Тёмный

ASKOFU IKONGO ATAKA KANISA KATOLIKI KUTOA TAMKO SAKATA la KUBARIKI WAPENZI wa JINSIA MOJA... 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 18 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

22 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 131   
@globaltv_online
@globaltv_online 9 месяцев назад
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@HekimaTemba
@HekimaTemba 10 месяцев назад
Aibu kubwa sana kwa tamko kama hili.Viongozi wakubwa wanaoaminiwa na waumini wao kuruhusu jambo kama hilo ambalo hata mwenyenzi Mungu amelilaani katika kitabu kitakatifu. Ila kwa vile amelitamka yeye ,basi ni wajibu wa kila mtu anayeguzwa nalo ajifikirie yeye mwenyewe.Maana Mungu hakukosea kumpa mtu kuwa na kichwa chake peke yake kutafakari mabaya na mazuri yanayompendeza Mungu. Aliyetamka hivyo ni binadamu kama binadamu mwingine. Kwa hiyo anayetaka kuyafuata afuate ila ana kichwa chake cha kufikiri baya na zuri linalompendeza Mungu
@mwanakitimbaraka2574
@mwanakitimbaraka2574 9 месяцев назад
Hakika dini ya haki mbele ya ALLAH ni usislam
@richarditaba
@richarditaba 9 месяцев назад
Shida uelewa wako ni mdogo
@h77-f8m
@h77-f8m 9 месяцев назад
Ikongo uko sawa
@Ndalolusulo-yt2ol
@Ndalolusulo-yt2ol 10 месяцев назад
Walishupalia sana swala la bandari mbona wapo kimya kuhusu ushoga pumbavu yao
@FRANKDONALDSENGOSENGO
@FRANKDONALDSENGOSENGO 9 месяцев назад
asante sana ubalikiwe
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 9 месяцев назад
الحمد لله رب العالمين unaposema papa alikuwa anamaanisha Nini inamaana huelewi maana ya MAPENZI ya jinsia moja ni kitu gani
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 10 месяцев назад
I'm proud to be Muslim thank allah
@malamlaaj9852
@malamlaaj9852 9 месяцев назад
Mwandishi Nenda ukutana na akina Kitime na Lhwaichi tuwasikie. Umemuuliza Huyu ni WA Upande mwingine.
@asacconlinemedia5343
@asacconlinemedia5343 9 месяцев назад
Ni sahihi.huyu ana shida na mkataba wa bandari ndo maana unaona anarudia sana mambo ya bandari
@RoseKimishabhalemi-oz9bn
@RoseKimishabhalemi-oz9bn 10 месяцев назад
Sisi wawata hatutaki watoto wetu kuwa mashoga tunafuata misimamo yetu ya kanisa katoliki wazungu wanatengenexa madawa ya kuwafanya watoto wetu kuwa mashoga ili wawapunguzie urefu wamaisha na kuwa bila watoto wakati Mungu alisema zaaeni mwongezeke mkaijaze nchi. Na mtumishi wetu askofu ni mwana wechu tunampenda sana anamaono. Ya kibiblia.
@mkoteaziz5238
@mkoteaziz5238 9 месяцев назад
Tunasubiria Tamko la TEC, haya ya akina Ruwaichi ni janja janja! Kubariki wenye mahusiano ya jinsi moja ni kubariki ndoa zao, wasijaribu kujificha kwenye kichaka cha mchicha!!😊😊
@rajabmohammed234
@rajabmohammed234 10 месяцев назад
Bravo Mr
@LazaroMbogo-h7d
@LazaroMbogo-h7d 9 месяцев назад
Yaan huyu askofu akija kanisa katoriki afai kuwa hata kateksta hajui kitu
@gwanda27
@gwanda27 10 месяцев назад
Jitahidini kufanya vipindi na watu wenye weledi,wengine mnatuletea vichaa
@nurunswebe4203
@nurunswebe4203 10 месяцев назад
Ahahahahaha eti chizi
@fastonsambo-du4rd
@fastonsambo-du4rd 9 месяцев назад
Tec iko wapi?
