahubiri haya wala usiya edit unatutoa kwenye uwepo wa Mungu, usituache njia panda ututendei haki, acha, tumsikilize Baba mtumishi wa kweli wa Mungu, tunapata faraja, Mungu yupo, sasa hivi wasaka tonge ni wengi, acha kukatisha mahubiri ya kweli pls
Hakika mtu huyu Yuko hai kilichokufa nimwili lakini roho yake ambayo ndiyo mtu ihai Yuko na Bwana mbinguni akistarehe anatusubiri nasisi watoto wake tufike kule aliko yeye bwana atusaidie kuihubiri injili hii ya kweli na tukisha maliza tuka pumzike kwa bwana yesu Amen.