@zuberimussa5508
@zuberimussa5508 9 месяцев назад
sijakuelewa hapo mungu alizaliwa akaishi,akateswa, kauliwa! taa
@zuberimohamedi5761
@zuberimohamedi5761 10 месяцев назад
Waache wafirani,sisi tupo tunataka tuwaone wanaenda mbingu kwa baba. Kama yesu angekuwepo nadhani angezimia kwa hiyo mineno wanayoiamua huko Vatican dah
@RoseKimishabhalemi-oz9bn
@RoseKimishabhalemi-oz9bn 10 месяцев назад
Wewe mchungaji achana nakanisakatoliki papa si kanisa katoliki wala hatutaki kuhamia kwako kumbuka uhuru wanchi ulitokana na romani katolili. Kanisa hili ndiyo mmiliki wa yote
@obeidchamila6392
@obeidchamila6392 10 месяцев назад
Hongera sana askifu Ikongo
@piomgeni8750
@piomgeni8750 10 месяцев назад
Mtangazaji una uwezo mkubwa sana wa kuelewa tamko la baba mtakafifu hata vibaka wana haki ya kupata baraka waraka unapinga kabisa ndoa za jinsia moja well done
@jovanafidelis2802
@jovanafidelis2802 9 месяцев назад
Kabisa,kwanza huyu ni askofu mchwara anababaika sana Kila muda anaegemea kwenye bandari
@saidbakar-qo6ri
@saidbakar-qo6ri 9 месяцев назад
Vibaka wanaungama kuacha wizi mashoga wanapewa baraka waendelee na usenge wao
@trecygohy7847
@trecygohy7847 9 месяцев назад
​@@saidbakar-qo6ri mbona na wewe unaendele na dhambi zako ila una hitaji Baraka. Je huna utofauti na mashoga dhambi zao?. Kwasababu dhambi n dhambi. Cha msingi tuwasaidie kiroho na sio kuwakashifu vibaya kama dhambi zao n kubwa kuliko ya kwako. Kama ww n mtakatifu endelea kuwakashifu
@aloycesamba998
@aloycesamba998 10 месяцев назад
Hapa Mimi naunga mkono hoja, maana wanatuletea siasa kwenye dini,bora wajiuzulu ili tujue hawajaunga mkono hoja maana Kila mmoja anafafanua kivyake kwa hivyo watoe tamko la kiujumla
@agnessima5032
@agnessima5032 10 месяцев назад
Hata kwenye bandari wakatoliki walipingwa sana kwa madai kwamba eti ili wapitishe mizigo bure bandarini...mmeona matokeo chanya basi mmepata reference...hata kwenye hili suala la ushoga ipo siku litafanyiwa reference chanya....
@cosmasdaniel8600
@cosmasdaniel8600 10 месяцев назад
Sasa pentekeste si akazungumzie wenzake huko sasa anazungumziaje wakatoliki
@dr.deodatusrutagwerela3814
@dr.deodatusrutagwerela3814 10 месяцев назад
Huyu naonaa anashambulia maaskofu badala ya kielewa kuwa kuna taratibu za waraka au tamko rasmi
@agnessima5032
@agnessima5032 10 месяцев назад
Yaani hajui utaratibu wa kanisa ukoje anaropoka tu....
@BM_Smart2-6
@BM_Smart2-6 10 месяцев назад
Huu mjadala ufungwe ushoga ni dhambi hakuna ubishi na ni vyema watu wakaacha ubishi na kufikiri. Hivi ukweli wa hiyo sodoma na gomora haueleweki kwani???
@adorchmassimba4413
@adorchmassimba4413 10 месяцев назад
Tupo duniani kuna mambo mengi yanayoendeshwa na utawala wa shetani kiroho na kimwili na yesu alisema nakumtaja shetani ndie mungu wa dunia hii yeye kamshinda nawala hana kitu kwake mtu yoyote ambae hana imani ya Mungu wa kweli hawezi kumshinda shetani hata awe kiongozi mkubwa wa dini yoyote wenye Mungu wa kweli ndani ya mioyo yao na wenye imani ya kweli ktk kristo yesu waliotubu dhambi zao nakuziacha nakuishi maisha matakatifu yanayompendeza Mungu ndio pekee wanaweza kumshinda shetani nakukataa nakupinga mambo ya ushoga bila woga
@fatmaally7252
@fatmaally7252 10 месяцев назад
Safi sana
@isayagilson5710
@isayagilson5710 10 месяцев назад
Papa alikuwa na maana wawape baraka za maisha mengine siyo ya ushoga wao ndiyo maana alisema wasibaguliwe wapenzi wa jinsia moja ni dhambi kama dhambi zingine papa alivyo sema muwabariki siyo kwa ushoga wao bali kwa maisha mengine ya hapa duniani.
@julianamwamgogwa
@julianamwamgogwa 10 месяцев назад
Kwisha kwisha kwisha ili si kanisa aliloliacha yesu wanachulia yesu kienyeji sana .nikanisa liligalim maisha ya watu mitume walichinjwa walichomwa waliliwa na wanyama wakark leo katoliki wanachaua ukristo oooo nalaaaani sana
@davidmpiluka5224
@davidmpiluka5224 9 месяцев назад
Kuna sentensi moja aliyoisema Papa kwamba, "jambo lolote linalokwenda kinyume na Maadili ya Kimungu, haliwezi kubarikiwa". Kwa nini hiyo sentensi hamuisemei? Kwa nini mnachukua kamstari kamoja tu na kuacha mengi zaidi aliyoyasema Papa?
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 10 месяцев назад
Nchi haikubaliani mbona wakati Museveni anapitisha sheria ya kupinga mahusiano ya jinsia moja mbona huyu wa kwetu yeye hakutoa tamko lolote zaidi ya kuendelea kutafuta misaada na mikopo! Hatutataki uchafu huo katika Taifa letu.
@saidbakar-qo6ri
@saidbakar-qo6ri 9 месяцев назад
Sheria za tanzania haziruhusu ushoga siku nyingi sasa ulitaka mama samia awake sheria ya kuua we kweli mbuzi
@JaffariBuyogera
@JaffariBuyogera 10 месяцев назад
Naye anataka wanaume kwa wanawake waowane jinsia moja
@swafiirbulbul819
@swafiirbulbul819 10 месяцев назад
Proud to be a Muslim ❤
@jovanafidelis2802
@jovanafidelis2802 10 месяцев назад
Kumekucha
@swafiirbulbul819
@swafiirbulbul819 10 месяцев назад
@@jovanafidelis2802 Yeah.. kumepambazuka Nuru ya Uislamu imeshaangaza Sasa.. Hakuna haja ya kuendelea kuishi kwenye Kiza..
@lymondmande4422
@lymondmande4422 10 месяцев назад
😂😂😂😂 I think it's better to proud your self if you believe in God and not prodding of being in any religious group since kitakachokupoleka mbingun sio dini yako isipokuwa iman yako kwa kile unachokiamini kuhusu Mungu wako.
@swafiirbulbul819
@swafiirbulbul819 10 месяцев назад
@@lymondmande4422 Huo sio Ufahamu wa UISLAMU .. Hakuna salama huko tunapokwenda isipokuwa Kumuamini Allah na kukiri kuwa Muhammad ni mwisho wa mitume na manabii kisha ukatenda matendo mema na kujiepusha na maovu .. Kwa mujibu wa Imani yangu, hivi ndivyo salama ya mwanadamu itapatikana.. .. Bila ya kuwa Muislamu ni hasara na majuto siku hiyo.
@swafiirbulbul819
@swafiirbulbul819 10 месяцев назад
Kwahivyo nafakhirika kwa kuwa kwangu MUISLAMU... Alhamdulillaah, hii ni neema kubwa kutoka kwa Mola wangu..
@RoseKimishabhalemi-oz9bn
@RoseKimishabhalemi-oz9bn 10 месяцев назад
Wewe sisi tuliofundwa iko hivi wakatoliki katika utiii tunatakiwa kutii nini? Tunalazima ya kutii mambo yote yaliyomema hatuna lazima ya kutii mambo yasiyomema yanayopingana kanisa katoliki .
@yusufsadic2930
@yusufsadic2930 10 месяцев назад
Nyinyi wenzet mnatabik kwakitu hambacho kiko waz Sisi Waislam tuko kimya Uslam nistret hakuna mchezo kam nyinyi kwet hakun Baba mtakatif Sisi mtakatif ni Mungu Na Mtume Muhamad
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 10 месяцев назад
Wana vikao vyao labda bado wako kwenye vikao ndipo watoe tamko
@rajabumalonda2625
@rajabumalonda2625 10 месяцев назад
Maaskofu wakatoliki wajaribu kumpinga papa tuone kama utumishi wao hautaota mbawa,kwani maokoto mchezo?
@aristideskilawe5024
@aristideskilawe5024 10 месяцев назад
Uko sahihi Baba Askofu.
@zegelibilishanga6047
@zegelibilishanga6047 8 месяцев назад
😅nazani Kanisa la katoriki hulijui endelea na mambo yako kanisa halipo kama kujibu uzushi wa mitandao
@yohanakobero3387
@yohanakobero3387 10 месяцев назад
Yaani huyu hana huelewa kabisa. Na mwandishi hajamuuliza kabisa maswali ya kuufunua ukweli. Hakuna mahali Baba Mtakatifu karuhusu kufungisha ndoa ya jinsia moja. Kilichozungumzwa ni baraka inavyotolewa kwa watu. Kama kuna sehemu Baba Mtakatifu kasema tufungishe ndoa za jinsia moja tafadhali nionesheni niione. Baraka inatolewa kwa wote kwa watakatifu na wadhambi.
@GodyMussa-sc9fj
@GodyMussa-sc9fj 10 месяцев назад
Huyo askof mbona kama simuelew yeyey wap hajaelewa si akae kkmya
@revocatusbusia
@revocatusbusia 10 месяцев назад
Soma ufunuo na Daniel....uelewe..papa n mnyama atakaeshinikiza marekani itangaze watu wote waabudu siku moja kinyume na Mungu na hiyo ndiyo 666....
@agnessima5032
@agnessima5032 10 месяцев назад
Huyu anayehojiwa hata hajielewi na haelewi utaratibu wa kanisa katoliki...papa anapotoa tamko huwa limeshajadiliwa na makadinali wa dunia nzima..na makadinali hukusanya maoni toka kwa maaskofu...kuna kitu kinaitwa SINODI, unajua maana yake??sasa unaposema hapingwi una maana gani??? Halafu mbona unapitosha maelezo ya waraka wa papa?? Jua kwanza jambo k abla hujatolea maelezo.😢
@MICHAELMAHONA-x2l
@MICHAELMAHONA-x2l 10 месяцев назад
hapana hayo nimawazo yake tu papa siyo walijadili , chamsingi watoe tamko lakukataa hiyo kitu huyu askofu yuko sahihi
@agnessima5032
@agnessima5032 9 месяцев назад
@@MICHAELMAHONA-x2l huo waraka nimeusoma mbona unaeleweka kabisa...na huo waraka unajitosheleza na ndilo tamko lenyewe...
@thewellministry9008
@thewellministry9008 9 месяцев назад
Huyu mtu mbona amebadilika rangi alikuwa mweusi ghafla kawa zeru zeru lini jamani ? Kama vile kabadili sura au kavaa sura bandia ?? Nauliza tu maana nilimfahamu akiwa mweusi mwenye rangi nzuri tu ya maji ya kunde !!
@RoseKimishabhalemi-oz9bn
@RoseKimishabhalemi-oz9bn 10 месяцев назад
Kwahiyo weee ukimwambia alie chini yako chinja mtu utamlaziisha achinje? Wakati anajua ni dhambi asipofanya hivyo unamtowa ? basi kanisa la kishetani
@yusufsadic2930
@yusufsadic2930 10 месяцев назад
Uko vizur sana Kwasabab hawa wakatorik huw wanajitukuz san nakujion kuwa kam viongoz kil sehem sasa hap ndio wameshikwa pabay
@marionoti5760
@marionoti5760 9 месяцев назад
Hakuna pa kushikwa pabaya, ukatoliki haujawahi na hautakuja kukubali ndoa za jinsia moja. Ukitaka kuwaona wanaojiita wanarohomtakatifu walivyo waongo na hadaa nyingi ni hapa . Mwone huyo anayejiita kiongozi wa makanisa ya kipetekoste, anavyopindisha ukweli kwa nia ovu. Hawa ndio wanaojiita watumishi wa mungu eti wameokoka , wanaongozwa na roho mtakatifu. Wachumia tumbo, ndio maana wanatengana kila uchao.
@martinisadru9899
@martinisadru9899 10 месяцев назад
Kwani papa ni nani? Shida baadhi ya wakristo wana tabia ya kusahau maandiko, mfano, mathayo 23; 9-10. Hapo YESU alijua kuna mtu mwaribifu atakuja duniani na kujivika cheo cha MUNGU, neno papa, tafasili yake ni MUNGU, sasa mwanadamu kama huyo unawezaje kumwita mungu mtakatifu,, yaani papa mtakatifu. Hii ni hatari sana.
@machaelghumpi9198
@machaelghumpi9198 10 месяцев назад
Tatizo ni mihemko tu, papa alikuwa anajibu swali la waandishi wa habari kuhsu ushoga, hayo yalikuwa maoni yake sio maagizo kwa kanisa, na hakuyazungumza kwenye Misa takatifu, wala hakutoa maagizo wala hakuandika waraka kwa kanisa, ni tafsiri za watu tu na chuki kwa kanisa katoliki lakini Mungu anajua yote na atasimama na kanisa
@festolukumayi4356
@festolukumayi4356 10 месяцев назад
ionikubariki ndoa yajisia moja
@missamirajiiddy7077
@missamirajiiddy7077 9 месяцев назад
Tatizo mishara mtapata wapi mkienda kinyume tamko la Papa makima wakubwa nyie
@julianamwamgogwa
@julianamwamgogwa 10 месяцев назад
Katolilik kwisha kwisha mwenye macho na aone na mwenye masikio na asikie inachefua kichefuchefu
@jovanafidelis2802
@jovanafidelis2802 9 месяцев назад
Pole sana mjinga wa head ,kaa ukisubiri anguko la dhehebu letu
@LazaroMbogo-h7d
@LazaroMbogo-h7d 9 месяцев назад
Acheni unafki mungu hapendi
@yosefamlumbe7044
@yosefamlumbe7044 10 месяцев назад
hiyo papa ikamatwe halaka sana mniletee hapa kimala bucha
@kamarhelo
@kamarhelo 10 месяцев назад
Huyu askofu mwenyew mbona anaonekana kama shoga jamani au nadanganya
@anthonympemba8262
@anthonympemba8262 9 месяцев назад
Huo ni upotoshaji baba mtakatifu hakumaanisha hivyo. Sikiliza Clip vizuri hotuba aliyoitoa labda shida lugha huielewi tu.
@kasakealex5444
@kasakealex5444 10 месяцев назад
Kitu kama haukielewi basi usiongee,kwani we nani mpaka uongelee Kanisa Katoliki??
@filbertkumburu8015
@filbertkumburu8015 9 месяцев назад
Mnakuza nambooo..ovyo! Hakuna ujinga huo kazi kutafuta kuzodoana tu ndipo watu mnapochelewa safar ya tumaini kuelekea mbinguni. Alafu mnamegukana tu,dhambi za ubinafsi na ubishano tu ovyoo!
@MICHAELMAHONA-x2l
@MICHAELMAHONA-x2l 10 месяцев назад
kunahaja ya tec kujitokeza na kutoa tamko linalo ainisha msimamo na siyo kupakwa matope na mtu moja kumbuka kanisa lina taasisi ambazo jamii inahudumiwa hivyo kama kanisa likionekana kutaka kujionyesha balaka ambazo zinaleta mkanganyiko lazima litolewe tamko
@drjbmsige4098
@drjbmsige4098 10 месяцев назад
ndugu hawa wanajadili habari kutoka bbc, hawajakwenda tec kuwauliza wamepata waraka wa namna hiyo kutoka kwa papa.. ofisi hazifanyi kazi kwa kutumia mitandao.. unapaswa kuwa na barua ya maelekezo ili uweze kuijibu. otherwise utatoa tamko kwa kila kitu cha mtandao
@mutabilwadennis416
@mutabilwadennis416 9 месяцев назад
😂😂😂Baba Mtakatifu Ikongo
@marionoti5760
@marionoti5760 9 месяцев назад
We muulizaji na anayejieleza. Munania ovu na kanisa katoliki, acheni uwongo na ushetani. Kawaulize maaskofu wakatoliki sio wengine kama hao. Angalia unayemhoji ni mkweli? Mbona hajielewi. Kanisa katoliki na baba mtakatifu hawajakubali ndoa za jinsia moja. Waulize hao kuhusu uvibwetele , umakenzie na uzumaridi. Huoni anavyohadaa kwa kurudia rudia jambo ambalo si kweli. Na anayeshabikia uwongo si mpenzi wa mungu. Eti wakae kikao ili watoe tamko kwa lipi? Wakatoliki wanawapa baraka watu wote. Huyo kama kweli ni wa makanisa ya kipentekoste basi anatunajisia neno pentekosite watafute neno lingine kwani haitaki kweli ni mwongo na anahadaa ni rafiki wa yule mwovu.
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 10 месяцев назад
Kumekucha 😂😂😂😂😂 dahh Kua muislam Rah sana 😂😂😂
@selemansombe4177
@selemansombe4177 9 месяцев назад
Napita tu na waraka wangu😂
@cosmasdaniel8600
@cosmasdaniel8600 10 месяцев назад
Sema mtangazaj wa moto sana
@davidmpiluka5224
@davidmpiluka5224 9 месяцев назад
Sisi wakatoliki hatuna tatizo na maelekezo ya Papa kwani tumeelewa alichokisema. Shida ya watu ni pale wanapochukua neno moja tu kati ya mengi aliyoyasema Papa. Je, Yesu hakula na wenye dhambi? Je, Yesu hakumtetea yule mama mzinzi? Baraka zinatolewa kwa mtu yeyote yule bila kujali ana dhambi au hana dhambi. Lakini pia tukumbuke kuwa, dhambi si ushoga tu, la hasha. Kuna watu wana madhambi makubwa ya ajabu, lakini wakiomba baraka wanabarikiwa. Ni kosa kubariki ushoga, lakini si kosa kumbariki Shoga.
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 10 месяцев назад
Watoe tamko kama ilivyo Malawi na sehemu nyingine
@mamlomamlo9064
@mamlomamlo9064 10 месяцев назад
Zamani wakiristo wakiwakebehi waislamu ,kwa kusema ulawiti na usagaji ni michezo ya kiislamu ,leo Allah kawaonesha kumbe wao wakiristo ndio michezo yao
@asacconlinemedia5343
@asacconlinemedia5343 9 месяцев назад
Kinachomsumbua huyu Askofu siyo ni uelewa mdogo
@bekabakari7394
@bekabakari7394 10 месяцев назад
Tuna subiri Tamko kwa viongozi Wa kikristo sio mtu mmoja mmoja Kama walivyo kaa na kutoa waraka Kipindi cha swala la bandari Mbona kimya kigugumizi nini?
@jovanafidelis2802
@jovanafidelis2802 9 месяцев назад
Watoe tamko kwajili ya uzushi wa bbc? Huo muda wanaupata wapi? Endeleeni kupanick Kwa yasiyowahusu Tena ya uongo
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 10 месяцев назад
Yesu atarudi kwa aajili wanaisraili hawa wanaoua watu Gaza. Apa tulipigwaga na bible😂
@AyshaHamza-yd7so
@AyshaHamza-yd7so 10 месяцев назад
Wapi imeandikwa kama ulivyotanka toa Aya . Tujifunze
@gidongailo7174
@gidongailo7174 10 месяцев назад
Labda tuwasubiri. Watakuwa wanalichakata
@raphaelkessy7360
@raphaelkessy7360 9 месяцев назад
Pentecoste mtu ache kabisa shugulikeni na maswala yenu
@rashidrajab1391
@rashidrajab1391 10 месяцев назад
Nime kuelewa sana katoliki tanzania wanaona wao ndio wana hki watanzania kwa manufaa yetu sote wamepinga bandari ila ushoga kimya jitokezeni mbele mtujuzi je papa ni shoga au la
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 10 месяцев назад
Nimekuelewa shekhe hapa napata majibu shida ni waarabu kumbe
@blandinakimbe8910
@blandinakimbe8910 10 месяцев назад
Uchafu,machikizo mbele za Mungu,katoliki haiko hivyo,
@alphoncekagezi4950
@alphoncekagezi4950 10 месяцев назад
Martin Luther King (Bada ya kuisoma Biblia kwa Mara ya kwanza na kwa umakini- Alijitenga na taratibu za Rc ,Hali kupendeza Uongozi wa RC wa kipindi hiko wakitumia mamlaka ya kofia ya kisiasa walimkamata pamoja na wafuasi wake wakateswa na alikufa kwa kuchomwa moto ikiwa ni hukumu mbaya iliyowahi kutokea duniani bada ya Mitume na Manabii.
@gililwise
@gililwise 10 месяцев назад
Watubu maana laana ya Martin Luther nawengine waliouwawa kwa kuwa na mitazamo ya papa.itamtafuna
@abdulnaseermrisho4342
@abdulnaseermrisho4342 10 месяцев назад
La bandari waliandika bonge la barua na likasomwa karibia makanisa yote 😂😂😂 ila hili wapo kimya kama mazuzu,any way huenda Papa kashapata mume (Ni msimamo wa Papa sio wa kanisa ila ajabu RC wanaogopa kusema)
@jovanafidelis2802
@jovanafidelis2802 9 месяцев назад
Sasa kuhusu ushoga waandike Nini wakati hakuna maagizo waliyopewa? Unadhani mapadre ni watu wa kurukia uzushi mitandaoni? Yaani mzue uongo nyie na BBC halafu msubiri tamko ili iweje? Hawana muda wa kupoteza
@abdulnaseermrisho4342
@abdulnaseermrisho4342 9 месяцев назад
@@jovanafidelis2802 nani kazuo uwongo,unaonekana uko nyuma kama makalio,hiyo kitu kasema huyo baba enu mtakatifu,fatilia habari usikaze fuvu
@olivernyange2349
@olivernyange2349 10 месяцев назад
Daa Kauli ni moja tu Yes or No.biblia imeruhusu ushoga? Kama ni No maelekezo yote ni ya nini.sijui baraka,sijui vitu gani...y nini yote haya Papa alipaswa kusema NO ushoga kanisa katoliki.simple.unapotaka kuleta maelezo mengi unaonekana unataka kuingiza hilo,jambo kidogo kidogo,maana baada ya kubariki atakuja na lingine,
@mashannapapaaa9582
@mashannapapaaa9582 10 месяцев назад
Huyonishoga
@raphaelkessy7360
@raphaelkessy7360 10 месяцев назад
Yalikuwa maoni binafsi ya pope Francis kwenye mahojiano na waandishi habari
@saidbakar-qo6ri
@saidbakar-qo6ri 9 месяцев назад
Sio maoni ni tamko rasmi la papa au na wewe unafirwa maana unajitahidi kutetea
@monicangowi4428
@monicangowi4428 10 месяцев назад
Atoke akufate wewe kwani unajipya gani kwenye kikanisa chako papa nibinadamu kama wewe hawezi kuabudiwa kama anakosea lazima akosolewe kuwaambia maaskofu wajiudhuru wakufate wewe cyo suluhisho la tatizo kwani na akili yako ukiambiwa ule mavi utakula?
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 10 месяцев назад
Wapinge wanyimwe misaada subutu!
@kessyshemganga607
@kessyshemganga607 10 месяцев назад
Nilichogundua ni kwamba mwandishi wa habari anazo taarifa kwa kina kuliko Askofu Ikongo. Kwa ufupi Askofu Ikongo alikuwa anajibu kulingana na maoni ya watu aliyosoma mtandaoni, lakini pengine hajawahi kuiona taarifa yenyewe walau kwa lugha ya kiingereza
@jovanafidelis2802
@jovanafidelis2802 9 месяцев назад
Kabisa
@mwanakitimbaraka2574
@mwanakitimbaraka2574 9 месяцев назад
Dah njooni ktk dini ya haki ya uislam chap kabla hamjafikwa na mauti mkiwa ktk hasara kubwa
@dionisiakemilembe8319
@dionisiakemilembe8319 9 месяцев назад
😊😊😊 😊
@dionisiakemilembe8319
@dionisiakemilembe8319 9 месяцев назад
gc 😊 CNN cc
@asacconlinemedia5343
@asacconlinemedia5343 9 месяцев назад
Huyu Askofu haelewi.Inaonekana ana chuki yake binafsi.Kutoelewa maelezo ya Papa ni uvivu wa kufuatilia mambo.Inaonekana tamko la bandari linamtesa.Hawa ndiyo wanaovizia anguko la kanisa katoliki.
@drjbmsige4098
@drjbmsige4098 10 месяцев назад
sasa wewe ikongo umeshaambiwa haupo waraka wala barua iliyopo mezani kwa maaskofu kutoka kwa papa ambayo unataka waitolee tamko. wakiulizwa wameitoa wapi taarifa hiyo waseme tumesikia kutoka bbc na mitandao?? akili yako ndogo sana aise ndo unawaongoza wapentekoste kwa kutumia mitandao?
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 10 месяцев назад
Lepapa
Далее
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
Просмотров 422